Dr. Chris Mauki: Mambo 4 ya kuepuka mara mahusiano yenu yanapo vunjika
Vložit
- čas přidán 11. 03. 2022
- Wengi sana huongeza kiwango cha maumivu pasipo kujua mara mahusiano yanapo vunjika. Kuna vitu hutakiwi kufanya mnapo amua kuachana, na kwa kutokujua utajikuta unazidisha maumivu badala ya kupona. Karibu nikufundishe uelewe #DrChrisMauki#Mahusiano#Kuvinjika
Ahsante kaka kwa somo mpenzi wangu mm tumeachana ila ninacho post yeye ndio wakwaza kuangalia
Bado anakupenda ila ana aibu ya kurudiana na wewe au alishaa wekeza vitu vingi kwako au mema aliyo pata kwako hayapati kwengine
Same here haongei lakini kuview she does immediately baada kupost naomba mawaidha
Bado anakupenda magrarie
Kwel nikiachaba na mtu uwa napendaga nitulie kwanza
Pia nakuwa napendaga Aman tukiachana halafu utakuta mtu. Mwenyew nafsi yake inamsuta kwanini alifanya vile itamshawishi ata kuludi kuliko. Mkiachana mkaendeleza mabifu
Hili somo ni langu mauki. Mungu Akubariki sana kwa kuniokoa katika hili.
Umeniokoa nilikuwa naandaa kisasi kaniumiza sana but nita move on,asante Dr kwa somo nzuri
Ahsate sana sana. Mungu akupe.maisha marefu maana .si kwa kutusaidia uku. Sijawahi kujuta.
Maaashallah Asante Sana kwa mafunzo mazuri umenisaidia Sana Dr kwa mmengi
Asante Dr.chris ,kwasomo lako. Waipahu mwanga wamahisha.
Umenifanya nijiskie vzr kwakwel sikutegemea jinsi nilivyokuwa na maumivu asante sna
Asanti sana Dr kwa ushawuri wako Mungu akubariki .
Thank you dr chris mafundisho mazuri ndugu yangu
Asante Kwa kuniponya Dr Chris.
Ahsante Sana bw dr kwa somo lako
Asante Sana baba kwa SoMo zuri mwenyez mungu azid kukufungulia milango ya hekima na rehema
Shukrani sana doctor kwa masomo yako mazuri kwakweli tangu nianze kukufatilia vipindi vyako sijawahi kujutia mungu akupe maisha marefu
Asante saana Kwa SoMo mengi nimejifunza DOCTER mauki ubarikiwe sana
Amina Sana Asante kwa ushauli mzuri Dr
Mungu akubariki daktar umeponya moyo wangu nimekuwa kwa depression miaka miwili na miezi sasa,
Asante nakuelewa sana umenisaidia vitu vingi sana MUNGU akutunze sana
Nimekuelewa Dkt hongera kwa kazi nzuri.
Asante Kwa mawaidha kaka, imenisaidia sana. Ubarikiwe.
Asante sna Mr,tumekusoma vizuri.
Dr mauki Doz ukiyotoa leo imeponya wengi mimi wakwanza asante sanaa
Waooo nimejifunza kitu thank you my brother
Asante kwa mafundisho mazuri
Asante kwafunzo nzuri kaka angu
Daaah mungu akutie nguvu mauki
Uko vizuri sanaaaa Mkuu pia nakufuatilia sanaaa
Mungu akubaliki sana nimepata somo zuri mno
Asante kwa haya umenifundish pakubwa
Asante kwa elimu Nzuri
Asante sana Kwa ushauri wako
Asante dk chris mauki nimevuka mahali
Ahsante kwa uxhauli mzr
Merci bcp
Ahsante kwa somo zuri
Ubarikiwe Sana kaka angu
Asante kwa funzo
Asante nashukuru maana umenigusa
ur the man broo. tks
Nashukuru sana 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Asante Sasa kaka akika nimepina.
Shukran kwailo kak yangu
Well well said👏
Asante kaka ni kweli nipó KWENYE maumivu makali ila nitafuata ulivyosema
Asante sana 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Asante sana.
asante sana kaka umenifunza
Thanks broo umenipa moyo san
Ubarikiwe mno, Mungu akubariki na familia Yako 🙏🙌
Thanks 😊 I’ll
Ubarikiwe sana yani hilosomo limegusa mausiano yangu
Umenijenga san Dr kwa hii mada
Dkt ahsante umeniponya roho yangu
Daaah...nashukur
mhh! ni kweli kbs mr mauki
Nakupenda sana
Mungu akusimamie
Asantee
Ahsante sana
Asante 🙏
Ahsant Dr nimejifunza ktu hap
Asante
Asante sana sana.... umenisaidia sana
Asante kwasomo dhuri,kiaziya Leo nitamkiya tu mema,nasitofayiliy post zake🙏
Mmh kwakweli Mungu akubariki sana baba Kama ulikuwpo Yaan nilikuja sipon Zaid ya kuzid kuongea nashukuru sna
Yakuzid kuumia
YeSsDaddy Be blessed
So true 👍
Safi
Maneno mazuri sana
asanteee
Amina
Ahsante Sana kwa SoMo zuri , nimejifunza mengi na mazuri
Ila kisasi kina raha yake Sana'a....wenzetu wanasema kisasi ni haki kulipiza
Ukweli kabisaa
Safi mauki
Kweli kabisaaaah
Asante sana nimepata kitu
Balikiwa kaka
Yes endelea kutupa somo hili upo sahihi
Asnte doctor
Yani nisiku tatu hanipigii cm ni goodmorning ananipa asubh na uck saa mbili kuwa kashinda poa nilimuuliiza saaa shida nn anasema kaamua tubaki marafik uwiiiiii cku imekuwa ndefu kwangu nashukur kwa somo doctor🙏🏼🙏🏼ntavuka
Ee Mungu nipe moyo wa kusamehe niwasamehe walioniumiza
Don't be consolation 😅😅be in love 😍✋✋
Nimarayangu yakwanza ila nimeipata faida mungu akubariki
Ah sema hyo mambo mnne jmn mbwembww nyingi
Nime kubali
dooood
What about kama ni mke wako na mko na watoto wawili na amechange sometimes anapika na kukula bila kumkumbuka bwanake ukirudi kwa nyumba ni kelele what's the solution
😢
Umenigusa Sana Yaani Kama unaniongelea ni Mimi vile
Nitumie no yako nikutumie chochote,mungu amekuweka maalum kwa ajili ya kumponya roho na nafasi za watu,sikuwa na simu kwa muda mrefu,rafiki yangu aliniita na kuniwekea click zako! Nimepona makovu yote!! Nimejifunza mengi Sana Asante Niko Safi ki fikilia umenitia mbali,
somo hili kwangu limekuja mda muafaka kabisa kwasabb ni sikuchache tu mahusiano yangu yametoka kuvunjika,nakwakweli napitia kipindi nawakati mgumusana kwasasa
Haya mahusiano ww acha tu. Pasua kichwa
Pole Sana hatamie mwezi bado nishida ila mm nashukuru nimeblok kilakitu naanzakumsahaukabisa
Haya mahusiano jmn 🤔🤔🤔tunateseka vibayaaa
@@hanifatanzania7258 tuwepole tu kwasbb mm kwakweli navumilia sana ila nikikumbuka tulivokua sijategemea kabisaa kama hii situation itanitokea wakati huu yan dah nahisi bado nipo ktk kipindi kigumu sanaa mm
@@hanifatanzania7258 Ahsante kwakunipamoyo ila eh!
Nimekuelewa xana
Dr asee me nmeshindwa namna ya kufanya yan naona sijielewi nmeachika ila bdo ananifatilia sanaa na mim bdo nampenda! Ila navyo respond namuona kua bdo ajabadilika Yuko vlevle nashindw namna ya kufanya juu yake!
NAOMBENI WANAFAMILIA WA CRIS MAUKI TUKIANZA KUANDIKA JINA LA MUNGU YESU KRISTO tuwe tunaandika kwa herufi kubwa MUNGU wetu sio mdogo atlist tuanze na herufi kubwa nawapenda 🙏🙏🙏
YESU HAJAWAHI WALA HATO WAHI KUWA MUNGU! SITARAJI KUBISHANA ILA UTAUJUA UKWEL SIKU ROHO YAKO IKIWA KTK KOROMEO! TAFTA KUMJUA MWENYEZ MUNGU NASIO YESU!
Imenigusa kabisaaaaa
Kabisa Wala usimwanze omba mungu tuu kaa Kwa utulivu kabisa utaipata mwingine Bora kuliko wa mwanzo
Mimi nimeachan naye anabadili wanawake Kila siku alfu anamaliza anakuja kukuomba msamaha
Mim nmepend video zk kwasbb ndio yalionitokea
Mm nashind mm siamin mshusian nhisi kuw Kila mtu simualmin
Mapenzi yanauma nyiee
😢😢😢😢