God bless you brother Joel nanauka,tunajifunza na kuwa imara kifikra so masomo Yako hayadondokei chini ila miyoyoni mwetu we are getting better each and everyday thanks 🙏🙏🙏🙏
Joel umepigaje apo!! Hakika unatugusa mkuu pleas mungu akupe afya na uhai na usiache unachofanya kinakomboa fikra na mitazamu hasi ya tulipo wengi ambapo ndiyo kiini Cha kufanikiwa
Nayapenda Sana mafundisho yako najifunza mengi Sana Mung akupe maisha marefu Joel Nanauka🤝
PR _joel hakika unagusa uhalisia wa Maisha yangu"""!!!❤❤❤🎉🎉
Joel umepigaje hapo😂😂😂 . Hakika umebadilisha maisha yangu
Leo niandike kitu na mimi,nawashauri wasio na mafunzo ya kaka Joel wayatafute,This bro has changed my brain!
Hahaha!! Umenena mkuu
Mimi nimerudia tena 2026 Mungu atanikutanisha na wewe.from burundi
nasubiria kwa hamu sana
Kiongozi Joel nakukaribisha katika kanisa letu makoka sda
God bless you brother Joel nanauka,tunajifunza na kuwa imara kifikra so masomo Yako hayadondokei chini ila miyoyoni mwetu we are getting better each and everyday thanks 🙏🙏🙏🙏
Wow😊😊
Shukran sana kwa hizi fact
Itoshe kusema tangu nikufahamu nazidi kubadili maisha yangu kila iitwapo leo 🙏🙏🙏🙏 barikiwa sana coach
Joel tnafurahishwa na masomo yako lkin naomb jinsi yakutok kwnye maumivu mazit plzzzzzz😢
Am waiting ✋️
Can't wait for this coming session 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nimepata nguvu zaidi ya kuendelea napotaka kufika
Bado najifunza😊
Amina Baba
asante Sana kaka Joel
Tunashukru kwa somo zuri
Ahsante
Ohooo, my God, najifunza sana kaka ubarikiwe sana.
Nashukuru sana
Thank you Bro
Thanks Brother
Nice broo umenikunza
Thank you 🙏
Mwenyezi Mungu akubariki sana
Ahsante Sana kaka Joel Kwa elim unay tufundisha
Nice lesson Mwalimu
Barikiwa xana...🙏🙏🇰🇪
Amen be blessed Sir, Asante kwa hii video
Good lesson brother,be blessed
Asante Sana mentor wangu!🎉🎉🎉
Some la leo limenigusa sana ubarikiwe my mentor
Thankyou for this good lesson
One of the best speech. Be blessed again
Uzima tu ndonakuombea kaka Asante sana
Daaaaah kweli ila tunajisahau sana vijana
Thanks
Mwenyezi mungu akupe maisha marefu kaka joeli 🙏🏽. Najifunza mengi mnooo. Asante 🙏🏽
Asante sana kwa mafundisho ya leo aki yamenipa moyo wakuendelea kukipambania nikitakacho be blessed broo
Asante nakufatilia sana nanipona kifikira
Bado sija chelewa Nina chechemea Barikiwa sana Kwa Kuni tiamoyo
Tuko pamoja kaka
Thank you so much Kaka Joel .... Nimepata Nguvu ya kuendelea kupambana na MAISHA
Mr naendeleà kufata unayozungumz nahis mabadiliko ktk maish.. asant
🙏🙏
❤
❤🎉
Kweli kaka mutu huanza na chenye akonacho kwenye mikono yake ndipo utumiye akili kipande juu.ujuzi 2
Shine you shine and Let me Shine MY shine.. 🎉
Umepigaje Hapo😅
Nimeipenda
🏆🏆🏆🔥🔥🔥
🎉
👌🙏
Maneno kuntu!
Joel umepigaje apo!! Hakika unatugusa mkuu pleas mungu akupe afya na uhai na usiache unachofanya kinakomboa fikra na mitazamu hasi ya tulipo wengi ambapo ndiyo kiini Cha kufanikiwa
☝️☝️✍️
Thanks😭😭😭 but nilipoteza tumain
I guess, I'll be the first one to watch 😇
🤔👂👂👊👊👊
Ameen
Kujitambua czcams.com/video/Q4F6E10R0IQ/video.htmlsi=99O7VKLysLq1as7g
Joel tnafurahishwa na masomo yako lkin naomb jinsi yakutok kwnye maumivu mazit plzzzzzz😢
Achilia kwa kuandika kwenye karatasi kila kinacho kuumiza unaandika kama una muhadisia my halafu choma
@@ashurashabani7249 asnt sna dear nitafanya hiv ubarikiw sna 🙏