Simba walizidiwa nguvu kipindi Cha pili walichoka.mambo ya kufanyia Simba 1.wachezaji washkirikiane kulinda goli,wasiwachie mabeki tu.2 wachezaji wa mbele washkirikiane kutafuta goli siyo kutaka kufumga pekeyako.3.wajifunze kukaa na Mpira na mbinu za kumnyanganya Mpira mchezaji wa timu nyingine.4.bado Kasi ya Simba ni mdogo.5bado hatuja wafungaji wanaojituma.
Ata mimi 😂❤
Hata mimi niko naangalia sasa hivi nikimaliza narudia tena😂😂😂😂
yanga laaa jamannn
Ahaha
Natamani irudiwe Tena raha sana
Mimi n yanga lakin napenda sana tabasamu la enock enonga yey ata akifungwa huwa anatabasamu tu
💚💛💚💛💚💛💚💛
Yanga laha
Kila nikiangalia natamani kurudia tena na tena Raha Sana 💚💛💚🖐️🙏🙏
Yani nimekuwa nangalia kila wakati utasema naangalia tamthilia😂😂😂
Namienikaangalianaonaurejewetena
Sawanimeuwona
Simbaha namambo
Sana Hadi raha
My mamb
Kuwakata mdomo hii 5G
Raha kweli
Historia ,imeandikwa
Huyu Kipe kamfanyia faulo kibu refa akutoa hata kadi
😢dash inafurahisha sana
Yanga moto
Hamsaaaaaaaaaa😂😂😂😂😂
😊😊hata mm Kira mara naichek ni Tami sana
Yan nilikua natamani match isiishe ila ndo ivo wanabahati
👏👏👏👏👏😁
Mmmh is too much,❤❤❤ yanga
Sindoyanga
Wameyatimbaaa😂
Kweli tumeyatimba
Cijutii mb zangu kila nikikaa naangalia
Haka ka chemistry ka wananchi walicheza siku hiyo ilikuwa balaa😊
Yan had,raha,sana,kuriona,gor,ra,max,ra,2
Kweli mwanangu hii dabi tuliwaweza
Yaani mpaka waseme
nabado tutawaonyesh shooo😊
Hii ishu yakuwafunga yanga midomo huwaponza imewaponza kama fei toto
Musa Petro
💚💛🖤
Kweri unaangaria kama mimi vizuri
😂😂😂😂
Yaani kamailudiwe vile
Naipenda. Sana inanipalaha
Kipigo cha SIMBA MWIZI,🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂yani nikikosa furaha nakuja zangu uku
Jmn nategemea Tano zingine msim ujao
💛💛💛💛💚💚💚💚
Ndionimeuwona
Yaaan hiiisiku naipendaga sana jamani, etikibu anatuziba mdomo, yaliyomkuta sasa
❤
Msiingize timu uwanjani
Wananchiiiiiiiii
Wanafukuza makocha tu wanjipange
Tunaona Simba mbovu yamwaka huu
Tuliwaambia hapo panashot ohoooo si wakubwa haya hayo sasa
5G
Makolo
Leo tume Wakanda 5g
Daaaaaaah hii mechi ilikua naraha yaketu jamani
umeona kwanza ilitakiwa washuke daraja
Hv jmn kumbe shabalala alitolewa halafu akumpa mtu kitambaa alitokanacho namsemi
Zinger
😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂
Hiligoli la nne mohamed hussen alikua haelewi kitu😂😂😂
Mechi nzuri hii idumu miaka 100.
Asanten simba kwakutupa ubigwa
Bongela geme
Sichoki kuangalia
Ilikua boli kubwaaa
Ukowapmwamba
😂😂😂😂😂
Haya mtani jembe sawa
Wacha inyeshe
Simba walizidiwa nguvu kipindi Cha pili walichoka.mambo ya kufanyia Simba 1.wachezaji washkirikiane kulinda goli,wasiwachie mabeki tu.2 wachezaji wa mbele washkirikiane kutafuta goli siyo kutaka kufumga pekeyako.3.wajifunze kukaa na Mpira na mbinu za kumnyanganya Mpira mchezaji wa timu nyingine.4.bado Kasi ya Simba ni mdogo.5bado hatuja wafungaji wanaojituma.
Ndiohakiyaokushinda mabekiwo wameendambele
Tamu sana sita isahau
Yaani Acha Tu hii mechi❤
I love you yanga I❤❤😂😂😂
Kisupika arizowea kusemakuwa wapinzani watapumua pumzi ya moto na wao yamewakuta hapo Jana yaani daaah
Walizoea kusema wao ndio mabigwa kalata imepinduka
They will be bitten again
Now its not 5G will be 7 days
Hawa yanga sijai kuona kabxa
Atamie
Me pia 😅😅😅😅😅😅😅🤣🤣🤣🤣🤣
sio ww2 mjomba ata mim
Me nipo Msumbiji 🇲🇿 ila Kila siku nangalia
Mwez ujao tabu Iko palepale