BODABODA APATA AJALI YA KIMAUZAUZA - ABIRIA ALIYEMBEBA ATOWEKA AKIMBIA - ''NISAIDIENI - NADAIWA''...

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 3. 05. 2024
  • BODABODA APATA AJALI YA KIMAUZAUZA - ABIRIA ALIYEMBEBA ATOWEKA AKIMBIA - ''NISAIDIENI - NADAIWA''...
    Kijana Razack anayeishi kwa kumlea mama na wadogo zake kwa shughuli ya kuendesha bodaboda yupo hoi kitandani baada ya kupata ajali ambapo abiria aliyembeba alitoka kwenye ajali hiyo akiwa salama na kuondoka zake tukio lililowashangaza baadhi ya mashuhuda.
    Hata Global Tv ilipozungumza na Razack alikiri kutofahamu alipoelekea abiria huyo baada ya kuzimia kwenye tukio la ajali hiyo ya kutisha.
    Kufuatia hali hiyo kijana huyo anawaomba Wasamaria wema wakiwemo bodaboda wenzake popote pale walipo kumsaidia kwa hali na mali kwa ajili ya gharama za matibabu.
    Razack amewaomba Wasamaria hao kumchangia chochote walichojaaliwa kupitia namba ya simu 0693-559649 jina la usajili Mwajuma Para.
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Komentáře • 56

  • @MwajumaSeleman-lh1fk
    @MwajumaSeleman-lh1fk Před měsícem +6

    Bora hata umasikin karibu la ugongwa nijarbu baya jamn sikia Kwa watu ukpita jarbu la maradhi makubwa unaweza ukaanza kukufuruu mungu awatie ngv jamn pole mama angu

  • @hemedisalim5522
    @hemedisalim5522 Před měsícem +8

    Wakiwa kwenye hatua iyo wanatia huruma ila wakiwa kwenye uzima wao wanafujo balaa full matusi

    • @aishahussein9348
      @aishahussein9348 Před měsícem +2

      Sio kweli maneno yako,wenye magar mnawazarau bodaboda sana ,pia wao wanatafuta rizki kama wengine,mungu anakuona

    • @user-df6ui9ro8s
      @user-df6ui9ro8s Před měsícem

      Uijui kesho yako km unacho mpe auna kaa kimy my brother Allah ndio mjuz wa kila kit

    • @SafiyaJ-yw2vt
      @SafiyaJ-yw2vt Před měsícem

      Hujafa hujaumbika 😢

  • @ZalkhaRawahi
    @ZalkhaRawahi Před měsícem +3

    Pole mwanangu nakuona km mwanangu laiti ingelikuwa na yy hayupo kitandani kwa ajali km iyo ningekusaidia mwanangu yani pole baba ALLAH atakujaalia utasimama😭

  • @sayunimkongwa9830
    @sayunimkongwa9830 Před měsícem

    Pole Sana

  • @user-cz3vu4ws7x
    @user-cz3vu4ws7x Před měsícem

    Pole sana

  • @FilbertKalembe-fy4oq
    @FilbertKalembe-fy4oq Před měsícem

    Duu kwa maisha ya dar haya pole sana mungu afungue mioyo yetu kila tulicho jariwa huyu dogo

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 Před měsícem

    Jamani

  • @user-df6ui9ro8s
    @user-df6ui9ro8s Před měsícem

    Pole san kak yangu wallah inaniuma san pole kak Allah akupiganie pia Allah atujaa tukuchangie

  • @Magdalene-er2ur
    @Magdalene-er2ur Před 29 dny

    Mama huna ulemavu wowote unasema unategemea mwanao nakati mama ntilie wamejaa si ungetafuta hata kazi ya kuosha vyombo ujiwekee akiba.saa hili unalia ujinga na kuchuria mtoto kisa mguu.wanawake siku hizi wanachakarika au na wewe ni wale wakusogea na vivuli.hakuna anayeomba shida majaribu yapo juu ya wanadamu nikujikaza tu na kumwomba Mungu atunusuru..

  • @HileHile-ns9xv
    @HileHile-ns9xv Před měsícem

    Pole sana Allah akujalie afuen ya haraka

  • @lisawilliam2491
    @lisawilliam2491 Před měsícem

    Pole sn kaka

  • @firtekfluidconnector1537
    @firtekfluidconnector1537 Před měsícem

    Sawa, 😢

  • @nourannouuran3514
    @nourannouuran3514 Před měsícem

    ALLAH MPE NJIA YA KUTOKA KWENYE HUU MTIHANI YAA RABBY AMIIN

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 Před měsícem +3

    Jamani. WATANZANIA SISI. Bungeni EBU TOWENI MALIPO KWA SISI WATU WA CHINI KUHUSU MALIPO YA HOSPITAL JAMANI AIBUUU PESA HAKUNA SERIKALI MNAFANYA NINI?????

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl Před měsícem

      Yani hatasijui maana ya selikali tupotupotu.tunaangaika kilakitu.ukigusakigumu nchinikwetu

    • @Carolina-sm5zt
      @Carolina-sm5zt Před měsícem

      Yani hata ukiumwa hospitalini kwenda unajiuliza mana pesa unakuta huna wala bima huna jamani tumshukuru Mungu Kwa Afya

  • @kisinza6077
    @kisinza6077 Před měsícem +4

    Haina haja ya kusema baba Huna we mtu mzima! Kikubwa msaada kaka! Uzima ndiyo Kila kitu! Mungu akupe wepesi.

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl Před měsícem +2

      Baba pia anamsaadawake hataangekua masikini. Duapia inasaidia ya wazazi Allah amponye kwauwezowake

    • @aishahussein9348
      @aishahussein9348 Před měsícem +1

      Mzazi ni mzazi ,bado ni kijana mdogo,omba lisikukute,toto baya kwako zuri kwa mama yake

    • @jamilajumaa2980
      @jamilajumaa2980 Před 28 dny

      Ameen

  • @user-qs5ik8qv2l
    @user-qs5ik8qv2l Před měsícem

    Mungu atakuvua utapona

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 Před měsícem +4

    Umaskini mbaya usikilizie tu kwa mwenzako

  • @RebeccaYohana-vd9cn
    @RebeccaYohana-vd9cn Před měsícem

    😢😢😢😢😢😢😢

  • @AtuganileAsubisye
    @AtuganileAsubisye Před měsícem

    Du mama Samia mkumbukee...

  • @Official83640
    @Official83640 Před měsícem +1

    Mwandishi upo fild au mzoefu mbona sijamuelewa ?

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 Před měsícem

    Poleni SANA Jamani TUKO PAMOJA

  • @rodsconehenry4249
    @rodsconehenry4249 Před měsícem

    Basi kwenye ubora wake huyo pkpk inalia singel,tako moja na bega vimeiacha pikipik ndala kama inataka kudondoka iv

  • @user-uh7to2kw2z
    @user-uh7to2kw2z Před měsícem +1

    Pole Sana ndug utapona

  • @CalmGlassRose-oy3qv
    @CalmGlassRose-oy3qv Před měsícem

    Basi hatuna hospital y taifa et inamsaidia wa taifa gan? Maan kama ni taifa l tanzania mbon ndo tunaumbuk sasa watanzania wenyew, tungekuw n uwezo c tungekuw tunaenda mahospital y kulipia, ila mkion tunakuj muhimbil mjue hatuna jaman viongoz mtuone na sio kama hamjui

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 Před měsícem +1

    SASA watapata wapi??! Nyueee VIONGOZIIII??????? EBU FIKILIENI. TUNAMKUMBUKA BABU YETU NYERERE. TOWENI MALIPO YA HOSPITAL MNATUUWA

  • @ashapearubart2624
    @ashapearubart2624 Před měsícem

    Waadishi saaigine huwa mnakosea. Hii habari wanaagalia dunia zima. Kuomba musaada sio Tanzania tu. Kuna ichi zetu majirani pia wanaagalia.

  • @user-tn7ic2ky3i
    @user-tn7ic2ky3i Před měsícem +1

    Nyinyi boda boda munamatatizo sana mukiitwa kwenye mahandamano ya chadema muna kataa kisa ccm leo ccm inakukataa naomba mwende kwa wale viongozi wa ccm wanao wakataza kushiriki mahandamano

    • @Carolina-sm5zt
      @Carolina-sm5zt Před měsícem

      Amesema anaye guswa hivyo ukiguswa unaweza kutoa hatupo Kwa ajili ya Vyama tumsaidie Tu

    • @SalmaBinyaga
      @SalmaBinyaga Před měsícem

      ​@@Carolina-sm5ztnimemshangaa Sanaa hovyo hili jitu linaleta siasa kwenye vitu vya serious

    • @fatmaallyabdul1732
      @fatmaallyabdul1732 Před měsícem

      Kwa hiyo wakienda kwenye maandamano ndio wakipata shida chadema ndio watatoa msaada???!! chadema ipi !?? Labda ya India!?? Kama huna cha kuchangia kausha,usituletee siasa hapa

  • @noahemanuel7015
    @noahemanuel7015 Před měsícem

    Tukiwaambia tuungane kupigania haki za umma bodaboda na viongozi wenu munakuwa kihereher e kurukejeli kwamba muko busy kutafuta hela Leo mnaturudia vip hao wenuevit wenu wako wapi hapo

  • @rayahamisi118
    @rayahamisi118 Před měsícem

    Watangazaji mnakwama wapi mtangaza watanzania tu nawakati ata nchi nyengine tunasikiliza

    • @user-df6ui9ro8s
      @user-df6ui9ro8s Před měsícem

      Km mchangiaj changia Acha visa mbona weng 2 tup nje ya Tz na hatulalqmiki

    • @rayahamisi118
      @rayahamisi118 Před měsícem

      @@user-df6ui9ro8s mm nimemkumbusha tu sina maana mbaya

  • @mrrockboy9508
    @mrrockboy9508 Před měsícem

    Nyie boda boda amna adabu na arama za barabarani nabado

    • @zulfahaji91
      @zulfahaji91 Před měsícem

      Km hujazaa. Mungu. Atakupa. Ni mitihani tuu

    • @SalmaBinyaga
      @SalmaBinyaga Před měsícem

      ​@@zulfahaji91nashangaa kama hataki kuchangia akae kimya

  • @user-iw5hu3mc7l
    @user-iw5hu3mc7l Před měsícem

    Mi niliigongwa na bodaboda aknbeba akaenda kunitelekeza hospitali wanakuaga wa Shenzi haoo

    • @Official83640
      @Official83640 Před měsícem

      Kesi yakugongwa ndugu acha kabisa wenyewe madereva wanasema bora ufe kuliko ukiwa majeruhi ndy maana wanakimbia

    • @Official83640
      @Official83640 Před měsícem

      Kesi yakugongwa ndugu acha kabisa wenyewe madereva wanasema bora ufe kuliko ukiwa majeruhi ndy maana wanakimbia

    • @user-fs7xc2bb5d
      @user-fs7xc2bb5d Před měsícem

      Sio bodaboda hata madereva wa gari wanakuacha kesi kubwa haswa ukiwa hai

  • @mwakilamwaki1718
    @mwakilamwaki1718 Před měsícem

    Mpeleke kwa kiboko ya wachawi

  • @maymunamakungu6265
    @maymunamakungu6265 Před měsícem

    Mama basi jistiri wewe ni muislam

    • @maimunaulotu2075
      @maimunaulotu2075 Před měsícem

      Kwani yupo uchi hapo😏😏😏😏😏

    • @maymunamakungu6265
      @maymunamakungu6265 Před měsícem

      @@maimunaulotu2075 Naam. kwa mujibu wa dini yetu ya kiislam yupo uchi