KINYWAJI CHA KASTARD YA LISHE - HABBA AL HAMRA

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 9. 04. 2023
  • MBEGU HIZI ZINAJULIKANA KWA MAJINA MENGINE YAFUATAYO
    CRESS SEEDS, WATER CRESS SEEDS, ASALIYA SEEDS, HALIM SEEDS, ALIV SEEDS, HABA AL HAMRA , ASERIO, RED SEEDS
    Mahitaji kutosheleza kinywaji cha watu 2 mpaka 4
    Kjk 1 cha kulia mbegu
    Maji 1/2 kikombe
    Maziwa 1/2 kikombe
    Unga wa kastard kijiko 1 cha kulia
    Sukari vjk 2 vya kulia ( fanya kiasi chako utakachopenda)
    Maziwa vikombe 2
    Hiliki ya unga 1/2 kjk cha chai kama utapenda
    Arki ya vanilla kjk 1 cha chai ( au yoyote utakayopenda)
    Nyuzi za zafarani kama utapenda
    www.healthline.com/nutrition/...
    Haba Alhamra is Famous for its beneficial properties:
    The seeds are rich in Iron and Galactagogue
    Excellent source of folic acid, Vitamin A, C and E.also contain Calcium, Protein and Folate.
    The seeds can be consumed raw in salads, sandwiches and soup.
    Aroma of Zanzibar social media
    / fathiya.ismail
    / aromaofzanzibar
    Video intro Zanzibar Spice Market by Farhat Abbas czcams.com/users/results?searc...
    Video Intro Mombasa spice market by Chef Farouk Amboka
    faroukambok...
    Music courtesy / contemplative-middle-e...
    This is English and Kiswahili channel where you will find cuisine from around the world
  • Jak na to + styl

Komentáře • 41