Simba SC 1-5 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 05/11/2023

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 4. 11. 2023
  • Simba SC imepokea kichapo kizito cha mabao 5-1 kutoka kwa Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC #NBCPremierLeague kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
    Yanga walianza dakika ya 3 kwa goli la Kennedy Musonda kabla ya Simba kuchomoa dakika ya 9 kupitia kwa Kibu Denis.
    Kipindi cha pili Yanga ikashindilia kwa mabao ya Maxi Nzengeli aliyefunga mawili dakika ya 64 na 77, Stephane Aziz Ki dakika ya 73 na Pacome Zouzoua dakika ya 87 kwa mkwaju wa penati.
    Tazama highlights....
  • Sport

Komentáře • 661

  • @irenemakundi-og9xg
    @irenemakundi-og9xg Před 5 měsíci +246

    Kama na wewe unarudia kila siku kama mimi gonga like za kutosha

  • @magrethshishwa5481
    @magrethshishwa5481 Před 6 měsíci +109

    Tunaotizama tena leo hii mechi gonga like za kutosha tujuane hapa💚💛💚💛💚

  • @habibukilango7738
    @habibukilango7738 Před 4 měsíci +39

    Tunaotizama tena leo tar 5 January gonga like

  • @EvaJuakaliTV
    @EvaJuakaliTV Před 9 dny +4

    Kama Unatazama 2024 Gonga Like hapa ❤❤

  • @salummkumbe5694
    @salummkumbe5694 Před 4 měsíci +18

    Tunaorudia kutazama gonga like

  • @bushbabytz
    @bushbabytz Před 5 měsíci +13

    kwa tuliorudia kuangalia mara tano tano hapa mwaka 3055 gonga LIKE😂

  • @ManenoAbeli
    @ManenoAbeli Před měsícem +5

    Kama hii mechi ulifurahi weka like

  • @DoriceSephania
    @DoriceSephania Před 6 měsíci +8

    Diara umejua kumkand mgen rasmi 💚💚💚💚💚💚💛💛💛💛nakupenda bure diaraa

  • @bahatichikoko6362
    @bahatichikoko6362 Před 4 měsíci +7

    Nairudi hii mechi Leo tarehe 25|01|2024 tujuane hapa kwa like,Yani machungu ya tutofuzu afcon 16 taifa star Yanga inanipa amani

  • @apostleisaacnyika4669
    @apostleisaacnyika4669 Před 4 měsíci +6

    Kila Siku Hii Ni Mechi Mpya Kwangu....Naipenda Yanga Sports Club 🔰💛💚

  • @rahimuhabibu6388
    @rahimuhabibu6388 Před 5 měsíci +10

    Hii mech naiangalia Kila siku 3_1_2024

  • @user-ww9gd8pb7o
    @user-ww9gd8pb7o Před 6 měsíci +8

    Yanga mnafurahisha kweli, mnajua mnajua, mnajua tena. Hongera sana yanga na viongozi wenu wazuri

  • @kudramzee5769
    @kudramzee5769 Před měsícem +6

    Nikiwa na stress naangalia hili game

  • @nicodemasmasabo5412
    @nicodemasmasabo5412 Před 4 měsíci +6

    Ila sisi yanga hatuna huruma kwa kweli 😅😅😅😅😅😅😅yaan kila siku tunaiangalia hku tunacheka

  • @swaigift1694
    @swaigift1694 Před 5 měsíci +4

    Tunaoangalia 2024 tujuane apa kwa 👍

  • @user-um2ov6gm8j
    @user-um2ov6gm8j Před 4 měsíci +8

    Yan leo taree27 mwezi 1 naangalia mludio haya magoli yanavyo ingia mwili unasisi mka machozi yafuraa yanatoka kama mechi inachezwa saa6 hii

  • @mamahairat2223
    @mamahairat2223 Před 2 měsíci +5

    Nimerudia kuiangaria Leo tarehe 24/3/2024

  • @BizoMenya
    @BizoMenya Před 6 měsíci +6

    Tunaotizama mpka sasa hii mechi tujuane hapa kwa like

  • @Faustine_Charles
    @Faustine_Charles Před 3 měsíci +9

    Nashindwa kabisa kufanya kazi kila saa narudia mechi ya yanga na simba na mechi ya yanga na CR Bulzdad.
    kama kuna mtu anamfaham daktari wa saikolojia naomba msaada.

    • @vi3ayo1622
      @vi3ayo1622 Před 3 měsíci

      Nitafute haraka sana nikutibu huo ni ugonjwa😂😂😂

    • @halimahamis7370
      @halimahamis7370 Před 3 měsíci

      Uko sawa tu huna shida yoyote nipo mwenzako hapa kila usiku ndo kazi yangu😅

    • @galluskanenge4898
      @galluskanenge4898 Před 3 měsíci

      Acha kulakula kipolo😊

    • @Faustine_Charles
      @Faustine_Charles Před 3 měsíci

      @@galluskanenge4898 kabla ya hizi mechi nilikuwa nakula kipolo cha wali na maharagwe na sipati hili tatizo 🤦‍♂️

    • @galluskanenge4898
      @galluskanenge4898 Před 2 měsíci

      Ahaa ! Hauhitaji daktari wa saikolojia ,ila tafuta mechi mbili mlizowahi kufungwa na simba magoli mengi zaidi ya manne na meji za nje ambayo mlifungwa mpaka mkachelewa ndege yaani unapona kabisaa ,ukiona bado ,nitakuagizia njegere mabichi upike ule na wali utona shwari kabisa.

  • @user-ts4oj4eg5m
    @user-ts4oj4eg5m Před 5 měsíci +3

    Mpira wetuu unakua kwa kasi sana what a performance by young africa

  • @ochu1012
    @ochu1012 Před 2 měsíci +5

    06/03/2024 leo nimerudia😂

  • @AhazyStanley
    @AhazyStanley Před 27 dny +3

    Game zangu Bora Ambazo sichoki kuangalia
    Finał France 🇫🇷 vs Argentina 🇦🇷
    Simba vs Young Africans FT 1-5
    Club African vs Young Africans FT 0-1
    Young Africans vs CR Belouzidad
    FT 4-0
    Simba vs Young Africans FT 2-2 #Balama
    Greatest games of all time 🙌🏻💛💚

  • @roi2554
    @roi2554 Před 4 měsíci +4

    2024 still watching it😂😂😂

  • @HerenaReganga
    @HerenaReganga Před 4 měsíci +5

    💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛

  • @trice_yanga
    @trice_yanga Před 2 měsíci +4

    sema azizi ki anakuaga na mzuka😂halafu huyo mtangazaji amesemaje eti ohooho🙌🙌

  • @rukiyamohammed2945
    @rukiyamohammed2945 Před měsícem +2

    Hii ndo dar young Africans buana❤❤❤❤

  • @naomysalumu1858
    @naomysalumu1858 Před 3 měsíci +6

    Leo Tena tareh8 mwezi wapili 2024

  • @GodfreyKunambi
    @GodfreyKunambi Před 2 měsíci +5

    Nipo Live Tarh 2/4/2024

  • @jacklinendimbo4529
    @jacklinendimbo4529 Před měsícem +5

    Kabla ya tareh 20.. nmekuj kujitidhisha tenaaa Kun sehem tulikoseailibid tuwafunge7

  • @ManenoAbeli
    @ManenoAbeli Před měsícem +5

    Even me, YOUNG AFRICANS the CHAMPION 🏆🏅🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏅🏅🏅🏅🏅🏅🏅🏅🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏅🏅🏅🏅🏅🏅🏅🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏅🏅🏅 🏅🏅🏅🏅🏅🏅🏆🏆🏆 🏆🏆🏆🏆🏆🏆

  • @user-nt6fb2ky3t
    @user-nt6fb2ky3t Před 3 měsíci +4

    Hakuna mechi za yanga Sinto choka kuiangalia kama hii ya Simba na Ile ya CR belouizdad,,zinanipa Raha sana😊

  • @user-vr8fv5ic8v
    @user-vr8fv5ic8v Před 5 měsíci +3

    I love so much young african 3:16

  • @ValeeMitindo-od7fs
    @ValeeMitindo-od7fs Před 6 měsíci +7

    Mpaka hapa nadhani mshajua timu Bora ambayo CAF wanaizungumzia ni ipi...YANGA IMEMALIZA UTATA.....MPAKA MSEMEEEE....😂😂😂❤❤❤

  • @kulthumabdalla
    @kulthumabdalla Před 6 měsíci +5

    Leo tarehe 30/11/2023 naangalia kwa mara nyengine 💚💛

  • @JuniorShadrack-iw9ru
    @JuniorShadrack-iw9ru Před 17 dny +3

    Mi narudia leo saa 23:26 usku tareh 16 .05.2024

  • @ArnoldRwegasira-hp9gt
    @ArnoldRwegasira-hp9gt Před 6 měsíci +7

    Nimeirudia Tena leo😂😂

  • @YondoBishweko-si4uh
    @YondoBishweko-si4uh Před 5 měsíci +6

    Nilikua na mawazo yangu nimeangalia haya marudio nimefarijika😂😂

  • @jamesraphael9581
    @jamesraphael9581 Před 7 měsíci +8

    Nimeumia.sana kwa mtokeo sikutegemea ila Kuna maisha baada hii 😢😢

  • @moviekaa
    @moviekaa Před 2 měsíci +10

    Walikufa vibaya mbwa hawa 😂😂😂

    • @ashamkenga6072
      @ashamkenga6072 Před 2 měsíci +2

      😂😂😂yan mpka raha kurudia rudia haichoshi😂😂😂

    • @moviekaa
      @moviekaa Před 2 měsíci +1

      @@ashamkenga6072 Jeuri yote imekata 😂😂😂

  • @amanikasekwa7454
    @amanikasekwa7454 Před měsícem +2

    Yanga yangu nakupenda saana🎉🎉

  • @MjeruMani-df8lu
    @MjeruMani-df8lu Před 11 dny +4

    Leo ni tar 23 mwez wa 5 😂😂😂😂😂

  • @user-oh2ib9me5g
    @user-oh2ib9me5g Před 7 měsíci +8

    Leo mzize katulia

  • @sheysarahnjeno5207
    @sheysarahnjeno5207 Před 7 měsíci +6

    Yangaaaaa yangu....vivaaaaaaaaaaa.

  • @zeyanaalhabsi8636
    @zeyanaalhabsi8636 Před 6 měsíci +7

    5gggg hamtasahau wanssimba maisha yenu yoote.

  • @user-ui4bl2pb1g
    @user-ui4bl2pb1g Před 3 měsíci +2

    Yangu tamu bana❤❤❤❤

  • @user-ux3jj1er3e
    @user-ux3jj1er3e Před 3 měsíci +3

    Tunaotizama tena leo tar 5 february gonga like apo😂

  • @jacksonnyoni1978
    @jacksonnyoni1978 Před 6 měsíci +8

    Kila mda naiangalia ihi mechi mpaka laha 😂😂😂😂

  • @user-zf6wi8cp4u
    @user-zf6wi8cp4u Před 6 měsíci +5

    Hiki ni kipigo Cha mbwa Koko. pole yenu simba.

  • @habibukilango7738
    @habibukilango7738 Před 4 měsíci +8

    Leo tar 18 tujuane 😅

  • @senkondonyange5769
    @senkondonyange5769 Před 3 měsíci +5

    Kikosi cha gamond cha mauaji....hiki ndo kiliua simba...hiki ndo kiliua cr beliouzdad

  • @sylvesterthomas9341
    @sylvesterthomas9341 Před 6 měsíci +9

    Wangap wanarudia hapa

  • @Derrick-hf4di
    @Derrick-hf4di Před 5 měsíci +5

    Tunaongalia mwaka 2024 ❤

  • @mwanaidiomari2183
    @mwanaidiomari2183 Před 29 dny +2

    Tarehe4 may 2024 nipo apa gonga like kama tuko pamojaa😂

  • @dicksonmwenyembegu2523
    @dicksonmwenyembegu2523 Před 4 měsíci +5

    nikimaliza hii naenda kutafuta ile ya kingereza😅😅

  • @MUSK_HARMONY
    @MUSK_HARMONY Před 4 měsíci +3

    Hii video inanifurahisha nikiitazama .

  • @husnakumburu8853
    @husnakumburu8853 Před měsícem +5

    Haichoshi kuangalia hata mara miaaa😅😅😅😅

  • @edsonmgaya5795
    @edsonmgaya5795 Před 5 měsíci +5

    Wanao sema yanga siyo maneno nimepira kwer gonga like hapa

  • @MossesMria
    @MossesMria Před 5 měsíci +5

    narudia na leo tena😂😂

  • @safariJanvier-tx2lq
    @safariJanvier-tx2lq Před 7 měsíci +55

    Jamani yanga mtaniuwa naraha mimi ni chabikiwayanga Africa kutoka Congo bukavu

  • @vi3ayo1622
    @vi3ayo1622 Před 3 měsíci +6

    Leo trh 18 niko apa kitakacho nitenganisha mim na kuangalia hii mechi ni kifo 😂😂😂

  • @bushbabytz
    @bushbabytz Před 3 měsíci +4

    yaani leo niko nashinda kuangalia kurudia rudia hizi mechi tuliowakanda tano makolo na mechi tuliomkanda mwarabu belouizdad nne😂😂 kama movie yaani

  • @shanimwanga4455
    @shanimwanga4455 Před měsícem +4

    leo tar 30.04.2024 saa 21:57 p.m nmerudi kuangalia huu mkono baada ya kuangalia highlight ya namungo na kolozdad

  • @user-op7mh5sp4p
    @user-op7mh5sp4p Před 4 měsíci +4

    😂😂 Hii mpaka ifutwe ndio ntaach kuangalia😂

  • @prosperpius9030
    @prosperpius9030 Před 6 měsíci +4

    Mzize the Unsung Hero

  • @anoldkomba5820
    @anoldkomba5820 Před 2 měsíci +3

    30.03.2024 nimerudia kabla Mamelodi hajakandwaaaa

  • @user-er1dk6zj6u
    @user-er1dk6zj6u Před 4 měsíci +5

    Hii atar kila cku naangalia raha sana

  • @mariahmushi7106
    @mariahmushi7106 Před 3 měsíci +7

    Ngoja niangalie tena leo 20/2/2024😂

    • @user-yt3tn6dx3f
      @user-yt3tn6dx3f Před 3 měsíci

      Tuko pmoj😅😅

    • @petermanala6138
      @petermanala6138 Před 3 měsíci

      @user-yt3tn6dx3f😂😂😂😂😂😂et uchaw waroge nawao kama rahsi yanga raha😅😅😅

  • @user-so5vq9rh6v
    @user-so5vq9rh6v Před 7 měsíci +5

    Bado amjasema hadi mseme hii ndio yanga ya sasa ongera sana yanga🎉🎉🎉

  • @Ally-sr4cw
    @Ally-sr4cw Před měsícem +5

    Tupo wengi tunao rudia yanga Atari 😂😂😂😂

  • @user-zw3kr4vo9c
    @user-zw3kr4vo9c Před 4 měsíci +2

    Nahisi kama Simba anaenda kufungwa goli la sita hapa😂😂😂

  • @vi3ayo1622
    @vi3ayo1622 Před 4 měsíci +4

    Raund ya pili saba😂😂😂 itakua raha sana hata tusipochukua kikombe chochote mim nitawasamehe bureee

  • @mwajuma802
    @mwajuma802 Před 3 měsíci +5

    Kwa raha zangu shida zenu makolo😂😂 29 Feb 24

  • @totnandjosephkilowoko1264
    @totnandjosephkilowoko1264 Před měsícem +3

    Narudia pambano leo 1/5/2024

  • @elizerbethmichael2435
    @elizerbethmichael2435 Před 3 měsíci +3

    Nimekuja leo tarehe 26 February 2024 jaman wapii wenzangu wa 5G

  • @mackysuphian
    @mackysuphian Před 2 měsíci +4

    Nimerudi baada ya kupigwa na wajelejela😅😅😅

  • @user-pf5ob7un7x
    @user-pf5ob7un7x Před 4 měsíci +2

    Daaah yanga noma❤

  • @user-wl6il1zk6m
    @user-wl6il1zk6m Před 7 měsíci +6

    Poleni sana wana simba nikionjo kidogo hicho bado atuja wafunga mpaka tuwafunge mabao nane ndo tunarizika rahaaaa mpaka kufaaaaaa from louis ville kentucky

  • @user-vr8fv5ic8v
    @user-vr8fv5ic8v Před 5 měsíci +3

    Nilifrahia Sanaa hii mechi🙀

  • @bushbabytz
    @bushbabytz Před 2 měsíci +3

    nimerudi leo tarehe 29/04/2024 kujiboost kuona kinachoenda kumtokea mamelodi kama hivi

  • @beatricemasaoe1308
    @beatricemasaoe1308 Před 10 dny +3

    Naona raha

  • @elijahsomebody9164
    @elijahsomebody9164 Před 2 měsíci +5

    Tareh 15/32023 nimeitazama Tena full naona tumewafunga Tena magoli matano😂😂😂😂😂

  • @KelvinMtavangu-ow8yo
    @KelvinMtavangu-ow8yo Před 4 měsíci +2

    Tarehe 5 Yanga goli 5 simba goli 1,Nov.2023. Ikumbukwe daima.

  • @witnessniclass3777
    @witnessniclass3777 Před 2 měsíci +5

    Sijawahi kuchoka kuangalia hii😂😂😂

  • @KefaGeorge-oo1jw
    @KefaGeorge-oo1jw Před 2 měsíci +4

    sichoki kuangalia hii mechi kirasiku yan hahaaaa

  • @Shadia544
    @Shadia544 Před 3 měsíci +6

    Nairudia hii mechi muda woote 22/2/2024 😂😂😂😂hiii mechi nilikauka sauti siku hiyoo😂

  • @petro8010
    @petro8010 Před měsícem +3

    Tunaenda kupiga kwenye mshono pale pale

  • @RaymondCoun
    @RaymondCoun Před 3 měsíci +4

    29 feb jaman jaman

  • @user-vr8fv5ic8v
    @user-vr8fv5ic8v Před 5 měsíci +2

    I love so much young african 3:16

  • @khadijahussein4019
    @khadijahussein4019 Před 6 měsíci +8

    Yaani hii mechi inanimalizia bando kila saa naangalia 😂😂😂 hii ss tunaangalia ,wataangaalia watt weetu na wajukuu pia ,yakwao imebaki kwenye vitabu

  • @FaustineBukongolo-wp2fe
    @FaustineBukongolo-wp2fe Před 4 měsíci +5

    Nitailudi kilamara nitamu

  • @jumakassim8718
    @jumakassim8718 Před 7 měsíci +3

    Asante sana yanga kwa kunipa heshima mtaani kimyaa

  • @user-sp6qm4re9z
    @user-sp6qm4re9z Před 5 měsíci +5

    Hii mech sichoki kuitizama jamn

  • @EnockSilvan-gk1mq
    @EnockSilvan-gk1mq Před měsícem +2

    Leo npo bize nakuangalia marudio ya young African vs Simba 5_1

  • @MichaelKibona-ec5nd
    @MichaelKibona-ec5nd Před 6 měsíci +7

    Wananchiiiii oyee, Makolo mpaka mseme, na mtasema, na bado, najivunia kua yanga

  • @user-ih5bq9mw7t
    @user-ih5bq9mw7t Před 5 měsíci +2

    Yanga tamu

  • @monicaphabian3908
    @monicaphabian3908 Před 2 měsíci +6

    Leo trh 1/4/24 😂😂

  • @EsterKway
    @EsterKway Před 2 měsíci +5

    Women day nipo hapo

  • @user-zb2pg4ix5s
    @user-zb2pg4ix5s Před 6 měsíci +3

    Yanga unanikosha Mimi mwenzenu💛💛💛💛💛💚💚💚

  • @jasmangumbe3894
    @jasmangumbe3894 Před 3 měsíci +3

    Tunaoirudia tena leo march 3 2024 tujuane

  • @frankmlinda1181
    @frankmlinda1181 Před 2 měsíci +3

    24.03.2024 nimeludia tena kuangalia