Kumbe ni wengi wanao ishi na nyoka ,Yarabi Wewe ni tajiri wa kila kitu,ulivyo niumba kila kitu wakiweza,naomba unipe riziki iliyo ya haki,itokanayo na kazi ya mikono na uzima na afya unaonijalia,na kizazi kitokanacho na tumbo langu kiepushe na haya yote,wewe ulietuumba unauwezo wa kila kitu,Nakupenda sana Mungu
Jamani huo sio utajiri ila ni mateso. Yesu yupo jamani, njoo kwake atakuweka huru. Mwisho wa hayo yote ni kuangamia. Bora uwe mikononi mwa YESU KRISTO, mche Mungu then fanya kazi kwa bidii. Baraka za Mungu hazina majuto.
Eeeeh MUNGU turehemu sisi watoto wako hatujui tulitendalo🙏😭, mama huyu hata ufahamu wake ushatekwa kwa akili ya kawaida huwez sema et nataka niendelee kuishi maisha haya haya
Tamaa ndio chanzo Mama sio kuzaliwa maskini unaokupa ukatili huo wa kufanya ushetani tamaa hukupa ujasili mwingi. Na wengi huamuwa kuuwa ujambazi nk kisa tamaa
Allah tupe Stara ya Duniani na Akhera🤲Dah!Sio lazima uwe Tajiri kwa kufuga Nyoka?Sasa Maisha gani ya Mtihani?kwan ni lazima tuwe matajiri kwa kufuga nyoka?kesho
Tamaa mbaya ndio maana dini yetu ya kiislam inasema kama unataka uishi bila wasi wasi mwangalie wa chini sio wa juu utakufuru ndio kinachowakuta watu kama huyu mama...Sasa kiko wapi unataka kuwafurahisha binadamu badala umfurahishe mungu...Hope umeshajifunza
ndio utajiri wa hivyo upo ila hii story imetengenezwa af interviewer mwenyewe yuko hapo bahati mbaya hajui namna ya kupangilia maswali story ndefu ila hamna cha maana
Acheni ku brand u free Mason tumche mungu hela hizo hazina maana huwezi kusaidia mtu wala sadaka yake haikubaliki. Na kuna siku ya hukumu tuta mjibu nini Allah. Mali ni vitu vya dunia.
Kesho kwa Allah mtajibu mashitaka, Sasa ni Life gani ya Utumwa?Hawa sasa wanajielezea kama wamefanyiwa Alal badir ya Mbayana,wakaa na nyoka wote wanajieleza kama vichaa
Tatizo lenyewe ??nikwamba mnatoa kafara za watoto wazenu na wamajirani mna waua mna chinja ili kutoa kafara za nyoka zenu hâta wazazi wenu mna toa kafara ili mpate utajiri washetani nakuabudu shetani hapa duniani tunapita lakini mambo Yako huko Siku yakiama mbele yamungu
Mbona hii Chanel jamny imekuwa inapenda Kiki maana munazingua kila siku story anarudia pale pale hakuna cha Zaid. Awe pole tyu. Umaskini sio kilemaaa n fungu la riziki Lina mda maalum. Jitahidini muwe munanyoosha maelezo maana mara alikuwa akiweka kwenye ndoo ss video hii alikuwa n briefcase 😂😂😂munatuchanganyaaa
Huyu mwanamke ni mwongo! Freemasoni hawatoi utajiri wa nyoka, freemason ni chama kikubwa duniani na nguvu yake sio yakitoto namna hio! Utajiri wa nyoka utatolewa kuzimu!
😂😂😂😂,hivi kwanini mnatengeneza story za uongo?huuu ni uongo wa wazi mnahadaa watu wasio na upeo na fikra, hivi hamuoni aibu kudanya watu? Media za hovyo kabisa, mnapotosha watu ili. Waamini ushirikina?wakapate pesa kwa nyoka?pesa ni kufanya kazi wajinga ninyi Serikali ipo kweli?mnafaa kuchukuliwa hatua kwa kupotosha watu mbwa ninyi

😂😂😂😂😂😂
Na hilo joka labda ni jini
@@trophywilson7211hivi una amini story hizi nizauongo 😂😂😂
Uo ni mtihani tuu
Yarabi atunusuru jamani tuwe watu wema mbele yako kama utajiri upatwa hivi wacha nikuitaji kila Mara yarabi alah amiin
Jamani huo sio utajiri ila ni mateso. Yesu yupo jamani, njoo kwake atakuweka huru. Mwisho wa hayo yote ni kuangamia. Bora uwe mikononi mwa YESU KRISTO, mche Mungu then fanya kazi kwa bidii. Baraka za Mungu hazina majuto.
Eeeeh MUNGU turehemu sisi watoto wako hatujui tulitendalo🙏😭, mama huyu hata ufahamu wake ushatekwa kwa akili ya kawaida huwez sema et nataka niendelee kuishi maisha haya haya
Mungu atusaidie jamn huo ni ushetan kukaa na joka dah
Yesu wangu waepushe hawa watu
Tamaa ndio chanzo Mama sio kuzaliwa maskini unaokupa ukatili huo wa kufanya ushetani tamaa hukupa ujasili mwingi. Na wengi huamuwa kuuwa ujambazi nk kisa tamaa
Lakini Watu wengi wanahusudu Majini
Sasa uyo dada ana umaharufugani yeye na yesu nani maharufu acheujinga nyoka nishetani anaishi na shatani kama hajui
Shambani fuluu ututajili kwa nchiyetuyaTANZANI
Hakunagauchawihukowalamashaliti.
Allah tupe Stara ya Duniani na Akhera🤲Dah!Sio lazima uwe Tajiri kwa kufuga Nyoka?Sasa Maisha gani ya Mtihani?kwan ni lazima tuwe matajiri kwa kufuga nyoka?kesho
Jesus is caming soon
Duh kumbe wapo wengi eeh??
Sio umaskini ni IMANI DHAIFU
Umaskini sio ugonjwa jameni Bora ugonjwa ipite mbali Mungu wangu nashkru sana kwa kunifanya nikanyage nyayo zako
Dada yote.ni mateso njoo kwa Mungu
Jaman kubali haliyako tuache tamaa
Sasa masherti hayo umetajilika bila kusaidia jamaa Yako niutajiri gani? Pole sana Mungu akuwezeshe
Hii channel ya mganga nyoka
He kumbe wengi wenye Mali wanaishi na nyoka did jamani Mungu turehemu isee so sad
Nyoka sasa ilichukuliwa jee na wenyewe?na mtoto wako Ako wapi?na familia wapo salama wote na watoto wako wote wapo salama
Jamani mama asani kanenepq atari mashallaah
😂😂😂😂😂😂😂Mfanyabiashara na mtu anayelala chini ya kofia
😂😂😂😂😂 yani jamani mko wengi kwery dy
Maswali mengee Sana brother
We mam upumbavu nani akupe utaji bure utaponza
Y'a Allah bora nifishe maskini kuliko kunipa utajiri wa shirki kama hizi
Innalillah wa inna ilayhi rajiun
Subhanallah
Duuuh iyi dunia ina siri kubwa ya Allah ongoza waja wako Aamiin. Iyi tena duuuh kali
Ndege ndege
Tamaa mbaya ndio maana dini yetu ya kiislam inasema kama unataka uishi bila wasi wasi mwangalie wa chini sio wa juu utakufuru ndio kinachowakuta watu kama huyu mama...Sasa kiko wapi unataka kuwafurahisha binadamu badala umfurahishe mungu...Hope umeshajifunza
Je, hizo mali alizokuwa nazo zinaendelea kumsaidia au ipoje hiyo?
Nani anamjua huyu mama jamani
Subuhanallah mtihani kweli ndo Pana faida gani tena jamani
nyinyi n wapuuz mtakufa vibaya ety unachukia umaskini innalillah wainaileh rajiun 😢😢
Mama Hasani.
😂😂
Da kweli ngoj namim niend nikachukue mazingir hay
😭😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏
Sasa ivi kula mwanamke Anajitia Anaishi na nyoka bibi mzee sula kama babuni😂
Meacham ne ni ibuokwasa babuibinafaida ukuzumiliya umasikini dipomungu anakubariki
Hiyo ni sawa nakumsadiki shetani. Tuacheni mambo hayo. Jamani
Subuhannallah
Hee mshakosa kazi za kufanya kila siku nyoka na mim namiliki chura
Kumbe ni ya kweli haya mauzauza mmmh, Allah nishibishe na iki napata 😢😢
mmh! bora ugar dagaa kwenye aman..
ndio utajiri wa hivyo upo ila hii story imetengenezwa af interviewer mwenyewe yuko hapo bahati mbaya hajui namna ya kupangilia maswali story ndefu ila hamna cha maana
Jamani Jamani Jamani. Sasa nitanza kuwaangalia Kwa jicho pembeni nikiwakuta Dada Zangu wamepaki magari kwenye hoteli nzuri.
Jichanyeni mtapeliwe 😂
Mimi nirifikiri unazo Mari hizo
mpaka Sasa
Dada ameongeza mpaka mwili walisikika yaarabi
Dah kumbe wengi wanaishi na nyoka ili wapate pesa hizi tamaa mbaya sana
Mungu awalaani
ndo mm husema usione mtu tajiri ukadhani inatoka kwa Mungu sio wote wa Mungu
Acheni ku brand u free Mason tumche mungu hela hizo hazina maana huwezi kusaidia mtu wala sadaka yake haikubaliki. Na kuna siku ya hukumu tuta mjibu nini Allah. Mali ni vitu vya dunia.
😂😂 Awa hawana pesa pomo tu za utapeli anaeweza kupata pesa za ndagu hawezi kujitangaza kuweni sasaivi kunamichezo mingi ya utaftaji
@@jumapiliissa4835hizi media za hovyo hupotosha watu, wana wanatengeneza story za uongo
Jesus christ
Nduniani mambo ni mengi masaa ndio machache 😢😢
Pole kwa majukumu Yako
😢😢
Kesho kwa Allah mtajibu mashitaka, Sasa ni Life gani ya Utumwa?Hawa sasa wanajielezea kama wamefanyiwa Alal badir ya Mbayana,wakaa na nyoka wote wanajieleza kama vichaa
Na Muhamadi aliyemsilimisha Shetani na Majini ndiye atajibu wa kwanza
Huyu mama hata hafanani na utajiri, Mmesahau kumfanyia shopping kwanza ya mavazi kabla ya interview ili story ifanane nae 🤗🤗🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂Kuna wengine wamefunikwa hawaoni hilo pesa hata ukipoteza lugha Yake ipo mtu anabaki n vidalili
Alajuela awana aibu kusema
Anakula nini 😢
Huyo basi ni kinyonga😅😅😅 makubwa jamani munajua kujitrndisha
Anakula nini
Na hasara kubwa ipo kwawatu wenye kufanya kitu unajuwa ni kosa kwa mola wako
Fana awuzubillah minazalika
Ehh mwingine tena wa 3
Mtangazaji unaongea sana kushinda yule unalfanyie interview punguza
Anauliza maswali yale yale, mjinga huyu!
Je inakuaje ukisafiri
Nyinyi waongo hayo mnayo sema ni ushirikina
Allah ananguvu zaid nayeye ndio mwenyekupeana namwenye kunyanganya
Na Mpaka upitie kwa Yesu KRISTO
😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏
Kulala na ngoja una maana gani,
Nahitaji namba yake dada na mm aniunge
Timu hamamu tuendelee kusungua hamamu tupate oesa halali
Ulikuwa unalala naye vp heb nyoosh vzr
😂😂😂
mama hasani wewe na huyo jamaa niwaongo mnatafuta kiki
Kumbe nawe umeona
Yajayo yanafurahisha
Chatu Huyo 😢
Sasa kama kichwa hukioni unaml8sha vipi
Alijitoa ki vipi?
Umasikini uwo mnao nyie tuu sio umasikini majiendekeza tuu
Tuereze kwa Sasa wazazi wako wanakuchukuriaje tuambia,
Fanya kazi nenda gulf uone kama utakua maskini mjinga ww uko nakila kitu mwili wako
Nawapata wapi!!! Namm nitajirike
hahaha umesikia hautajiriki haraka
Tatizo lenyewe ??nikwamba mnatoa kafara za watoto wazenu na wamajirani mna waua mna chinja ili kutoa kafara za nyoka zenu hâta wazazi wenu mna toa kafara ili mpate utajiri washetani nakuabudu shetani hapa duniani tunapita lakini mambo Yako huko Siku yakiama mbele yamungu
Hakai tajiri ata
Je unaerewana na wazazi wako mbona husemi habari za wazazi wako,
Ivi watu mnaaamini hizi story za nyoka? Ni mchongo wa mganga huu
Usitamani mali ya mtu mwingine
Watengeneza content hawa hamn lolote wew unazan mtu anaye miliki nyoka anaweza kujitangaza?
Mbona hii Chanel jamny imekuwa inapenda Kiki maana munazingua kila siku story anarudia pale pale hakuna cha Zaid. Awe pole tyu. Umaskini sio kilemaaa n fungu la riziki Lina mda maalum. Jitahidini muwe munanyoosha maelezo maana mara alikuwa akiweka kwenye ndoo ss video hii alikuwa n briefcase 😂😂😂munatuchanganyaaa
Hiro joka urikuwa uripa chakura aina gan
watoto wachanga
😂😂😂😂😂😂😂karanga
Je ririkuwa rinakunya mavi aina gani
😂😂😂😂😂😂😂 jamani 😅😅😅😅
Dah kweli uhuru umezid😂😂😂
😂😂😂Atari
😅😅😅😅😅nmekoma hp
Ss uyo asan yapo wapi
Huyu mwanamke ni mwongo! Freemasoni hawatoi utajiri wa nyoka, freemason ni chama kikubwa duniani na nguvu yake sio yakitoto namna hio! Utajiri wa nyoka utatolewa kuzimu!
Ila amesema kuwa nyoka akupewa na frimason
We nae hujasikiliza story unakurupuka
Uchawi wowote ni freemason
Ukitaka kuijua freemason vizuri mfatilie Gwajima alipowaelezea mwanzo mwisho,toka ilipoanza ni akina nani wanafanyaje kazi
mmh hata akina Putini wanasema wamefuga majoka na Akina Chris wa Nigeria