PATANISHO : LEONIDA - NILIKUWA NIMEMWEKA GEOFFREY KWA NYUMBA YANGU
Vložit
- čas přidán 27. 07. 2024
- Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
#RadioJamboKenya #gidinaghost #patanisho
Subscribe to RadioJambo CZcams - bit.ly/39wwc6u
Mitandao ya Kijamii
Instagram - rb.gy/e154d1
Facebook - rb.gy/09d1b9
Twitter - rb.gy/e23220 - Zábava
Weee Karibu Kiunga ako faaaar na Mombasa
Gidii una sauti nzuri ya radio
Kabisa
Ghost has that landmark laughter 🫡😂😂🤣
𝐓𝐫𝐮𝐞𝐞😂😂😂😂
@@user-ef9my8zc2xSambusa ya omena 😂😂
You always make my morning
Aki kuolewa na watoto wawili n stress mungu tusaidie aki🤲🤲
Tatizo km mwanamke anamtegemea mume kila kitu , lakini km munasaidiana maisha hakuna tatizo .
Kuoleka na mtoto hata mmoja haufai kuwa kupe jitume atleast mbaeza saidiana
Kabisa kamama mi Niko na wawili ata sifikirii kuolewa juu inanipea stress san ata mtu akiniambia anataka kunioa na watoi naona tuu ni ngumu😂napambana na watoi wangu,🥰
But ukiwa na ajira ni afadhali
Patanisho bila ghost sio patanisho
😂😂😂walaii
4years class one 😂😢😢
Kijana bado mdogo, hajielewi kweli.
KWANINI HAMREKODI MAONI YA WANANCHI WE STILL MISS OUT 😢
Good point!!!we need to hear what the ground is saying 😂
Yes kama part two
Hapo kwa kupika nyama ndo nimeisha mie😂😂😂😂🤣🤣🤣
Jamaa kaoa juu ya utamu
Hii ni moto 🔥 huyu mjaama ayuko seriouse na mapenzi 😂
Yesu wa Togaren was just chilling
Until Gidi mentioned him😃😃😃
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Its always nice to hear ghost input 😅😊
Ghost input is only the laughter
😂😂😂😂
Sambusa ya omena 😂
Class 1 4yrs huyo mtoi dah
Giddi anakuwanga very very funny😂🤣🤣
Tulisema ukizalia kwenu lea mtoto/watoto uko kwenu wakifikisha umri wa kujitafutia kama ukona haja na ndoa olewa ukiwa pekeyako sasa kukimbizana na wanaume inakufaidi nini kama umezalishwa ukiwa kwenu kama ni kuni pigwa ya kujifurahisha ukilea watoto sio rahisi kupata mwanaume atakulea na mtoto/watoto wako
Wah. Noma sana
20 Bob 😢 mbio mbio mpaka Saudia nifanye kazi hizi ujinga mimi pana taka na nijioe mimi mwenye
ma single mom, si mnakuanga na hasira aki..
@@elizabethiradukunda1950Sio hasira Mimi siwezi jiembeleza Kwa mwanaume Na kwenda Saudi Ni free aki mimi Na mwacha ata Kwa Boulangeti siku hizi hatubembelezi wanaume
@@user-mo2gb2bc6q ndio uone kuwa mboch wa saudi ni kitu ya maaana, inaonyeshana akili yako si ya kua bibi ya mtu wewe.. endelea kuosha viombo
@@user-mo2gb2bc6qKama ndoa yako ili kushinda wachana na za wenyewe eti Saudi kwani unataka kila mwanamke wakikosana na bwanake akimbilie Saudi wacha mchezo Saudi itaisha siku moja utaenda wapi
Akili kidogo Kama watu WAKO saudia,ujinga tu
Gidi unamaneno kweli ,hadi uulize na umeskia tuu vizuri alikuwa amewekwa !😂😂😂
Mapenzi ni simu tamu
Waaaaa mungu nilindie ndoa yangu juu Mambo ya baba wa kambo loh
Amen amen,Baba kambo ni mbaya kuliko mamakambo,juu Baba uficha bt mama kambo ataonyeshia Tu ni.mbays,Mimi ilifanya niseme wacha nilee Wana wangu nitaoleka nilifika ata 50 bt watoto muhimu, wasome kwanza
@@user-cg3vf2bl6b
Kweli, bwana bado ata immotionally abuse watoto wa kabo.
Wanaume huwa na dislike kubwa kwa watoto wa kambo kuliko wanawake.
So, fikiria sanaaa na uwe makini, ikiwa watoto or mtoto wa kwanza si wa current husband.
Naomba namba yauyo anae cheka😂😂😂❤
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Gidi unaharibu kabisaaaaaa et ulikuq umewekwa anyway hapa hakuna mapenzi a 25 year old boy and a32 year old woman hii ninkuwekwa ukweli sugar mummy 😢😢😢😢😢😢😢😢😢jamaa amemis kupewa vitu za free kama kulipiwa rent na kununuliwa food na kulipiwa bills
Men mtaachwa kuwekwa lini
Gidi ni nabii yesu wa tongoren
Watu waache kupeana/kupata watoto before marriage hi ndo inafanya tunakuwa na street kids na wezi wengi in Kenya , inafikanga tu time Mtoto anakuwa resistance kwa step parent , personally siwezi oa mtu akona Mtoto , because hauwezi kuwa na freedom yakuathibu ata Mtoto ,azin huwezi rise Mtoto vile unataka ,,,,, the issue sio ladies but both ladies and boys ,
That's the truth most ladies don't want to hear as a single mother after kuzalishwa nikiwa kwetu niliamua nilee mtoto before ndoa ......14yrs down and God's willing my baby akichukua ID ndio nitaingia soko for now wacha nijifurahishe nikilea
Most of they got married and get kids followed by divorce and that is how they become single mums
@@humblegirlkwamboz not really ,,, my friend not unless you are not a kenyan otherwise Kenya sahi ata secondary almost 90% washafanya sex , azin sahi adi kiambia mtu you are a virgin inaka kitu funny Sana , mtu anakuona nikama hauko normal ,, na hizi sex ndo watoto wanapatikana
@@humblegirlkwamboz i believe if you follow the right procedure kuwachana ni ngumu Sana , mtakosana but kuwachana ni ngumu Sana
@@bensonathewa5956 wengine tuliona mama zetj wakiachana na baba zetu na hatujawahi tafutwa
Ghost unapendanga kuchekelea aki 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
Geoffrey,, achana na sugarmamy. Hata mimi nakubaliana na Gidi. Young man, run away from this sugarmamy
😂
I think it's the woman who should run. Huyu kijana ni kupe
Umri Zina tofautiana na pia siku hizi kuolewa ukiwa na watoto n shida sikiza maneno ya ghost n ya kweli tu gàidi amerudi nyumbani anataka kusadiwa Kama mtoi
Kweli kabisa. Ikiwa ni hivyo, atashiriki huko ushoga. Cz huko u tele, both frm walami* na waarabu + wale wana damu ya kiarabu.
Sijui km ni genes/*damu zao huvutia mambo haya au vipi?
- Yes, kila aina/makabila/... yana haya mambo. But wengine ni, zaidi.
Mmmmh following😊
Mwambie atumie watoto doo awache mchezo,atoke Kwa nyumba ya mama atafute kwake
Uyu ni mwanaume senge
Kijana hajielewi. He just wants the lady back but not resolve the pertinent issues.
Ghost is the key
Waah ghost 👻 u made my day
Gidi hapana sio sugar mummy haki lkn uyo mwanamuke n mtu hand work sana kijana n yy n mvivu
I like this show , hapo kwa Ghost😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Sambusa ya mahindi choma
Gidi was paka necessary😂😂😂😂😂😂😂😂😂
May God help all people
Young man you wanted to be her kid no. 4. Siku ingine atakuweka kwake halafu mwenye anamlipia rent akupate huko akunyoroshe 😂
Buree kabisaaaa
❤❤❤❤❤
Think of your kids first
Eti Geoffrey ni Ben 10 😂😂😂 aki Gidi
😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 imechemuka hapa
Nipitieni guys
The laugh used to be amusing but now,off late Ghost is overdoing it
To you and your wife
Mapenzi hayana umri ila kuelewana na kijana ujitahidi kujituma
4yrs class one is a lie
Huyu mume anataka tu kuwekwa. He is not of any economic value😂😂😂😂😂
Aki uyo anae Cheka ananifanya ata Mimi nicheke😂😂 etiy ulishawai leta posa kwetu,,, Yani Mimi MAmbo ya baba wakambo ni magumu Sana kabisa zawadi nikwawote kweli Yani Bora niwe single wa
Sugar mama ni tamu wanajua kupeana
Hapo kwa paka😂😂😂😂😂
Kiunga? Duh, Kiunga is close to Ras Kamboni somalia
Take care of your children MUM alone... Your children are first priority...
sugar mummy + sugar boy... ni guteeeee... men have become so lazy nowadays..
😂😂😂😂😂 sugar mummy and kibenten
😂😂😂😂😂😂😂
Gidi habari ya maandamano.
Giddy wacha kunichekesha bhana.Eti hujapeleka hata paka?Sasa unabagua watoto wa mke,je mke angekuta watoto wako akiwabagua ungefurahi?Geoff uache ulafiii.
Dont go back. Tuma pesa
25 and 32 😢
🤣🤣🤣,Gidi Ogidi aka Yesu wa Tongaren
Sikuizi wanaume wanatakanga kuishi kwa nyumba za wanawake na bado wakukontrol wakibuy vitu tamu ones awhile wanapika peke yao siku ya mboga wamekasirika wanatakanga kubembelezwa useless idiots.
😂😂
😂😂😂😂
Kumbe hata nyumba ni ya mke ameachiwa dah
Number ya Leonida
Kijana wamepotea huyo
Amewekwa hajaoa yy ndio ameolewa
Kamfugo
😂😂😂😊those are the best kama hujui my friend 😂😊😊,
😊😊😅
Geoff umeolewa halafu unaleta xa kuleta.
😅😅😅😂ni katoi ka Leonida
You can't succeed where another man failed 😅
😂😂😂😅😢
Heri kukaa single 😢
Sugarmummy n benten😂😂😂😂
Haki wanaume kweli wako ivo
He wants to be "mothered"
After 2 years watu wanatafutana !!!??
Wanawake na pesa 😂😂
Nyoko.
Mwanaume ni mcheshi
Itazame hii
czcams.com/video/QFVcJ5gILxY/video.html
Akitaka bibi amwendee Lamu
Ghost hii micheko unatoaga wapi
If hucheka hivi na mke wake je
Hakuwa "anawapakua".
Haha
That Lady is a sugar mamy Achocky live that lady and look for another lady of your age my friend unapotea
Pussy ndio paka😂 gidi😂😂😂😂
That man should run and not look back, and then get a young lady to start life with, aachane na shosho. And no man can be comfortable with a woman with two kids.
😢😢😢is that idiot a human being? Surely ata Kama ni kuwa katili I find that guy more than stupid , immature, and inhuman, ,,,that lady pia akili Iko chini , unaekaje mwanaume kwa nyumba ? Bwana people are desperate for marriage apa inje ,maybe that's why that idiot is taking advantage yakutesa huyo mama na hao watoto ,but watoto watakapo kuwa wakubwa huyo jama atakipatapata , those kids watammaliza
What are you even saying apo the end of the sentence you missed the mark
@@wallsound_defefender hao watoto watammaliza
Alikuwa anakaa kwa nyumba juu alikuwa na mtoto mchanga
Hajaleta hata pussy. Lol
Gidi wajishuku kama tapili tena .pussy tena