THE BRAIN FOOD: KIM KIDUKU; MKOREA MBABE WA MAKOMBORA YA NYUKLIA YANAYOITIKISA MAREKANI...
Vložit
- čas přidán 3. 06. 2022
- THE BRAIN FOOD: KIM KIDUKU; MKOREA MBABE WA MAKOMBORA YA NYUKLIA YANAYOITIKISA MAREKANI...
Kim Jong Un, ni rais mbabe kutoka Korea ya Kaskazini. Ni mbabe kwelikweli. Anachojivunia zaidi ni makombora ya nyuklia aliyonayo, kulipua makombora ndiyo furaha yake. Ubabe wake amerithi kutoka kwa mababu zake.
Marekani wanamfahamu vizuri Kim, anawachachafya kweli. Historia ya maisha yake imejaa mambo mengi ya kutisha ya kufurahisha na Mwalimu DENIS MPAGAZE.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline
Kama umechekaa nipe like, eti sio sisi wafukunyuzi😅😅😅😅😅
Ndugu .. amini ligonde anajua kusoma taarifa .. mauwa yake apewe .. siezi pita taarifa wakati ndie anaisoma .. salute mkuu mngu azidi kukubariki
Nampenda sana rais wa panki yupo vzr
Apendi Uhuru w bandia ukohuru maisha unapangiwa hataki
Kaka unajuwa Sana 💯💪🏾💪🏾
mungu atakulipa kaka asante ishi maisha marefu
Yaan mm nikisikia saut yko napenda na naisikiliza simuliz had mwishoooooooo❤❤❤❤❤
Thanks
😆😁😆😁😆😁 Uko vizuri kaka
Hanyi hovyoooooooo huyu bwana😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅
Kz nzuri
America ni watu wasiopenda kuona mataifa mengine yanakua kiuchumi na kijeshi
Asante studios
Nakupata vzr kutoka🇨🇦🇨🇦 napenda venye uko na saut nzr
KAZI nzuri
Namna unayochambua Hua unanifurahisha😂😂😂😂😂 sna daah unaupiga mwing
Nakukubali sana mwamba
Wako vizuri
Nampenda sana uyu kiduku kwa kumbomoa shoga wa ulimwengu naomba kiduku putini na china wafungamane wamkimbize shoga asilande ulimwenguni
Nasisitiza tuige kuishi kwa kujiamini bila kuibembeleza Marekani na msbeberu wa magharibi kwa ujumla
asante kaka
Huyo ndie jpm
Ni shidaaah
🔥🔥🔥🔥🔥💯💯
Daaa Brother nimekupenda bure endelea
🌹남과 북🇰🇷🇰🇵🌹우리 한민족 한반도 평화를 바랍니다!🙏🇰🇷🇰🇵🇰🇷🇰🇵🙏
Mtangazaji Unanifurahisha Sana, Unaweza kutangaza Vizuri Sana.
Sana yaan mm napenda sanaa
😂😂😂nakwli ikosiku tutaikuta haipo nimekupenda wandishi 🔥🇴🇲🇹🇿,🤣🤣
Kim big up
Hata mie cpendi kiduku aondoke
Dah nimependa ningekua uk ilanamshukur mung
Kk umetisha Sana unasimulia vizuri tupe na za ndani huko uklein
Safi sana dear
Kiduku huyu natamani amuonjeshe US bomu moja tu
Kiduku hana chochote mbele ya marekani marekani ina technology ya juu sana hata nuclear anazo za kutisha ila hajionyeshi tena technology ya nuclear marekani ilianza miaka mingi iliyopita unadhani leo atakuwa wapi ?
Tunakiwa kuichukia malekani ndio mchafuz w dunia
Unyama mkubwa sana
Kiduku Mungu akupe miaka mingi nakukubali ile kinomaa
Noma asee
❤❤❤❤❤❤❤❤
Huyu mtu anamuamini dd yake na kitoto Chake kike ni ujinga tuu anafanya
Kiduku ya paswa aje Bongo awa samablatishe mafisadi maana ni wengi sana wanatuudhi Kila siku na kutuona kama hatuwezi kuwafanya kitu wehu tu
Kim kiduku
A aassa
Kim masuruali
Haya
Wewe
Kiongozi bora kabisa uyu
WAKUOGOPWAA NIMUNGU TU HAWAWENGINI NISISIMIZI NA MUNGU AKIAMUWAA LAKEE KUNAWAKUBAKI HAPA DUNIANI 😂😂😂😂😂😂😂😂Anawazumu tu kwambali 😅😅😅😅😅😅
Natamani apige uku tz atuchangamshe maana tumepoa sana
🤣🤣Nchi ina Wajinga hii Mungu atustiri sasa weye utabak
Usirudie kuzungumza tena hivyo mpendwa , Mungu anaweza akaokoa watanzania wote na akakuadhibu wewe mwenyewe mfano wa vita acha kabisa,, matokeo ya maisha yako ni maneno ysko, jifunze kutamka maneno ya baraka
@@reganshao Mtihan wanadhani vita kama kula tuu htr
@@Awatee inaumiza sana mtu anapost coment kama hii ,,
Jamani uku burudani sijamaanisha
🤔adabu. 0🤣🤣
Hatumtaki uyoo asije akatuteketeza
..
😂kaka pambana huna mpinzani
Mawazo yako ni potofu ni ya upendeleo tu hayana ukweli
Na wewe leta ya kwako tuone ukweli wake.
Hayo mabomu yanawasaidia nini? Kama Corona inanyanyasa dunia hivi
hakuna marazi hayo ni vita ya uchumi tu
Soma sana utaelewa inasaidia nn
🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣
Marekani ni mbabe WA wajinga wote wanao jipendekeza
Kka we unatisha mno