Na hili si jambo la kufanyia utani!!!.jamii nyingi inahangaika sana,na ukiangalia kwa umakini zaidi unagundua tatizo ni afya ya akili.Hasa wanawake wanadanganywa sana makanisani.
Nadhani swali zuri ni nini nitaifanyia familia yangu na sio Tanzania, kwa sababu tunaona walioifanyia makubwa Tanzania wanabezwa na kudhihakiwa na watanzania haohao.
Fact tu..Kama ni Matatizo ya Akili Basi hata viongoz hawana afya Akilii Maana Hapo ndani kwenye Utopolo Tu kwa jinsi ulivyo zungumzia hoja yako..Big up ukweli mtupu unawahusu wenyewe hapo ndani Mama kaamua kuwachana ukweliii mtu
Suala la watu wengi sana kutoweza kujismamia au kuchanganua mambo madogo sana ni kweli Tz lipo sana siwezi kusema ni afya ya akili kwa sababu ni jukumu la serekali na familia kuhakikisha watu wanapewa elimu na ukishakosa elimu kwa kiasi kikubwa utaonekana akili yako ndogo kwenye kila jambo
Afya ya akili ianzie bungeni ili kujenga hoja zenye kuleta maendeleo ya nchi.
Safi sana muheshimiwa mbuge makofi kwako 🤣👏👏👏
Safi sana mh. Mbunge
Afya ya akili point kubwa sana 👏👏👏👏
Nikweliii pisha njiaaa waambie haoooo!!!!!!
Na hili si jambo la kufanyia utani!!!.jamii nyingi inahangaika sana,na ukiangalia kwa umakini zaidi unagundua tatizo ni afya ya akili.Hasa wanawake wanadanganywa sana makanisani.
Waambieee japo najua hutarudishwa bungeni awamu ijayo kwan u emewaudhiiii
Nampenda sana Mh jesca🇹🇿❤
Nadhani swali zuri ni nini nitaifanyia familia yangu na sio Tanzania, kwa sababu tunaona walioifanyia makubwa Tanzania wanabezwa na kudhihakiwa na watanzania haohao.
Kuoa sio lazima mama
Safi sana mama waambie ili waelewe make ishakuwa kila secta ni wazee
Umeeleweka mama
Kweli jesca, mizee leo hi ndo yametufikisha
Umetisha
Fact tu..Kama ni Matatizo ya Akili Basi hata viongoz hawana afya Akilii Maana Hapo ndani kwenye Utopolo Tu kwa jinsi ulivyo zungumzia hoja yako..Big up ukweli mtupu unawahusu wenyewe hapo ndani Mama kaamua kuwachana ukweliii mtu
Safi sana Mheshimiwa afya ya akili ndio mpango mzima
Ayo sio maendeleo ya kuzungumzia
Mama nimekupenda bure unao ujuzi wakujenga maendereo natamani ningekuona nikupe mkono ila nipe comenti
Safi Sana mama maneno mazuri...
Nimekuelewa sana😃😃😃😃😍😍😍😍😍
Huyu mbunge alistahili kuwa mbenge 2010 Twende kazi 2025. Tunakutegemea.
Mawazo mazuri yenye kujenga
Barikiwa sana kwa kuongelea afya ya akili, maana ni tatizo kubwa sana kwa taifa letu
Good
Sema Mamaaaa
Wewe.mh mbona umechelewa.kuitowa hiyo hoja ni hoja ya nguvu na yenye mashiko kwa mstakabali wa usitawi wa nchi yetu
Taifa hovyo hili utalifanyia nini matepeli hao ..
Jameni, afia ya akili!
Na ww unaukosefu wa afya ya akili ya imani
Mama uekewe bango Dodoma hii hoja yako ni nzito sana mama huko smart afya ya akili ni tatizo
Point kubwa sana Mama.
asante dada
Mimi nimekuelewa sana
Kweri kabisa wakina kinana wameludishwa madalakani
Nao i afya ya akili hivi kinana ana jipya lipi🤣🤣
Uyu mbunge ni wa ukweri
Suala la watu wengi sana kutoweza kujismamia au kuchanganua mambo madogo sana ni kweli Tz lipo sana siwezi kusema ni afya ya akili kwa sababu ni jukumu la serekali na familia kuhakikisha watu wanapewa elimu na ukishakosa elimu kwa kiasi kikubwa utaonekana akili yako ndogo kwenye kila jambo
Wewe mama ktk ubunge wako una miaka mingapii? JE hakunavijana hawako ktk Jimbo lakoo?? Mbona huachii ?? Achia jimboo , vijana watawalee ,
Very good points
She is very good 👍 👏 👌 ❤
She is very very smart 🤓 woman 👩 👏 ❤ 😍
We need mp like her..
She is tell us the truth about our life...
Maza unachanganya tatizo la akili na ukosefu wa ajira. Watu wengi wanatapeliwa na kutegemea miujiza kwa ukosefu wa ajira na kipato.
Umeongea point sana basi tu lakin
Afya ya akili
Hawana afya ya akili.
Huyu ndiyo mbadara wa Peter msigwa?
Mama asante KWa ushilikiano wako 2025 upumzike uachie vijana.
kweli mama we ni ninoma Holi tu nakupa Mia ya miya
Unaongea vya maana sn,ila hilo shati limekufanya uonekane dume la miraba minne,vaa kutokana & umbo lako.
Huyu Mama ni mnenene.
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌
Usipitwe na hii
czcams.com/video/EoUNzHZowFY/video.html
Kamti pombe🔥🍸7