SIO YA KUKOSA KEKI YA UNGA ROBO KILO/250G CAKE RECIPE MZIWANDA BAKERS @Mziwanda Bakers

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 7. 11. 2021
  • @Mziwanda Bakers
    Unga 250g/Robo kilo
    Sukari/Sugar 150g
    Margarine 180g
    Baking Powder 1tsp
    Milk/Maziwa 1/4 & 1/8 cup
    Eggs/mayai 4
    Strawberry Flavour 1tsp

Komentáře • 131

  • @jeniphagodwin8359
    @jeniphagodwin8359 Před 2 dny +1

    Moto unakuaje

  • @christinapaul7390
    @christinapaul7390 Před rokem +7

    Wapishi mnaruchangany jmnnwengine wanasem piga mchanganyiko vizur,sasa leo hapa napat lingine usipig San mchanganyiko eee ila asnt kwa somo

  • @AgnessEmmanuel-mi2su
    @AgnessEmmanuel-mi2su Před 4 měsíci +2

    Nimelipenda darasa ongera sana dada kwakweli atakama mtu anakichwa kigumu lazima aelewe maana unafundisha kila hatua ubarikiwe

  • @user-pd9tv1cu8w
    @user-pd9tv1cu8w Před 4 měsíci

    Hongera sana kazi nzuri

  • @studio_547
    @studio_547 Před 2 lety +2

    This looks like a great food for sure. Love the ingredients. Nice job, thanks for sharing ❤❤stay connected😍

  • @fatmanbakari7518
    @fatmanbakari7518 Před 11 měsíci

    So yammy sis congratulations🎉🎉❤

  • @salmazuberi-pd2zn
    @salmazuberi-pd2zn Před rokem

    Hongera dada kazi yako nzuri sana

  • @habibaally9688
    @habibaally9688 Před 2 lety +1

    Napenda Sana kijifunza kupaka kek

  • @berthachacky6593
    @berthachacky6593 Před rokem

    That's nice

  • @rhodamitego7474
    @rhodamitego7474 Před rokem

    Nafurahia kazi yako

  • @tedymhozya9178
    @tedymhozya9178 Před 3 měsíci

    Good teacher hongera sana

  • @aziziissa
    @aziziissa Před rokem

    Kazi mzuri

  • @joycetido1896
    @joycetido1896 Před rokem +3

    Unafundisha vzr nimejaribu imetoka vzr Sana .Mungu akubariki sana

  • @user-ed9gu2lm1o
    @user-ed9gu2lm1o Před 9 měsíci

    Asanteeee mungu a zidi kukutunza

  • @aalyahnasser225
    @aalyahnasser225 Před 2 lety +1

    Maashaallah nipo Oman napenda Darasa lako Mziwanda nikija Tanzania nita kutafuta kwa ajili ya mafunzo ya cake Asante 🙏

  • @pulcheriamayombo5780
    @pulcheriamayombo5780 Před 8 měsíci

    Mziwanda Bekari Asante ni sana

  • @hadijarajabu-nj4iw
    @hadijarajabu-nj4iw Před rokem

    Wao nizuri

  • @user-he4qp1gh8q
    @user-he4qp1gh8q Před 5 měsíci

    Hongera dad kazi nzur nimeelewa

  • @GitauMuiruri-qw9bw
    @GitauMuiruri-qw9bw Před 2 měsíci

    I have subscribe already

  • @ndereesther5401
    @ndereesther5401 Před rokem

    Kenya much love sister

  • @najlaskitchen1572
    @najlaskitchen1572 Před 2 lety +1

    Mashallah looks very soft 😋😋👌👌

  • @fatumasaidi1806
    @fatumasaidi1806 Před 11 měsíci

    Unatisha wewe ni mwalimuangu mungu akubaliki

  • @user-zg6xn3mh9i
    @user-zg6xn3mh9i Před 2 měsíci

    Ahsante mpenzi naweza sasa🙏

  • @tedymhozya9178
    @tedymhozya9178 Před 3 měsíci

    Umenifanya nijue kupikaa cake 🥰🎂

  • @jynrobby2335
    @jynrobby2335 Před 8 měsíci

    Naomba nijue

  • @user-pg5jf9cc6t
    @user-pg5jf9cc6t Před 2 měsíci

    Ukiwek maziwa ya unga jee

  • @user-cf6nu3ps5r
    @user-cf6nu3ps5r Před rokem +1

    Nimeipenda. Sufuria kama hizo zinapatikana wapi

  • @ddunsson2
    @ddunsson2 Před 2 lety +2

    It looks so delicious. 🧡 You're very good at cooking. That's a good recipe. wow good Information. ⭐️🥰

    • @luciajohn8962
      @luciajohn8962 Před rokem

      Asantee kipenzi nimejua kutengeneza keki kupitia video hii

  • @AlaskaboyJudithi
    @AlaskaboyJudithi Před rokem +1

    kwan haiwezekan kutumia blenda kutengeneza mchanganyiko huu??

  • @estherbenard7255
    @estherbenard7255 Před rokem

    Napenda sana kitu unacho kifanya na mm natamani unifundishe vipimo.

  • @gracefilbert3531
    @gracefilbert3531 Před 2 lety +2

    Unapatikana wapi?naomba unisaidie recipe ya keki ya kilo moja

  • @AnnerswaiSwai
    @AnnerswaiSwai Před 2 měsíci

    Kwani nilazima kuweka maziwa

  • @jynrobby2335
    @jynrobby2335 Před 8 měsíci

    Imeungua na haijapanda

  • @user-uf7qk2yq6x
    @user-uf7qk2yq6x Před 10 měsíci

    👏

  • @evangimbuchi4632
    @evangimbuchi4632 Před rokem

    Unafundisha vizur madam unapatikana wap naitaji Nije nijifunze

  • @salmaalnaamani2786
    @salmaalnaamani2786 Před 2 lety

    Mimi huwa natumia robo Unga napiga mayayi na sukari naendelea na mahitaji mwengine, Mansha'Allah inatokea nzuri sana, anyway thanks for your information

  • @jynrobby2335
    @jynrobby2335 Před 8 měsíci

    Mbona mimi nimepika haijatokea hv

  • @Teaching356
    @Teaching356 Před 3 měsíci

    Maziwa fresha au ya unga unakoroga kwenye maji?

  • @labellesalha1755
    @labellesalha1755 Před 2 lety

    Asante dear🙏Mungu akuzidishie rizkii

  • @Idisenga
    @Idisenga Před 5 dny

    Maziwa unatumia maziw gan au japo y ngome

  • @salmankya7019
    @salmankya7019 Před rokem

    Keki yangu lazima ipasuke na haitanuki vizur

  • @GitauMuiruri-qw9bw
    @GitauMuiruri-qw9bw Před 2 měsíci

    Please confirm

  • @lucyemichael7814
    @lucyemichael7814 Před 2 lety +1

    Hello naomba kujua ikatokea umetumia pan inayozidi material ya cake uliyonadaaa kunatatizo???

  • @HadijaMvano-ug3oe
    @HadijaMvano-ug3oe Před 3 měsíci

    Naweza kurequest cake ya birthday leo nitumie namba

  • @costansiavitus3921
    @costansiavitus3921 Před 2 lety

    Naomba kuuliza unga wa ngano unatumia wa kawaida

  • @juliethmorrice257
    @juliethmorrice257 Před 2 měsíci

    naweza kuchanganya kwa kutumia blender ya kawaida

  • @FadhilaAloyceNtosho
    @FadhilaAloyceNtosho Před 2 měsíci

    Hello habari mbona mm nikipika keki inajipasua kwa juu na inakuwa ngumu samahani naomba msaasa

  • @rachelulomi1143
    @rachelulomi1143 Před rokem

    Naenda sana kujua kupika keki, Ila najaribu hazivimbi

  • @dismasmgaya3498
    @dismasmgaya3498 Před rokem

    Mko wpi

  • @happykapinga8810
    @happykapinga8810 Před 8 měsíci

    Hauna group watsup

  • @AishaIsmael-zg2dg
    @AishaIsmael-zg2dg Před měsícem

    Mbn me nikipik haipand ivy

  • @zubedaramadhani4488
    @zubedaramadhani4488 Před 2 lety

    Unapatikana wapi na je unafundisha live

  • @MaliamHamisi
    @MaliamHamisi Před 3 měsíci

    Wani uji wa keki uwezi kupambia

  • @emmy85sweetie99
    @emmy85sweetie99 Před 2 lety

    Mziwanda unapatikana wapi napenda darsa lako niko mwanza mom

  • @mariamhashim2847
    @mariamhashim2847 Před rokem

    Kwakupikia Niko la kaa inakuaje

  • @ophlinmwenzegule
    @ophlinmwenzegule Před rokem

    Natak kujuw namna ya kutumia ovena vizur

  • @iddahtilya1532
    @iddahtilya1532 Před 2 lety

    Dada napenda kujua kubake hiyo keki ilikua na uzito kiasi gani

  • @maureenmbinile1655
    @maureenmbinile1655 Před 2 lety

    Dada nisaidie nataka mashine ambayo keki nikipika nitaiona kwenye sufuria,halafu iwe ndefu kama hiyo yako,ninunue oven gani na lita ngapi?maana huwa najipikilishia kwenye oven ya jiko la gesi

  • @hildamhina5305
    @hildamhina5305 Před rokem

    Samahan mi naomba kujuwa vipimo vya nusu kiro

  • @mariamaugustino7107
    @mariamaugustino7107 Před 2 lety

    Nakupenda bure ubarikiwe

  • @user-gw9qs3rc2h
    @user-gw9qs3rc2h Před 4 měsíci

    Ni inch ngp hy baking tin

  • @mwashambasalibock
    @mwashambasalibock Před 2 měsíci

    mbna mm nilijalibu haikuiva ikawa kama bumund nilikosea wap

  • @kerbinaalphoncehaule8805

    Samahani dada naomba namba nahitaji shule kidogo

  • @irenekaranja3032
    @irenekaranja3032 Před 2 lety

    Am anew subscriber and v liked your tutorial and for sure v learnt a lot...be blessed.

  • @mariamdenis91
    @mariamdenis91 Před rokem

    Samahani mm cake yangu inavimba juu na kuwa ngumu shida ni nn

  • @AmidaAliy-vx9bt
    @AmidaAliy-vx9bt Před 6 měsíci

    Mbona mi Kila nikikoroga unga unazidi kua mwepesi

  • @HeremaMolya
    @HeremaMolya Před 2 měsíci

    Wengine wanasema jinsi unvyoanza kukoroga basi upande ulioanza kukoroga uwe huohuo

  • @rhodamitego7474
    @rhodamitego7474 Před rokem

    Nisaidie keki ya kilo moja na nusu ya biashara umeainisha maziwa kikombe kimoja na nusu unaonaje utuwekee kwa ml au aina ipi yakikombe itumike

  • @joycemwasote2959
    @joycemwasote2959 Před rokem

    Keki hiyo unadumu kwa muda gani?

  • @user-py7ds8rz4q
    @user-py7ds8rz4q Před 9 měsíci

    Cake zangu malanyingi nikiweka kwenye sufuria napika na mkaa nakuta zimeivia upande upande sehem moja kubwa upande mwingine padogo napata shida msaada tafadhal

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 Před 2 lety +1

    Mashaallah swali langu ukiwa wabinga iyo majarin na sukari ikawa nyeupe lkn bdo unackia sukari inakwaruza je waweza kundelea kupinga au utie mayai haina shinda naona jibu

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  Před 2 lety +2

      Karibu dear, sukari huwa haiyeyuki kwenye kupiga hivyo haina tabu endelea na mayai

  • @IbrahimAhmed-ge6nu
    @IbrahimAhmed-ge6nu Před 14 dny

    Assalam aleikum dada vp nauliza nikikoka cake inapanda baadae inshuka shida nn

  • @leahbonifas5050
    @leahbonifas5050 Před 2 lety

    Samahani madam,kwa mkorogo huo umetumia tin ya nchi ngapi kuokea?

  • @shamsaselemani5073
    @shamsaselemani5073 Před 2 lety +2

    Dada unamaanisha sukari robo na blue band robo c ndyo

  • @neemaaivany336
    @neemaaivany336 Před rokem

    Kinacho fanya keki ichambuke ni nini

  • @rithaferdinand3738
    @rithaferdinand3738 Před 4 měsíci

    Je nikitaka kuoka nusu kilo inamaana nitazidisha mara mbili hivyo vipimo c ndio??

  • @halimaally2918
    @halimaally2918 Před 2 lety

    Thanks dada ila naomba kujua hiyo moja ya nane ndio napimaje mim cjui plzzzz 🙏

  • @janemwasuka5621
    @janemwasuka5621 Před 2 lety

    Nahitaj kujifunza kutengeneza keki,,, unapatikana wapi

  • @addalazaro5579
    @addalazaro5579 Před rokem

    Naomba kujua hapo kwene uwekaji wa mayai ikitokea umeweka yote kwa mpigo nn kitatokea

  • @aeshisikanyika5664
    @aeshisikanyika5664 Před 8 měsíci

    Naomba namba yako naitaji kujifunza

  • @eneswaggy1835
    @eneswaggy1835 Před rokem

    Me jmn nikipk haiv ndani inakuwa ugali alfu njee pia inakuwa ngum nisaidy madmu shd nn

  • @juniorsalmin820
    @juniorsalmin820 Před rokem

    Kwann icho cha kulogea shngp na kinapatikana wapi

  • @kudralyimo7321
    @kudralyimo7321 Před 2 lety +2

    Shukran kwa somo...je wakati wakuchanganya mayai ikitoke kama maziwa mgando unatakiwa uendelee kukoroga au ukisha weka unga inakuwa sawa?

    • @janemisayo2832
      @janemisayo2832 Před 2 lety

      Maziwa mgando ya nn kudra, maziwa yanatakiwa yawe na hali yakimiminika tena yasiwe ya moto au baridii, hali ya kawaida

    • @kudralyimo7321
      @kudralyimo7321 Před 2 lety +1

      Yani kwenye mchanganyiko wa butter na sukar ukisha weka mayai uwa ina jikata inakuwa kam maziwa mgando

    • @babykasisi307
      @babykasisi307 Před 2 lety

      @@kudralyimo7321 Hapo aina shida, wala usiogope. Aliwahi kuzungumzia pia, unaeka maziwa fresh unaona kama yamekuwa mgando sio tatizo🤣

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  Před 2 lety

      Ndio dear hakuna shida kabisa

  • @elizaraphael-yp5bp
    @elizaraphael-yp5bp Před rokem

    Mbona nikipika keki yangu aijai kama yako au unaweka biking soda dada

  • @saidakunga2586
    @saidakunga2586 Před 2 lety

    samahani hapo kwenye maziwa sijaelewa 1/4 halafu 1/8 kwa hio itakuwa ni 1/2au inakuaje sijaelewa

    • @babykasisi307
      @babykasisi307 Před 2 lety

      Namie hp ameniacha njia panda, maana kaweka ile robo ya kwanza tena kaongza 1/8 ndio tujue hapo itakuwa gram ngap

  • @janethmwanda357
    @janethmwanda357 Před rokem +1

    Kwan Kuna unga wa ngano na unga wa keki?

  • @christinamwibuka5440
    @christinamwibuka5440 Před rokem

    Kwa nini keki hupasuka juu

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  Před rokem

      -Ukijaza sana uji
      -moto mkali sana
      -unga mwingi kwenye recipe
      Pia ata ukorogaji unaweza kukufelisha

  • @julianachalamila8960
    @julianachalamila8960 Před rokem

    Iv n kwel cake ukiweka maziwa inawahi kuharibika?

  • @janemisayo2832
    @janemisayo2832 Před 2 lety +1

    Mziwanda, naomba kuuliza, hapo means keki ilikuwa inakaribia ya kilo 1 si ndio mana wanaposema cake kilo 1 inaconclude kila kitu Au mm ndo sielew

    • @babykasisi307
      @babykasisi307 Před 2 lety +1

      Ndio hivo, namie nilikuwa sijui

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  Před 2 lety

      Ni hivyo dear

    • @janemisayo2832
      @janemisayo2832 Před 2 lety +1

      @BABY KASISI ndo tumejua sasa, sasa inaman kwamba unga wa cake robo ndo ukiupika inatokea cake ya kilo 1 au inapungua kidogo sana @mziwanda baker

  • @gracefilbert3531
    @gracefilbert3531 Před 2 lety

    Unafundisha vizuri dada swali langu ni hili ni lazima utie maziwa?

  • @tegemeaamony8204
    @tegemeaamony8204 Před rokem

    Mm nataka darasa la whtsp please

  • @zenamvungi292
    @zenamvungi292 Před 2 lety

    Madame kama maziwa hamna unaweza tumia maji?

  • @mariamissa5553
    @mariamissa5553 Před 2 lety

    Naomba kuuliza me nikipika keki ikisha iva inakua na mafuta mafuta ndani tatiz linawez kua nin?

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  Před 2 lety

      Wakati wa kukoroga hukuzingatia sheria na vipimo pia waweza kubadili ukapunguza Margarine

  • @costansiavitus3921
    @costansiavitus3921 Před 2 lety

    Naomba kuuliza unga wa ngano unatumia wa kawaida