TETESI ZA USAJILI| SIMBA KUMNYOFOA BAKARI NONDO MWAMNYETO YANGA - RICARDO MOMO

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 30. 04. 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • Zábava

Komentáře • 55

  • @MrTollwood
    @MrTollwood Před měsícem +3

    Kama hupendi tetesi kaimbe kwaya ❤

  • @Kevworx
    @Kevworx Před měsícem +2

    Aje tu simba mwenzetu huyu kwa wasiomjua vizuri, yanga yupo kazini ila ana mapenzi ya dhati na mshabiki kitambo wa simba

  • @michaelthobias9967
    @michaelthobias9967 Před měsícem +1

    Asante mwamnyeto kiroho safi nenda bwana

  • @emmanuelpaul5704
    @emmanuelpaul5704 Před 29 dny +2

    Mimi yanga ila kama mwamnyeto anataka kwenda simba aende tu maana anatuchomesha tu sa hv

  • @jogoomohamed2652
    @jogoomohamed2652 Před měsícem +2

    Bakari boko Mwamnyeto,aende tu wala hakuna ahida wala tatizo kwa timu yetu.Yangaaaa

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 Před 13 dny

    Tatizo la Mwamnyeto ni KUKABA KWA MACHO.

  • @AmbweneMwasongwe
    @AmbweneMwasongwe Před 20 dny

    Bakari Nonda Mwamnyeto bonge la beki

  • @FRESHNEWS171
    @FRESHNEWS171 Před měsícem +1

    Wanini huyu..chezaji anakimbia kama ana busha
    Watafute kijana ambae damu inachemka wakukaa ata misimu 4

  • @grassejaphet4799
    @grassejaphet4799 Před měsícem

    Hapo wachambuzi hata mpira hamjui Nodo kiwango kimeshuka ,unafikili yanga wangemuacha kama kiwango kingekuwa hakijashuka,

  • @JackVilo-qx5ll
    @JackVilo-qx5ll Před 28 dny

    Asimbui nondo

  • @l.marley_2542
    @l.marley_2542 Před měsícem +1

    Huyu aende tu, Yanga Hana nafasi

  • @GIBSONGEORGE-lt3tb
    @GIBSONGEORGE-lt3tb Před 5 dny

    Magwaya wa nn simba

  • @jumamakonya2665
    @jumamakonya2665 Před měsícem

    Hagahahaaaaa......ata kesho aende tu.... Yanga ni timu kubwa bhana

  • @maliadii4829
    @maliadii4829 Před měsícem +1

    Atapotea akienda huko naomba ajitathimini sana

  • @user-zy6vq6lz7z
    @user-zy6vq6lz7z Před měsícem

    Simba wanaenda kufeli tena jaman

  • @user-gy3wo2ez4d
    @user-gy3wo2ez4d Před měsícem

    Mwamunyeto akija simba yanga wanachukua tena ubingwa mara4 mfululizo

  • @Tg.7_7
    @Tg.7_7 Před měsícem

    Kwa hiyo mnaona kwaya ni kitu cha hovyo sio, Eeh!! ?

  • @bakarimohamedi9812
    @bakarimohamedi9812 Před měsícem

    Huyu jamaa hana making decisions nzuri,edo na hao wengine wanapiga debe ili yanga wampe mkataba,kama sio mobile ya job au Baka basi huyu jamaa angekuwa hata benchi hakai maana mzito sana halafu anachelewa kutoa maamuzi

  • @mbarakasijaona7638
    @mbarakasijaona7638 Před měsícem

    Mwamnyeto hakuna mali

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 Před měsícem

    Aendee

  • @georgepewa9624
    @georgepewa9624 Před měsícem

    Huyu aondoke anamakosa mengi sana

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 Před měsícem

    Mwamnyeto anaweza akawa kisiki

  • @lucymsheshi5871
    @lucymsheshi5871 Před měsícem

    Msijidanganye😂😂😂😂😂😂

  • @lucymsheshi5871
    @lucymsheshi5871 Před měsícem

    Osca anafurahia tim yake noa fc kupata crim kutoka tim kubwa Yanga😂😂😂 boya kweli

  • @raybirry3816
    @raybirry3816 Před měsícem

    Wanatoa Inonga wanachukua Mwamnyeto,Simba inaendeshwa na wendawazimu,wanaondoa problems wanaleta matatizo😅😅😅

  • @user-yu9hn2cq3y
    @user-yu9hn2cq3y Před měsícem

    😂😂😂 kama uyo aende tu nilijua bacca

  • @JackVilo-qx5ll
    @JackVilo-qx5ll Před 28 dny

    😂😂😂😂😂 labda wamchukue ibra

  • @user-gj1bx9ow3u
    @user-gj1bx9ow3u Před měsícem

    Nondo hata bule aende

  • @yahyaog1175
    @yahyaog1175 Před 29 dny

    😀😀😀

  • @EvansiEvansi-oi8or
    @EvansiEvansi-oi8or Před měsícem

    Kituocha kulelea wazee

  • @stefanontandu2041
    @stefanontandu2041 Před měsícem

    Bado tu hajasepa......fred ni bora kuliko mwamnyeto

  • @Mgema001
    @Mgema001 Před měsícem

    Aliondoka feisal sembuse mwamnyeto...mwamnyeto limekuagalasha yanga liende tu

  • @callykeron
    @callykeron Před měsícem

    Bakar wa nin Simba umri ushaend tunatakiwa wachezaj wachang uyo nondo tutamtumia miaka mitatu mwisho wa siku tutarudi kule kule apo tunapigwa

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 Před měsícem

    Kam hutak tetesi nenda kaimbe kwaya

  • @user-qo5hq7pt5t
    @user-qo5hq7pt5t Před měsícem

    wamchukuwe tu

  • @IsaacParuz
    @IsaacParuz Před měsícem

    Hivi Simba Wana akili kweli ? Bakari Nondo si ndo anachomesha sana pale yanga?

  • @lazaromaitini-ej3ls
    @lazaromaitini-ej3ls Před měsícem

    Akiondoka rais ndo tunapata hofu kumbe nondo

  • @jothamkibona2919
    @jothamkibona2919 Před měsícem

    Wachambuzi acha dharau

  • @charlesjoseph1081
    @charlesjoseph1081 Před měsícem

    ACHA ULONGO HUYO SI BEKI NYIE WACHWAMBUZII

  • @user-ot3vz6gw9f
    @user-ot3vz6gw9f Před měsícem

    Kumannzenu

  • @user-rd3zb5rg5s
    @user-rd3zb5rg5s Před měsícem

    Uchukueni tu sababu tumechoka kuchomeshwa

  • @tezuramziray8700
    @tezuramziray8700 Před měsícem +1

    Yaani akiwa Yanga mnampondq kwa kuwa anatakiwa Simba ati atatatua matatizo ya Simba? Yaani jamani wachambuzi wetu. Hiyo ni kumharibia maanake Yanga hawarembi angalia Djuma na mwenzake.

  • @user-wl4yo4zp9t
    @user-wl4yo4zp9t Před měsícem

    Mikundu yenu utopolo, daso Hilo mnampa nani? Kaeni nalo daso lenu

    • @RamseyOg
      @RamseyOg Před měsícem

      Mkund wako mwenyweewe

  • @user-ky7mz7qh1o
    @user-ky7mz7qh1o Před 29 dny

    Huyoo hafai kucheza simba

  • @janejoel2465
    @janejoel2465 Před měsícem

    Hiyo ndio timu yake ya moyoni. Yanga alikuwepo kwasababu ya kazi tu

  • @abdallahakida7908
    @abdallahakida7908 Před 29 dny

    Mimi nawaomba simba msiweke tetesi zozote fanyani mambo kimya kimya na mtanukumbuka wacheni yanga wabobokwe waweke mabango mana kuna tetesi jina la yanga linabadilika wanaenda kuitwa mabango fc

  • @zulfikakalumba1977
    @zulfikakalumba1977 Před měsícem +1

    Mchukueni hata sasa hivi, mchomeshaji huyo...
    DAIMA MBELE NYUMA MWIKO WANANCHI

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 Před měsícem

    Mwamnyeto ni Simba damu kama mkude kule amefata kazi

    • @ElizaYanga
      @ElizaYanga Před měsícem

      Haijalishi as long as kazi yao wanaifanya vizur uko waliko ajiriwa usimba wao wabak nao tuu sisi kila la kher kwao