USHINDI, CHANGAMOTO NA MAFUNZO KATIKA UCHAGUZI WA KANDA WA CHADEMA

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 31. 05. 2024
  • Ushindi mwembamba. Kwanini?
  • Hudba

Komentáře • 28

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz Před měsícem +3

    Hizi siasa chafu ndio hazitakiwi.watu waendeshe siasa safi.siasa chafu,rushwa,ufisadi na ubadhirifu chamani ndio husababisha kupata viongozi mafisadi,wabadhirifu na wala rushwa.ukiona chama hakina maadili basi ujue na chama kitakachounda serikali kitakuwa kina viongozi mafisadi.Chadema nawashauri muendeshe siasa safi chama chenu kinapendwa na umma wa watanzania.

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 Před měsícem +1

    HONGERENI SANA CHADEMA

  • @SangioNgoo
    @SangioNgoo Před měsícem +3

    Ingekuwa vizuri sana kama chaguzi kama hizi za wenyeviti wa kanda zingepigiwa kura na wanachama wote CHADEMA kwenye kanda husika. Hii ingefanya matumizi ya fedha kuwa challenging zaidi na pia tungepata picha halisi ya kukubalika kwa wagombea. Ikiwezekana washirikishe na wapiga kura wasio wanachama wa CHADEMA ili kuweza kutanua wigo wa maoni ya wananchi.

    • @1961nungwi
      @1961nungwi Před měsícem

      Unacho suggests ni mabadiliko ya Katiba ya Chadema

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 Před měsícem +3

    MSICHAFUANE

  • @user-cw2nj4io3v
    @user-cw2nj4io3v Před měsícem +1

    Uko sahihi Mr, Ngurumo, Chadema haitaaminika mbele ya umma ikiwa yenyewe imejaa figisu ktk chaguzi zake, itawezaj kumkosoa mpinzani wake?, hii inaonyesha uongozi wa juu umelala au hawajui wajibu wao, na kama hwatachukua hatua, hiki chama kitakwenda mrama kipindi kifupi kijacho, kwa maana mpinzani atapata uchochoro wa kukiboa kabisa kwa kusajili wachezaji wake mahiri!

  • @nanguniMtaita-hz4zt
    @nanguniMtaita-hz4zt Před měsícem +1

    Ngurumo, nakukubali sana. Umekuwa kama babu au mzee.wa ukoo. Kubwaga ukweli ndani ya Chama hikii kinachopendwa na wananchi kwa hivi sasa. Nami naongeza hili, Msigwa sio wa kumuacha hivi hivi, haraka fikirieni wapi anafaa, tumeshuhudia mbivu na mbichi za awali, tagu bungeni mpaka mateso waliyopitishwa kama wanavyoita "Bonde la kivuli cha mauti" la Magufuli na CCM.

  • @mfwimiekayuki8692
    @mfwimiekayuki8692 Před měsícem +1

    Sahihi sana Ngogo.Waliochsguliwa wasibweteke.

  • @rastheunique
    @rastheunique Před měsícem +2

    Umenena vema sana mkuu! Sikutegemea kabisa kama Sugu angeweza kuendesha kampeni kwa kumkashifu Peter msigwa 😢

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 Před měsícem

      ​@@MathewNathan-yb2bz Siasa ni mpira wa kona hakuna siku utaacha kugombaniwa. Tuvumiliane nafasi zikiwa chache kuliko wahitaji ni LAZIMA wengine wakose hata wangekuwa ni Waadilifu kama Malaika wa Mungu.

  • @robertmagubu4586
    @robertmagubu4586 Před měsícem +1

    Aisee wewe ni pure analyst hongera sana

  • @libertymacha9134
    @libertymacha9134 Před měsícem +1

    Kauli ya Msigwa kuwa, "kuna waliokuwa wanachama wazuri akawataja Zito na Dr Slaa eti waliondolewa kwa namna hii" nimeshindwa kuielewa. Chadema ni chama kilichokomaa lazima kiwe na utaratibu wa kuchunguza mienendo ya viongozi wao, wakikubaini hueleweki wataachana na wewe. Tusubiri tuone hiyo rufaa yake. Mimi ni mwana CCM lkn napenda wapinzani wawepo kuinyoosha ccm. Hiyo ndyo njia ya kupata maendelea

  • @albertkamala6843
    @albertkamala6843 Před měsícem +1

    >Ushindani ndani ya chama chochote baina ya wanachama ni jambo kubwa lenye umuhimu wa kipekee, kuonyesha kukua kidemokrasia!
    >Ktk zoezi hili linaloendelea CHADEMA wameonyesha kukomaa, wapewe maua yao!

  • @VanancKamonyole
    @VanancKamonyole Před měsícem

    Nakuunga mkono Ngurumo kampeni za chama chetu zionyeshe ustaarabu ili kuepuka kashifa mbaya ambayo wapinzani wanaweza kuitumia kukivuruga na hata kukiua kabisa hiki chama na aidha wanaoshindwa ktk uchaguzi kuingiwa hasira na kuamia kukihama chama wakati mchango na nguvu yao bado inahitajika sana. Nawaomba wagombea wote muwache tabia hiyo baada ya uchaguzi wote mrudi meza moja ili kukijenga chama.

  • @malinzirutta3391
    @malinzirutta3391 Před měsícem +2

    Mbowe take note of the last part of this clip

  • @mzungu2012
    @mzungu2012 Před měsícem

    Hakuna mtu real aisee, we ni wa kusifia nyeusi kuwa inasharabu ni kitu kizuri. Afu hapo hapo ukiambiwa yako ni nyeupe unasema kuakisi ni kitu kizuri hivyo bora nyeupe. Uchambuzi unaoanza na matokeo kwanza si uchambuzi

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Před měsícem

    👍👊✌️.

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 Před měsícem

    Kweli hata vyombo vya habari kufanya mdaahalo wazi wazi ni kuzoofisha chama

  • @Kwelihukuwekahuru
    @Kwelihukuwekahuru Před měsícem

    Kama ya kusema Msigwa alidai fedha ni ya kutunga Sugu kusema Msigwa angekubali kutoka gerezami na kuwaacha wenzake ndani ni upotoshaji wa makusudi na kujipendekeza

  • @msabahaali758
    @msabahaali758 Před měsícem

    binafsi kila hatua ya uchaguzi nilikua naifatilia

  • @marcusbenedict3208
    @marcusbenedict3208 Před měsícem

    Aaaaaah 😂😂😂 mambo ua chadema unaongea kwa busaraaa, we nae CHADEMA tuu

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 Před měsícem

    Kote huko hatuna shida ila nyasa tunamaswali makubwa sababu msigwA ni lmotion ktk speech zake anawezo mkubwa sababu tusiangalie pesa

  • @user-si5rl7kc6c
    @user-si5rl7kc6c Před měsícem

    Nilikua nakuheshimu San lkn saiv unapoteza haiba yko ya uchambuz unajikita San na uchadema wako ndo mana unafumbia macho ujinga uliopo chadema

  • @solomoneglesias9752
    @solomoneglesias9752 Před měsícem +1

    Jibu ni kwamba cdm kila kitu ni silaha ya maangamizi hakuna kudharau hata jambo dogo sana,, wooote wameiva wakakwiva

  • @samsonmwijage1869
    @samsonmwijage1869 Před měsícem

    Kwa hiyo Ngurumo kwa maelezo yako hayo unaamini maneno au malalamiko aliyosema Sumaye baada ya kujitoa kugombea uenyekiti Chadema yalikuwa sahihi?
    Na Sumaye baada ya kuachana na chadema na kurudi nyumbani ccm alinukuliwa akisema; ".....chadema kidemokrasia bado sana ni ubabashaji tu.........."
    Hii imejihidhirisha kutokana na kauli ya Tundu kuhusu harufu ya rushwa ndani ya chadema na kauli ya Msigwa kuwa amefanyiwa mizengwe Sugu hakushinda kihalali na atakata rufaa.
    Lakini pia Ngurumo hebu rudi nyuma ujiulize kwa nini chadema MAKATIBU WAKUU wa chama waliotangulia ambaye ndiye mtendaji mkuu wa chama WALIJIUZULU na kuhama chama?
    Nao ni;-
    1. Dr Amani Walid Kaborou
    2. Dr Slaa
    3. Dr Vicent Mashinji.
    Bila shaka kuna matatizo ya msingi ya kuyatazama na kuyafanyia kazi.