Coastal Union 2-0 Singida Fountain Gate | Highlights | NBC Premier League 10/05/2024

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 9. 05. 2024
  • Magoli mawili kutoka kwa Crispin Ngushi na Greyson Gwalala yamewapa Coastal Union ushindi wa 2-0 dhidi ya Singida Fountain gate, mchezo wa #NBCPremierLeague ukipigwa Mkwakwani Stadium, Tanga.
    Tazama highlights....
  • Sport

Komentáře • 9

  • @Masangora
    @Masangora Před 28 dny

    Yanga 0:43

  • @mkanyafamily
    @mkanyafamily Před 28 dny

    Mtangazaji upoa sana ongeza juhudi

  • @KudraMahene
    @KudraMahene Před 28 dny

    Mtangazaji jitafakari Sana na utangazaji wako Yani hujui kutangaza

  • @Achuzkix
    @Achuzkix Před 29 dny +1

    Wana tanga tujuane🙌

    • @gabrielagbonlahol6458
      @gabrielagbonlahol6458 Před 29 dny +1

      Mtangazaji mm sielewag kabisa haend na move kapoa sana mara zote huwez pata hata mzuka wa kucklza mpra

    • @allymwinyi970
      @allymwinyi970 Před 28 dny +1

      Tupo mwana kwetu.

    • @Achuzkix
      @Achuzkix Před 28 dny

      @@allymwinyi970 tuko pa1 mwanangu 🤝

  • @yusuphmussa5114
    @yusuphmussa5114 Před 29 dny +1

    Tupoooo

  • @AbdulwahidTariq
    @AbdulwahidTariq Před 28 dny

    Kwan nyie azam huyo mtangazaj c mpen kitengo cha redio 2..
    Yan tim pinzan ipo zoni ya 18 na inashambulia yeye anapiga story😢😢