NJOO TUONGEE BIASHARA,VITUMBUA,MTAJI 10,000/- FAIDA 13,000/-
Vložit
- čas přidán 5. 07. 2021
- njoo tuongee biashara ya vitumbua.
in biashara nzuri sana na biashara yenye faida ya kutosha .kama utafuata taratibu,maelekezo na vipimo vyote..
Mara nyingi biashara hii faida yake inazidi mtaji.
Umefanya juu juu sana. Wengine hatuna idea kabisa hatujui viungo vyake wala kuusaga huo mchele
Wow wow wonderful
Masha Allah , from Somalia 🇸🇴🇸🇴🖐
Nakupenda Jana, Leo na kesho my love.
Jaman mngetuelezea jinsi ya kuchanganya,na mmetumia viungo gani
Great!!!
Mmh. Umelipua sana maelezo yako. Ni ngumu kuelewa
Mme tufundisha juu juu process za uandaaji hakuna
Wow. Just wow! Creativity at it's best. You're doing a good job ya kutuelimisha sis
Asante sana love..thanks for supporting
Ukatuficha vipi yakuchanganya cake ume explain pia jali utafauti wawakati,watu wanaishi Congo,tupo Asia, Europe,pata thawabu dada yetu fundisha watu,hio nisadakatul jaria Mie nataka vya kula basi! barakallahu fiikum
Hizo ndoo jaman kaaa
Mchele kiasi gani,, vyote viwe vya kias gani ili kupata hiyo elf 10 ili kupata elf13
Sijaelewa michanganyiko hiyo.
Je huo mchele hukuusaga?
Mbona namba yenyewe haipatikani?
Umetumia mchele gan?
Mwanamke Bombaaaa shukran sanaaa wacha nisome
MashaaAllah hio pan nzuri sanaaaa.. Napenda sanaa vile alikua akisonga shukran kwa hili somo babe
Asante sana love
Sasa dada hapo kwenye viungo naomba naomba urudie
♥️♥️
Mchele ametumia kiasi gani?
naomba namba ya simu nipate kuelekezwa vtumbua
Habari nilijaribu kusaga mchele kutumia blenda lakini chenga zinabaki na hata nikipiga Sana chenga zinabaki wewe unafanyeje unapotumia blenda usibakie chega chenga je! ni utaratibu gani unaotumia ktk kuandaa mchele wako Hadi kuusaga kutumia blenda? Swali la 2 mbona ninapohuumua maji yanapanda unga unabaki chini na Wala hauumuki tatizo ni nini au nimekosea wapi? Naomba unifahamishe
HUjasemAaa tunawekaa nn hujatonyeshaa mwanzoo wa kuchangany ivooo kwa mm cjaelewa
❤️❤️❤️
Hi mamb
Jee unachanganya na unga wa ngano
Kam n sukar na vtu gan vnahtajkaaa hujawlewekaaa
Numba yako ya simu haifanyi
Dia only rice plz reply me am here uganda 🇺🇬 kyiswahiri no plz tell me
You have to pay for the recipe dear
Biashara nyingi zakusimuliwa huwa slzina faida kubwa kwa maneno lakini uhalisia no
Ashu raasatesana
Mbona hamjaonesha mbinu zake kumbe mnatangaza darasa🙄🙄
Ndiyo ni darasa dear,karibu
Keki plus mie nataka darasa LA kutengeneza buttercream inayokauka haraka kwenye keki
Nitafute whatsap nikupatie recipe.
@@kekiplus1andonly ok
Siku pati watsap
Mtoa maelezo cyo mpishi,hata YY kupika ajui ndo maana kamrekod mwenye kaz yake,kaficha maelezo ili ulipie 15000,Kwa staili hii Bora utafute mpish wako mzur mtaan mpatane akufundishe tu
Mme tufundisha juu juu process za uandaaji hakuna