MAPACHA WENYE DREAD WAWACHANGANYA JUDGES
Vložit
- čas přidán 4. 12. 2023
- Tazama Full Episodes mpya za BSS SEASON 14 kwa wakati kwenye ST Swahili kila Jumapili saa 3 usiku, kupitia dikoda ya Startimes au App ya Startimes ON
:Vionjo vipya (BSS EXTRA) ni kila jumatatu, jumatano na Ijumaa saa 2:30 usiku ndani ya StarTimes Swahili Channel
Bongo Star Search
Follow Our Pages
Facebook: / bongostarsearch
Twitter: / bongostarsearch
Instagram: / bongostarsearch
SnapChat: BongoStarSearch
TikTok: bongostarsearch
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: / slidedigitaltz - Zábava
Salama ni msenge sanaa😂
Mapacha nawapenda sna ❤️🇹🇿🥂
They look so natural
Ila salama kanifurahisha leo😂😂😂😂 ati aaaanaa marrriiiiia😂😂😂
Huyo alosoma Geo env studies ni coursemate wangu😁😁...Cute twins💞
They look so great
Ahhh I have like it.
Ooh! Anna and Maria long time mmekuwa Wadogo zangu
Great 🎉🎉
They always came alone alone cought me🤣🤣🤣🤣
Nimewapend jaman wanasaut nzuri
Salama is soo funny
*Madam Rita...." Me I always wanted to have twins but they came alone alone aaaargh didn't like it!"..* 😂😂😂
😂
😅😅
Ni mipango ya mungu
@@AyubuSwalehe-bt6gr Exactly
Madam ritha english sa zngne anaijuaga mwnyew
Ila hata kama hamjui kuimba binafsi nimefurahi Sana 😅. Alafu pia Wana sauti nzuri wanaweza kuwa watangazaji
Nakupenda sana Gabriel 😍😍😄💑💋💖💖💖💖
Gud
Wearing style❤
Wanajitahidi❤
Mwenyezi Mungu nikuzie mapacha wangu inshaalah
🙏🙏🙏hata mm namuomba mungu anikuzie na wakwangu wakike na kiume🙏🙏
Awa wanaimba niofu tuuuu😂😂😂😂
Awawanaimbaniofu tuuuu😂😂😂😂
Dah salama!😂😂😂
Eti suche na kapeto😅😅😅😅 salam akil yako waijua mwenyew
😂😂
Congratulations keep it up good job ❤❤❤🎉🎉🎉
Congratulations from new singer sharlene zuri nandi daughter
❤❤
25 km 15 . Hongereni kwa miili mizuri
Like triplets ❤
Ila salamaa bwn sunje na kapetooo😂😂😂😊😊
siameeh
Styling, Presenter, 90% ila like artist bado
udsm mate nimesoma na uyo maria pacha wake UDSM
Nawajua Hawa wadada wanapenda mno mambo haya mmoja hua anafanya modelling nawapenda
Tanzania ina support mziki ,kenya jamani tuko wapi😢😢
Wanapenda kuimba ila bado
Salama bhana 😂😂😂😂
Watengeneze tu kundi waliite. Twins dragon 😂😂😂😂
Uyu salama uyu😅😅😅😅😅😅
Hajui kuimba😂
Waingie kweny fashion they look great
Kama mimi 😝
Rafiki yangu kipenzi anna
😢😢😢Some Judges
Intern ndo nini in Shishi' voice😅😅😅😅😅
Ooh sister anna kipuz my advance sister
25 😮😮😮
Awajui kuimbaa
sauti ya kuimba wanayo sema ishu ni kupanda na kushuka
Bss sitowai kuludi mnavunja sana moyo aßwa salama uyoo wakunambia mimi nafanana na marehemu 😭😭
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂 huendi mbinguni
🎉🎉🎉🎉🎉
Anna, Maria and Phania Peter Kipuzi❤
Eti toka uende
Ila majaji daah ,Salama jmni eti avee Maria 😅😅
Shinyanga moja hawa wote wame somea bugoyi ❤❤
Hawa mapacha ni watoto wa Peter kipuzi au nimekosea
Salam unanini lakini 😅😅
Wa mwisho na wa mwisho ndio wanakaa pacha
Hawajui bhanaaaaa
Nilitaka nishangae stephania na uimbaji wapi na wapi wajina😂😂😂😂😂
😅😅😅😅😅😅😅😅😅
ahahahahahahahahahaha
😂
Eti sogea mpigwe picture 🤣🤣🤣
😢😢😢😢
😂😂😂
Meena Ally
Ukiangalia numbers utajua hii ni biashara. Fanyeni muwarudisheee kama mnataka tuendelee kuview hapaaa 😂😂😂😂
Aaah
Hawajui kuimba wamepewa favour tu
thats the definition of power... you can grant any favor to anyone unayeona waweza mpa bila kujali uwezo wake....
Salama acha bangi😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
Anaweza ila amekosa kujiamini
Ilasalm 😂😂😂
They are going for lower keys, ila wana kitu
Hao wawili nshabutuwa bado mmoja
Shenzii
😂😂😂
Madako yako umejua kunifuraisha😂😂
Uyo mwingine ni yuko na Tumbo?
waimbe kiswajili na sio kingereza
Wazuli
Salama bwana eti Sunje na Kapeto😄😄😄
😂😂
Drivers license bonge moja la wimbo ila kameukosea
Jmn unawezaje join na bss natak kuwatikisa hapo
Nani amenotice wamevaa rosary catholics 4 lyfe
Shangazi shilole 😂 shishi food imeamia tumboni mwake 😂
😂😂😂😂😂kwamba umeona meza, plates na viti
Sasa mzize si anamwili mkubwa
Mmh kuimb hawajui ban😂 ila wazr
😂😂😂😂 kumekucha
Ukweli kusema😂😂😂😂😂😂
Alafu mzinze ako na 18 years maria na ana ni dada zake 25 years hii nchi ngumu 😂😂😂😂😂😂 mzinzee ona njoo uone huku
Mwanaume ana ndevu
😂😂😂😂😂
Hhhahhah mbona onyango ana28 lkn
😅😅😅kaka unajua mchezaji anatakiwa alaje
Mzize n muongo muongo tu akat ana 30 ivi😂😂😂
q
But this judges tho how can they be talking and shes singing nkt
Waje darasani niwatrain
Unapatikana wapi nipe namba
location
Wapi?
Injinialing😂😂😂
Kampani femu
Hizi blauzi za siku hizi.....
I dont feel the eneŕgy from God for this..just overempowered people who would go to heaven and have nothing to answer for what they did on earth
Why can't you ask God to empower you so that you initiate something based on your religious belief instead of mocking someone you don't know even what he believes of?
I hate this judges
Mapacha wanapnd mapenzi awah😂😂
😂😂😂😂
Uyu salama uyu😅😅😅😅😅😅
😂😂😂
😂😂
Nakupenda sana abdallah 👄💋💖💖💖💖💖💖💖💑💪😍😍
Nakupenda pia