UZINDUZI KITABU CHA YANGA | Mwana FA ataja sababu za kuvutiwa na Yanga, asema yeye Coastal Union

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 14. 06. 2024
  • Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma anaeleza sababu za kushiriki shughuli za Yanga, aipongeza kwa mafanikio na kufanya kwa vitendo mambo wanayokusudia kuyafanya, ampa maua yake Rais wa TFF, Wallace Karia.
    Ni katika uzinduzi wa Kitabu cha Historia ya Yanga LIVE kutoka Hyatt Hotel, Dar es Salaam.
    #YangaSC #UzinduziKitabuYanga #Kitabu #KitabuChaHistoriaYanga
  • Sport

Komentáře • 11