MUSUKUMA AMLIPUA MCHUNGAJI PETER MSIGWA IRINGA - "NITAKUWA NAMPIGIA BUNGENI"...

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 31. 05. 2023
  • MUSUKUMA AMLIPUA MCHUNGAJI PETER MSIGWA IRINGA - "NITAKUWA NAMPIGIA BUNGENI"...
    Mbungu wa chama cha mapinduzi Joseph Musukuma amezungumza na wananchi wa iringa katika ziara ya katibu mkuu wa chama hicho...
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Komentáře • 8

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Před rokem

    BREAKING NEWS! USIKUBALI KUPITWA na HABARI ZA GLOBAL TV. JIUNGE na WhatsApp Group Now: chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ...

  • @kizitoleons6291
    @kizitoleons6291 Před 11 měsíci +1

    Huyu ufahamu wake mdogo sana badala anadi sera za chama chake anamuongelea mpinzani

  • @AdamSaffi211
    @AdamSaffi211 Před rokem

    Nchi iko kwenye pandemic mbaya sana, kichaa, viongozi wote vichaa, mbwa koko wewe Musukuma. Hela hizo ni za watanzania siyo za mpemba Samia!

  • @shetanoathumani2904
    @shetanoathumani2904 Před rokem +1

    Mkulima Nani wa nyanya amepelekewa mamilioni ya hela?

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm Před rokem

    Msukuma Hana elimu ya kuelewa mambo. Anajipa udaktari bila elimu. Ni mbwembwe tupu. Hawa ndio wanaoliangusha Taifa. Elimu, elimu, elimu

  • @anordgerison8639
    @anordgerison8639 Před rokem

    Wewe mbunge msukuma una ongea nini ...? Ety pesa inatoka kwenu una pesa gani ya kutoa kwa CHADEMA wewe , Pesa n za walipa Kodi wa kitanzania na Maliasiri za Tanzania 🇹🇿 , ko usijifanye wewe ndio unajua Sana wadanganye hao hao ..... ! Ambao hata darasa la 7 hawajafika

  • @patrickKitambo
    @patrickKitambo Před 8 měsíci

    Watu wajinga wapo kwenye mfumo, wenye akili wanaogopa kuingia fursa za uongozi