MBINU ZA KUEPUKA MADENI MABAYA - Victor Mwambene.

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 26. 11. 2022
  • Kupitia somo hili utajifunza tofauti kati ya madeni mazuri na madeni mabaya na jinsi ya kuepuka madeni mabaya yasiathiri kipato chako na uhusiano wako na watu au taasisi za kifedha.
    .
    Tafadhali Usiache Ku SUBSCRIBE na kubonyeza alama ya kengele ili uwe wa kwanza kupata taarifa ya somo jipya tunapo kuwekea.
    .
    KUMBUKA, Masomo haya yanakujia kila siku ya J’pili yenye lengo la kukusaidia kuwa na akili ya fedha pamoja na akili ya Biashara.
    .
    Kwa Mafunzo au Kupata Vitabu vyangu vya Fedha na Biashara Tafadhali wasiliana nami kwa 0744126640. Nitumie Majina yako Whatsapp Kupitia namba hiyo ili tukuunge kwenye Kundi letu la Whatsapp uzidi Kujifunza kutoka kwangu.

Komentáře • 9

  • @anordbumari8939
    @anordbumari8939 Před rokem +1

    Asante sana kwa somo zuri mkuu hakika nimejifunza 💪💪

  • @RichardMbwaga
    @RichardMbwaga Před 6 měsíci

    Umeeleza vema kiongozi Ila nieleweshe kwanini mkopo siyo mzuri kwa biashara.

  • @dr.amos..ngailomd
    @dr.amos..ngailomd Před rokem +1

    Good

  • @ezekielraphael6408
    @ezekielraphael6408 Před rokem +1

    Napata hivyo vitabu npo shinyang kaham

    • @victormwambene
      @victormwambene  Před rokem

      Tunakutumia Kwa basi mpendwa, Naomba Nitafute Kwa 0744126640.

  • @LUCASLUPIMO
    @LUCASLUPIMO Před 2 měsíci

    Kaka nime kupata vizulii hata Mimi Kuna wakati Kwa kweli madeni yalikuwaga mpaka yana ni kondesha

  • @humphreygerald1566
    @humphreygerald1566 Před rokem +1

    Kaka nimesha yakanyaga tayri kichwa kina niwaka moto

    • @victormwambene
      @victormwambene  Před rokem

      Pole sana Mpendwa, Usikate tamaa, Endelea Kujifunza.