RC CHALAMILA AMBANANISHA MKANDARASI, ASHINDWA KUJIELEZEA - ''MASWALI MAGUMU, TUKUTANE OFISINI''....

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 4. 01. 2023
  • RC CHALAMILA AMBANANISHA MKANDARASI, ASHINDWA KUJIELEZEA - ''MASWALI MAGUMU, TUKUTANE OFISINI''....
    Mkuu wa mkoa wa kagera Albert John Chalamila amesema ajaridhishwa na utekelezaji wa mradi mwenye thamani ya zaidi bilioni 3 wa ujenzi wa shule ya wasichana ya kagera River iliyopo kijiji Rwambaizi kata Kanoni wilaya ya karagwe mkoani humo kutokana na mradi huo kutokamilika kwa mda uliyopangwa, ambapo ametoa maagizo kwa mkrungenzi wa halimashauri ya wilaya hiyo na mkandarasi wa mradi huo wa kampuni ya sure civil and Building contractor LTD pamoja na Lucas Contaractor LTD kwa kuwataka kufika ofisini kwake kwa ajiri ya kujadili kwa kina namn ya kumaliza mradi huo ili wanafunzi waweze kutumia madarasa hayo kama maelekezo ya Raisi Dkt samia Suluhu Hassan yanavyoelekeza.
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 713 750910)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Komentáře • 65

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Před rokem +3

    SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ

  • @jtheophil5499
    @jtheophil5499 Před rokem +3

    Kama ni mkuu wa mkoa Kagera tumebarikiwa sana.Mabadiriko makubwa tunayaona.Baada ya masawe uyu ndio mkuu wa mkoa wa kagera nimemuelewa.Kizuri zaidi ni kichwa.Ginga like kama unamkubali RAC Chalamila

  • @faustinluambano2958
    @faustinluambano2958 Před rokem +1

    Mwalimu Chalamila kazi nzuri.Hata nusu yenu mngelikuwa anaelewa mnachofuatilia kwa kiwango hicho utendaji mbovu unelipungua.

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 Před rokem +6

    Hapo RC chalamila ameshashiba taarifa kutoka kwa wazee wa kazi...mfumo umeshafanya kazi yake. Anauliza kwa mbwembwe sana.. Miradi mingi ya serikali inasuasua kutokana na watu wa system nao kuwekwa mfukoni

  • @simonrevocatus3919
    @simonrevocatus3919 Před 11 měsíci

    Very wise question!Safi Sana Chalamila!

  • @samsongechamet5374
    @samsongechamet5374 Před rokem +1

    Mkurugenzi Nyamunda habari na hongera.

  • @amalikakiva4937
    @amalikakiva4937 Před rokem +4

    Hapo amna kzi hyu jamaa msanii 2

  • @anethmrema7809
    @anethmrema7809 Před 4 měsíci

    Notable figure

  • @mugemainyas5241
    @mugemainyas5241 Před rokem

    Mambo mengi sana ya ovyo mkuu. Walaji wako mjini ukiendelea hivo utapigwa chini mkuu. Mungu tu atunusuru

  • @ludovickbenjamin6104
    @ludovickbenjamin6104 Před rokem +1

    Chalamila ni magufulii aseee, iyoo mahesabu alooo noumaaa

  • @saidshaban7695
    @saidshaban7695 Před 11 měsíci

    Magufuli Huyu🎉

  • @albertbunyinyiga7581
    @albertbunyinyiga7581 Před rokem

    Bigup RC

  • @badenbensoni7516
    @badenbensoni7516 Před rokem +2

    Swali la Rc zuri mno

  • @SaidSaid-ef8md
    @SaidSaid-ef8md Před rokem

    Chalamila huyu lazima alikua mwanafunzi wa magu, yani yupo ki professional,

  • @bongo39
    @bongo39 Před rokem

    Safi kaka uko vizuri ila uzudi kufatilia wako wengi wanatubambikia wakishirikiana na wahusika wa serikalini waliopewa hayo majukumu

  • @mwinukafundibombanjombe
    @mwinukafundibombanjombe Před rokem +1

    Keep on doing our work Mr Rc😘

  • @jastinkanjost4454
    @jastinkanjost4454 Před rokem

    Keep up hon.🔥🔥🔥

  • @MAJALATV485
    @MAJALATV485 Před rokem

    Mkuu umetisha sana

  • @constanciapeter2497
    @constanciapeter2497 Před rokem

    Genius RC🥳

  • @bolemboalenge2325
    @bolemboalenge2325 Před rokem +2

    Magufuli Hoye

  • @yothamgwanika9530
    @yothamgwanika9530 Před rokem

    Safi sana mkuu wa mkoa

  • @chachawambura4030
    @chachawambura4030 Před rokem +2

    Jamaa kala shule, huyu ni Civil engineering. Anachambua vitu kiufundi

  • @amosdickson6318
    @amosdickson6318 Před rokem

    Kiukweli Chalamila ni Jembe. Mfikishieni taarifa aliyemuondoa Mbeya kwamba alituondolea Jembe letu. Mimi no Amos the Great from mbeya town tz

  • @servantofalmightygoddranth2511

    Mkuu wa mkoa chalamila mbane huyo jamaa aseme ukweli

  • @amalikakiva4937
    @amalikakiva4937 Před rokem +2

    Huyu mkuregenzi wa wapi!!mbna mzigo anangangania mtu slip we utumbo

  • @margarethsaramaki3966
    @margarethsaramaki3966 Před 11 měsíci

    Halafu kuna wakaguzi wa majengo hapo inakuwaje?

  • @amirnassoro
    @amirnassoro Před rokem

    Mambo

  • @amalikakiva4937
    @amalikakiva4937 Před rokem +1

    Ngangania mkuu wa mkoa hyu mkurugenzu kilaza.

  • @rahimaaaaa8699
    @rahimaaaaa8699 Před rokem

    Chalamila.apewe TAMISEMIMNI HAZINA
    YA TAIFA

  • @kaliskaguzkalis4424
    @kaliskaguzkalis4424 Před rokem +1

    Hawa nao magu magu ye ye ameshamaliza yke

  • @fidelisnairowa6121
    @fidelisnairowa6121 Před rokem

    sinaga wacwac ukiwa site chalamila

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 Před rokem

    Kaxi endelea kweli simama imsra msema kweli

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 Před 11 měsíci

    mambo ya MKATABA HAYO 😂😅

  • @peterkabeke362
    @peterkabeke362 Před rokem +3

    Magufuli son

    • @mathewtwimanye92
      @mathewtwimanye92 Před rokem

      Kuna jamaa mmoja amevaa kijani kashiba kweli sijui ndo mmoja wa wajumbe ha ha ha ha sijui kama anapataga njaa

    • @mathewtwimanye92
      @mathewtwimanye92 Před rokem

      Chalamila upo vizuri, hizi titles za eng.wanazani ni cheo na sifa wakati akili zao zimejaa tope wanazaririsha fani za watu

    • @kabwelasutiviraka4765
      @kabwelasutiviraka4765 Před rokem +1

      Kijana wa Magufuli vijana wa Magufuli wana uwezo mkubwa wa kufikiria na kuchambua mambo

    • @ufugajiwetu7782
      @ufugajiwetu7782 Před rokem

      Kumbe ni mwanae ni mtoto wa ngapi

  • @musaguga
    @musaguga Před rokem +2

    charamila akiongea namuona magufuli kabisa

  • @margarethpolepole7438

    Hamna kitu hapo mkuu wa mkoa rushwa imetembea hapo

  • @ufugajiwetu7782
    @ufugajiwetu7782 Před rokem

    Yan mtu Mzima Na Shule kaenda anaogopa kujieleza

  • @amalikakiva4937
    @amalikakiva4937 Před rokem +3

    Huyu mkuregenzi achunguzwe inaonekana ana maslahi apo!!!

  • @amiribakari2528
    @amiribakari2528 Před rokem

    Mradi tuu itokee..kwenye midia tatizo liko wapi..wa chini wote wanaelewa na hata yeye mwenye anajua ukweli

  • @leskaryjoram8832
    @leskaryjoram8832 Před rokem

    Chalamila umewapiga shule ma fundi

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 Před rokem +1

    Vijana wa JPM wana akili nyingi sana Comrade Chalamila anachambua mambo kisayansi. Samia ameona aibu hadi amemrudisha ukuu wa mkoa na alitakiwa apewe wizara kama Tamisemi . Na Rais Majaliwa na waziri mkuu Chalamila nchi ingesonga sana

  • @margarethsaramaki3966
    @margarethsaramaki3966 Před 11 měsíci

    Mbona kuna wakagua majengo au inakuwaje?
    Na je mkuu wa mkoa ana madaraka gani hasa maana wengine wanakuwa beyond the boundary
    Naomba kujua please maana kuna mikoa ambayo tupo na mkuu wa mkoa hayuko kasi kakaa katulia je kwanini wengine wamepoa na wengine wanafuatilia utendaji wa kazi kuna nini?

  • @amalikakiva4937
    @amalikakiva4937 Před rokem

    Huyu mkuregenzi bogasi

    • @shukranitv2971
      @shukranitv2971 Před rokem

      Syo mkurugenzi amekaimu tu huyo ni mwamasheria

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 Před rokem

    Haya ndio wanayotaka watanzania wengi huu ndio ukweli utake usitake Kama chalamila anavyofanya ukitaka upendwe shauri lako

  • @uhurunyereremusa8592
    @uhurunyereremusa8592 Před rokem +2

    naona Chalamila anatafuta kiki utendaji kazi wa kujionyesha kwy TV umepitwa na wkt Magu hayupo tena. evaluator wa majengo ndio anayepaswa umuoji haya maswali kabla ya ujenzi haujaanza

    • @mathewtwimanye92
      @mathewtwimanye92 Před rokem +2

      Acheni wivu kwani alikuambia amewaalika watu wa TV? Watu tunachonga sana, jambo likifanywa kimya kimya mnasema pia duh mbongo bwana shida

    • @emmanuelmkama3000
      @emmanuelmkama3000 Před rokem +1

      Acha kiherehere

    • @kabwelasutiviraka4765
      @kabwelasutiviraka4765 Před rokem

      Chalamila ana akili kubwa kuliko ukoo wako wote ana hoji mambo ya msingi na mfuatilie huyu Magufuli’s son ana thinking capacity kubwa sana kuliko average Tanzanians

    • @RobbyDejan1234
      @RobbyDejan1234 Před rokem +1

      Kwahiyo mkuu ulitaka afanyeje na anaeka wazi kwa wananchi na ndio wanalipa makodi, tozo ndani ya nchi kuna ubaya gani wananchi wakifahamu hela zao zinavyotumika kiupuuzi..

    • @uhurunyereremusa8592
      @uhurunyereremusa8592 Před rokem

      @@mathewtwimanye92 aliyewaita ni Chalamila kwa jili ya Kiki maswali anayomuuliza mkandarasi kuhusu vibali ilibidi yaulizwe kabla ya kupewa hiyo kazi. chalamila inabidi akawaulize waliompa kazi mkandarasi kwani hawakujipa hiyo kazi.

  • @ishengomanelson
    @ishengomanelson Před rokem +1

    Sasa mkuu wa mkoa unaongea nini? Badala ya kufanya ukaguzi kwa vitendo weee unakaaa eti kuonyesha weredi. Umeisha anza Uhaya na wewe. Fanya kazi acha porojoporojo.