You deserve the best kibibi, Miongini mwa waigizaji naowakubali sanaaaa🥰🥰 upo tofauti na vijana wengine, umemshika mungu na unamtukuza👏👏👏 nakuona kwenye viwango vya Hollywood na utafika Kwa jina la yesu🙏
It's something good hongera sana kwa Dr. Kimaro , nilichogundua kwa kweli kuwahoji watu nayo ni karama kumhoji mtu na kuweka mtiririko mwanzo mwisho. I hope event ijayo mambo yatarekebishwa zaid
Nakupongeza sana Mchungaji Kimaro kwa kuhubiri injili inayobadilisha watu (Hii ni habari njema kwa watu wote ) unaibua na kufumbua macho ya watu wengi.
Ooooh!!! Hallelujah hallelujah, Mungu auzidishe utukufu wake kwako @Getrudamwita Hakika historia yako/ ushuhuda wako umenijenga Sana🙏 umenifanya niseme ''NINAWEZA KATIKA JINA LA YESU KRISTO''
Mchungaji Kimario ubarikiwe sana hizi sessions zina mengi ya kujifunza. Hasa nyakati hizi kwenye changamoto za ajira vipaji vinahitaji kunolewa na kuheshimika sana. Asante kwa kutukumbusha hata elimu ikikwama kuna njia nyingine tuzijaribu
Nakupenda sana wewe dada niliwah kuona kipande tu cha tamthilia moja uliyocheza nilipenda sana lkn kwa sasa cjaona kazi yako nyingine mungu akubariki sana kipenz
🙏🙏 Mchungaji Tunashukuru kwa kumleta kibibi, Mimi huwa nafuatilia movie ya Huba kumbe sikumjua upande wa pili jinsi Mungu alivyomwinua kwa namna ya ajabu, Hakika wakati unapofika wa Mungu hakuna wa kuzuia..

My God bless you Kibibi, unaenda mbali sana wewe.
Plz
Hollywood uongo
Bila kumsahau Anna wa jua kali
Utukufu kwa Mungu.kibibi amejieleza vizuri sana
Kibibi hongera sana una historia nzuri sana na ni ushuhuda mzuri sana kwetu sisi.
Glory to God🙏🙏 kibibi umenitoa machozi 😢😢 na pia Umenipa ujasili wa kupambana
Very powerful testimony 🙏🇧🇭😭 , kweli kumtumaini MUNGU Kuna fahida🙏🙏🙏
Nafurahi kuipata fulsa hii ya kupata namna ya kuingia ktk kilimo like masanja. Naomba Mungu aniwezeshe. Nilime Kwa utalamu
Nampenda Sana huyu mchungaji MUNGU azidi kukuinua past
It's something good hongera sana kwa Dr. Kimaro , nilichogundua kwa kweli kuwahoji watu nayo ni karama kumhoji mtu na kuweka mtiririko mwanzo mwisho. I hope event ijayo mambo yatarekebishwa zaid
Hongera sana.
Wow! Hongera saana Kibibi
Hongera kibibi amazing
Aaezaz
Hongera sana Getrude Mwita a.k.a kibibi wa HUBA ubarikiwe na usimwache Mungu
Kila la heri kibibi.
Hongera Sana kibibi Nakupenda mnoo we dada utunzwe na Bwana YESU🙏🙏🙏🙏
Hongera sana kibibi I like your acting in the Huba mungu akubariki
Umetisha sana Mungu azidi kukubariki ...
Shuhuda zinajenga na utukufu unarudi kwa Mungu
Isaac Maro,Mungu akubariki doct Mungu akupe maisha marefu,umemuwezesha Kibibi kuwa katika utulivu mzur sana..
Nakupongeza sana Mchungaji Kimaro kwa kuhubiri injili inayobadilisha watu (Hii ni habari njema kwa watu wote ) unaibua na kufumbua macho ya watu wengi.
Kupitia hii interview hakika nimeongeza kitu katika maisha yangu
Woooow 👏👏👏Madam kibibi hongera sana for real ushuhuda wako umenijenga sana kumbe na mimi naweza 😂 Mungu akubariki sana
Nimehamasika sana na story yako hadi nimeshare na wananguna mume wangu be blessed na from today you have a new fan naanza kukufuatilia
Mungu ni mkuu kwa wamchao. Msiosmini miujiza njoeni muuone kibibi.
Beautiful kibibi mashallah❤❤
Kupitia mahojiano haya nimejifunza kitu kikubwa Mungu akubariki Kibibi kwa kuishi ushuhuda wako🎉❤
❤
Hakika Mungu ni Mkuu kupita fahamu zetu. Asante sana Baba Kimaro na Dada Getrude.
Indeed your testimony has made shade tears of joy. Stay blessed abundantly Kibibi🙏
Ubarikiwe sana Mchungaji Kimaro lkn Kibibi nakupenda sana! ❤
Sasa nimeelewa kwanini aliposimama kwa muda walimlilia sana.......!! 🙌🙌🙌🙌
Umenifanya nimecheka nami ni mmoja wa waliomlilia
Good
Hongera sana Kibibi kwa kujipata:wow kumbe ni KKKT mwenzangu I love you so so much.
Ooooh!!! Hallelujah hallelujah, Mungu auzidishe utukufu wake kwako @Getrudamwita Hakika historia yako/ ushuhuda wako umenijenga Sana🙏 umenifanya niseme ''NINAWEZA KATIKA JINA LA YESU KRISTO''
Good
Mchungaji Kimario ubarikiwe sana hizi sessions zina mengi ya kujifunza. Hasa nyakati hizi kwenye changamoto za ajira vipaji vinahitaji kunolewa na kuheshimika sana. Asante kwa kutukumbusha hata elimu ikikwama kuna njia nyingine tuzijaribu
Mungu aendelee kukuinua Mtumishi wa Mungu Dkt. Kimaro, hakika namuelewa sana Kibibi.
Mungu akitaka kukuinua akuna wakupinga mungu azidi kukuinua
Maana halisi yaDream come true Glory to Jesus
Dr Kimaro unatakiwa ufundishwe namna ya kuhoji watu especially Q & A unapoteza utamu wa Taarifa
Hehh!
Hongera kibibi. Kuna mengi nimejifunza kupitia ushuhuda huu
Mungu akubariki sana Dada. Mungu wetu haachi mcha Mungu wake aangamie.
Ndoto yangu ni kuja kuwa na Christian movies ambazo zitatuinua kwa namna ya tofauti km zile za kina Kendrick Brothers
Find me when you need a character to play different scene's
Napenda sana ila pakuanzia sasa nilishapoeza tu pesa❤
Do it aisee...we will support you even kwa maombi. I wish too❤
Bwana akutengenezee hayo mazingira ufike huku
Kama.ile ya halelujah dah😊 ilinibadirisha mpaka leo ya kizungu wakatafsiri kwa kiswahili
Wajina big up sana, hayo majina yana baraka sana na yana ndoto,hongera sana Getrude Mwita
Watching fro. Nairobi,very nice platform
She resembles and talk like Hamissa,Mungu awatunze❤
Nakupenda sana mchungaji Eliona Kimaro. Mungu akutunze.
Ili story inanikumbusha mingi sana.eee Mungu tusaidiye
Hii kitu Dr. Kimaro, umefanya vizuri kuandaa jukwaa linalowahamasisha wengi kutoka nje ta Box. Ubarikiwe sana.
Mmmh ila.nafikiri Mchungaji angempa.nafasi.kwanza ya.kujieleza kuliko kumkatisha.katisha
Mungu akubariki Mchungaji Kimaro kwa kutufungua macho kwakweli nimejifunza kitu.
MUNGU akubariki Sana my sister
Pongezi Sana pastor Wangu
Nakupenda sana wewe dada niliwah kuona kipande tu cha tamthilia moja uliyocheza nilipenda sana lkn kwa sasa cjaona kazi yako nyingine mungu akubariki sana kipenz
Yupo kwenye tamthilia kongwe tokea 2016 inaitwa HUBA inaonyeshwa DStv 160
Ohoo
Mungu akutie nguvu da kibibi, nimejifunza vi2 vingi kutoka kwako🙏🏻
Glory to God
Blessed from kenya. Atatenda kwangu
Natamani cku moja nifike kwenye hili kanisa nimuone na huyo mchungaji live jamani
Nampenda sana uyu dada ana confident ❤
Hallelujah nimepata nguvu Sasa nilikuwa nimechoka mpaka Ila kwa huu ushuhuda umenijenga
GOD is good all the time barikiwa dada
❤❤❤
Amen
👏👏👏🙌🙌🙏
Amina
Daaaaaaah Hongera Sana Kibibi Kwa Imani Uliyonayo.
God is Great😍 Blessings ziendeleeee 🎉
God Bless You Dr. Pastor Eliona Kimaro.
I’m blessed with this session❤
Mwenyezi Mungu azidi kukufungulia njia kibibi wewe nimuigizaji mzuri sana
Mungu akubariki mchungaji kimaro
Mungu nimkubwa sana 😢🙏
Ameeeeeeeeeeeen 🙏🙏🙏🙏🙏 Mungu akupiganie Kila wakati kibibi
Amen Mungu azidi kukubariki kibibi
KIBIBI maashallah
Mungu ni mkwa❤❤❤❤
God is good 😢😢 one day
Nakupenda kibibi🎉❤
Hongera sana dada Kibibi Mungu ni mwema❤❤😂😂😂
Mungu yupo,ukiwa mwaminifu
Mtani wangu, napenda the way unaigiza. Unauvaa uhalisia mpaka basi. Keep up
❤❤❤❤❤❤❤
Mungu amekuinua, na bado unampenda Mungu, utafika mbali
Huwa nampenda sana Getrude ananibariki sanana nlimfuatilia historia yake huwa nasema mimi sijashindwa Mungu akutunze G
Hongera kibibi.
Fight for your dreams until you achieve what you want.Never give up..Bravooo Kibibi
Ongera sana best
Mungu akutunze
❤❤ Yesu kristo Apewe sifa
🙏🙏 Mchungaji Tunashukuru kwa kumleta kibibi, Mimi huwa nafuatilia movie ya Huba kumbe sikumjua upande wa pili jinsi Mungu alivyomwinua kwa namna ya ajabu, Hakika wakati unapofika wa Mungu hakuna wa kuzuia..
History yake inaskitisha kwa jinsi alivyosimulia
God is good All de Time
she is elite and humble🥰😍
When dream come true
Mungu mkuba kabisa ndani ya Yesu kuna kila kitu
Kibibi uwa anajiheshim na hata mavazi yake yan nampenda sana
Ameen❤❤❤❤
Naongezea" Jitume ili usitumwe "ukiwezekana utume watu wew kwa maana ya kutengeneza ajira kwa wengine. Amina
Nimependa sna huu ujumbe wako nimeuelewa kwa kweli
Kibibi nimekupenda buuree
🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Amina Dada wewe umefanikiwa lakini pia bado unamtaja yesu unampa yesu utukufu
hongera sana kibibi una upiga mwing san
👏👏👏👏👏👏👏👏
Waoooo jamani
👏👏👏👏
Hongera kibibi
Ei monaweito umepitia mengi mungu akuzidishie
Kimaro tatizo unaongea sana, acha story iendelee kwanza
Nakukubali sana getruda hata mim ni muigizaji lakin mapambana dada angu
Safi dada
Uyu mchungaji ni zaidi ya mchungaji ana kitu kikubwa sana tumtumie
❤❤❤❤❤
Overwhelmed indeed
Barikiwa sana kibibi
Hongera sana kibibi
Mungu akumbariki jmn mungu yupo