Hi love🥰 oven vinatofautiana mpaka nione ndinaweza kukuelekeza jinsi ya kuset moto, napia zinatofautiana ukali wamoto yangu moto 180c nikawaida kabisa kwakeki lakini kwa oven zingine motohuo wa180c unakua mkalisana. Iliniweze kukusaidia njoo Instagram unitumie picha au video ilinione @divahcruz
Pole kwa changamoto hiyo , ila kunakitu lazima utakua umekosea my dear, jaribu kuangalia hii recipe czcams.com/video/zMSDXxgGyjo/video.htmlsi=LDcffWOGsbwhuBdK
Nimeweka dia, sikiliza vizuri Sukari 1cup Siagi 1cup Unga 2cup na nusu Mayai 4 Maziwa / maji nusu cup Vanilla nusu kijiko cha chakula Baking pawder kijiko 1 chachakula Chumvi robo kijiko cha chai Nimekuandikia vyote. Ukijaribu usiache kuni tag on Instagram natumia @divahcru asantee much love❤❤❤
Hii nimeipenda asante
Karibu
Fantastic 👌nitajaribu na mm, ahsant kwa mafunz mazur
Asante pia, karibu sana🤝💝💖
Je nitumie unga gan
hello dia.tuelekeze ulivyoset moto hapo.mana mi naoven la winning star lina temp knobs.mbili nashindwa kwenye kuset moto
Hi love🥰 oven vinatofautiana mpaka nione ndinaweza kukuelekeza jinsi ya kuset moto, napia zinatofautiana ukali wamoto yangu moto 180c nikawaida kabisa kwakeki lakini kwa oven zingine motohuo wa180c unakua mkalisana. Iliniweze kukusaidia njoo Instagram unitumie picha au video ilinione @divahcruz
Banking powder tunaweka kiasi gn Kwa vipimo hivyo
Kijiko kimoja cha chakula
nimejaribu exact vipimo ila keki imetoka Kama imejaa mafuta na taste ya baking powder inasikika kwa mdomo😢
Pole kwa changamoto hiyo , ila kunakitu lazima utakua umekosea my dear, jaribu kuangalia hii recipe czcams.com/video/zMSDXxgGyjo/video.htmlsi=LDcffWOGsbwhuBdK
Mm vipimo nko sawa ila sasa moto ndo cjui kusent
Unatumia jiko gani ?
Ikisha iva unaitunza wapi ili isikomae? Au haiwi ngumu ukiweka tu kwenye sahani?
Unaweza kutunza kwenye chombo cha mfuniko ama zippa bag ama ile mifuko mweupe . ila ukiischa wazi ulaini unapotea
Asnt kwa elimu ya mapishi
karibu❤
Sijaona baking powder hapo inakuwaje?
Ipo fuatialia vizuri
Nifundishe Hindi ya kupamba keki
Soon naleta video hiyo my dear
Mimi kila nikijarbu kupika inapasuka juu..sijajua sababu ni nini? Moto mwing au banking soda ninayotumia ni zesta
Kama unatumia baking soda acha tumia baking powder, pia zingatia moto ama chombo unacho okea kekiyako
Sawa
Asante nitafanya hvyo
Karibu kipenzi❤
Jmn mm mafata proces zote napika inaiva vzr tatizo haichambuki cjajua tatizo n nn
Je kama sina vanila nafanyaje
Weka fleva yoyote uliyonayo, ata hiriki ya unga inafaa
Mbona huweki kiasi mwalimu?
Nimeweka dia, sikiliza vizuri
Sukari 1cup
Siagi 1cup
Unga 2cup na nusu
Mayai 4
Maziwa / maji nusu cup
Vanilla nusu kijiko cha chakula
Baking pawder kijiko 1 chachakula
Chumvi robo kijiko cha chai
Nimekuandikia vyote. Ukijaribu usiache kuni tag on Instagram natumia @divahcru asantee much love❤❤❤
Unga 2 cups ni sawa na kiasi gani kwenye mzani?
Nimeharibu lakini ukikoka inafura baadae inashuka shida ni nn
Pole, sjui utakua umekoseawap, lakin hakikisha kikombe unachopimia siagi yako ndo ichoicho upie kilakitu ilikuepusha kuzidisha kipomo
Pia kama unatumia jiko la mkaa hakikisha sufuria lako unalo okea halipati mtikisiko ili kuepusha hiyo kufura na kushuka
Shukran Nitajaribu tena nitakupa majibu
Jamn mie nkipika inashindwa kuchambuka sjui nakwama wap
Pole kwa changamoto hiyo kipenzi, fuata vipimo vizuri itakusaidia. Pia huwenda unasahau kuweka baking powder
Benk powder hautiii
Natumia, na nimuhimu sana
Angalia vipomo apo chini