KAREN AMKATAA NDUGU YAKE | HATAKI KUSIKIA HABARI ZAKE | ATOFAUTIANA NA BABA YAKE!

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 19. 08. 2020
  • Mwanamuziki Karen Ametoa ya Moyoni kuhusu Mtoto aliyetambulishwa na Baba yake hivi karibuni. Tazama hapa

Komentáře • 59

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 Před měsícem +3

    Tena ushukuru mungu Kuna damu yenu ila baba nae alikosea alivyougua muda wote kwanini asiseme hata nikiondoka Kuna mtt wangu sehemu fulani

  • @user-hp2ix5wp6i
    @user-hp2ix5wp6i Před měsícem +5

    IPO siku utajua faida ya kuwa na ndugu

  • @AgredaMoyo
    @AgredaMoyo Před měsícem +2

    KarenKarenKaren ndo maana Umeenda kupandikiza mbegu nimejua kwanini😂

  • @emmabrownmissana6996
    @emmabrownmissana6996 Před 3 lety +5

    Kumbe we ni mjinga hivyo!

  • @rabsonchisumo6640
    @rabsonchisumo6640 Před měsícem +1

    Dada ni mjinga sana kumbe

  • @user-no3ll8yq4y
    @user-no3ll8yq4y Před měsícem +2

    Uyu ni baba angu mimi akiludi amejitisha nitajuta mbna 😂😂😂😂😂

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 Před měsícem +6

    Huyo ndugu yako anafanana na baba yake kuliko wewe halafu yupo hamble na ni mrembo zaidi yako.

  • @tabuomary1016
    @tabuomary1016 Před 3 lety +2

    Hayo Mambo kweli Ni ya kifamilia,Tena wazazi. Caren atahusika baadae. Nilazima akatae.mitandao endeleeni na kazi.

  • @michaelpetershoo1885
    @michaelpetershoo1885 Před měsícem +2

    Wazazi tuwalete na kuwatambulisha watoto nyumbani kwa ndugu zao siyo kupost mtandaoni.Mtoto hana mamlaka ya kumkataa ndugu yake halali kisa tamaa ya mali.

  • @julianapatrick7911
    @julianapatrick7911 Před měsícem

    Basi inatosha kumtukana,tumwombee Mungu akuli ikitulia atakubali

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 Před 3 lety +2

    Mbinafsi sana pumbavuuuuu

  • @tulanyagawa3271
    @tulanyagawa3271 Před 3 lety +2

    Duuuu jmnii Karen mchoyoo weeee khaaa

  • @winfridamsumule5084
    @winfridamsumule5084 Před 3 lety +2

    Huyu ni mwnmk km wanawake wengine,akizaa na mtu akalea mtoto peke yake zipo nyakat mtoto atataka kumjua baba yake,mtoto atakapokuja kukataliwa na ndugu zake wa kwa baba,atakuja kuelewa maumivu yake

  • @albertrwaburur5895
    @albertrwaburur5895 Před 3 lety +2

    wew acha ubinafus ujui leo wala kesho itakuw vp uyo ndugu yako

  • @lilianeliakim9287
    @lilianeliakim9287 Před měsícem

    Dah nimejikuta naumia zaidi ya sana ila muda bado ipo siku utajua umuhimu wa dada au kaka

  • @innocentjohn8632
    @innocentjohn8632 Před 3 lety +7

    Hyu atakuwa anawasiwas na hela za mzee ndio maana ataki ndgu maana uwez mkana ndugu yako

  • @frankmare1708
    @frankmare1708 Před 3 lety +3

    Huna akili

  • @user-rf7ni6tr2o
    @user-rf7ni6tr2o Před měsícem +1

    Roooo mbayaaa iyooo

  • @salmadalaquimane2364
    @salmadalaquimane2364 Před 3 lety +2

    Acha utopolo roho mbaya kusemaje yaan hadi useme hivyo

  • @lovemusicnoreen9185
    @lovemusicnoreen9185 Před měsícem

    This is sad don't say that ata kama umepitia mapito gani KATUBUUU

  • @user-hn8wo7fw6d
    @user-hn8wo7fw6d Před 16 dny

    Roho mbaya

  • @salummwanjali3207
    @salummwanjali3207 Před 3 lety +1

    Mwenye kaur hapo ni Baba mtoto ni mtoto2

  • @ashurashuraym3497
    @ashurashuraym3497 Před 3 lety

    Karen inabidi aachwe kwanza kwa kipindi hiki halafu afanyiwe interview maana kwa sasa yuko kwa mshtuko mkubwa kidogo,ila akikaa sawa kila kitu naimani itakaa POA!

  • @Mwigaa95
    @Mwigaa95 Před měsícem

    Usikute hata huyo careni sio mtoto wake gadna ila huyo mwingine ambae ana jifanya hamjui ndio mtoto halali wa damu maana hata kimwonekano una ona kabisaa wana fanana sana na marehemu baba ake

  • @joycemuhoja4729
    @joycemuhoja4729 Před měsícem

    ,Mmmh Ndugu yako unamkataa kabisaa kama wewe ndio mtoto pekee unakataa tena bila aibu mwenzio kafanana na Baba yake

  • @marymanoni5536
    @marymanoni5536 Před měsícem

    Sasa mlitaka asemaje amtamnui ndio

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 Před měsícem +1

    Nimekuja kusikilizia interview baadae ya mirithi kukabidhiwa karen

    • @WahuBoth
      @WahuBoth Před měsícem

      Wee usiniambie kwaiyo yule mwingine ayupo 😮

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x Před měsícem

    Hata akimkataa haitaji msaada wala urithi ujinga tu

  • @camillacaroline8996
    @camillacaroline8996 Před 3 lety +2

    Selfishness!!!

  • @innocentchristopher7571
    @innocentchristopher7571 Před měsícem

    Mna mlazimish vp bint kawa mkubw hvy nd uletew ndg yko huyu hapa sku zote alikuw wap nd maan hata msiban akutajwa

  • @abdallahmmary8591
    @abdallahmmary8591 Před měsícem

    Zinaa zinaa zinaa ni Hatari wote hao watoto ni haramu napia majina nlazima watumie yaamazao

  • @michaelpetershoo1885
    @michaelpetershoo1885 Před měsícem

    Mzazi akishasema huyu ni ndugu yako wewe huwezi kupinga kisa kinachoaminika kikiwa mali.Binadamu tumekuwa wa ovyo kuweka mali mbele.

  • @AMINASAIDI-mx7rs
    @AMINASAIDI-mx7rs Před měsícem

    Roho mbaya tu .

  • @faridariziki8766
    @faridariziki8766 Před 3 lety +2

    Acha kumkataa ndug yako

  • @farhannahomary5505
    @farhannahomary5505 Před měsícem

    Tena yule ndio copy na g sura Pana nk

  • @user-pm7pj6zi6q
    @user-pm7pj6zi6q Před měsícem +1

    Anafanana na baba yako sana kuriko weww

  • @RazaqWatuta
    @RazaqWatuta Před měsícem

    Wewe mbona umebeba mimba alafu umempelekea nayeye kakusikiliza kwanini wewe ukatae kumbe wewe sio mzima mjinga kabisa

  • @minjaminjaukovizurdogo5187

    Yan wwe mtto unalaana , hiv kama ni wwe unakanwa hivyo utajiskiaje. Roho mbaya umedekezwa sana ndiyo maana huna adabu, yan bila aibu unaongea eti unaikataa damu hadharani duu we kwel kiboko

  • @SalimMndeme
    @SalimMndeme Před 15 dny

    Emb gunduwa faida yandugu yako kabla ujachelewa

  • @leonidamatungwa5328
    @leonidamatungwa5328 Před 3 lety

    Acha ujinga

  • @giftikaini9737
    @giftikaini9737 Před 3 lety

    mpuuzi shenzi wewe awakataagi ndugu na ulivo mpuuz ungeuliza kwa Mzee wako akwambie ukweli unaonekana tamaa za mali zmektawala sana!!!!

  • @beatricetenywa4367
    @beatricetenywa4367 Před 3 lety +6

    Sasa ni Tabia gani hiyo,inaonesha amedekezwa mno..ndo maana majibu haya..mbona mwenzie alielezea vizur bila kuonesha kumdis🤣

  • @HusnaMuhammed-yx8nl
    @HusnaMuhammed-yx8nl Před měsícem

    Acha roho mbaya wewe hujui kesho yako

  • @masudinangololo3672
    @masudinangololo3672 Před 3 lety

    😁

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x Před měsícem

    Hamnaga mtu hapo. Inamaana matanga yameisha

  • @sareheabedi5464
    @sareheabedi5464 Před 3 lety +2

    Wew yule ni ngugu yako tu hata ukatae baba ndio kaisha sema

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x Před měsícem

    Na watoto wa mamako mwanza vipi

  • @hawaynatimam982
    @hawaynatimam982 Před 3 lety

    Mpuuzi tuu, unakataa damu yako Kwasababu ya vimali tuu, ikitokea umekufa weye kwanza itakuwaje

  • @asiahmhina9850
    @asiahmhina9850 Před 3 lety

    Una umimi wewe, khaaa