Meena Ally - Ajibu kuhusu Mahusiano yake na MillardAyo, Nimewasamahe wote waliosambaza Clip ya Uongo

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 4. 10. 2022
  • Meena Ali aongelea tetesi za Mahusiano yake ya Kimapenzi na Mtangazaji, MillardAyo hadi kuingia ukumbini Mlimani City wakiwa wameshikana Mikono kwenye Usiku wa Harusi ya Bill Nas na Nandy, Pia aongelea swala la video clip iliyovuja na kusema kishawasemehe wote waliohusika!
    Tazama Full interview hapa, Subscribe channel hii #LilOmmyTV #MeenaAlly #Podcast
    Part 1 - • Meena Ally - Nilidanga...
    Part 2 - • Meena Ally - Asimulia ...
  • Zábava

Komentáře • 72

  • @dullah__theking9529
    @dullah__theking9529 Před rokem +7

    Meena Akili kubwa sana🙌🏽

  • @pauldissoile658
    @pauldissoile658 Před rokem +2

    Very positive hongera sana Meena Ally

  • @omarymsangi6401
    @omarymsangi6401 Před rokem +4

    she is positive and I didn't expect atajibi....ivi I really like her naatafika mbali sana....honestly kile ndo kipimo sahihi chakugundua the way alivyo strong....nakubali sana hustle zake......and I promise atafika mbali mara amsini yaalipo fikia....dua njema kwake

  • @mussaalilah6866
    @mussaalilah6866 Před rokem +1

    Kizaz nakukubal an lilly ommy una inspire sn wallah

  • @upendofancy1781
    @upendofancy1781 Před rokem +6

    Meena you are my favorite...keep it up sis

  • @francobebeto9195
    @francobebeto9195 Před rokem +1

    Nimejifunza vitu Vingi kweli kipitia Meena Ally leo,Hongera sana bro @lilomy

  • @ernestmakomere9014
    @ernestmakomere9014 Před rokem +5

    The lady is truly cute

  • @fatumaibrahim8973
    @fatumaibrahim8973 Před rokem +2

    Safi sana meena Ally umeongea kwa utulivu mashallah 💓

  • @Roby-nw8sz
    @Roby-nw8sz Před 11 měsíci

    Nakupenda saan my kipenz meena Ally mungu akubarki Katka maish yako yote na Kaz ya mkono yako❤❤❤

  • @yasmeenaal4191
    @yasmeenaal4191 Před rokem +4

    Mi nawapenda mno sana mkiwa kwenye mahusiano

  • @mohamadmngaro7187
    @mohamadmngaro7187 Před 9 dny

    True ❤

  • @zacheevyizigiro9957
    @zacheevyizigiro9957 Před rokem +2

    The MVP🇧🇮🇿🇦

  • @amdunishomari2221
    @amdunishomari2221 Před rokem +3

    Kizaz sana liliommy

  • @richmontana1296
    @richmontana1296 Před 7 měsíci +1

    Dope

  • @user-lf6xo6sj7s
    @user-lf6xo6sj7s Před 6 měsíci

    Nakupenda meen all

  • @makatym6151
    @makatym6151 Před rokem

    Big brains

  • @realnine..
    @realnine.. Před rokem +7

    When two of my favorite meets........
    #Meenaally
    #LilOmmy

  • @maskinijeuri8428
    @maskinijeuri8428 Před rokem +2

    Meena Ally👏

  • @aureliayuktankabebwa5066

    YOUNG AND BRAVE ,Meena

    • @johnaman7056
      @johnaman7056 Před rokem

      Nakuelewa San mdad

    • @johnaman7056
      @johnaman7056 Před rokem

      We ni mfano wa kuigwa kwa wengi San kiufup kinawe Ng wanajifunza kutoka kwako

  • @mwajabujumanne9025
    @mwajabujumanne9025 Před rokem +5

    Lily Omy n mwamba San

  • @ilhammohammed4192
    @ilhammohammed4192 Před rokem +1

    Love you meena,unaongea vzr,unamajb smart,ur very humble Lady...Pambania ndoto zko utafik mbali sn Mamy.

  • @jazilambaji2789
    @jazilambaji2789 Před rokem +5

    Nyote!!Nawapenda,,Mina Ally napenda ukivaa km leo kitumbo hakionekan

  • @doktamathew
    @doktamathew Před rokem

    👏👏👏👏👏

  • @ramlaamiri5601
    @ramlaamiri5601 Před rokem +4

    Hpo kwa millard umetupiga meena bhn c useme ukwel tu😍

  • @oscarmkandya9032
    @oscarmkandya9032 Před rokem

    Moja ya watu ninaowakubali na kuwafuatilia kwa ukaribu sana ni huyu mdada Meena Ally Mungu akutunze sana kwa kweli,najifunza vingi kupitia wewe.

  • @benjaminiavani8368
    @benjaminiavani8368 Před rokem

    Benjamin ivan shabani💪

  • @amsiabbas3809
    @amsiabbas3809 Před rokem +2

    Yani huyu mdada nimdada ambaye anajielewa sijawahi kumdondosha Mungu ampe ujasiri

  • @hafidhali4336
    @hafidhali4336 Před rokem +9

    Askwambie mtu interview ili uinjoy umpate lily omy ,millad ayo ,salama na vido vidox.

  • @sasi_tv6702
    @sasi_tv6702 Před rokem +1

    LILOMMY UKO VYEMA SANNA INTERVIEW ZAKO BUT SHIDA UNAINTERFERE SANNA MZUNGUMZAJI INASUMBUWA KIDOGO

  • @00P288
    @00P288 Před rokem +2

    Wanaotoa hizo video chafu chafu wamekosa kazi za kufanya.

  • @shaabanramadhan6770
    @shaabanramadhan6770 Před rokem +3

    Inter view ya mtangazaji kwa mtangazaji ipo km story flani km simahojiano iko poa san

  • @mmn7480
    @mmn7480 Před rokem +1

    yule ww bhna

  • @raheemsammela5629
    @raheemsammela5629 Před rokem +1

    Namuona mtangazaji wa take one action cha cluody midia

  • @yasmeenaal4191
    @yasmeenaal4191 Před rokem +3

    Kwani chaa ajabu nini

  • @kondinhotv7091
    @kondinhotv7091 Před rokem +4

    Kawasamehe vip si alibisha sio yy

    • @Lisa-wv4jn
      @Lisa-wv4jn Před rokem +2

      Kuwa mulewa kasame Kwa wale walio sambaza uli video na kudai kuwa ni yeye

  • @japhetjoseph1772
    @japhetjoseph1772 Před rokem +4

    Hata mm siamin Kama ww unaujinga Kama ule

  • @IddyYussuph-iu9fm
    @IddyYussuph-iu9fm Před 8 měsíci

    Ukovizur mwana dada kwa kutangaza

  • @janembalinga7074
    @janembalinga7074 Před rokem +2

    kwan ayo si ameoa kwann asiwe anaenda na mkewe

  • @charlesmasele8454
    @charlesmasele8454 Před 8 měsíci

    🇹🇿🇹🇿

  • @saidimtinge5037
    @saidimtinge5037 Před rokem +1

    Dada fanyakazi wanawivutu binadamu pambana dada

  • @homesaickofficial7407
    @homesaickofficial7407 Před rokem +3

    Yule ni yeye sometimes ukiwa katika lile jambo la sex unaweza ukawa happy ata kwa kujulikodi ili iwe kama kumbukumbu ya furaha yako ikitokea gafra umegombana na mwenza wako anaweza akakuambisha tu.ili brand yako iwe mbaya

  • @Manswabu
    @Manswabu Před rokem +2

    Eti siwezi FANYA ivyooo kwani hautombwi ww si mwanamke

  • @ilungasalle
    @ilungasalle Před rokem +2

    Ommy bado uko limbukeni sana, unasema watu wasichafue watu maarufu kwa hiyo watu wasiotaka umaarufu inakuwaje, halafu influencer na pesa nyingi vingereza vingi kichwani bado sana dogo

    • @ufugajiwetu7782
      @ufugajiwetu7782 Před rokem +1

      He's poor in English kuna vimaneno amekalili had kero he is just reapeating all the time,too bored

    • @ilungasalle
      @ilungasalle Před rokem

      Ahaa kumbe umenotice he is not real. Like to look American with his little cramed statement which makes him look like a cartoon to smart people. Ushamba wakati mwingine bana

    • @hafidhali4336
      @hafidhali4336 Před rokem

      Wacheni ujinga bhana

    • @ilungasalle
      @ilungasalle Před rokem

      Mjinga ni huyo anayetaka umarekani angekuwa anaishi huku kama sisi si angeshaukana u bongo kabisa

    • @deborambutu9547
      @deborambutu9547 Před rokem

      @@ufugajiwetu7782 hivyo vijineno ndo vnanfanyaga ncmwangalie ad naona aibu mie anavyovirudiaga..🤣🤣....

  • @benjaminiavani8368
    @benjaminiavani8368 Před rokem

    Bigap meen nakukubali sana young sisiter

  • @janembalinga7074
    @janembalinga7074 Před rokem +1

    kwan ayo si ameoa kwann asiwe anaenda na mkewe

  • @japhetjoseph1772
    @japhetjoseph1772 Před rokem +2

    Hata mm siamin Kama ww unaujinga Kama ule