EXCLUSIVE: JUX AONGEA YOTE KUHUSU KUACHANA NA KAREN, AJIBU YA JACKLINE CLIFF NA MENGINE - PART ONE

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 8. 04. 2024

Komentáře • 218

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 Před měsícem +14

    Jux ana jitambua kumbe kiasi hiki aisee noma 💪💪💪

  • @erinoe5314
    @erinoe5314 Před 2 měsíci +47

    I love frida amani ..... ana kitu atafika mbali AMEN.

  • @SaidSaid-ef8md
    @SaidSaid-ef8md Před měsícem +18

    One of the best interviews, yani jux umetulia kwenye majibu.. Millard umeua na huyu sister Duu Ndo kabisaaaa ume relax unatupa mawe kwa utuliivu huna pressure. 😂😂😂 big sana 👌

  • @batakakutikuti5026
    @batakakutikuti5026 Před měsícem +8

    Nimependa anavyojielezea mara nying ukiulizwa kuusu ex wako utajikuta unamsema vibaya but him anawaongelea vizur nimependa tujifunze kitu Kwa kwel❤

  • @user-nj5qb4hc1l
    @user-nj5qb4hc1l Před měsícem +11

    Napendaga interview za jux hanaga konakona

  • @mwambaadijira7190
    @mwambaadijira7190 Před měsícem +4

    Jux kiukweli nakupendaga sana kwasababu uko mukweli nakuomba ujitahidi uendeleye kuwa n'a imani n'a kumukumbuka Allah kwa sababu n'a yeye hajawahi kukusahau ❤

  • @tedymwalwaka4722
    @tedymwalwaka4722 Před 2 měsíci +17

    Jux umeongea kitu Cha Maana sanaaaa Ila hakikisha unatimiza lengo lako Maana umesema unatamani watoto wako wawe wa Baba moja na Mama moja au kupata mke ambae kifo ndo kitawatenganisha inabidi umuombe MUNGU SANA Maana atakupa

  • @btylove1870
    @btylove1870 Před měsícem +10

    Katika wasanii humble na wenye heshima ni Jux. Nampenda sana🥰. Interview poa sana 🙏

  • @jade75798
    @jade75798 Před měsícem +11

    Zaa tu usiogope mimi nina watoto saba .zaa mwingine nletee nikusidie kumlea i mean kumpatia security .usiogope kabisaa maisha .mtoto wako ndio atakuwa rafiki yako .mimi wanangu ndio marafiki zangu napiga nao story mpaka nasikia raha japo sina sana but im very happy na hivyo sitakufà haraka .maana najua Mungu hawezi kunichukua nikaacha hawa watoto .Ameen

    • @rose_Winchester86
      @rose_Winchester86 Před měsícem +1

      Watoto saba 😂😂😂

    • @jade75798
      @jade75798 Před měsícem +1

      @@rose_Winchester86 ndio ndugu yangu .wewe huna watoto ?au mtoto?

  • @berthawilliam8313
    @berthawilliam8313 Před 2 měsíci +10

    Nimepanda hii interview 🎉superb

  • @yonasmrope9372
    @yonasmrope9372 Před měsícem +40

    Kama unamkubali millard ayo gonga like za kutosha

  • @alibinali_
    @alibinali_ Před 2 měsíci +10

    Masha'Allah Ramadan Kareem Wa Saum Maqbul Insha'Allah... May Allah protect you from hasad

  • @Babygirl758
    @Babygirl758 Před měsícem +7

    I started listening to this interview a bit skeptical, however now i respect the guy .. he’s truly really humble

  • @liannsambu7264
    @liannsambu7264 Před 2 měsíci +18

    Ayo nimependa ulivyogeuza concept ya cheating na kufungua kabat la jux 😂😂😂 smart technical questions, hii ndo ufunze watu wako uloajiri siyo yale maswali yao , kwa haraka haraka unaingiza sh ngapi

  • @shabanizena2612
    @shabanizena2612 Před měsícem +10

    Ni kweli.nina muonekano wa mtu mwenye hela ila sina hela kabisa.mungu mdio mjuzi wa mambo yangu

    • @jeromemwingira7877
      @jeromemwingira7877 Před měsícem

      😂😂😂😂 hiyo inakuwaga sana, sababu unaweza kuwa unamatatizo, unawaambia masela, halafu wao hawakuelewi hawaaamini yani. Lkn hiyo ni nzuri bro inamaana unyota ya kufanikiwa. Uhauri wangu tu kutjmia huo muknekano wako unaweza tafuta connection na watu wenye mafanikio na wewe waweza kufanikiwa kea njia hiyo

  • @user-xm5dp6px5w
    @user-xm5dp6px5w Před měsícem +1

    Mimi simujuwi huyu jux lakini naona anahakili nyingi sanaaa tena sanaaa !❤Mngu akubaliki natena akufikishie lengo lako ,Mngu nimuweza wayote tuuu uwendeleye njiya nzuli inapendezesha Mngu yote yatatimiya ,siye tunashugulika lakini mngu alitupatanisha na ambao hakili zimecanganyikia mwisho vikanshindikana😢😢lakini kilakitu Mngu ndoo anajuae ✌️❤️.

  • @Ms_judy
    @Ms_judy Před 2 měsíci +72

    Kama unamkubali jux tujuane kwa like❤

    • @mwajabumangare6965
      @mwajabumangare6965 Před měsícem

      kx m,.,
      x.z.zkskxkxmxmdmdmxlxmxkxlzmzzm dkddkdjd nc xkdkdkls cwkkqoskzM

  • @zeddymourice4249
    @zeddymourice4249 Před měsícem +5

    Mtoto wakitaa kimara baruti,respect juma jux

  • @janetdundul3858
    @janetdundul3858 Před 2 měsíci +8

    Kajitaidi kufunga sana ongera jux

  • @user-jt2yf2wd5b
    @user-jt2yf2wd5b Před 2 měsíci +11

    Mungu atakuwezesha utasali swala zote

  • @user-re3sv8zz2z
    @user-re3sv8zz2z Před 2 měsíci +13

    Gelfrnd alofkia nae kutaka kuoa ni vanesa na huyu atajutia sana hatodumu mahusiano karma ta Vmane hii😢

  • @malaikaWambugha
    @malaikaWambugha Před měsícem +2

    He speaks Soo well of his exes ,,hope he finds a good wife wishing you all the best Jux ,,may the stars align for you all the best

  • @aishamwinyi7820
    @aishamwinyi7820 Před měsícem +4

    Jux mim nakupenda kama vip karibu kwenye ulimweng wang tujenge familia napatikana zanzibar 💕

    • @LeilahRashid-fg3pt
      @LeilahRashid-fg3pt Před měsícem

      Tafuta kazi ufanye uache ujinga

    • @aishamwinyi7820
      @aishamwinyi7820 Před měsícem

      @@LeilahRashid-fg3pt kwa kaz tuu kipenzi alhamdulillah nina stationary yang tena kubwa tuu napatikana amani zanzibar mkabala na uwanja wa aman taifa ukifika tuu ulizia Ijmal stationary utaletwa na ilo Ijmal ni jina la mwanang nimeandika office yang jengne nikisaidis

    • @ahmedsalmy_
      @ahmedsalmy_ Před měsícem

      sawa tutakujaaa

  • @miriamkanana-kh6mu
    @miriamkanana-kh6mu Před měsícem +2

    Jux so professional answering questions

  • @vannie-gggg
    @vannie-gggg Před 2 měsíci +4

    Naombeni mnikutanishe naye please😢 msanii wangu pendwa❤

  • @beniec.e4569
    @beniec.e4569 Před 2 měsíci +10

    Nilisikia "nomatawale" pale jamaa walivosema "no matter what" 😂😂😂😂..dah, when english ain't ur thing unasikia vitu vya ajabu sana watu wakiongea kizungu bana

  • @voiclove8153
    @voiclove8153 Před 2 měsíci +10

    Kama unamkubali juma jux bad nipe like hata kama so ya upendo 🙏

  • @sashawambura
    @sashawambura Před měsícem +5

    Millard hakuwepo kabisa kwa hiyo interview...ameuliza maswali ambayo Jux alishaeleza..ni kama hakua focused

  • @ambo_254
    @ambo_254 Před měsícem +2

    interview Safi ,I just like the way he answers the questions.my favourite artist always.🥰🥰🥰🥰.

  • @dotnatajoseph2620
    @dotnatajoseph2620 Před měsícem +2

    Ila jux nimemkubali Kwa aina ya mwanamke anaetaka kumuoa safi kujisimamia ni vizur sana hata kama mume hayupo good

  • @kuvukiboy400
    @kuvukiboy400 Před měsícem +8

    Brother Millad mtafute kijana mtanzania mmoja he/she asie na chochote fanya nae interview nakuhakikishia utakuwa umemsaidia sana huyo mtu tunakupenda millad . #back to the community 🤝👊

    • @neemacute
      @neemacute Před měsícem

      we umeongea point coz kuna vijana wengi mtaani wana talent kaka millard tuna kuamini mfano kuna kijana ana itwa ivorange ana jua sana akina vanilla akina hanstone

    • @estherboniphace2430
      @estherboniphace2430 Před měsícem

      Afanye nae interview kuhusu nn?!

  • @catherinekiwipa9271
    @catherinekiwipa9271 Před měsícem +5

    Nimepitia kama jux kuachana na mtu bila 7bu za msingi inaumiza sana inatokea tu

  • @user-iw4se1og1z
    @user-iw4se1og1z Před 2 měsíci +8

    bro yupo open sana i like that

  • @azizchanyoya5403
    @azizchanyoya5403 Před 2 měsíci +6

    Mbona km nime fit kwenye vigezo vyako juma 😅😅

  • @Stunners4Life
    @Stunners4Life Před 2 měsíci +2

    Jux una Mungu mkubwa sana. Umeweza kuwa Karibu na furaha yako ya milele

  • @user-pu6pr5jt4n
    @user-pu6pr5jt4n Před měsícem

    ALLAH AKUJALIE UPATE MKE MWENYE KHERI NA WW JUX❤

  • @user-pu6pr5jt4n
    @user-pu6pr5jt4n Před měsícem +3

    Jux❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 Před 2 měsíci +4

    Umeongea vzr sn utapata mke mwema mtangulize mungu

  • @BarakerZeonlist
    @BarakerZeonlist Před měsícem +1

    so much love jux

  • @Yygrrdd
    @Yygrrdd Před měsícem +4

    Jux 👍🏿

  • @user-mp4lf4ji8k
    @user-mp4lf4ji8k Před měsícem +2

    Juma nimemuelewa sana ❤❤❤❤❤

  • @user-oy8sb7jg3s
    @user-oy8sb7jg3s Před měsícem

    Uko vizuri kwakweli nimekupenda kwa ajili ya allah

  • @user-pu6pr5jt4n
    @user-pu6pr5jt4n Před měsícem

    Jux hapo kwa miaka HAPANA😂😂😂😂😂ILA NAKUPENDA JUX❤❤UNAIMBA👌UR SONGS👌😍

  • @PaulinaGeraz
    @PaulinaGeraz Před 2 měsíci +1

    ❤ you sana jux

  • @bintikays6188
    @bintikays6188 Před měsícem

    the composure on jux when he answers the questions

  • @clementineselemani6699
    @clementineselemani6699 Před měsícem +3

    Mchukuwe bs uyu mdada.ni kama anakuwaga na hutu ndani yk ,naamini mnaweza mkadumu 😘😘

  • @maijamtoso5673
    @maijamtoso5673 Před měsícem

    One of the best.

  • @darmagazine
    @darmagazine Před 21 dnem +1

    it was nice interview

  • @karennimrod1527
    @karennimrod1527 Před měsícem +3

    Jaman part 2 iko wapi 😢😢

  • @reginamichael-eh8yy
    @reginamichael-eh8yy Před měsícem +1

    Nimpend sana jux❤

  • @soudbako5925
    @soudbako5925 Před 2 měsíci +1

    NICE

  • @medyamon
    @medyamon Před měsícem +1

    Bhanaaa this interview was so good and therapeutic kwangu! But is Jux on a therapy?!

  • @Faraday13
    @Faraday13 Před měsícem +2

    Sema mwamb mbunifu sana !!

  • @SmilingCorgi-pr9bn
    @SmilingCorgi-pr9bn Před měsícem +4

    😂😂 una date na kale katoto kanasomagaa habary😂😂😂 nomaa san milan

  • @TinahFrank
    @TinahFrank Před měsícem +1

    Nakupenda Sana paka naumwa

  • @Babygirl758
    @Babygirl758 Před měsícem +1

    You’ll find your soulmate 💔 you’ll find your forever girl

  • @Abdallahomary-fw8pq
    @Abdallahomary-fw8pq Před 2 měsíci +3

    ❤❤

  • @francomwacha2262
    @francomwacha2262 Před 2 měsíci +4

    Millard ana maswali ya mitego sana very professional 😂

  • @user-mo6tr3yt3m
    @user-mo6tr3yt3m Před měsícem +1

    Jux All the best una baya mwamba wangu

  • @danielbihuzu2365
    @danielbihuzu2365 Před 2 měsíci +3

    I missed you guys may the lord keep you alive 😊 From Cape Town

    • @anthonikombakomba-fr6hl
      @anthonikombakomba-fr6hl Před měsícem

      Pezula musandawana mamelodi 😅😅😅😅😅😅😅

    • @danielbihuzu2365
      @danielbihuzu2365 Před měsícem

      😂😂😂 I see you’re still hangry but don’t I’m Congolese and my club is TP mazembe

  • @NasfordHarbab
    @NasfordHarbab Před měsícem +1

    Big up sna jux...m2 pic sna

  • @The_PodHub.
    @The_PodHub. Před měsícem +1

    Jux anajua🎉

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing Před měsícem

    Kwel Jux Kaongey Fact Xana 👌

  • @davidmuneza5158
    @davidmuneza5158 Před 2 měsíci +2

    Jux👏👏👏

  • @adamkapolo8817
    @adamkapolo8817 Před měsícem +1

    We was ....

  • @alibinali_
    @alibinali_ Před 2 měsíci +2

    Millard Ayo hii interview part 2 ni vipi?

  • @richeljamesmosses9685
    @richeljamesmosses9685 Před měsícem

    Jitaidi tu kumuomba mungu atasaidia ❤

  • @user-ok8dl3rj2n
    @user-ok8dl3rj2n Před měsícem

    Namkubali Sana Huyu Jamaa ❤❤❤

  • @EliasShimo
    @EliasShimo Před měsícem

    nice speech

  • @scollantandu2350
    @scollantandu2350 Před měsícem +1

    ❤❤❤

  • @VioletUlomi
    @VioletUlomi Před měsícem

    Huyu kaka ana hekima sana pia imani

  • @dogobaragengana2436
    @dogobaragengana2436 Před 2 měsíci +1

    🤝

  • @Senetalkim
    @Senetalkim Před měsícem +2

    Mm nataman wangemuuliza kuhusu tattoo alizo chora na maana yake

  • @user-nc9kh8zi6x
    @user-nc9kh8zi6x Před měsícem

    Jux Kwann unateseka na wanawake ambao hawaoni umuhimu wako Wala upendo wako njoo nichukue mm ninayekupenda🥰

  • @hijrammbaga7472
    @hijrammbaga7472 Před měsícem +1

    ILA CRUSH JAMANI

  • @chicuswai2279
    @chicuswai2279 Před měsícem

    Niko hapa jux

  • @soudytv7471
    @soudytv7471 Před měsícem +4

    Frida ana maswali kama mtangazaji wa redio za njombe

  • @oliversemgomba6957
    @oliversemgomba6957 Před měsícem

    Frida umenifurahisha sanaaaaaaa umechimba hadi raha yani😂❤

  • @AlufonsiaMhagama
    @AlufonsiaMhagama Před měsícem +4

    yakisenge sana interview

  • @kassimulongoi5092
    @kassimulongoi5092 Před měsícem +1

    Yeah,kwel lazima tuwe na mke mwenye uwezo wa akili ya kuendesha familia

  • @gaudensiajuma
    @gaudensiajuma Před měsícem

  • @deogratiusleonard
    @deogratiusleonard Před měsícem +1

    part two plz, brother Milard _?

  • @jumalihumbo5314
    @jumalihumbo5314 Před měsícem +1

    Kumbe frida ni pisi kali tu😊😊😊

  • @mohammadoman8963
    @mohammadoman8963 Před měsícem

    Audhubillah vp unajisifia maovu hali ya kuwa mwenyezi mungu akikustiri?maovu yako

  • @GerladSimon-me3sc
    @GerladSimon-me3sc Před měsícem +1

    ❤❤❤❤ jux

  • @Living7Stone
    @Living7Stone Před měsícem

    Frida ❤❤❤❤

  • @rashidkatundu9674
    @rashidkatundu9674 Před 2 měsíci +2

    Bro punguza kukojoa njee utasaulika mapema sana siku ikifika

  • @marleshjimmy1972
    @marleshjimmy1972 Před 2 měsíci

    Yanii Nakia story y’a Vanessa khafla najikuta inawez kuwa caren jamanii leteni part two 😅

  • @thabitdaudi9815
    @thabitdaudi9815 Před 2 měsíci +1

    Frida anazingua😅 in a good way.

  • @suzzanenjeri4932
    @suzzanenjeri4932 Před měsícem

    I don’t know why I have a feeling the lady that juma blocked and unblocked is hudah from kenya

  • @user-yq4sn6cq1l
    @user-yq4sn6cq1l Před 2 měsíci +3

    Frida mrembo kweri kweri

  • @Franciscasanga-gt7gx
    @Franciscasanga-gt7gx Před měsícem

    Ila frida😂😂😂🙌🙌🙌 ni mwajuma nchokonoe

  • @liannsambu7264
    @liannsambu7264 Před 2 měsíci +3

    Inaonekana kesha cheat buana anakimbia 😂😂😂😂 but MUNGU ANAJUA

  • @theworldproof1221
    @theworldproof1221 Před měsícem

    Mm na Amin kila malaya awe wa kike au wakiume lazm achoke na pia hukosoa sababu ya Yanii x ndio wabaya Mm naona wazizi wapigwe bakora mia Huu ni ujinga ila kama ww umepitia umalaya utanielewa yani hata kam uliwahi kudeti mara 3 tu ww ni kamalaya na utakuwatu kam huyu anaye zungumza hap huyu ni kwa sababu tuhuyu maarufu lkn vija wengi wako kama jux na umalaya tu tuachanen na zinaa hakuna Mzizi Muumini

  • @user-dh6wi6rc2c
    @user-dh6wi6rc2c Před měsícem +2

    Ila izi miwan waga zinaficha maovu

  • @sumayaishengoma4543
    @sumayaishengoma4543 Před 2 měsíci +1

    Fridaaaa mchimbisti kunywa soda kwa mangi nitalipa 😂😂😂😂😂

  • @yuahahmad6651
    @yuahahmad6651 Před 2 měsíci +3

    Hapo jux chukua frida weka ndani mambo yaishe acha kulia lia

  • @danielmsanga
    @danielmsanga Před měsícem

    Sio joketii huyoo mirado hayooooo 😂😂😂📌

  • @fisamusictz629
    @fisamusictz629 Před měsícem

    Maisha kweli yanaenda kasi Sana huyo Frida nilikuwa nae kwenye bongo star search 2015 alikuwa anajitafuta Sana, leo kafika mbali kiasi hiki, mm ndo kwanza hata sijulikani dahhh kwenye hii dunia unaweza ukawa na matamanio ya kufika mbali lekini WAP hata sijui naelekea wap

  • @theworldproof1221
    @theworldproof1221 Před měsícem

    Mm sitaki bana uzizi umetuharbu bhana ni porojo tu hata ukimpata pia mwengine uta achana naye tu kwako kama somo la hesabu una patga 'f' halafu unajielezea kumbe huna msingi wa hesabu Sio rahis utafel tena kweli hat kam ni ww uno soma sms