Hersi Said awapa ofa wazee Yanga kwenda kuitazama mechi Chamazi

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 30. 04. 2024
  • Rais wa Yanga amewapa ofa wazee watimu hiyo kwenda kuitazama mechi yao ya CRDB Bank Federation Cup dhidi ya Tabora United.
    Hersi ameagiza wazee hao kupewa tiketi na usafiri wa kuwafikisha Chamazi.
  • Sport

Komentáře • 23