EXCLUSIVE: ZANDANIII RICARDO MOMO AWEKA WAZI USAJILI WA CHAMA KUJIUNGA NA YANGA/ KIBU DENIS HATARI

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 2. 05. 2024
  • EXCLUSIVE: ZANDANIII RICARDO MOMO AWEKA WAZI USAJILI WA CHAMA KUJIUNGA NA YANGA/ KIBU DENIS HATARI
  • Sport

Komentáře • 26

  • @Iddybaidu
    @Iddybaidu Před 27 dny +4

    Chama nimchezaji anaesajiliwa na yanga kila mwaka na anacheza simba kama unaungana na mimi like hapa

  • @shabaniismaily1470
    @shabaniismaily1470 Před 28 dny +5

    Ricardo momo Leo anasauti ya diamond kabisaa kwelii damu nzitu

    • @fadhilngaona3685
      @fadhilngaona3685 Před 25 dny +1

      Kabisa kama umuoni alafu ukasikia sauti unaweza kusema huyo anaeongea ni simba

  • @JUMAHUSSEIN-fv1xi
    @JUMAHUSSEIN-fv1xi Před 27 dny

    Momo umetisha sana

  • @stanleymsote8831
    @stanleymsote8831 Před 29 dny +1

    Mm makukubar kaka unajua sana mpira

  • @abdallahmdiliko8088
    @abdallahmdiliko8088 Před 27 dny

    Timu imepoteana imejaa viongozi wapiga madili tu.. ukifika muda wa usajili kila mtu anapambana apate percent yake
    . Kuna uongozi kweli hapo zaidi ya ujinga ujinga tu..

  • @user-cx1mj8ne6h
    @user-cx1mj8ne6h Před 26 dny

    Kolo Kolo tuuuuu

  • @stevenemwakasimba-pt8er

    Kibu ni wakawaida sana akienda yanga benchi litamuhusu yanga tuko Vizuri kibu ni machachari na maguvu

  • @abdallahmdiliko8088
    @abdallahmdiliko8088 Před 27 dny

    SAHII KAKA SISI SIMBA SC NI TIMU YA JANJA JANJA TU USAJILI WA HOVYO KABISA KAZI VIONGOZI WA SIMBA SC KUJAZA MITUMBO YAO NA KUWAHADAA MASHABIKI .. VIONGOZI WA HOVYO KABSAAA

  • @ushiwamarandu7433
    @ushiwamarandu7433 Před 27 dny +1

    KIUKWEL KWA MSIMU HUU AZAM FC NI BORA KULIKO SIMBA HASWAAAAA...!

  • @nyabugongwe2933
    @nyabugongwe2933 Před 27 dny +1

    Mtoto kasema yuko single momo vp tena

  • @raishahatibu7095
    @raishahatibu7095 Před 27 dny

    Nyie mlisema hakuna mchezaji wa simba atakae kwenda simba imekuwaje? Acheni unafiki nyie wachambuzi wanafiki

  • @Kulwa-tv5yr
    @Kulwa-tv5yr Před 29 dny

    Kaka momo nakubaliana naww begakwabega

  • @user-ql2hc7zt6b
    @user-ql2hc7zt6b Před 28 dny

    Mbona unaongea kama diamond sauti mitoko mondi mtupu

  • @kurumwagodfrey7052
    @kurumwagodfrey7052 Před 28 dny

    Manara tv

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 Před 29 dny +1

    HUYU RICADO DOMO ANA DOMO KAMA LA MONDI.

    • @Kabeya410
      @Kabeya410 Před 28 dny

      Yaani point zake huoni unachunguza Domo tu au we bwabwa kwa hiyo na we domo lako umefanana na nani

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 Před 29 dny

    wacha waende lakini chama alliennda akaaarud akaaarud, naa anaetoka Simba hua anaenda kkufa kimchezo kimchezo

    • @Kabeya410
      @Kabeya410 Před 28 dny

      Acha uongo unaongea kishabiki labda ulikua hujazaliwa kuna GILBERT MAHINYA ALITOKA SUNDERLAND KAINGIA YANGA KAUPIGA MWINGI MPAKA ANASTAAF, KUNA METHOD MOGELA, ALICHEZA MPAKA ANAKUFA, KUNA ADAM SABU KACHEZA MPAKA ANASTAAF, KIPESE, MPAKA KAONDOKA, YONDANI MPAKA ANAACHWA KWA KUUZA MECHI, HAMISI GAGA GAGARINO KAUPIGWA MWINGI MPAKA ANAKUFA, WE KENGE HUJUI KITU ULIZA ACHA KUBWABWAJA VITU HUJUI ILA WANAOTOKA YANGA WAKIENDA SIMBA WAKUFA KIMPIRA, GADIEL MAIKO, KAKOLANYA, NK.

    • @babaalfredi
      @babaalfredi Před 28 dny

      Samatha vipi😂😂😂😂😂😂

  • @theresiachandika38
    @theresiachandika38 Před 28 dny

    Makolo nchancha,mtabaki hivyohivyo kutukana kaeni chini mfikiri mnaferi wapi? Tafuteni ufumbuzi myateseka sana acheni watu waseme Wana uhuru huo Tena ukweli humuweka mtu huru

  • @aishaalmukhiani789
    @aishaalmukhiani789 Před 29 dny +1

    Sasa lazima hulambe lips 😂

  • @user-ce3tx7mr8v
    @user-ce3tx7mr8v Před 29 dny

    Sawa KABISA Momo

  • @user-iu2cm5um6e
    @user-iu2cm5um6e Před 29 dny

    DU,momo,zandaniiiiiiiiii