HIGHLIGHTS: SIMBA SC {1} VS AZAM FC {0} | MUUNGANO CUP 2024

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 26. 04. 2024
  • SUBSCRIBE NOW:

    🌐 Site: simbasc.co.tz/
    📱 App: Iphone User: apps.apple.com/us/app/simba-s...
    📱 App: Android User: play.google.com/store/apps/de...
    🔵 Facebook: / simbatanzania
    📸 Instagram: / simbasctanzania
    𝕏 Twitter: / simbasctanzania
    🎶 Tiktok: / simbascofficial
    About the Official Simba SC CZcams Channel:
    Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference
    🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi
  • Sport

Komentáře • 40

  • @arbinuwamahoro7370
    @arbinuwamahoro7370 Před měsícem

    Mnyama❤🎉

  • @ahmedhaulehaule5777
    @ahmedhaulehaule5777 Před měsícem +3

    Mungu yu mwema

  • @MohamedMustafa-id5gr
    @MohamedMustafa-id5gr Před měsícem +2

    Ssc nguvu moja

  • @user-ip6xg6jx3g
    @user-ip6xg6jx3g Před měsícem +4

    Huo ndio mpira. Huyo onana hukumbuki kwamba alituvusha robo klabu bigwa afrika
    Wakati avyompiga wayday goli mbili. Tujifuze kuwa na shukurani mpira ndivyo ulivyo. Anakosa mchezaji yoyote .huo ndio mpira ulivyo.

  • @kassimdadi5406
    @kassimdadi5406 Před měsícem

    🎉🎉

  • @user-se9no4rg3k
    @user-se9no4rg3k Před měsícem +2

    Mkubwa mkubwaaa tu

  • @WambulaMwita-jo2hj
    @WambulaMwita-jo2hj Před měsícem

    Kabisa onana anaboa Sana

  • @ekisuka1
    @ekisuka1 Před měsícem

    Tum umilie Onana atakuwa vizuri tu

  • @lejorisz
    @lejorisz Před měsícem +2

    So the new coach will be given new players or will be given new season with these b******* m********* plyayers??

  • @ELIASJOHN-ur3oh
    @ELIASJOHN-ur3oh Před měsícem

    Tunashinda lakin si kwa furaha ,Viungo ,Winga wawe na kasi sana Na fred ameanz kujituma huyo atengenezwe zaid

  • @sirlehmwenjia1297
    @sirlehmwenjia1297 Před měsícem

    Onana ana lolote anao anao sana

  • @piusrevocatus2968
    @piusrevocatus2968 Před měsícem

    Huyu Fredi maico atakuja kuwa ninoma Ila onana ubishotuu unamtesa Azam alikuwa anaoga nyingi

  • @johnfilbert5915
    @johnfilbert5915 Před měsícem +5

    Onana bishoo,toa hata Kwa mkopo,Hana lolote

  • @user-ck1vr4iu7p
    @user-ck1vr4iu7p Před měsícem

    Mangungu mi 5 tena

  • @user-ck1vr4iu7p
    @user-ck1vr4iu7p Před měsícem

    Mangungu abaki

  • @adolphsaiba1796
    @adolphsaiba1796 Před měsícem

    Yanga awawez kushirik sababu ni timu inajihusisha na siasa

  • @ernestalbert8637
    @ernestalbert8637 Před měsícem

    Huyo Onana akacheze shoo huko

  • @ELIASJOHN-ur3oh
    @ELIASJOHN-ur3oh Před měsícem

    Onana ni Moja ya mchezaj maumbuf lakin kama kuna tofaut kat yak na Viongozi ebu yaweke Sawa, kwanz mech nyingi alikuwa anachezeshw dakk 10Za Mwisho huo ni upuuzi,kama Kuna kiongoz yoyote anagawan mshahar na baadhi ya wachezaj Ili wachez Muda mref bora akae pembeni tu. Akina Chasamb, Barua, sijui karabakamtandika ,mikson,
    Jobe,mliwaamin ndo maana mkawasajili Ebu angalau wawe wanaanza kipindi Cha kwanz tena mnawajaz hap mbele, na ndo Wengi wasumbufu,

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 Před měsícem

    Sihaba kupata japo kikombe cha kunywea kahawa😅😅

  • @ELIASJOHN-ur3oh
    @ELIASJOHN-ur3oh Před měsícem

    hatuhitaj usajili wa kuwaleta watu harafu wanachezeshwa sijui dakk 5 kwani kama hamuwaamini mliwasajir wa nini,Eti mikson dakika za mwisho,yaan Sub Zina chelewa sana,😮

  • @user-gb1jq9zz1j
    @user-gb1jq9zz1j Před měsícem

    Onana aondoke inawezekana simba haitaki ndio anafanya kusud

  • @mshangamafurahini5292
    @mshangamafurahini5292 Před měsícem

    Mimi nataka onana,jobs,uyo inonga yaani michezaji yote isiyojitupa peleka kwa mkopo kulee

  • @CalvinAbnery
    @CalvinAbnery Před měsícem +1

    Onana out

  • @AbduMohamed-jn1vz
    @AbduMohamed-jn1vz Před měsícem +1

    Inkuuma Cana mnyama kubeba kombe hili wenye wivu wajinyonge

  • @jumamangombe6493
    @jumamangombe6493 Před měsícem +1

    Hili kombe angeshiriki yanga lilikuwa lake pia. Hivi kwa nini hajashiriki?

  • @jumannemohamedy1456
    @jumannemohamedy1456 Před měsícem

    Hki mm na sema huyu Onana kama aja achwa mmi sijui

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa Před měsícem +1

    Onanaaa wamemtupia majini kama baleke majini FC so watu wazur kabisa 😄😁

  • @mbaruksaid5775
    @mbaruksaid5775 Před měsícem

    Onana kakosa magoal yawazi kabisa