KERO SGR, SITI MOJA KUKATIWA WAWILI, KUCHELEWA KUONDOKA, MKURUGENI AKIRI ZIPO, AFAFANUA

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 22. 06. 2024

Komentáře • 61

  • @raymondsekabigwa5907
    @raymondsekabigwa5907 Před 23 dny +9

    Kero mavazi mafupi ya wahudimu WA kike. Hivi kutuonyesha mpaja ya mabinti hawo ndo utamaduni gani huo? Kwani wakivaa nguo za kistaarabu inakuwaje?

  • @samasob8233
    @samasob8233 Před 23 dny

    Hongereni sana TRC, huduma zitakuwa nzuri tu, tunaamini hivyo, teething problems are expected and can be dealt with due time, wakati huohuo endeleeni na huduma nzuri tuliyoisubiri kwa hamu, safi sana lakini msimsahau muasisi wa mradi Mh Magufuli aliyekuwa na uthubutu wa kufanya kitu hiki kikweli kweli si kimakaratasi yaliyokaliwa ofisini miaka nenda rudi

  • @GodlivenMaximillian-ot7mg

    Hongereni sana TRC WAZO: Msiweke manyimbo ya ovyo ovyo mle acheni documentary za kawaida za kizalendo. Manyimbo ya matusi na watu ambao hawavai nguo kama kwenye mabasi haipendezi, acheni.

    • @abdulwaheedsheikh8015
      @abdulwaheedsheikh8015 Před 22 dny +1

      Hata sauti, volume iwe ndogo, sio wote wanapenda kelele

    • @GodlivenMaximillian-ot7mg
      @GodlivenMaximillian-ot7mg Před 22 dny

      @@abdulwaheedsheikh8015 Ni KWELI kabisa, daaah tumechoka na uhuni wa kwenye mabasi ngoja tupumzike huku ukisafiri from Dar to Dodoma unafika kichwa kinauma

  • @muzafarsharif9465
    @muzafarsharif9465 Před 23 dny +3

    vina mudaaaaaa basi achieni wazungu 😂😂😂😂😂

  • @maase2023
    @maase2023 Před 23 dny +3

    Duh mapema yote hii tena

  • @noeljuvenalmunishi75
    @noeljuvenalmunishi75 Před 22 dny

    Huyu jamaa anachukulia maswali sensitive kwa wepesi sana. TRC must be serious
    Even Single minute delay should not happen

  • @djovitadiyami6085
    @djovitadiyami6085 Před 23 dny

    Futeni hilo meno changamoto.HAMJUI NENO 'COMPETENCE' na hamko tayari kufanya hudumuma kwa viwango vya kimataifa....bado ni 'uswahili' maneno kibao HERI contract out management kama Kenya walivyofanya waendeshe wachina miaka 5 nipate mafunzo kijeshi.

  • @Nedjadist
    @Nedjadist Před 22 dny

    We are not serious because we are used to be pushed. Bring a manager from Germany and there will be no changamoto! It is demeaning, but truth.

  • @Mohamed-sc6bk
    @Mohamed-sc6bk Před 23 dny +1

    Hatuja😂zoea kujitawala tumezoea kutawaliwa ivo ndio hujuw number ya siti nauweze kuuza kw mujibu wa tickets

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 Před 23 dny +1

    Yatakuwa kama magari ya DART

  • @RAHIMAWAZIRI-ik2kq
    @RAHIMAWAZIRI-ik2kq Před 23 dny

    Kiukweli wanajitahidi kwenye muda... Wanamsimamo mzuri mno. Leo nimechelewa kukata ticket, dakika kumi na tano kabla ya safari wanafunga madirisha ya ticket. Dakika tano kabla ya safari wanafunga milango ya mabehewa. Wanaondoka ndani ya muda. Wengi waliokata nimeshuhudia wakiachwa leo. Kwnye siti hapo nilipata changamoto one time.. Ikabidi mim na mtoto wangu tutengwe siti ilihali tulikata siti za kufuatana. Sina hakika kama wameweza kutatua hii ishu ya siti number.

  • @fatumahassanduale4701
    @fatumahassanduale4701 Před 22 dny

    Hayo ni mambo ya kawaida Kwa shughuli mpya,ila yatatuliwe na yasijirudie.

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 Před 22 dny

      Usitetee ujinga na tusipokua makini itakua kama mabasi ya mwendo kasi

  • @Nedjadist
    @Nedjadist Před 22 dny

    Matamko haya yaondolewe kwenye msamiati wa Kiswahili: changamoto, ajali, bahati mbaya, matatizo, kupambana...
    Hata hiyo fibre kukatwa, kwa nini hamkuwa na back up? Mara fulani taa za kuongozea ndege Kilimanjaro airport zilipata shoti. Ndege zilielekezwa Uganda. Watalii wengine iliwachukua siku tano hadi kuweza kufika! No back up hata uwanja kama KIA! Hiyo ndiyo Tanzania! Halafu kujisifu sanaaa hasa awamu hii, kama watoto!

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 Před 23 dny +1

    Kumekucha!

  • @listerkongola6872
    @listerkongola6872 Před 23 dny +2

    Tatizo lilelile "denial of the truth" na kukataa ukweli.
    Wengi tumeshasafiri sana duniani,hakuna matatizo kama haya!!
    Kubali ukweli,toa solutions.
    Kulikuwa na muda wa kutosha wa majaribio,sasa tatizo tena nini??

    • @Majhidymhessa
      @Majhidymhessa Před 23 dny

      Acha uongo ndugu!!!
      Hata Ulaya Delay za 🚆 Train zipo hadi zaidi ya masaa.
      Mimi mwenyewe naishi Ulaya zaidi ya miongo miwili na nusu sasa

    • @Majhidymhessa
      @Majhidymhessa Před 23 dny +1

      Tujipe muda ndiyo kwanza tumeanza jamaani.
      Kikubwa tupo ndani ya mifumo ya kidunia.

    • @samasob8233
      @samasob8233 Před 23 dny

      Acha uongo ndugu!! labda useme dunia ambayo na sisi wengine hatujasafiri! Uingereza, Switzealand, Poland, Norway, Sweden na hata hao magwiji wa uchumi bara la Ulaya Ujerumani, changamoto ni hizi hizi, delays happen, technical faults na unatangaziwa mapema tu, kukutayarisha kisaikolojia, tuambie wapi mwenzetu hakuna hizo changamoto za treni? TRC wanajitahidi sana na waendelee tu, service zitaimprove

    • @magorymara5515
      @magorymara5515 Před 23 dny

      Huwa mnachelewa kwasababu ya wizi ama ya kiusalama kwenye miundombinu​@@Majhidymhessa

  • @YasreArafat-kk9en
    @YasreArafat-kk9en Před 23 dny

    Anajitetea Sana mwishoe ni uongo
    Wanaosafiri ndo wanaolalamika
    Ilitakiwa uwe upande wa wananchi
    Hujatetea hata kidogo manake hayo yote yanayomzungumzwa yafanyieni Kazi
    Na muaeshimu wananchi

  • @kidsontemba1641
    @kidsontemba1641 Před 23 dny

    HONGERA SANA MUHESHIMIWA KADOGOSA HAKIKA UMEPAMBA MENGINE TARATIBU TU YATAKAA SAWA USHAURI WANGU ENDELEA KUSIMAMIA VIWANGO TUTAFANIKIWA

  • @lilyjones3584
    @lilyjones3584 Před 23 dny

    Mapema yote hii tumeshaanza kuuziwa siti moja watu wawili!!! Tanzania Tanzania tumetia fora kwa magumashi!!!

  • @kesterkanyala7718
    @kesterkanyala7718 Před 22 dny

    KWA UKWELI NA UWAZI.... TANZANIA BADO HATUFAHAMU UMUHIMU WA ,KUTUMIA MUDA KWA WAKATI(ON TIME)....
    -WAZO: OMBI KWA WAZIRI WA ELIMU ,KUWEKA SOMO HILI....MUDA...AU WAKATI ...KATIKA SHULE ZA MSINGI...KAMA ZAMANI .(SAYANSI KIMU).....INGAWA KWA SASA ,HAKUNA

  • @kamazima11
    @kamazima11 Před 23 dny +1

    Mwendokasi ( DART ) mwanzo ilikuwa ni nzuri ila kwa sasa hivi ni Kama wakimbizi wanagombania chakula hali ni mbaya mno, SGR naanza kuona tunaelekea kwenye DART , sijui kunashindikana nini kwenye utunzaji wa hizi mali za watanzania 😮

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari Před 23 dny

      Tuna ujinga mnoo na upuuzi mwingi hatujawahi kuwa serious na jambo lolote unashindwa vipi kucontrol na unajua wakuingia wangapi na tiketi ulizouza na ndo maana washaanza kuita wawekezaji maana wao kuweza hawawezi bora wawaite tu hao kina bakharesa basi

  • @guydonacklandgereta3805

    Lazima watu wajifunze kwenda na muda inapofika muda wa kuondoka hata kama train Ina watu kumi inatakiwa train iondoke kwa kufanya hivyo watu watakuwa makini na muda

  • @user13375
    @user13375 Před 23 dny

    Tayari mbwa mwitu washavamia😢😢😢😢

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 Před 22 dny

    Muda wote nimeipanda wanaondoka ontime. Changamoto ilikuwa kiti kimoja watu wawili.

  • @user-xg6fx4jm3h
    @user-xg6fx4jm3h Před 23 dny +1

    Mm sipendi meneja wa kusema changamoto kwani hizi changamoto mwanzo wa majaribio hamkuziona ????na vp mnaanza kazi rasmi tena mnakuja na changamoto tena

  • @ContentSmartphone-rq6po
    @ContentSmartphone-rq6po Před 23 dny +2

    Milrad jitahidi upate picha za kwetu naona unaweka picha za wakenya achananazo kaka

    • @jumandegwakazee
      @jumandegwakazee Před 23 dny

      Chuki itakuwa unaka kama mchawi ameamuka akiwa uchi

    • @kisutabora5914
      @kisutabora5914 Před 23 dny

      Mie napenda kujua kama msafiri ana mabegi mawili au matatu ametoka airport na anataka kusafiri na SGR, utaratibu wa station kupokea mabegi upoje?

  • @majaliwabwitonde6900
    @majaliwabwitonde6900 Před 22 dny

    Mbona mambo ya kusema changamoto yanaanza mapema? Kwani muda wa kuondoka haujulikani, tiketi zinakatwa kwa mkono? Kama sivyo siti moja wanapewaje watu wawili?

  • @GibsonNtamamilo
    @GibsonNtamamilo Před 23 dny +1

    Huo ndio upuuzi inakuwaje siti 1 watu 2? Aibu sana kwa karne hii.

  • @user-pv9zh3oz5t
    @user-pv9zh3oz5t Před 22 dny

    Tatizo trc niwa swahili hawapo proper hata ya meter gauge nihivyohivyo

  • @vom84
    @vom84 Před 22 dny

    Tayari

  • @LovelyOmbreSky-pu4jt
    @LovelyOmbreSky-pu4jt Před 23 dny

    Hujuma zimenza hili shirika alifiki mbali tanzagizayetu

  • @mpefu_4936
    @mpefu_4936 Před 22 dny

    Unatelezaje kwenye kazi kuweni makini acha umangumashi

  • @husseinmkanga7794
    @husseinmkanga7794 Před 23 dny

    Kadogosa anatania tunapanda ndege mbona hakuna tatizo? Wizi ushaanza watu wanao ongezwa kwenye hesabu hawamo kwa sababu kinacho hesabiwa ni wanao kaa kwenye viti. Kwa mfano una mabehewa kumi na una jua kila behewa lina beba watu mia moja unauzaje tiketi mia na kumi? Kadogosa anasema kuhusu watu kusema ndio treni imeanza lakini kwa gharama kubwa sana kupita makadirio yake na hayo yalisemwa na CAG. Tatizo ni wizi au njama za kukabidhi kwa watu binafsi kama bandari tumeitanua kwa fedha za kodi zetu halafu tumempa mwekezaji ambaye hajachangia.Tufanye kama china ukiiba au kuhujumu Mali za Uma au rushwa hukumu yake kifo nchi yetu itaendelea haraka sana.

  • @user-xg6fx4jm3h
    @user-xg6fx4jm3h Před 23 dny

    Kaka kadogosa sisi watanzania tunajua
    Porojo tu si wakurugenzi wala wakuu wa idara na ninavyo kuona kadogosa ushaanza kutupanga na maneno ya kuamini kwamba changamoto ndio zitakazo ua shirika tena ambazo haziepukiki mbona mapema sana unatutisha

  • @SM-fu1yv
    @SM-fu1yv Před 22 dny

    Only in Africa 😂😂😂😂😂

  • @dancerboy2686
    @dancerboy2686 Před 23 dny

    changamoto zmeanza

  • @bilid4128
    @bilid4128 Před 22 dny

    Bado kunguni siku sio nyingi mtakuwa nazo hapo Kwenye SGR

  • @Nedjadist
    @Nedjadist Před 22 dny

    Ipe miezi mitano tu, rudi uitazame!

  • @mpefu_4936
    @mpefu_4936 Před 22 dny

    Tunaomba mfike na kagera

  • @elianzenge9500
    @elianzenge9500 Před 22 dny

    Jamani naonbaa mnisaidie kwa dar tren stesheni yake iko sehem gani kama nataka nipandie tren dar plz wadau nambieni

    • @S-am-salum
      @S-am-salum Před 22 dny

      Kipo mbele kidogo baada ya flyover ya bandari...
      Au ukifika tu kariakoo..... Uliza ilipo stesheni utaelekezwa.......
      Kama kituo cha basi ni goldstar, barabara - Nyerere road

  • @kisutabora5914
    @kisutabora5914 Před 23 dny

    Mie napenda kujua kama msafiri ana mabegi mawili au matatu ametoka airport na anataka kusafiri na SGR, utaratibu wa station kupokea mabegi upoje?

    • @masalakulwa7601
      @masalakulwa7601 Před 23 dny +1

      mabeg yanaruhusiwa ila sio sulfetiau viroba bigno

    • @Nedjadist
      @Nedjadist Před 22 dny +1

      Hakuna utaratibu...bado twashugulikia hatukufikiria mtu atakuja na mabegi kutoka airpor. Tulijua atakuja nayo kutoka bandarini tu!

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 Před 23 dny +1

    Duh mbona aibu sasa🙄🙄🙄🙄