Dr asnte kwa darasa lako Zurich mimi ni muathirika wa stroke ambayo baadae imeniachia ganzi upended ambao stroke ilipotoke yaani upended wa kulia hili nalo koje dr
Ahsante sn Doctor kwa kutuletea somo hili .Mm binfsi naumwa hu ugonjwa inafika miaka 7 ila saivi umezidi sn zaidi nikalala usiku vidole vinaniuma sn km vitoke .na nikishika simu au kitu chochote kwa muda mrefu basi napata maumivu sn .Natesrka sn na ugoonjwa hivyo nitakuja hapo kwa ushauri na matibabu zaidi
doctor plz naomba nijib... mm miguu yang hua inapata baridi wakat mwngn ganzi inayoambatana na maumivu makali xn kwa miaka mng xx... lkn umri wng ni 26tu nn xhida tafadhali?????
Asante docta kwa Somo nzur mimi ninasumbuliwa na ganzi kwa miaka mitano sasa ilinipata nikiwa mjamzito ilipata mwili mzima nilipata matibabu ikaisha isipokuwa miguu mpaka Leo bado inaganzi na maumivu kwenye mifupa he naweza kupata matibabu ya kupona kabisa
Tunaomba nmb ya dr kwa tulio mikoani .ahsante kea somo zuri ubarikiwe sana na wabarikiwe zaidi ni wazazi wako.wewe ndo maana halisi ya udaktari wako,ubarikiwe.
Mimi tokea ninamimba imenitokea ganzi na kidole cha kati kinaganda kabsa hospitalin nilienda wakaniambia litaisha ila mbaka leo ni miaka minne sasa bado nasumbuliwa na hilo tatizo
Daktari naomba mnisaidie niko oman ninashida mikono yangu inakufa ganzi haswa vidole nashindwa hata kufanya kazi nilipima kiskar nikaambiwa sina jaman nateseka naomba mniandikie dawa inayo weza kutuliza au kama kunauwezekano wa kunitumia dawa huku nchini oman naomben jamani
Dactar mm nina Dalglish za ugnwa wa ganzi mkono wa kulia kuanzi began mpaka viganjani mara nying huhisi ganzimuda wa usiku mrefu kalibia na Alfajili naomba ushauli wako mm nipo Omani toka n8anze kuhusi ganzi yapat miezi 2 sasa
Nadhani mngeweka number ya dokta maana wengine tuko Mbali ili tupate msaada zaidi tu ateseka kwakweli Sie wakujifungua ganzi za mikono na vidoleee why ??
That's my Doctor. Dr. Brighton Mushengezi mwenye maakili yake na customer care nzuri sana. I really appreciate
Magoshwa wa corona kuingia africa kwa matokea kwenye hali ya kuungua dharula na nk
Ufaransa takiribani wananchi 197500 kupatwa na COVID(19) tamuko lasmi raisa atoa angalizo kwa wananchi
Nimekuelewa Sana dokta,Dah! Maana hii ganzi inanisumbua mpk nahisi kuchanganyikiwa.
@@ManaseBuhanza-cl1lcwe nawe vp? Atukuelewa mbn?!
Editha kama una namba yake tafadhali nupatie
Somo zuri sana limetolewa na wataalamu wanaojua kazi yao. Hongereni sana
vp naitaji musa ada wenu mungaga mama yang iko nawungojwa wagazi yakicwani musaidiye nambiye dawa yenye atatumiya
Asante docta kwa kutufundisha vzr,,,ubarikiwe sana
My brother.....Asante kwa elimu nzuri sana best.
Dr asnte kwa darasa lako Zurich mimi ni muathirika wa stroke ambayo baadae imeniachia ganzi upended ambao stroke ilipotoke yaani upended wa kulia hili nalo koje dr
Asante sana Dr. Brighton umekuwa msaada sana kwenye maisha yangu toka nimeanza kutibiwa na wewe nina improvement kubwa sana Mungu akuweke
Anapatikana wapi daktari huyu ganzi pia inanisumbua sana miguuni
Mloganzila
Naomba sawa doctor
Good teaching material, continue teacher
Blessed dr
Asanteni sana kwakunifahamisha
Asante kwa somo la ganzi.
I appreciate
Asante Dactari na mtangazaji
THANKS FOR SHARING👌GOD BLESS U N ALL OF US CREATIONS OF GOD👍AMEEN🤲
Thank you too
Mimi nimepata ganzinikiwamjamzito nimejifungua ilatatixo bado nifanye nn
Dr. Tunaomba na somo la misuli kukamaa na kupata maumivu
Ahsante sana Dr.Ninakuombea upate nafasi zaidi ya kwenda kusoma zaidi ktka nchi za wenzetu ili uongeze ujuzi wako WA neurology uzidi kutusaidia 🎉
Ahsante sn Doctor kwa kutuletea somo hili .Mm binfsi naumwa hu ugonjwa inafika miaka 7 ila saivi umezidi sn zaidi nikalala usiku vidole vinaniuma sn km vitoke .na nikishika simu au kitu chochote kwa muda mrefu basi napata maumivu sn .Natesrka sn na ugoonjwa hivyo nitakuja hapo kwa ushauri na matibabu zaidi
Yaan wew ndo mimi kabisaa unatesaaa sana huu ugonjwa
Doctor Mimi ninaganzi zaidi ya miaka mitatu nawapataje ili nipate msaada kwako
Asante Sana Niko Kenya Mombasa nawezaje kupatamatibabu huko ya ganzi
Mimi nilipata baada ya kujifungua mwaka wa sita inaipungua taratibu
Dr tunashukuru kutuelimisha.Tusaidie tupone.
Miaka yangu 47 Uzito wangu 122kg nina ganzi kwenye vidole vya
Mkono wa kulia kwenye kucha..
Maybe ni over wait(punguza uzito)
doctor plz naomba nijib... mm miguu yang hua inapata baridi wakat mwngn ganzi inayoambatana na maumivu makali xn kwa miaka mng xx... lkn umri wng ni 26tu nn xhida tafadhali?????
Naomba namba dr
Asante docta kwa Somo nzur mimi ninasumbuliwa na ganzi kwa miaka mitano sasa ilinipata nikiwa mjamzito ilipata mwili mzima nilipata matibabu ikaisha isipokuwa miguu mpaka Leo bado inaganzi na maumivu kwenye mifupa he naweza kupata matibabu ya kupona kabisa
Karibu Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila ukutane na wataalamu kwa uchunguzi zaidi
Asante
Docta mimi naitji matibabu nilianza kusikia ngazi leo naanza kusikia moto mwilini na kizunguzungu ila nilipimwa sukari mwilini 5%
Tunaomba nmb ya dr kwa tulio mikoani .ahsante kea somo zuri ubarikiwe sana na wabarikiwe zaidi ni wazazi wako.wewe ndo maana halisi ya udaktari wako,ubarikiwe.
Tunaomba namba ya Dr. Brighton mkombozi wa watu.
Docta mimi napata Gazi miguuni nakweny vidole vyamikono naaikai kwamudamlefu inatoweka nanimeenda hosptali vimefanya vipmo mbalimbali inaonekana hakunashida kwenyehivyo vipimo kilakitu kikosawa ikiwemo hayo unayoyaelezea ambayondoyanaweza yakaperekea kupatata ganzi tafazari naomba unisaidie
Dr unasema jasho linatoka mwili mzima au sijakuelewa naomba ufafanuzi
Mm niko nao huo ugonjwa lkn sjajua kilicho nnsababisha iko kwnye mko wangu ndani y vidole viwili ndo vina ganzi
Utoe namba
Kutokana NI kisukari miguu hukatwa Kwa sababu ya neuropathy ya miguu 😢😢
Mimi tokea ninamimba imenitokea ganzi na kidole cha kati kinaganda kabsa hospitalin nilienda wakaniambia litaisha ila mbaka leo ni miaka minne sasa bado nasumbuliwa na hilo tatizo
Asante sana kwa elimu nzuri na nyepesi nimeongeza maarifa hapa nitazidi kufuatilia kipindi
Dr unapatikana wapi
Ukiwa na ukimwi unakwepaje ganzi
Tafadhali naomba namba ya simu
Asante endelea kutufatilia ili uweze kupata elimu ya afya zaidi.
@@bettymoshi Fika Hospitali ya Mloganzila kwa maelekezo zaidi Asante
sasa munipenidawa nimusayidimama
Jmn hata mm nimejifungua lkn na ganz mikonon tu shida nb dokta
Dr tafadhali tuwekee namba yako ya simu tuwasiliane
Wale ambao wamerithi huwa mnawasaidiajee
Naomba ushauri umu ndani Jamani nna tatizo la ganzi katika meno kinywa kizima naitaji dawa wapi ntapata ,mana tyr dawa natmia ila sjui feki au vp
Mko sehemu gani nasumbuliwa na ganzi ya mguu mmjoja
Sema daw
Daktari naomba mnisaidie niko oman ninashida mikono yangu inakufa ganzi haswa vidole nashindwa hata kufanya kazi nilipima kiskar nikaambiwa sina jaman nateseka naomba mniandikie dawa inayo weza kutuliza au kama kunauwezekano wa kunitumia dawa huku nchini oman naomben jamani
Namber tafadhali
Nisaidie doctor naphtali shida
.Mimi inanzia begani Hadi vidoleni 15:40
Pia mimi ninangojea tiba la gesi na tiba yake please doc na ganzi pia
Kuhusu matibabu fika hospitali ufanyiwe uchunguzi zaidi.
Asante
Naomba mawasiliamo ya dokta tutampataje
😢
Naomba namba ya Dr please
Nina mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka7 anatatizo la ganzi nifanyeje
Ri
Unapatikana wapi no yako
Yupo Mloganzila
Nisaidie dk Mimi vidole.vya mikono napata gazi
Pia mimi niko nalo nikilala mikono napata ganzi.naomba usaidizi.tunaomba no.ya Dr.
Namba ya Dr waganzi
Dactar mm nina Dalglish za ugnwa wa ganzi mkono wa kulia kuanzi began mpaka viganjani mara nying huhisi ganzimuda wa usiku mrefu kalibia na Alfajili naomba ushauli wako mm nipo Omani toka n8anze kuhusi ganzi yapat miezi 2 sasa
Mbona wew ni kama mm jaman
Mbona wengine wanasema tatizo ni uzito kwa sababu unakuta mtu hana tatizo lolote la ki afyab
Dawa yake nini dk mimi napata ganzi mikono mizima nikilala lala na wala sina tatizo lolote kati ya uliyosema
Nikishika cim ndo naskia gazi nikiacha ganzi inaisha tatizo linamiez 6 sasa naachaga hata mwez nakua mzima nikishika tu ganzi
Namba ya mawasiliano dr
Za daktar
Mimi ganzi inanisumbua Miko na miguu naomba jipatie dawa
Naitaji mawasiliano ya doctor
Nahitaji matibabu
Tafadhali fika Hospitali ukatane na Madaktari kwa uchunguzi zaidi.
Naomba utoe somo la gesi tumbon na dawa yake
Asante ushauri wako tunaufanyia kazi
Dawa ya ganzi ni ipi
@@user-be7id1fw5e miira cell inatibu kabisa tatizo hilo
J e
Neuropathy 😢
Miira cell ni kiboko ya hayo yote
Shule inaongea
Dawa ya ganzi,ni ipi?
Hakuitaja dawa. Akikujibu uniambie
Mnapatikana wapi?
Tunapatikana Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila ipo Mkoa wa Dar es Salaam wilaya ya Ubungo
Karibu
Habari ,huduma ya kutoa makovu inapatika?
Ndio inapatikana Karibu tukuhudumie
@@MUHIMBILI_MLOGANZILATV asante Sana ni bei gn
Dokta namazoezi ukifanya wakati ujaumwa yanaweza kusaidia usipate
Doctor mimi nasumbuliwa na ganzi kwenye mikono, mfano nikiegemeza mkono sehemu Kama dk 10 mkono unapata ganzi, tafadhali nisaidie, niko chalinze
Namba yako ya simu tafadhari
Tunaomba no mimi nikila nyama naphtali gazi kidole gumbachamkono namagoti miguu inawaka moto
Tafadhali fika hospitali uonane na Madaktari kwa Matibabu zaidi
Nadhani mngeweka number ya dokta maana wengine tuko
Mbali ili tupate msaada zaidi tu ateseka kwakweli
Sie wakujifungua ganzi za mikono na vidoleee why ??
DAKTARI VIPI KUHUSU MATUMIZI YA KARAFUU..
Je wanasema karafuu nodaea ua ganzi?
Thanks.kwamafundisho.ila.tunaomba.namba.zenu
Tunaomba nambayako kunandugu zetu wanatatizo hilo
Namba ya dr
Mnapatikana wapi?
Doctor naomba namba yako tafadhali
Tunapatikana Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila ipo Mkoa wa Dar es Salaam wilaya ya Ubungo.
Am in Kenya doctor, please give your contact for consultation or treatment.. please.
Dr hujaongelea kwa upande wa wajawazito..
hali hii inawatokea sana
Jaman dr mawasiliàno