MILLARD AYO, ADAM MCHOMVU NA WENGINE WAMUAGA GARDNER KIJIJINI KWAO TARAKEA, ROMBO

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 22. 04. 2024

Komentáře • 63

  • @PriceousJohnson-dn6jp
    @PriceousJohnson-dn6jp Před měsícem +2

    Polen sana jaman Mwenyezi Mungu ampe pumziko la milele 😢

  • @CharlesKavishe-kl5bv
    @CharlesKavishe-kl5bv Před měsícem +3

    Poleni sana pole familia ya gadnar g abashi ila sijamuona Musa Hussein why

    • @Mina.15
      @Mina.15 Před měsícem

      Wewe unatafuta ubaya 😂😂

  • @user-pf1tb5ic2h
    @user-pf1tb5ic2h Před měsícem

    Kiukweli inaumiza sana R.I.P captain Gadner Mungu awatie nguvu wanafamilia wote hakuwa na baya na mtu yeyote yule

  • @FavourTemu-cm6hp
    @FavourTemu-cm6hp Před měsícem

    Poleni sana wafiwa nizaidi y maumivu Rlp capten😭😭😭

  • @nelianevisi1730
    @nelianevisi1730 Před měsícem

    Poleni sana wapendwa Mungu awape nguvu

  • @estamohe847
    @estamohe847 Před měsícem +1

    Poleni sana wapendwa bt RIP ndugu

  • @user-em4zz3lh1h
    @user-em4zz3lh1h Před měsícem +1

    Poleni Sana sana Clouds Media Group na familia yote. Apumzike kwa Amani Gadner

  • @user-dc8xu7cr2t
    @user-dc8xu7cr2t Před měsícem +2

    Nilikua namkubal san bro mpk nikampa jina lake mwanangu pumzika kwa amn kaka

  • @MesaHassan-dm7ec
    @MesaHassan-dm7ec Před měsícem

    Poleni jaman mungu awape subr

  • @Zubaiba
    @Zubaiba Před měsícem

    Poleni sana ndugu zangu

  • @user-sn6dc9gh8k
    @user-sn6dc9gh8k Před měsícem +1

    Jmn mi nikiskia hicho kipenga cha jahazi naumia hatar jmn😢😢😢😢nenda2 baba

  • @syliviaibrahim5315
    @syliviaibrahim5315 Před měsícem

    Pole sana apumzike kwa amani

  • @LetilisiaMasinga
    @LetilisiaMasinga Před měsícem +1

    Sijuu niandike nn ni maumivu makubwa mno kiukweli poleni sana wanahabari wote na watu wote😭😭

  • @user-ll9so3pk4j
    @user-ll9so3pk4j Před měsícem

    Poleni sana wafiwa

  • @MonicaKaskazi-ju2is
    @MonicaKaskazi-ju2is Před měsícem

    Poleni sana Clouds

  • @victoriajuvenilleshirima3313
    @victoriajuvenilleshirima3313 Před měsícem +1

    Warombo tumepoteza icon

  • @FredMeitamei
    @FredMeitamei Před měsícem

    Asee Mungu mpe nguvu Bantu kipindi hiki kigumu.

  • @RechoAyo
    @RechoAyo Před měsícem

    Polen sana wapendwa

  • @SamwelKipenzi
    @SamwelKipenzi Před měsícem +1

    Anapokufa mtu nawe upo hai, MUNGU anatukumbusha ipo siku mimi nawewe tutukuwa km huyu,, siku ikifika kwako utakuwa wapi mwanadamu. Kuna kufarijiwa na kuumizwa, Mbinguni na motoni soma Biblia Luka 16:19--31 MUNGU anatubainishia hapo.

  • @judyngowi391
    @judyngowi391 Před měsícem

    Kweli kabisa kwani Mussa Husein yupo wapi?

  • @markmushi8940
    @markmushi8940 Před měsícem

    R.i.p mpendwa gadner

  • @peninashungu6633
    @peninashungu6633 Před měsícem

    Hapo waliotoka dar wote wamelewa sheria ya kupeleka msiba moshi ni lazima upitie sanyajuu lazima upige 🍺🍺

  • @goodluckngoi2599
    @goodluckngoi2599 Před měsícem +1

    Amelala G

  • @barakakusa7606
    @barakakusa7606 Před měsícem

    Nikiwa kama mclouzania kindaki nimeumia sana😢😢

  • @ShukurMkan
    @ShukurMkan Před měsícem

    Poleni jamani 😢

  • @NeemaSamson-ti8pc
    @NeemaSamson-ti8pc Před měsícem

    Duniani tunapita pumzika kwa amani kaka gadner sote kwake tutarejea

  • @chaguolamoyomaluli697
    @chaguolamoyomaluli697 Před měsícem

    Musa husein yupo wapi?

  • @MagnusWoisso
    @MagnusWoisso Před měsícem

    Apumzke kwa Aman

  • @user-mu1uf2rl4x
    @user-mu1uf2rl4x Před měsícem

    Rest in peace my brother G.G.HABASH😢

  • @petercostakisoka
    @petercostakisoka Před měsícem

    Rest in peace G

  • @nathanlusulo-po2lj
    @nathanlusulo-po2lj Před měsícem

    Waliohudhuria chukueni funzo ktk maisha

  • @marthaaugustinokimilike4228

    Da,jahazi😢

  • @Zubaiba
    @Zubaiba Před měsícem

    Innalillahi wainnalillah rajiun

  • @chaggatv818
    @chaggatv818 Před měsícem +5

    Wachaga tumempoteza Jemedari😢😭💔

  • @kettyym9859
    @kettyym9859 Před měsícem

    WACHAGA TUACHE POMBE JAMANI WANA ROMBO HALI NI MBAYA VIJANA WAMEIVA KWA GAMBE HAMNA TENA NGUVU KAZI. R.I.P CAPTEN KIPENZI CHA WENGI

    • @judyngowi391
      @judyngowi391 Před měsícem

      Kweli kabisa

    • @kettyym9859
      @kettyym9859 Před měsícem

      @@judyngowi391 yaani unaona wanaume wanatetemeka kisa pombe uwiiii sio jambo la kufurahisha jamani tunazikwa vijana wazee wanabaki na majonzi mnoo 😭😭😭

  • @user-zk1ho5ig2c
    @user-zk1ho5ig2c Před měsícem

    Rest in peace

  • @SijaOlomi-cm4cw
    @SijaOlomi-cm4cw Před měsícem

    Jingel ya jahazi honi ya jahazi sintahisahau RIP CAPTAIN G ABASHI I MISS YOU

  • @ElishaSolomoni-kc4zk
    @ElishaSolomoni-kc4zk Před měsícem

    R.I.P KAKA😭😭😭😭

  • @jumabonge8577
    @jumabonge8577 Před měsícem +1

    poleni sana ila waislam hawana mbwembwe sana

    • @asteriashios1852
      @asteriashios1852 Před měsícem +4

      Na ndogo maana Kuna ukristo na waislamu ni vitu viwili tofauti usifananishe hivyo hayakuhusu kwanini tufanane?

    • @NeemaSamson-ti8pc
      @NeemaSamson-ti8pc Před měsícem +3

      Jichunguze usivyokuwa na utu na kuendana na nyakati, ata wakati wa huzuni unaingiza udini, pole

    • @NeemaSamson-ti8pc
      @NeemaSamson-ti8pc Před měsícem +3

      Ata hiyo pole ni ya kinafiki,

    • @BelindaMgimba
      @BelindaMgimba Před měsícem +1

      una matatizo ww Mungu akusaidie

    • @malakimollel6044
      @malakimollel6044 Před měsícem +1

      @jumabonge Acha unaa

  • @violetelihoitakaale4324
    @violetelihoitakaale4324 Před měsícem

    😭😭😭😭😭

  • @SofiaMasawe
    @SofiaMasawe Před měsícem

    😢😢😢😢