ZEMBWELA ACHEZA KARATE, KUMBE AMEJIFICHA KWA MIAKA MINGI, AMCHAKAZA CAMERAMAN WAKE | MSWAHILI

SdĂ­let
VloĆŸit
  • čas pƙidĂĄn 5. 06. 2022
  • ZEMBWELA ACHEZA KARATE, KUMBE AMEJIFICHA KWA MIAKA MINGI, AMCHAKAZA CAMERAMAN WAKE | MSWAHILI
    WATCH WASAFI TVđŸ“ș
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM đŸ“»
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI đŸ“» | 104.1 DODOMA đŸ“» | 94.5 ARUSHA đŸ“» | 97.3 MBEYA đŸ“» | 94.9 MWANZA đŸ“» | SHINYANGA 106.3 đŸ“» | KIGOMA 101.7 đŸ“»
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    đ‘Ș𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 đ‘Ÿđ’‚đ’”đ’‚đ’‡đ’Š 𝑮𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑹𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • ZĂĄbava

Komentáƙe • 198

  • @fadhiliakida8609
    @fadhiliakida8609 Pƙed rokem +1

    Zembwela anajua sana kuendesha interviews tangu enzi hizo, I'm so in love with the interview

  • @emanuelandronicus2574
    @emanuelandronicus2574 Pƙed 2 lety +17

    Babu kumbe ni fundi aisee!đŸ”„đŸ”„đŸ”„

  • @hakimhakim9631
    @hakimhakim9631 Pƙed rokem +1

    Thanks sensei taifa,nitawatafuta kuendeleza kilicho kwenye nafsi yangu,we love it from the heart

  • @chidiomari.65
    @chidiomari.65 Pƙed 2 lety +13

    Sensei Taifa+BabuđŸ€đŸ™Œ. Asannten Kwa chakula Cha ufahamu Nawatizama Nikiwa Finland đŸ‡«đŸ‡źđŸ€

  • @jamilmwinge3695
    @jamilmwinge3695 Pƙed 2 lety +7

    I like the way you done, also you arause me today I learn something due to this enterview.

  • @dvjkelly8449
    @dvjkelly8449 Pƙed 2 lety +11

    Umenikumbusha mbali sana, nimechezaga gujuruu miezi tisa ila long sana

  • @rewardnjau7220
    @rewardnjau7220 Pƙed 2 lety +6

    hii kipindi ya leo imekuwa bora sana kwangu

  • @officialtino3681
    @officialtino3681 Pƙed 2 lety +10

    Napenda sana karate đŸ€Œ

  • @mathiaslyamunda2526
    @mathiaslyamunda2526 Pƙed 2 lety +5

    Safi sana napenda sana hii kitu

  • @luhajufilmstanzania
    @luhajufilmstanzania Pƙed rokem +1

    Master Yuko vizuri Sana

  • @TonyMkongo
    @TonyMkongo Pƙed 2 lety +14

    safi sana bwana Zembwela hahahaha

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 Pƙed 2 lety +8

    Broo zembwera natamani sana kucheza karate

  • @faridyshaame4705
    @faridyshaame4705 Pƙed 2 lety +2

    Dahhh sauti microphone mnaweka vibaya kiasi hatusikii vizuri maongezi mengine mpk usogeze simu skioni na huku unataka kuangalia pia

  • @greysonmbembelakarateka5842
    @greysonmbembelakarateka5842 Pƙed 2 lety +1

    Sensei Taifa,Ahsante sana umeeleweka vzr sana ,oss

    • @kibwanambelwa8352
      @kibwanambelwa8352 Pƙed rokem

      Mambo vep ...naweza pata taarifa za sensei taifa wapi yupo nijifunze

  • @soyasamson6912
    @soyasamson6912 Pƙed 2 lety +2

    Mwnye namba za seisei anisaidie naomba

  • @Watema23
    @Watema23 Pƙed 2 lety +12

    Karate hapa Marekani inachulia kama dawa kiafya. Wanafundisha karate kwenye chuo hapa.

  • @elishaelisha6755
    @elishaelisha6755 Pƙed 2 lety +6

    True unajua babu nimeona '''

  • @adilhabib8988
    @adilhabib8988 Pƙed 2 lety

    Mtafute na sensei Aly Bungon anapatikana

  • @michaelmallya5622
    @michaelmallya5622 Pƙed 2 lety

    Such a nice interview. I'm enjoying it.

  • @arqamibnarqam.7185
    @arqamibnarqam.7185 Pƙed 2 lety

    Amazing babu.

  • @zenjigreen5491
    @zenjigreen5491 Pƙed 2 lety +6

    MAMA MIAKA 76 BADO ANAPIGA KARATE YUPO SAWA.

  • @geofreysomi5915
    @geofreysomi5915 Pƙed 2 lety +5

    Big up sana zembwela

  • @mohamedmtipula3481
    @mohamedmtipula3481 Pƙed 2 lety +4

    Safii sanaa

  • @dastannsanya9341
    @dastannsanya9341 Pƙed 2 lety

    Naupenda mchezo huuu mpaka kufa 🙌🙌 nidhamu huwa n zaidi sana. Oss

  • @hilalothman5664
    @hilalothman5664 Pƙed 2 lety +1

    Nijinsi gani tutapata kazi zako za zamani hususan mizengwe ukiwa na maksi, Babu

  • @muhundaramadhani5057
    @muhundaramadhani5057 Pƙed 2 lety

    Good nimeipenda

  • @gabililta
    @gabililta Pƙed 2 lety +4

    Kipindi kizuri sana kinasaidia lakini wana cameraman mmezingua tumecosa baadhi ya details

  • @humphrehnkya9370
    @humphrehnkya9370 Pƙed 2 lety

    Nil wapi? Dojo lipo?

  • @hassanmsipi4094
    @hassanmsipi4094 Pƙed 2 lety +1

    3:11 Hahahahah Babu Zembwelaa

  • @daudmedardndegeulaya8193
    @daudmedardndegeulaya8193 Pƙed 2 lety

    Oss!.

  • @innocentadolf6757
    @innocentadolf6757 Pƙed 2 lety +1

    Safi sana

  • @kasimrajabu2068
    @kasimrajabu2068 Pƙed 2 lety +1

    Babu msalimie bad boy

  • @sultanmavura6281
    @sultanmavura6281 Pƙed 2 lety +1

    Big Brothers! Sensei Taifa na Kiongozi Zembwela! Nawapa Chu (5)

  • @sultanijuma3537
    @sultanijuma3537 Pƙed 2 lety +2

    Nimeinjoi sana leo ktk hiki kipindi

  • @cvanoedward3093
    @cvanoedward3093 Pƙed 2 lety

    Oss

  • @piusphilip307
    @piusphilip307 Pƙed 2 lety +2

    Mpelekee cameraa Mama yake Mwalimu

  • @octaviusonesmo6867
    @octaviusonesmo6867 Pƙed rokem

    Mzee Zembwera yuko vizur😀😀

  • @makorabohbchannel2807
    @makorabohbchannel2807 Pƙed 2 lety +1

    Sensei taifa huyu ni ticha wangu wa bagamoyo salamanda sema ulikua unantesa sanađŸ€ŁđŸ€Ł

    • @chazddotto9833
      @chazddotto9833 Pƙed 2 lety

      Kunatucha yupo kigoma as likua anaita siliaki laia kutoka Burundi ilikua noma Sana enzi hizo tukiwa na iddi matata ambae alicheza kwenye inspector seba akiwa Kama jambazi tulikua dojo moja

    • @barakaesto852
      @barakaesto852 Pƙed 2 lety

      Jamaaa Taifa kanifundisha Makumira daaah kanitembeza sana mwendo wa bata 😁😂😂

    • @rashidbanza7840
      @rashidbanza7840 Pƙed 3 měsĂ­ci

      Ntumie no yake sensei taifa kaka

  • @sudaissaid8428
    @sudaissaid8428 Pƙed 2 lety +2

    Chinese kung fuu ndo kila kitu

  • @davidkyara9676
    @davidkyara9676 Pƙed 2 lety

    TAIFA mwalimu wangu wa karate makumira chuo arusha yupo vzur sanaaaaa

    • @barakaesto852
      @barakaesto852 Pƙed 2 lety

      Yes Zaman sana nilifanya nae pia miezi kama sita hata ngumi sikurusha ni tizi tu😂😂😂

  • @eliudmganwa39
    @eliudmganwa39 Pƙed 2 lety

    Bado upo vizuri zembwela

  • @lungusii
    @lungusii Pƙed 2 lety +1

    Ila una takiwa kusoma kitu kina itwa TECHNICAL PRESENTATION

  • @ismailmashimba3470
    @ismailmashimba3470 Pƙed 2 lety +2

    Du! Kumbe zembwela noma

  • @gidionimlotwa1925
    @gidionimlotwa1925 Pƙed rokem

    Ooss ooss sensei taifa

  • @pipshuntertraders9444
    @pipshuntertraders9444 Pƙed 2 lety

    kituo kinapatikana wapi?

  • @jumaamganga4643
    @jumaamganga4643 Pƙed 2 lety +7

    Makopo ya rangi

  • @dastannsanya9341
    @dastannsanya9341 Pƙed 2 lety

    Naomba nipate sehemu ya eneo hilii

  • @subjimmy5824
    @subjimmy5824 Pƙed 2 lety

    Nimekoshwa sana

  • @abdulmajidsaid6923
    @abdulmajidsaid6923 Pƙed 2 lety +3

    karibu UMOJA SHOTOKHAN KARATE CLUB Korogwe kwa Sensei Jango

  • @sikapendinakapenda4170
    @sikapendinakapenda4170 Pƙed 2 lety +7

    Zembwela hapa umeigiza tu kwa msaada wa ticha.

    • @wilbertjosephat1118
      @wilbertjosephat1118 Pƙed 2 lety

      Uyu ni mtoto wa sinza kijiweni na Mambo haya kayafanya kijiwe chake kikubwa kilikuwa shule ya regnard mengi sinza

    • @chazddotto9833
      @chazddotto9833 Pƙed 2 lety +1

      Zembwela kacheza japo sio Sana Ila kacheza cc tunafahamu Alie cheza nilifika mkanda blown

    • @mohamedayoub8576
      @mohamedayoub8576 Pƙed rokem

      Hapana kacheza kama unajua utamwona

  • @humphrehnkya9370
    @humphrehnkya9370 Pƙed 2 lety

    Habari

  • @frankkalanda872
    @frankkalanda872 Pƙed 2 lety

    Nakuona Joo twende Tebain tukakonke!

  • @petermwawa3161
    @petermwawa3161 Pƙed rokem

    Ok

  • @kibwanambelwa8352
    @kibwanambelwa8352 Pƙed rokem

    Dojo wapi hii nije

  • @rashidramadhan7708
    @rashidramadhan7708 Pƙed 2 lety +8

    Napenda sana hizi mambo sema nimefanya bonge la upasuajiii daaah 😭😭😭

  • @wazirihamisi6484
    @wazirihamisi6484 Pƙed 21 dnem

    Wekeni number zenu wazee

  • @shaniashani7026
    @shaniashani7026 Pƙed 2 lety +2

    Kwaiyo mtu akicheza ni kwahajili ya panya road

  • @shuwehaharuna6309
    @shuwehaharuna6309 Pƙed rokem

    Morogoro sijajua sehem wanaofundisha ningempeleka mwanangu ajifunze angali mdogo

  • @yunusrnb5227
    @yunusrnb5227 Pƙed 2 lety

    Jamaa pia anapenda mziki Sana ,na NI producer KITAMBO Sana ,anaishi Yombo kwalimboa maeneo ya kwa Chande)

  • @jumabakary2796
    @jumabakary2796 Pƙed rokem

    Mchezo mzuri sana huu,na ninaupenda mno

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY Pƙed 2 lety +3

    #AVATASTAR255 đŸ‘œđŸŽ”

  • @jassonkalera7236
    @jassonkalera7236 Pƙed 2 lety

    Naomba namba zake nataka kujiunga au kama kuna anaejea shule za karate muongozoo

  • @ibrahimkileo1234
    @ibrahimkileo1234 Pƙed 2 lety +1

    Nimekubari ipo poa sana babu
    uwe unarudia rudia tujifunze na sisi uku tulipo

  • @barakaesto852
    @barakaesto852 Pƙed 2 lety

    Daaah Taifa jamaaa hatari sanaa

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY Pƙed 2 lety +4

    Kipindi chako kaka kizul sana

  • @nyotafcusewepwani5811
    @nyotafcusewepwani5811 Pƙed 2 lety +3

    msenge zembwela anajua fala ngumi

  • @mwigarleysaid5406
    @mwigarleysaid5406 Pƙed rokem

    Nitapataje mawasiliano Hapo?

  • @jamilmwinge3695
    @jamilmwinge3695 Pƙed 2 lety +2

    Mbona mmefanana

  • @afterx3172
    @afterx3172 Pƙed 2 lety +5

    Nimejifunza vingi sana sasa nikafanyie kazi mtaani 😆

  • @anordmsokwa5971
    @anordmsokwa5971 Pƙed 2 lety +3

    Nafikaje ghĂ ra

  • @missmoona4497
    @missmoona4497 Pƙed 2 lety +1

    Wanaume wasasahiv wanahitaji mke alie pitia hii kitu, so nami najiandaa kujisahili huu mchezo kabla ya ndoa yangu ili nikiolewa niwe konkđŸ€ŁđŸ€ŁđŸ€ŁđŸ€Łmaana kina said wa mwanza wamekuwa weng sikuhiz kina dada jiungen na hii kitu inafaa sana😂😂😂😂

  • @bigdealbizz292
    @bigdealbizz292 Pƙed 2 lety +1

    😁😁😁

  • @eliamwakatobe4290
    @eliamwakatobe4290 Pƙed 2 lety

    Taifa

  • @geraldlyimo2859
    @geraldlyimo2859 Pƙed 2 lety

    Ooohh panya road wana copy baadaee usiku wanaenda kutest

  • @nabirabakary4209
    @nabirabakary4209 Pƙed 2 lety

    mbona mnafanana sura jaman au nyie ni ndugu 😄😄

  • @godwinmwakibibi274
    @godwinmwakibibi274 Pƙed 2 lety +2

    Bro hatar sana huyu

  • @liciouscharles3370
    @liciouscharles3370 Pƙed 2 lety

    đŸ€ŁđŸ€ŁđŸ€ŁđŸ€ŁđŸ€ŁđŸ€ŁđŸ€ŁđŸ€ŁđŸ€ŁđŸ€ŁđŸ€ŁđŸ€Ł "UNAJUAAAAAA WEEEEEEEE"
    đŸ€ŁđŸ€ŁđŸ’”đŸ’”đŸ’”đŸ’”
    "HUNIAMBIII KITU UJUEEEEEEE"

  • @alexandermilanzi9860
    @alexandermilanzi9860 Pƙed 2 lety +4

    Daah! Jamani mimi natafuta wanapo fundisha WING CHUN anayejua yeyote naomba anielekeze🙏🙏🙏🙏

  • @gadielpaulo8925
    @gadielpaulo8925 Pƙed 2 lety +5

    Inachukuwa muda gani kupata mikanda yote 7?

  • @pascaljoseph1075
    @pascaljoseph1075 Pƙed rokem

    Sensei taifa nakusikiaga 2 nafrah kukufaham

  • @hamzahassan1944
    @hamzahassan1944 Pƙed 2 lety +1

    Eti ukivaa nguo hz ushajua ngumi

  • @gadisonmichael7805
    @gadisonmichael7805 Pƙed 2 lety +2

    ich,ni san,shi,go,ruk,sich,hach,kuu,juu

  • @catherinemuhagama7338
    @catherinemuhagama7338 Pƙed 2 lety

    Mm pia ntajfunza hii ktu kwa ajil ya kujilnda mana dunia ya sasa uonevu umezd nkjua hii ktu mmeisha,uknigusa nakuvunjađŸ€ŁđŸ€ŁđŸ€Ł

  • @ismailmashimba3470
    @ismailmashimba3470 Pƙed 2 lety +4

    Huu mzezo naupenda sana ila du majukumu noma

  • @hasanainkhalid5367
    @hasanainkhalid5367 Pƙed 2 lety +1

    Okapi

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 Pƙed 2 lety +1

    Zembwela noma sana wewe

  • @sleyyumsaid8479
    @sleyyumsaid8479 Pƙed 2 lety

    As

  • @tadhialawi6146
    @tadhialawi6146 Pƙed 2 lety +2

    Sasa nyie chukueni Haya mafunzo ya Babu kwenye video, alafu tukutane mtaani Kama ujafa wewe 😂 watu tumeshavulugwa 😂 kaleti za mitaani zina eliminated yake pia 😅

    • @thabitisimba1143
      @thabitisimba1143 Pƙed 2 lety +1

      đŸ€ŁđŸ€ŁđŸ€ŁđŸ˜‚đŸ˜‚Hawajui mtaa tupo wazee wa street fighting

    • @shukuranikibona5893
      @shukuranikibona5893 Pƙed 2 lety +1

      Usije ukadanganywa , jaribu uone labda kwa mawe na bunduki!!!

  • @kurumwagodfrey7052
    @kurumwagodfrey7052 Pƙed 2 lety

    Mmmmhhh Babu kumbe ndo maana ulimpeleka polisi polisi

  • @abdulqadirramadhani
    @abdulqadirramadhani Pƙed rokem

    Master samahani nikitaka kujiunga na wewe kwenye dojo yako utaratibu ukoje?

  • @inocentgalinoma9544
    @inocentgalinoma9544 Pƙed 2 lety +3

    😅😅..kabeba beba Makopo ya rang...đŸ€ŁđŸ€ŁđŸ€Ł

  • @mikeotada1690
    @mikeotada1690 Pƙed 2 lety

    Mwalimu uyu amewai kutufundisha apa Arusha west coast

  • @issasaidy4987
    @issasaidy4987 Pƙed rokem

    Uku mkoa wa Lindi akuna ata seem Moja muje bhana mwalimu ufundishe

  • @rafikingango
    @rafikingango Pƙed 2 lety +3

    Hii ni Baraka sana đŸ”„đŸ”„đŸ”„đŸ”„đŸ”„đŸ”„đŸ‘‰đŸŒđŸ‘‰đŸŒđŸ‘‰đŸŒ
    czcams.com/video/cgb-mXBbADk/video.html

  • @shainagoodrack9732
    @shainagoodrack9732 Pƙed 2 lety +1

    Me mwanamke ila napenda sana

  • @philippeter198
    @philippeter198 Pƙed rokem

    Panya Road wanapiga panga tu đŸ€Ł

  • @eliahmwakibolwa4516
    @eliahmwakibolwa4516 Pƙed 2 lety

    Babu nisaidie no ya mwalimu

  • @ahmadzubeir3363
    @ahmadzubeir3363 Pƙed 2 lety +2

    Nimecheza mchezo wa Judokan,combat,shotokan kwa sasa nina miaka mitano ndani ya mchezo huu. Judo nimecheza mika 7 na combat miaka 4 namshukuru Mungu.

    • @sabaizaderojaz8479
      @sabaizaderojaz8479 Pƙed 2 lety

      Combat ni style nawala sio aina ya karate na judokhan ni mtu anaecheza judo

  • @kudrahalfan5767
    @kudrahalfan5767 Pƙed 2 lety +2

    Mimi napenda Sana lakini pia sipendi uogovi

  • @mazingeandrea7921
    @mazingeandrea7921 Pƙed 2 lety

    Nipo Kibaha naitaji dojoo