YANI WATOTO WA MASANJA WOTE HAWATAKI SHULE

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 5. 09. 2021
  • Karibu Kanisani Free church siku za ibada ni
    Jumatano saa9 -12 jioni
    Ijumaa saa 9-12 jioni
    JUMAPILI IBADA INAANZA SA4 MPKA SAA8 MCHANA
    Kwa maombi / maombezi au jinsi ya kufika kanisani tupigie kwa namba
    +255 713 855 855 MUNGU AKUBARIKI
  • Hudba

Komentáře • 103

  • @monicamwalle1690
    @monicamwalle1690 Před 2 lety +37

    Mi ni mzazi,mtoto kumsuka nywere nyingi kama izo na kumwongezea mauzi kwa kitaalam mishipa ya kichwa cha watoto haiko imara rahisi kuvilia damu ndani na kupoteza maisha,ninauthibitisho kuna watoto wamepoteza maisha kwa kusuka mauzi,hizo nywele hata wenyewe zinatuuma sana hadi tunapaka dawa ya maumivi

  • @judyjudy2758
    @judyjudy2758 Před 2 lety +1

    Baba kaingizwa cha kike na wanae ,pole ndio ulezi huo utamu wakuitwa mzazi👏👏👏👏👏

  • @joycetematema1324
    @joycetematema1324 Před 2 lety +1

    Nimeipenda

  • @agathathobias8690
    @agathathobias8690 Před 2 lety +10

    Tuliwamiss baba na mwana kumbe na Kaka ameanza shule

  • @GloriousRestorationTV
    @GloriousRestorationTV Před 2 lety +2

    Askofu dunia ilibarikiwa sana kuwa na wewe...

  • @noelambondeka6942
    @noelambondeka6942 Před 2 lety +1

    napenda unavyo ishi nawanao saf sana

  • @welisimakidi6556
    @welisimakidi6556 Před 2 lety +2

    💗💗💗💗💗💗♥️♥️♥️

  • @johnjuma3345
    @johnjuma3345 Před 2 lety +1

    Vituko kama vyako kusoma ni kazi

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 Před 2 lety +3

    😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 just funny and sweet family time

  • @veeJesus
    @veeJesus Před 2 lety +1

    Kumbe ana wawil saiv

  • @jaberjohn7556
    @jaberjohn7556 Před 2 lety +7

    Masanja is there a way you could be nice and tell your son, please put your water down here. Instead of put water here. Also help me to teach Elia to say No thank you instead No. Remember charity begins at home. If she start saying No it will be No No. And if you teach him No thank you she will.grow knowing No thank you and is very positive.

  • @jerryjuma1339
    @jerryjuma1339 Před 2 lety +1

    you have to pray for this kids masanja

  • @sheillalukuba4526
    @sheillalukuba4526 Před 2 lety +4

    Shanga nyingi sana kichwa cha mtoto analala vipi!

  • @mwastimsingi9373
    @mwastimsingi9373 Před 2 lety +1

    Safi sana

  • @zuwenasalim2794
    @zuwenasalim2794 Před 2 lety

    Tena dada umbembeleze vzr maana unajuaga ulimkosea mapema

  • @suleimansamweli7316
    @suleimansamweli7316 Před 2 lety +3

    Du watoto wenyewe sio kudeka

  • @rhodakisena6428
    @rhodakisena6428 Před 2 lety +1

    Watoto wakiwa wadogo Sana kukataa shule kawaida Mimi Nina wanne na katika wote Hilo swala lilinikuta kwa wote ila wakizoea hawakatai kabisa , tatizo umri miaka 2 na 3 Kuna shida hiyo.

  • @halimahalima1984
    @halimahalima1984 Před 2 lety +1

    Ni biti maringo kweli 😁😁😁kazi ipoo

  • @christinapatrick798
    @christinapatrick798 Před 2 lety +1

    😂😂😂 nawapenda jmn

  • @monicamwalle1690
    @monicamwalle1690 Před 2 lety +1

    Tabia za watoto urithi kutoka kwa wazazi,kama siyo mama au baba,na pia inaweza isitoke kwa wazazi bali kwa wazazi wa wazazi hadi kizazi cha nne asili inatembea,

  • @victoriabulambo2029
    @victoriabulambo2029 Před 2 lety +1

    Malezi ya nyanya nyanya jamaniiiiiiii

  • @murekatetegermaine6559

    Nirikuwa mwalimu wa watoto kama hao myaka 6 lakini mwalimu ndio wakwanza kuaca wanapenda shule ira watapenda kuna namna mbali mbali inayo aca mtoto anapenda shule.

  • @lizzybahati3739
    @lizzybahati3739 Před 2 lety +1

    😀😀😀😀

  • @tresiakaovela9109
    @tresiakaovela9109 Před 2 lety +1

    Nimapacha kumbe

  • @catherinemasiga6666
    @catherinemasiga6666 Před 2 lety +4

    Masanja Angelia Sana Makuzi ya watoto wako huyo wa kike anaonesha Kua na kiburi ila wewe unaona Kua masihara na utani.mtoto umleavyo ndivyo akuwavyo

  • @venitarugemalila9290
    @venitarugemalila9290 Před rokem

    Hawa watoto nao ni nyayo wachekeshaji

  • @elizamsemwa3161
    @elizamsemwa3161 Před 2 lety

    Malezi hivyo kabisa

  • @lispafulgence9983
    @lispafulgence9983 Před 2 lety +1

    Noo

  • @rehemarashidi7391
    @rehemarashidi7391 Před 2 lety +1

    Huyu mtoto anaelemewa na manywele ndio maana hataki shule mpelekeni ufundi

  • @gracehizza8525
    @gracehizza8525 Před 2 lety +3

    Mtoto mnamsuka minywele mingi huo nimzigo kwa mtoto

  • @castobenjamin4074
    @castobenjamin4074 Před 2 lety +1

    Masanja bhana as if unaongea na watu wazimaa😂😂😂😂

  • @TeamKRX
    @TeamKRX Před 2 lety +1

    Sasa mtoto mdogo kinajua kasirika duu

  • @sheillalukuba4526
    @sheillalukuba4526 Před 2 lety +2

    Mtoto usimsuke

  • @bigboni3660
    @bigboni3660 Před 2 lety +2

    Watoto wanaridhi kwababa🙄🙄🤣 viv
    vichwa bangi

  • @aminaabdalla9949
    @aminaabdalla9949 Před rokem

    Jamani mnamsuka nini mtoto mdogo huyu kumjaza kichwa hivyo angalieni mitindo yawatoto yanywele pusscut au kilimanjaro tosha minyuzi tele kichwa

  • @hallin9561
    @hallin9561 Před 2 lety +4

    Inaonesha ata baba ulikuwa unaikimbia shule kinoma

  • @miriamsimwanza6371
    @miriamsimwanza6371 Před 2 lety +4

    Hawa watoto wanapishana miezi mingapi?

    • @sarahkadugu4367
      @sarahkadugu4367 Před 2 lety

      Kweli hakika, Watoto kuwasuka manywele sio vizuri wengi wamevutwa mishipa na wamekufa. Wazazi badirikeni, kusuka Watoto wadogo sio malezi

  • @agyjackkalwela6377
    @agyjackkalwela6377 Před 2 lety +5

    Mmmmh! Naona kama kuna kibuli kwa mbaliiiiiii sijui deko?

    • @rachelbahahazo6362
      @rachelbahahazo6362 Před 2 lety

      Kutoka kwa mama unamuonaje mkewe

    • @samwa9496
      @samwa9496 Před rokem

      inakuwa kwenye damu hiyo hapo hajakuwa kujua alifanyalo huwezi mjudge sasa ivi

  • @jacklinejoshua8014
    @jacklinejoshua8014 Před 2 lety +6

    Master mnawaharibu watoto kwa malezi mabovu mtoto anafanya anachokitaka mnafurahia hipo siku yatawatoka puani

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Před 2 lety

    👁👃🏼👁

  • @gradnessshitindishitindi4881

    Ila huyo wakike sjawahi muelewa mambo yake tofauti na wakiume

  • @ferdinandntembagara2949
    @ferdinandntembagara2949 Před 2 lety +8

    Ushauri wangu kwakua hii ni channel ya Tasso (Kaunda) Masanja awe na channel nyingne ambayo atakua anapost personal/Family issues. Let this be for church only

  • @najmaulaya8819
    @najmaulaya8819 Před 2 lety +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙄🙄🙄🙄🙄🙏

  • @boniphacebenson3424
    @boniphacebenson3424 Před rokem

    Sasa video hizo za Kashifa za mitandaoni watoto watapata aibu kwa maisha Yao yote kitendo Cha mama kilichotokea mtu kujiua na video za mchezo mchafu 😭😭

  • @tuliamakombe1623
    @tuliamakombe1623 Před 2 lety +1

    Kakike kajeuri

  • @gradnessshitindishitindi4881

    Sasa hako kabukta umevaa kaanin nje mtumishi wa Mungu?

  • @angelngoye4910
    @angelngoye4910 Před 2 lety +1

    😂😂😂😂😂😂😂

  • @shabanseif6914
    @shabanseif6914 Před rokem

    mtt wakiume kafanana na katibu

  • @zuwenaalamin8985
    @zuwenaalamin8985 Před rokem +1

    🤣🤣🤣

  • @Checkers_Tz
    @Checkers_Tz Před 2 lety

    🤣🤣🤣🤣utoto raha

  • @serafredrick5384
    @serafredrick5384 Před rokem

    Hahahah nimegundua kwan hawatak kwenda shule wanaona upendo wanaoupata nyumban jaman rahasana m nawapongeza Kwa kazin kubwa tatiz lawazazi weng wanaona kuishi na watot namna hiyo ni ujinga na kumdekeza hawajui kuwa mtt anajifunza vingi kupitia wazazi wao

  • @pendopendo7427
    @pendopendo7427 Před 2 lety +2

    Afu watot bado wadog kam uyo wa kiume agefikisha miak4 ndo umpeleke shule jman maan anakos usingiz jamni😮😮 ata ndo kusom atasom tu

    • @agriparose3942
      @agriparose3942 Před 2 lety +1

      Acha uzezeta wewe huo ndio umri sahishi wa mtoto kwenda shule we wawapi wewe

    • @pendopendo7427
      @pendopendo7427 Před 2 lety +1

      @@agriparose3942 zezeta ni wew a mbwa wew kwani lazim usom comment yangu nyau ulokosa mkia wew eti zezet koma na kome ten nyangau weeee

    • @agriparose3942
      @agriparose3942 Před 2 lety +1

      @@pendopendo7427 we mkundu wazi ungekua unajitambua usingeandia utapolo kama huo nyie ndio watu wa memkwa au QT usietambua umri sahishi wa mtoto kwenda shule miaka 4 wakwetu wapo darasa la kwanza wako subiri mtoto mkono ufike mwisho wa sikio...mswahili kina we tobo mbele nyuma,ungetaka isisomeke comment yako ungeandikia ndani ya huyo shoga anko unaembana na chupi kila Leo pwagu ubwabwa we

    • @agriparose3942
      @agriparose3942 Před 2 lety +1

      @@pendopendo7427 ukome we taahira tuliekuacha nyuma kwenye analog die digital watoto miaka 2 wanaandika jina lako la babako na bwanako

    • @pendopendo7427
      @pendopendo7427 Před 2 lety

      @@agriparose3942 taira ni ww mbon unapata muhaho na comment yang pit hiv konokono ww kwan lazim Replng comment yangu nyooo unasira za maumbile wew c bure😃😃😃😃😃😃😃 maan maneno yanakutoka kam shoga nyauba wew kaakwakutuli mshenzi wewe makasiriko yako peleka uko kwa mashoga wenzio

  • @ellybrown5989
    @ellybrown5989 Před 2 lety +1

    Masanja,Yani huyo mrembo anaona kama unamzingua Tu..🤣🤣🤣🤣🤣🤣,Jamani malezi ya watoto kazi kwelikweli.Ila Tua he yooote!Watoto ni zawadi toka kwa mwenye enzi,kazana Kaka watakuelewa Tu.

  • @GloriousRestorationTV
    @GloriousRestorationTV Před 2 lety +1

    Hahahaaaaaa! Why are you still nyonyaing....

  • @jenipherkavusha1661
    @jenipherkavusha1661 Před 2 lety

    Hahahaha

  • @kamongo7340
    @kamongo7340 Před 2 lety +1

    Askofu watoto wako wako Sawa nawaona bado wadogo Sana bado wanataka kufurahia Maisha ya utotoni wacheze wachezo ya utoto walale Hadi saa 3

  • @angelmwamsaga8758
    @angelmwamsaga8758 Před 2 lety +2

    Ni umri tu kaka, ila pia kuna factors nyingi kwenye hilo baadhi tu ni mazingira ya shule je! yanamotivate watoto kupenda shule?
    Interaction kati ya mwalimu na mtoto ipo? Mwalimu anainteract vip na watoto? Anawapenda au ni mkali?
    Pia motivation kwa watoto kutoka darasani ipo? Games zipo za kuwavutia watoto? Hizo ni baadhi tu maana watoto wa umri huu wanahitaji vitu vingi km upendo, michezo, ukaribu, urafiki.......

  • @jumaselemani591
    @jumaselemani591 Před 2 lety

    668ppĺ

  • @suleimansamweli7316
    @suleimansamweli7316 Před 2 lety +1

    Du watoto wenyewe sio kudeka