CLOUDSMEDIA
CLOUDSMEDIA
  • 16 717
  • 174 209 161

Video

JAHAZI: NANI MKALI WA FLOW JOH MAKINI VS STAMINA | YANGA KUCHEZA FAINALI NI JITIHADA ZA NANI ?
zhlédnutí 3,7KPřed 19 hodinami
JAHAZI: NANI MKALI WA FLOW JOH MAKINI VS STAMINA | YANGA KUCHEZA FAINALI NI JITIHADA ZA NANI ?
NYANDU TOZI: DIAMOND,JOH MAKINI TUTAVUNJIANA HESHIMA, KAKOSA UMAKINI, UJIO WA B.O.B MICHARAZO
zhlédnutí 3,9KPřed 19 hodinami
NYANDU TOZI AFUNGUKA KUMDISS JOH MAKINI, MCHONGO NA DIAMOND KUFELI, B.O.B MICHARAZO
Francis Ndulane: Serikali Iwalete Wawekezaji Aina ya Ruge Mutahaba I Aliwekeza Sana Kwenye Muziki
zhlédnutí 187Před 19 hodinami
“Katika siku zilizopita tulikuwa na ndugu yetu hayati Ruge Mutahaba, aliwekeza sana kwenye Sanaa ya muziki na alikuwa na taasisi ilikuwa inaitwa THT, hii taasisi ilikuza vipaji vya wasanii wetu wa muziki lakini hivi karibuni nimeona tasinia ya muziki imeshuka.” Mhe. Francis Ndulane Mbunge wa Kilwa Kaskazini siku ya jana alichangia mchango wake Bungeni Jijini Dodoma kwenye bajeti ya Wizara ya Ut...
Eng. Hersi: Apongeza Bajeti ya Michezo I Vifaa Vitashuka Sana Yanga I Aziz Ki Atabaki..? I Hatuachi
zhlédnutí 341Před 21 hodinou
#CloudsDigital tumekuwekea mahojiano na Rais wa klabu ya Yanga Eng. Hersi
KANISA HALISI LA MUNGU BABA WATOA MISAADA NA KUFANYA USAFI KWENYE HOSPITAL YA RUFAA MWANANYAMALA
zhlédnutí 161Před 21 hodinou
KANISA HALISI LA MUNGU BABA WATOA MISAADA NA KUFANYA USAFI KWENYE HOSPITAL YA RUFAA MWANANYAMALA
BEKA: HARMONIZE ALIKAA NA MKE WANGU WIKI , JAY MELODY NILIMKATLIA KOLABO, RAYVANNY, MOCCO, WAMEIGA
zhlédnutí 17KPřed 21 hodinou
BEKA: HARMONIZE ALIKAA NA MKE WANGU WIKI , JAY MELODY NILIMKATLIA KOLABO, RAYVANNY, MOCCO, WAMEIGA
WAFANYAKAZI SANITAS HOSPITAL WAFUNGIWA NJE NA ASKARI
zhlédnutí 1,3KPřed 21 hodinou
Wafanyakazi wa Hospitali ya SANITAS iliyo ndani ya jengo la Baraka Plaza Mikocheni wameondolewa ndani ya jengo hilo na askari wa kampuni ya ulinzi ambalo kwa sasa limezungushiwa uzio na kutoruhusu mtu yeyote kuingia ndani, kama anavyoripoti James Tupatupa ambaye amezungumza na baadhi yao
Maadhimisho ya Miaka 61 ya Umoja wa Africa | Bara la Africa Kuwa Nchi moja
zhlédnutí 185Před 21 hodinou
Maadhimisho ya Miaka 61 ya Umoja wa Africa | Bara la Africa Kuwa Nchi moja
JAHAZI: ADAM ASIMULIA WALIVYOTAKA KUMRUDISHA TANZANIA KISA POMBE | WASHAURI WANASHAURIWA NA NANI.
zhlédnutí 3,1KPřed dnem
JAHAZI: ADAM ASIMULIA WALIVYOTAKA KUMRUDISHA TANZANIA KISA POMBE | WASHAURI WANASHAURIWA NA NANI.
Bashe: Tuchuke Takwimu kwa 360 I Bashe Amjibu Luhaga Mpina I Zungu Amtuliza I Tanzania Kuweka Rekodi
zhlédnutí 277Před dnem
Bashe: Tuchuke Takwimu kwa 360 I Bashe Amjibu Luhaga Mpina I Zungu Amtuliza I Tanzania Kuweka Rekodi
JOL MASTER: LAMATA, KAZINGUA SANA, KATOA MILION.., DULLVAN, HAKUNA MCHEKESHAJI, NILIMKOSEA NINI ?
zhlédnutí 1,6KPřed dnem
JOL MASTER: LAMATA, KAZINGUA SANA, KATOA MILION.., DULLVAN, HAKUNA MCHEKESHAJI, NILIMKOSEA NINI ?
Mwigulu Afoka Maafisa TRA I Mkikusanya Fedha Zipelekewe SerikaIini I Huyu ni Mwizi Kama Wezi Weninge
zhlédnutí 366Před dnem
Mwigulu Afoka Maafisa TRA I Mkikusanya Fedha Zipelekewe SerikaIini I Huyu ni Mwizi Kama Wezi Weninge
THE SPARK WITH MIRROR AFUNGUKA BAADA YA KUPATA AJALI, NILIKUWA NAIMBA HOSPITALI
zhlédnutí 156Před dnem
THE SPARK WITH MIRROR AFUNGUKA BAADA YA KUPATA AJALI, NILIKUWA NAIMBA HOSPITALI
THE SPARK WITH T BWAY: NATAFUTWA NA MEDIAS NYINGINE, WAMEANZA KUNIHESHIMU MIAKA MITATU NYUMA
zhlédnutí 535Před dnem
THE SPARK WITH T BWAY: NATAFUTWA NA MEDIAS NYINGINE, WAMEANZA KUNIHESHIMU MIAKA MITATU NYUMA
JAHAZI: SIKU KAMA YA LEO MV BUKOBA ILIZAMA | UNAELEWA NINI KUHUSU AI | WABONGO TUNAFELI WAPI ? .
zhlédnutí 268Před dnem
JAHAZI: SIKU KAMA YA LEO MV BUKOBA ILIZAMA | UNAELEWA NINI KUHUSU AI | WABONGO TUNAFELI WAPI ? .
HABARI NJEMA KWA WOTE WALIO NA NDOTO YA KUJENGA, MAMBO RAHISI
zhlédnutí 135Před dnem
HABARI NJEMA KWA WOTE WALIO NA NDOTO YA KUJENGA, MAMBO RAHISI
VIDEO: MBWEMBWE ZA MFALME ZUMARIDI, AONDOKA NA KIJIJI CHAKE MALKIA WA NGUVU KANDA YA ZIWA 2024
zhlédnutí 2,9KPřed dnem
VIDEO: MBWEMBWE ZA MFALME ZUMARIDI, AONDOKA NA KIJIJI CHAKE MALKIA WA NGUVU KANDA YA ZIWA 2024
JAHAZI : MADALALI KUCHUKUA KODI YA MWEZI MZIMA NI SAWA | VITA VYA SOCIAL MEDIA | MATUMIZI YA TIKTOK
zhlédnutí 2,4KPřed dnem
JAHAZI : MADALALI KUCHUKUA KODI YA MWEZI MZIMA NI SAWA | VITA VYA SOCIAL MEDIA | MATUMIZI YA TIKTOK
FULL VIDEO: DAYOO ALIVYOOGA MVUA YA NOTI ZA KUMI KUMI KUTOK KWA MALKIA WA NGUVU KANDA YA ZIWA 2024
zhlédnutí 982Před dnem
FULL VIDEO: DAYOO ALIVYOOGA MVUA YA NOTI ZA KUMI KUMI KUTOK KWA MALKIA WA NGUVU KANDA YA ZIWA 2024
VIDEO: PHINA ALIVYOVURUGA NYONGA ZA MA MALKIA WA NGUVU KANDA YA ZIWA 2024 (MWANZA)
zhlédnutí 1,8KPřed dnem
VIDEO: PHINA ALIVYOVURUGA NYONGA ZA MA MALKIA WA NGUVU KANDA YA ZIWA 2024 (MWANZA)
MWIJAKU ALIVYOVUNJA MBAVU ZA WAZIRI MKUU NA MALKIA WA NGUVU KANDA YA ZIWA 2024
zhlédnutí 16KPřed dnem
MWIJAKU ALIVYOVUNJA MBAVU ZA WAZIRI MKUU NA MALKIA WA NGUVU KANDA YA ZIWA 2024
Mpina Atema Cheche I Vijana wa JKT Wapewe Kipaumbele I Amfagilia Mwigulu Nchemba 🤭🤭
zhlédnutí 694Před dnem
Mpina Atema Cheche I Vijana wa JKT Wapewe Kipaumbele I Amfagilia Mwigulu Nchemba 🤭🤭
MH WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ALIVYOKAGUA MABANDA YA BIASHARA YA MALKIA WA NGUVU KANDA YA ZIWA
zhlédnutí 64Před dnem
MH WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ALIVYOKAGUA MABANDA YA BIASHARA YA MALKIA WA NGUVU KANDA YA ZIWA
FULL SHOW: KILELE CHA MALKIA WA NGUVU KANDA YA ZIWA 2024 MWANZA
zhlédnutí 336Před dnem
FULL SHOW: KILELE CHA MALKIA WA NGUVU KANDA YA ZIWA 2024 MWANZA
MALKIA WA NGUVU MLIKI WA SHULE ZA GEAITA ADVENTIST, ALIANZA KAMA WALIMU WA MWANAFUNZI MMOJA
zhlédnutí 139Před dnem
MALKIA WA NGUVU MLIKI WA SHULE ZA GEAITA ADVENTIST, ALIANZA KAMA WALIMU WA MWANAFUNZI MMOJA
MALKIA WA NGUVU ALIAMUA KUTETEA HAKI ZA DADA WA KAZI (HOUSE GIRLS), ALIYEWAHI KUNYANYASWA
zhlédnutí 87Před dnem
MALKIA WA NGUVU ALIAMUA KUTETEA HAKI ZA DADA WA KAZI (HOUSE GIRLS), ALIYEWAHI KUNYANYASWA
MALIKIA WA NGUVU KANDA YA ZIWA ALIYEJITUPA KWENYE HUDUMA ZA KIJAMII BAADA YA SHULE
zhlédnutí 62Před dnem
MALIKIA WA NGUVU KANDA YA ZIWA ALIYEJITUPA KWENYE HUDUMA ZA KIJAMII BAADA YA SHULE
MALKIA WA NGUVU ALIYECHIMBIA KWENYE KUCHIMBAJI WA MADINI | ANAZIOKOTA TU DHAHABU
zhlédnutí 95Před dnem
MALKIA WA NGUVU ALIYECHIMBIA KWENYE KUCHIMBAJI WA MADINI | ANAZIOKOTA TU DHAHABU
HUYU NDIO MALKIA WA NGUVU ANAEUZA DHAHABU NYEUPE, AELEZA MCHAKO MZIMA
zhlédnutí 338Před dnem
HUYU NDIO MALKIA WA NGUVU ANAEUZA DHAHABU NYEUPE, AELEZA MCHAKO MZIMA

Komentáře

  • @user-vh9he5mz1u
    @user-vh9he5mz1u Před 27 minutami

    Ukipata mapambano ya njee nenda apa bongo wanataka kukushusha wanakuchafua champez mashabiki tupo na wewe

  • @BenjaSamson
    @BenjaSamson Před 41 minutou

    Yan rayvan atajinyo ga pau anapendwa mtoto anadeka katulia fayvani mwezako yupo nawewe kutwa jukwaani had kumtaja dada pau ataumwa mario 🎉🎉🎉🎉 anampenda dada pau

  • @abdallahalwardi588
    @abdallahalwardi588 Před 5 hodinami

    ❤❤ WEWE UNA TALENT ❤ KWELI ULIMWENGUNI HAKUNA PARADISO ❤

  • @user-hd8kc3st9j
    @user-hd8kc3st9j Před 7 hodinami

    Kijielezea badooo mama

  • @Isack-sx8lj
    @Isack-sx8lj Před 7 hodinami

    Mwakinyo yupo Makini Sana na anachokifanya kupata stahiki zake

  • @Isack-sx8lj
    @Isack-sx8lj Před 7 hodinami

    Alikuwa analilia kuputa stahiki zake kwani anabuya gani,?

  • @Isack-sx8lj
    @Isack-sx8lj Před 7 hodinami

    Mwakinyo Hana baya jmn

  • @Isack-sx8lj
    @Isack-sx8lj Před 7 hodinami

    Huyo mghana ni bondia wa kawaida Sana Hassan mwakinyo angemchakaza vbaya huyo mghana

  • @user-go3ye8no8n
    @user-go3ye8no8n Před 8 hodinami

    Gandylife was here

  • @mohdmakame5090
    @mohdmakame5090 Před 8 hodinami

    Stamina mimi na kukubali sana

  • @kelvin_ruweta
    @kelvin_ruweta Před 9 hodinami

    Nyie jamaa mkaamua mtumie zaidi ya DAKIKA 20 kati 39 kwenye interview kuweka matangazo. Tena sio matangazo tofauti tofauti bali ni yale yale. Do better Clouds, do better this is simply embarrassing.

  • @user-ui1qs9yl1n
    @user-ui1qs9yl1n Před 10 hodinami

    NAMPENDA SANA HUYU MTOTO ANAONGEA KWA KUJIAMINI

  • @user-hl8oo1ih5s
    @user-hl8oo1ih5s Před dnem

    Kichwa cha habari na habari yenyewe tofauti. Mnatia aibu duuhhh

  • @waziriwaziri115
    @waziriwaziri115 Před dnem

    Hukumu ya haji haijaanza kabisa siku yoyote akinyamaza ndiyo inaanza kutumika miaka miwili

  • @waziriwaziri115
    @waziriwaziri115 Před dnem

    Huyo dada anakela sana yeye anasema hajui Nini Sasa unauliuliza kaa kimya

  • @GeorgeDamas-tn5ph
    @GeorgeDamas-tn5ph Před dnem

    Chid kama sio kulogwa ww itakua una laana ndugu yangu mara umeshikwa na madawa ya kulevya,mara bangi daaaa!!!

  • @nantaembanusurupia5674

    Namkumbuka pale mtongani aliajili mpaka watu wa kumsaidia kutengeneza mawigi mpaka wigi la yeboyebo❤

  • @abdallahalwardi588

    😂😂 Mmh! BODABODA MUONGO 😂

  • @abdallahalwardi588

    😊😊 HAWAACHI KWA BAHATI SANA 😊

  • @khaliduhadi2336
    @khaliduhadi2336 Před dnem

    Aisee hadi nimelia kabisa

  • @AllyZege
    @AllyZege Před dnem

    Daaaa

  • @kibetkatepi5876
    @kibetkatepi5876 Před dnem

    i lov this dad

  • @selemanisalum7685
    @selemanisalum7685 Před dnem

    Viongozi wa serikali wanamjuwa huyo wanasubili kipindi cha uchaguzi ndio bay bay huyo msomali hatumtaki anachuki za sio za kitanzania wenyewe tunasameheana

  • @joycelaura4611
    @joycelaura4611 Před dnem

    watu wa hivi wana akili sana akili zilizidi wala sio kulogwa

  • @ImanuelMollel-zb7pk

    Leo nimefurai kuskia mwija ayupo tena kwenye kipindi Cha Leo tena kiufupi nawapongeza kwaufagio mliotumia sjui niwachuma ila nimefurai sana jamaa anakera nyie

  • @MshindiiGodfrey
    @MshindiiGodfrey Před dnem

    Doh rest in peace jessy 😭😭

  • @FatumaSaidi-ht3vr
    @FatumaSaidi-ht3vr Před dnem

    IVI dada Ile inshu ya walimu kupanda daladala bure mda wa kazi bado inaendelea au?

  • @adanmahad7929
    @adanmahad7929 Před dnem

    That lady is perfect.mkukima hawezi process hizo liseni kwa wakati

  • @WilliamMasunga-ts2nr

    Poa tu

  • @HappyElia-bh6bi
    @HappyElia-bh6bi Před dnem

    Nawapenda san ❤❤❤

  • @user-og4wh1xr2c
    @user-og4wh1xr2c Před dnem

    Si we uliomwachisha kajala shule akiwa form two..mbona wazazi wako hawakukulaani...para ndezi

  • @OmaryKagwiza
    @OmaryKagwiza Před dnem

    Clouds 🙏✅

  • @allykota8355
    @allykota8355 Před dnem

    Yani Juma kapona kweli uchawi upo yani Juma leo kaongea vizuri sana

  • @mrnjavikegmailcom
    @mrnjavikegmailcom Před 2 dny

    Huyo mbunge alikaa kama bundi 😅

  • @joxxjonka
    @joxxjonka Před 2 dny

    Nas kwenye show live ile kinyama ...joxx from nairobi kenya🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🎵🔥🇹🇿💯💯💯💯💯

  • @ThomasJulius-rj8rq
    @ThomasJulius-rj8rq Před 2 dny

    Fara wew karia

  • @verinusvenance7079
    @verinusvenance7079 Před 2 dny

    mimi mala ya mwisho kulia muda mlefu nimekuja kuria tena baada yakuona hii big up clouz

  • @verinusvenance7079
    @verinusvenance7079 Před 2 dny

    it pain for really 😭

  • @musaamos2431
    @musaamos2431 Před 2 dny

    Yaani sichoki kusikiliza

  • @musaamos2431
    @musaamos2431 Před 2 dny

    Story nzuri sana

  • @JohnMilulu
    @JohnMilulu Před 2 dny

    Hakuna anaeweza kubisha hilo, Marekani ANAITEGEMEA israel na sio israel KUITEGEMEA marekani. Imeshashinda vita nyingi hata kabla ya marekani haijawa superpower. HILO NI TAIFA LA MUNGU

  • @upepobeka6877
    @upepobeka6877 Před 2 dny

    Nikiona hivi na jinsi umli wngu huu wa miaka 50 na simjui mamaangu ninalia sana.lkn sina la kufanya nabaki kushukuru Mungu tu

  • @salomeshongola1697
    @salomeshongola1697 Před 2 dny

    Waliofanya tukio hilo akili zao zitakuwa sio sawa.wataanza kuweweseka kila wakiaa wataona kuna watu wanawafatilia.hiyo ni laana kizazi mpaka kizazi.mpaka wakaivunje.

  • @gloryatv1779
    @gloryatv1779 Před 3 dny

    Likes za king Kiba zikusanyeni hapa

  • @gloryatv1779
    @gloryatv1779 Před 3 dny

    The most beautiful song ❤

  • @EdinnaKaizer
    @EdinnaKaizer Před 3 dny

    Vizur sana upo makn sana ongeren sana jamn.mwombeen huyu mbunge wenu

  • @user-zk9ox3di4b
    @user-zk9ox3di4b Před 3 dny

    je serekali ya Samia tunataka wakulima wadogo woooteee kila kaya wapewe mashamba wajiajiri kuliko kuajiriwa na waarabu na wazungu na wachina wapewe miradi ya mikataba ya mda mfupi mchunge mashamba yetu sisi wazawa atuawaelewa wanyonge tupewe haki zetu zote watanganyika wote wenu ni simba sauti ya wanyonge tupewe haki zetu namba ya nida mkisema mumekalia atupewi vitambulisho vya taifa vitolewe pomoja na kadi za kura wenu ni. Simba sauti ya wanyonge tupewe haki zetu zote watanganyika wote tuishi kwa amani naushirikiano watanganyika hoyeee

  • @tatusaid7793
    @tatusaid7793 Před 3 dny

    Unaweza sana yammi

  • @ados2305
    @ados2305 Před 3 dny

    We mapumbu nini? I live in uk and no one is talking about Hamo.

  • @user-ig2ol6oi9k
    @user-ig2ol6oi9k Před 3 dny

    Nadhani ni muhimu kuwaenzi na kuwaheshimu manguli kama mzee Steven John Hiza. Aliimba pia na Nguli maarufu mwenzake Soloist wa super volcano Mbarak Mwinshehe mwaruka.