Ni kweli ukiwa na kitu tofauti utafatwa tu ata ukiwa uchocholoni:Ni Kama tunavyokupenda wewe bila kukujua'watoti wangu wote nyumbani wanamjua Joel kuwa Ni mshauli wangu:Barikiwa'
FROM BURUNDI! ASANTE SANA, MIMI NAPENDA KUSOMA NENO LA MUNGU, UWA NAPATA MSADA SANA KWAKUPATA MAWAZO FULANI TAFAUTI NA WENGINE, AO MUNGU ANAKUINGINZA KWENYE JAMBO FULANI KWENYE KITU UNAFANYA, ILI UJIFUNZE JAMBO. BADAE INAKUWA USHUHUDA KWA WENGINE . INASAIDIA SANA KWENYE MAISHA YANGU
MUNGU wetu wa Mbingu Azidi kukujalia Afya njema siku zote Life couch
Joel huna baya hata kma kunawakati hatu comment ila amini tuna appliciate keep it up
Shukrani sana🙏🙏
Brother ubarikiwe TANZANIA one🇹🇿🙏.
Asante yaani kila siku unanifunza nazidi kujiona wa pekeee
Uko vizuri kaka yetu
Asante brother kwa vipindi vizuri
Najifunza sana na unanisaidia sana
Nakufuatilia sana kaka nikiwa kwenye kisiwa cha karafuu pemba
Ahsante sana Kaka JOEL NANAUKA ubarikiwe sana mahana najifunza kwako 🙏🙏 by Eradius Oscar from Mwanza nyegezi
Safi sanaa
Expertisim, Communication, consistency and trust. Thanks bro❤
Be blessed watching you always from Kenya am growing Tru your encouragement or advice or teachings be blessed 🙏
Asantee sana life coach , natamani nizidi kujiimarisha kwenye ushawishi wa kuaminiwa
Every time nikiingia kwenye page ako napata kitu kipya bless up joel
Okay, noted brother Joel ..
Mungu akulinde sana na kukutunza uweze kuishi katika kusudi la Mungu na kulitimiza wewe na familia yako..
UBARIKIWE
AMEN ❤❤❤
Consistence, thank you so much
My Brother Joel Nanauka....m nakufurahia sanaaaaa ....My all time best speaker and development coach .... Ur the best💯💯💯💯
Absolutely right, thanks bro be blessed
It's stunning, thank for reminiscing us magnificent thing
Mimi nataka kujenga uwezo wangu na ninaona wewe NI mwalimu MWENYE talanta hiyo. Nisaidie kupata masomo yako.
Consistence
Trusted
Awesome thank you 💖
Asante Kaka unatujenga kifikra
Asante kwa ujumbe mzuri kaka
Thanks teacher
Hakika unatufunza vitu vingi sana mungu akubariki sana
Eneo la uwaminifu zaidi
Ubarikiwe kaka najifunza vingi kwako
Asante sana bro joel, umenipa mwanga, kumbe bn kuna mambo madogo tunachulia poa.
Legend
Asante kk
Adding value to others is the best thing
Ujumbe Mzuri SANA
Umeni fundisha kitu kipya kabisa nashukuru mno nitafanya mazoezi ya kutengeneza kuaminiwa ahsante sana
Shukrani 📚📚
Kaka joel Mungu akupe maisha brother
nataka nijenge uashawish ktk ujuzi wangu
Kujenga mahusiano na watu pamoja na pamoja na uwezo
Naitaji kuwa mkweli na kufanya vitu kwa mwendelezo bila kukoma
Nashukuru sana Kaka Joel 😊
Kaka umepewa karama ya kufundisha watu... Ukiongea ww nakuelewa na naamini sana uwezo wako .kama Kuna mahali unachangamoto mungu atakusaidia.
Kaka ujumbe mzuri sana ila tunapataje vitabu vyako
Ngulii 🔥 💪💪💪💪🥂🥂the pure Goat 🐐
Ahsante brother
Asante sana,
Ni kweli ukiwa na kitu tofauti utafatwa tu ata ukiwa uchocholoni:Ni Kama tunavyokupenda wewe bila kukujua'watoti wangu wote nyumbani wanamjua Joel kuwa Ni mshauli wangu:Barikiwa'
Asante sana
❤❤ shukrani
kwaupande wangu Naon vyote naitajika Kua navyo ili kukamilika kweny ushawish kaka Asante kaka kwa mafunzo yako
😊😊Nimeelewa somo
Consistency bro
Mungu akupe umri mlefu kaka
thus true
Aisee Eneo la kujenga zaidi ni watu kuniamini
KU aminika brother
Kwa upande wa trust
Nikweli kaka
Am your Fam😂😂😂🎉🎉🎉❤❤❤
💥💥💥
FROM BURUNDI! ASANTE SANA, MIMI NAPENDA KUSOMA NENO LA MUNGU, UWA NAPATA MSADA SANA KWAKUPATA MAWAZO FULANI TAFAUTI NA WENGINE, AO MUNGU ANAKUINGINZA KWENYE JAMBO FULANI KWENYE KITU UNAFANYA, ILI UJIFUNZE JAMBO. BADAE INAKUWA USHUHUDA KWA WENGINE . INASAIDIA SANA KWENYE MAISHA YANGU
Kwakweli kwa Elimu yako Nina fanikiwa sana mungu akutunze ufike mbali zaidi ya hapo ili namimi nifanikiwe za kupigia wewe Nina kusubilia Sumbawanga.
Ameen Abraham, ahsante sana
❤
🙏🙏
katika eneo lakwanza
kaka nashkuru kwa somo lako kwa mimi naona niongeze nguv kwenye eneo la relation ship
Kwa upande wa ushawishi na mahusiano
📌
SEE YOU AT THE TOP
🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Kufanya jambo kwa muendelezo
Nahitaji kuaminika
Me nataka kuwa mc Bora nini nizingatie
Mi nina ushawishi mkubwa hasa katika kazi na kiroho ila kuna wakati siko consistency
Ongeza consistency 🙏🙏
Nawezaje kujenga consinstence yangu? Na nawezaje kujijengea expactation yangu doctor?
Kile unachokifanya kifanye Kila siku bila kuacha hata kama hujapata matokeo mazuri kwenye hicho ufanyacho🙏
Mm ni mfanyabiashara wa Network marketing jee nifanye nn ili niwe na ushawishi zaid na kuaminika pia Mr.Joel Nanauka?
UBORA
Natamani kujenga ushawishi lakini changamoto Bado sijiamini
Anza kujiamini ndugu yangu 🙏
kaka wewe basitu wewe una tupe nda kwakweli
Mimi nanufaka Sana na masomo hiya
Asante sana
🙏🙏