INTERNET inasumbua? Hii inaweza kuwa ni sababu! Fahamu SOLAR STORM iliyoikumba DUNIA

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 11. 05. 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi
  • Zábava

Komentáře • 198

  • @user-qj2pr1ji6j
    @user-qj2pr1ji6j Před 19 dny +13

    Ghazabu zamungu watu wanajihalaishia vilivyoharamishwa natunateseka wote tumrudie mungu atusamehe

  • @THEGREATLy
    @THEGREATLy Před 20 dny +44

    Story book imetabili 😢

    • @salashbooben7622
      @salashbooben7622 Před 19 dny

      Jamal ame hatarisha mambo mno.. kuizungumzia seems like anazungumzia kiama😂

  • @abubakariali9848
    @abubakariali9848 Před 20 dny +26

    The Story book ya Wasafi ameilezea kwa upana wake siku ya jana tupitie na kule kdg

  • @user-zs4qz4wm2n
    @user-zs4qz4wm2n Před 20 dny +13

    Asante SNS kwa taarifa maana nimepata shida sana leo na sikujua nini tatizo

  • @Socialtz
    @Socialtz Před 20 dny +50

    Kila siku nakua wa kwanza kuview video zenu SNS wakuu. Mnipee hata gift

  • @hamzamoshi8275
    @hamzamoshi8275 Před 19 dny +8

    Jamaaal wa wasafimedia kweli profesa 🙌🏻🙌🏻🙌🏻

    • @salashbooben7622
      @salashbooben7622 Před 19 dny

      Jamal amekuza mambo kinoma.. it was seems like anazungumzia kiama😂💔

  • @BMFURAHAKWANZA
    @BMFURAHAKWANZA Před 19 dny +14

    The story book katuambia yoote haya kama kaifahamu mapema vile duuuh ni msakaji wa kweli kabisa

  • @zayumar2955
    @zayumar2955 Před 19 dny +16

    Jamal katuambia juz ya Allah tuokowe wengine tuko mbali na familiar jmniiiiiiiiii naogopaaa 😢😢😢😢

    • @nasrasalum6298
      @nasrasalum6298 Před 19 dny +1

      Amen 😢😢

    • @fadhilinyengo8262
      @fadhilinyengo8262 Před 19 dny +3

      Wewe ni mwehu sasa unachoogopa ni nini sasa. Iyo ni nature inafanya kazi yake kipi kigeni hapo

    • @zayumar2955
      @zayumar2955 Před 19 dny

      @@nasrasalum6298 Allah atatulinda InshaAllah 🤲

    • @zayumar2955
      @zayumar2955 Před 19 dny

      @@fadhilinyengo8262 naogopa kwasabu sijawah kushuhudia kitu hicho huenda ww umewah kushuhudia kwaiyo si ajabu kwako kwaiyo usinione mwehu Mzee wa kale mshuhudia makubwa ya duniani 😅😅😅

    • @salashbooben7622
      @salashbooben7622 Před 19 dny

      Jamal amekuza mambo kinoma.. it was seems like anazungumzia kiama😂💔

  • @gerrardsoso3640
    @gerrardsoso3640 Před 19 dny +2

    Wa Yemeni washakata waya wa internet kwnye bahari nyekundu

  • @nassvancydesantiagojr5553
    @nassvancydesantiagojr5553 Před 20 dny +21

    Ni kweli bro natumia wifi inagoma kabisa na sio kawaida haijawai kusumbua kabisa miaka yote, nilikuwa najiuliza leo kuna shida gani katika kuifosi tu ndo hii video post yako ime pop up so ndo napata taarifa kutoka kwako thanks bro keep it up

    • @ashabakari1448
      @ashabakari1448 Před 19 dny

      Yaan mm wifi nimezima na kuwasha empty

    • @nassvancydesantiagojr5553
      @nassvancydesantiagojr5553 Před 19 dny

      ​@@ashabakari1448 duuuhh pole sana dhambi zimezd 😂 hawa watu wa 🌈 🏳️‍🌈 🌈 watatuponza sana kwa Sir God

    • @ibrahimumngereza7769
      @ibrahimumngereza7769 Před 19 dny

      Najiuliza WiFi imeisha kumbe ni hii kitu bwana

  • @jacksonseverin5670
    @jacksonseverin5670 Před 19 dny +3

    Kaka sky uyo ally kilakitu anajua duh

  • @Bless215
    @Bless215 Před 20 dny +9

    The Story book

  • @dastankwambaza2292
    @dastankwambaza2292 Před 19 dny +3

    Yesu anarudi

  • @PeninsulaHouses
    @PeninsulaHouses Před 19 dny +3

    Yani nataka kutoa mkeka wanguu leo bet zote mtandao unazinguwa yani😂

  • @ce-08
    @ce-08 Před 19 dny +6

    Kwenye The story book 📚 wasafi wameelezea zaidi

  • @byamungurashidi85
    @byamungurashidi85 Před 18 dny

    Na chukuru san SNS kaw kutufafanuliya vizuri hili tatizo limetokey duniani.
    Mimi ni byamungu Rashidi.#king byam's kutoka Burundi Bujumbura sisi uku Bujumbura tuna wiki mbili na nusu internet iko slow sana. Ila tuna chukuru kutufafanuliya ivyo. Nawapenda sana wana SNS BYAM'S toka Bujumbura

  • @abdulally6410
    @abdulally6410 Před 20 dny +5

    Nimezima cm mara nyng mpk imepoteza kiwango cha charg sio hvo tuu mpk nimewapigia mtandao hata hawarespond kwa kwel nimekereka bored but hahaaaaaaha lipo nje ya uwezo wetu,ahsante kutuhabarisha

  • @Hassanbaoma
    @Hassanbaoma Před 19 dny +3

    Hii inatokana na mashoga kuzidi duniani ndio maana mabalaa hayaishi

  • @succeslifeeducation9868
    @succeslifeeducation9868 Před 19 dny +4

    All masudi namkubali sana sns msije mkamtoa..mchambuzi mzuri sana I APPRECIATE SO MUCH

    • @salashbooben7622
      @salashbooben7622 Před 19 dny

      Dj Sma ndo noma.. nigga angepona tu arudi kutujuza mambo

  • @jahashinuri7102
    @jahashinuri7102 Před 19 dny +3

    very dangerous for self driving cars, especially in china

  • @faustinhommedetatnifasha9669

    Mtzfuteni #Mr_cosmas Huyu mzee numwana sayikrojia.anzjuwa anajuwa tena

  • @user-qf2mg1bu4u
    @user-qf2mg1bu4u Před 19 dny +1

    Dar wasafi kiboko janatu nimeangalia the story book af leo yametokea yote waloyasema jamar shikamoo wasafi

  • @jeremiahmwanyika869
    @jeremiahmwanyika869 Před 19 dny +2

    Hahaha nape yeye kasema kuna waya zimekatika chini ya maji 😂

  • @ponsianodamas5981
    @ponsianodamas5981 Před 19 dny +1

    Naomba ueleze "the history of solar storms".

  • @House_of_wonders_905
    @House_of_wonders_905 Před 19 dny +2

    The story book

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 Před 19 dny +5

    Adhabu za Allah izo dhidi ya viumbe wake...so jaman tutubuni

  • @roi2554
    @roi2554 Před 19 dny +2

    Mwisho wa dunia huwooo😂😂😂

  • @yusuphhaidari556
    @yusuphhaidari556 Před 20 dny +16

    JAMAL APIRL KATUTABIRIAAA TOKEAA JANAAA

    • @Soon815
      @Soon815 Před 19 dny +1

      Hili suala limeanza kuongelewa wiki ya pili

  • @berthakitto7128
    @berthakitto7128 Před 20 dny +6

    Yani unasumbua balaaaaaa

  • @geraldpallangyo7726
    @geraldpallangyo7726 Před 19 dny +1

    Hata huku Kenya

  • @abrahamabinala5250
    @abrahamabinala5250 Před 19 dny +2

    Mimi toka jana usiku saa 6 kwenda saa 7 ilikuwa simu haipandoshi 4g ni 3d had 2g ila asubuh leo ikawa hamna kabsa nikajua simu imeisha bando kucjek nina gb2 nzima nikakosa majibu na kuwa watu wamenipigia simu nikajua ni shida ya watu wengi ila sikujua chanzo ni nini

  • @raulianraphael6853
    @raulianraphael6853 Před 19 dny

    Asante sana Kwa updates maana jana almost masaa 6 na fanya settings za Internet bila mafanikio

  • @rizikiabdalla2501
    @rizikiabdalla2501 Před 19 dny +1

    Nilizani mb zimekwisha nikazima nikawasha nikazima nikawasha duuu Allhamdulillah

  • @husseinkitingi8186
    @husseinkitingi8186 Před 19 dny

    Izi dalili za kiama jamani tumrudie mungu tumejisahau sana

  • @shebbylove3140
    @shebbylove3140 Před 19 dny +1

    No wonder my fiancé nimejarubu mpaka kumpigia namkosa mpaka kidogo tushwane woow anyway thanks guys for the updates as usually

  • @emanuelmbaga
    @emanuelmbaga Před 19 dny

    kwa sisi wapenda info. hapa umenishibisha sina swali zaidi. EMP ni balaa ila Solar storm ni balaa zaidi

  • @r9ayyansaid652
    @r9ayyansaid652 Před 19 dny

    Kweli leo ilikuw ina goma saana hata tuliokuwa nje ya nchi

  • @STEVENOBEDI
    @STEVENOBEDI Před 18 dny

    Yesu anarudii..

  • @eliasmagoiga-ie3dk
    @eliasmagoiga-ie3dk Před 19 dny +1

    Daaah! Kwel😢 kabisa

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 Před 19 dny +1

    Mi nilikuw nashangaa mbona leo Wi-Fi inasumbua na sio kawaid yake nikajua labd wamebadilish ile zima washa ndio imekubali sashv

  • @user-sv1ow8ti3g
    @user-sv1ow8ti3g Před 19 dny +1

    hiyo solar storm imepiga wapi, yaan nielezee vzr,

  • @JosephJames-ut8tt
    @JosephJames-ut8tt Před 19 dny +1

    Duuuu nilikuwa sielew Leo ujue kumbe Asante San Kaka kwakutujulisha daaa🤝🤝

  • @marthajeremiah
    @marthajeremiah Před 19 dny +1

    Solar flash mass great awakening

  • @mankwemba3841
    @mankwemba3841 Před 19 dny +1

    Lkn huku 🇿🇦 south Africa mitandao yipo fresh kbx

  • @selesjandwa412
    @selesjandwa412 Před 19 dny +1

    Nakukumbusha masudi kiswail cha neno "storm" Ni dhoruba

  • @benancejohn1198
    @benancejohn1198 Před 19 dny

    Kweli, internet imesumbua sana leo

  • @BMFURAHAKWANZA
    @BMFURAHAKWANZA Před 19 dny +3

    Nitafurahi sana kama hii solarst izidi ili tubaki kwenye giza kwa mda wa miaka 30 ili nchi zetu za kiafrika ziweze kujitambua kwa kujitegemea zenyewe... Sababu huu utandawazi unasumbuwa sana hadi vifo kuwa vingi....

  • @adamhashim3352
    @adamhashim3352 Před 19 dny +1

    Mungu anaaza kufanya yake

  • @josephchaba6007
    @josephchaba6007 Před 19 dny +1

    Leo imesumbua saana

  • @allykwaya
    @allykwaya Před 18 dny

    Shida kwelikweli

  • @emmanuelrichard6771
    @emmanuelrichard6771 Před 19 dny

    Inner core,outer core,lower mantle,upper mantle, crust

  • @mackdonaldalex7162
    @mackdonaldalex7162 Před 19 dny

    I learnt something here thanks sns

  • @MNexNexI
    @MNexNexI Před 19 dny

    Good work

  • @billskeez92
    @billskeez92 Před 19 dny

    Hâta uku kwetu 🇧🇮 mtandao uligoma sana

  • @hansiempire5093
    @hansiempire5093 Před 19 dny

    physicist tunaelewa vzur sana

  • @monicacyprian9137
    @monicacyprian9137 Před 18 dny

    Nikawa nawalaumu tenco na Airtel wanisamehe sana 😂😂
    Hata kazi zimekua slow Kwa wale tunaoudumia wateja online

  • @FreeGod368
    @FreeGod368 Před 19 dny +5

    Mungu Fundi Mwaisa😂😂😂😂 wanasayans ad wanasanda hawana majibu kumbe kuna vitu dunia inaweza kuisha kwa siku 1Tu

    • @allykwaya
      @allykwaya Před 18 dny +1

      Wanasansi wanapofeli wanasema Natural structure, wa nashindwa Tu kusema ukuu wa Mungu. Shenzi MUNGU YUPO.

    • @FreeGod368
      @FreeGod368 Před 18 dny

      @@allykwaya kabisa kaka 100%

  • @nassoribrahim5288
    @nassoribrahim5288 Před 19 dny

    Nlijua Tanesco kumbe kimbumga Jua kali😅

  • @florencekiegwa7833
    @florencekiegwa7833 Před 18 dny

    Pia saùdia

  • @hammyboy11
    @hammyboy11 Před 19 dny

    Nime restore had sm yangu

  • @BMFURAHAKWANZA
    @BMFURAHAKWANZA Před 19 dny +1

    Sisi Malawi TUKO vizuri tu hapa yaani mtandao wa tz umeamia huku....wote itasepa tutabaki sisi hapa sababu hapa tuko mbali sana na juwa hapa ...hadi barafu zinaanguka hapa tuko mbali hata juwa tuna liona kwa mbali

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 Před 19 dny

    Kweli kabisa

  • @DennisMkumbala
    @DennisMkumbala Před 19 dny +1

    Kwer bro leo jau san

  • @J4UPro
    @J4UPro Před 19 dny

    Mimi pia jana ilikuwa shida sana

  • @DaudiHamisi-un2uu
    @DaudiHamisi-un2uu Před 20 dny

    Kweli nimesumbuka leo

  • @khaalidcheo5383
    @khaalidcheo5383 Před 20 dny

    Yani leo 😮

  • @moseskulola6913
    @moseskulola6913 Před 18 dny

    Noma

  • @shannarsaidSwahili
    @shannarsaidSwahili Před 19 dny

    Naam nmekuwa nashangaa saana

  • @wessdj8753
    @wessdj8753 Před 20 dny +1

    aiseee tunduma moja apa leo sina network

  • @thelonewolf4429
    @thelonewolf4429 Před 20 dny

    Inasumbua sana aisee

  • @baizoboy1719
    @baizoboy1719 Před 19 dny

    Hili swala limenifanya nimkumbuke Jamali April wa the story book yaani juzi katoka kuliongelea hili haijapita hata siku mbili halafu jambo linatokea mmh! kwani yeye nabii asee?? 😮

  • @CholoFaizaan
    @CholoFaizaan Před 19 dny +1

    😂😂😂bundala huyo Ali masudi nimuongo tu

  • @ramamabinda5063
    @ramamabinda5063 Před 19 dny

    Duuh aisee

  • @NeemaSamson-ti8pc
    @NeemaSamson-ti8pc Před 19 dny

    Mmmmh kumbe mi nilitamani kupasua simu sababu ya mtandao unavyosumbua

  • @lisawilliam2491
    @lisawilliam2491 Před 19 dny

    Hatar

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 Před 20 dny +7

    Nikiwa Nairobi gonga like

  • @khalidimzamiru9406
    @khalidimzamiru9406 Před 19 dny

    Kamsikilizeni jamal april wa the story book alieleza kiundani zaid kabla ya kutokea

  • @billskeez92
    @billskeez92 Před 19 dny

    Alitoa the storybook Jana Professor Jamal kweny Wasafi

    • @thefactbook...1607
      @thefactbook...1607 Před 19 dny

      Solar storm ipo tangu 1859.isitoshe hii ni tofauti na hiyo ya wasafi sikiliza vizuri ndugu.

  • @idinado-wk3lx
    @idinado-wk3lx Před 19 dny +4

    Safi sana Tena sana Mungu fanya kitu 👏👏👏👏👏👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍

  • @ThemonitorOfficial
    @ThemonitorOfficial Před 19 dny

    Kumbe nlikuwa selew mtandao jau jau tu toka asbh mpka sasa

  • @Chettymlambalipsi-lb9km

    Hata mm nilikuwa najiuliza Nini kumbe tatizo hilo

  • @issakibwana6497
    @issakibwana6497 Před 19 dny

    Earth magnetic Field sometimes are natural protection wallah it’s so Amazing creation of the Lord
    Nilikuw na fatilia tukio Hilo one week before linashangaza Sana jua Lina radiation za aina nyingi sana maranyingine hupiga katika uso wa dunia na hutolewa na mifumo asilia ya dunia chaja ajabu kila kitu katk systm ya soloa system kina ashiria mwisho kuba mambo kbao nw yanatokea kwenye sola systm huwenda km sio kuwa na hiz vita tungejifunza mengi sn pia tungerudisha nadhari juu ya uumbaji wa mwenyezi mungu sns big up sana tuna wafatilia pia hakija jamii inapenda mnacho fanya🇹🇿✋

  • @johnwillingstone3121
    @johnwillingstone3121 Před 18 dny

    Majuzi nimeona UFO

  • @eliymanueljesus376
    @eliymanueljesus376 Před 18 dny

    Sasa ni nyaya za baharini au soral storm

  • @idinado-wk3lx
    @idinado-wk3lx Před 19 dny +1

    Ikiwezekana Mungu ashushe mvua kabisa ya moto kifupi itokee kalika kabisa maana Dunia tumezidi kabisa kufanya maovu yamezidi

  • @dechardavid2555
    @dechardavid2555 Před 19 dny

    Leo nimezma simu kila saa had chaj inakata

  • @bigjizee4130
    @bigjizee4130 Před 20 dny

    Leo kwa kweli internet imeleta shida sana

  • @maniscamullah6282
    @maniscamullah6282 Před 17 dny

    Tunaomba Tupate picha ya Ali masoud 😅😅

  • @williamkirema6254
    @williamkirema6254 Před 19 dny

    Pia kenya ilisumbua sana

  • @r.jgospel9769
    @r.jgospel9769 Před 19 dny

    Jamani dah niatar 😢

  • @jizzotheking9238
    @jizzotheking9238 Před 19 dny

    Daaaah yaan huyo Ally masubi wenu mnavyomsujudu😀😀😀 Kila kitu huyu hapa ally masubi, ally masub amekuwa ally masubi, yy vita niyeye madawa ni yeye nguvu za kiume niyey, mtandao niyeye, tumbafu

  • @andrewmallya1704
    @andrewmallya1704 Před 19 dny

    Dah nimeshindwa kuweka bet yangu leo.....

  • @adolphmwangoje2887
    @adolphmwangoje2887 Před 19 dny

    Leo imekuwa miyeyusho sana

  • @miriamvihenda7408
    @miriamvihenda7408 Před 19 dny

    True 😂😂😂mbaka na shindwa why

  • @mccatty9217
    @mccatty9217 Před 19 dny

    Yaàn kwq leo imekuw cku bored mnoo

  • @abdallahhamisi45
    @abdallahhamisi45 Před 19 dny

    Kuna movie inatoka soon kuhusu hili

  • @sa3dasa3da87
    @sa3dasa3da87 Před 19 dny

    Mimi nipo Omani hapa nilipo cjaona dalili yyt,na nimeshinda CZcams,kama kunamtu kaona huku Omani tujuzane

  • @christainc.5217
    @christainc.5217 Před 19 dny

    Na oman piy😢😢

  • @zubedasaif3324
    @zubedasaif3324 Před 20 dny

    The story book juzi katwambia

  • @josephchacha2115
    @josephchacha2115 Před 20 dny +2

    Daah Ahsant kwa kutujuza