NAIBU SPIKA MH. MUSSA AZZAN ZUNGU AWAPA UJUMBE MZITO VIONGOZI/"TUMEKASIRIKA/TUNATAKA MABADILIKO"

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 15. 05. 2024
  • SUBSCRIBE NOW:

    🌐 Site: simbasc.co.tz/
    📱 App: Iphone User: apps.apple.com/us/app/simba-s...
    📱 App: Android User: play.google.com/store/apps/de...
    🔵 Facebook: / simbatanzania
    📸 Instagram: / simbasctanzania
    𝕏 Twitter: / simbasctanzania
    🎶 Tiktok: / simbascofficial
    About the Official Simba SC CZcams Channel:
    Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference
    🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi
  • Sport

Komentáře • 102

  • @bavonichristopha1693
    @bavonichristopha1693 Před 22 dny +11

    Asante sana Mzee wetu zungu umetuwasilishia mawazo yetu sisi wanasimba

  • @aloycekiwia8613
    @aloycekiwia8613 Před 22 dny +9

    Tunakuomba Sana Mo.. Usife MOYO kwa Sababu ya Mashabiki Maandazi. Umeieshimisha sana SIMBA yetu na nchi kiujumla. Ubarikiwe Sana.! Inshallah mwakani Tunatoboa.

  • @ahrdadmirak3219
    @ahrdadmirak3219 Před 22 dny +7

    Simba yetu mueshimiwa umeongea maneno mazuri sanaaa

  • @JackisoniJonasi-nz9tv
    @JackisoniJonasi-nz9tv Před 22 dny +5

    Mungu atubariki wanasimba wenzangu

  • @SubiragaKabango
    @SubiragaKabango Před 22 dny +2

    Hongera sana mzee Zungu! Wachezaji wetu wapo vizuri sana na wanajituma! Tatizo lipo kwenye masharti na mapatano ya Adui shetani ni mjinga sana na huwa anangalia mahali penye mafanikio makubwa ndo hapohapo anataka kuangamiza! Lakini Mungu wetu ni Mkuu na anayaweza mambo yote( Biblia,kitabu cha wafilipi 4:13 na Isaya 41:10 kwa jina la yesu kristo wa Nszsreth) UBARIKIWE SANA mzee zungu SsC nguvu moja

  • @yohanasanjavala4954
    @yohanasanjavala4954 Před 22 dny +2

    Ahsante sana Mzee wetu! Kuuhalisia kweli tumekasirika! Tunataka Mabadiliko viongozi Acheni kubweteka siyo Mpaka muone cheche ndo Mzinduke nendeni na utandawazi Mafanikio ya klabu ni Pamoja na Ushindi kwenye Mechi zake!

  • @abdisalim7900
    @abdisalim7900 Před 21 dnem

    Anayemkashifu MO ni vyema akaweke mwiko nyuma,hajui umuhimu wa Mo ktk kuendekeza soka la nchi hii,Mungu akubariki sn Mh Zungu kwa busara zako,naamini tukiwa makini tunaweza kuikuta Simba kwenye sayari nyingine ki soka.Mungu mmbariki MO ,Mungu ibariki SIMBA!!

  • @IsmailiShebughe
    @IsmailiShebughe Před 6 dny

    Mimi namuomba mungu Sana Simba yetu urudi kwenye ubora wake maana tunaaibika Sana wazee wetu tunawaomba msimamie hili

  • @user-rq8qm9rx1r
    @user-rq8qm9rx1r Před 16 dny

    I ♥️ u simba

  • @JackisoniJonasi-nz9tv
    @JackisoniJonasi-nz9tv Před 22 dny +4

    Ibariki Simba

  • @user-wk2bg8zf3l
    @user-wk2bg8zf3l Před 21 dnem +1

    SIMBA SPORT CLUB ❤❤❤WAKALI WA KARIAKOO

  • @miangijunior4358
    @miangijunior4358 Před 20 dny +1

    Facts Mweshimiwa kaongea maneno makubwa sana ila kayaweka kwenye Mabano na katumia Hekma nyingi mno ili umuelewe unatakiwa kutumia akili yenye uwezo sabiti wa kuchanganua mambo....!🙌

  • @PhilipoFabian
    @PhilipoFabian Před 22 dny +1

    Asante mzee went.

  • @djfoxfoxthedj65
    @djfoxfoxthedj65 Před 22 dny +1

    ndio inatakiwa sana viongozi wajia angalia sana pamoja sana simba nguvu moja

  • @user-ir3zu9wq1l
    @user-ir3zu9wq1l Před 21 dnem +1

    Simbaaaa nguvu moya

  • @luckizadickson5682
    @luckizadickson5682 Před 22 dny +2

    Simba Nguvu Moja mwanzo mwisho

  • @user-rq8qm9rx1r
    @user-rq8qm9rx1r Před 16 dny

    Simba hata afungwe je siwezi kuhama ng'ooooh!!!!!!!!!!!!

  • @philoteuslwena3082
    @philoteuslwena3082 Před 22 dny +1

    Simba mnaifelisha nyinyi mapimbi bhana... mnaleta wachezaji wasio na viwango na pesa mnapiga zausajili.. mnamtesa Mo. Tunaumja sana

  • @juvenalschristopherkalewa1819

    Mwaka jana mh zungu alisema hivi hivi hadi akawaambia kama inatakiwa michngo ya usajili semeni ila viongozi naona walipotezea na mwaka huu karudia watu wanaumia sana

  • @AmosItawa
    @AmosItawa Před 22 dny

    Big point 👍

  • @joyceSteve-ej6qu
    @joyceSteve-ej6qu Před 21 dnem

    ❤❤ watu wanaongea tu awajuh mo mungu amtunze

  • @RweyoJoseph
    @RweyoJoseph Před 21 dnem

    Sawa kabisa baba

  • @jumashedafa
    @jumashedafa Před 22 dny

    Hap kwa Mo kumpongez saw nimekubal ila wasimtegee tu hal ya kuwa kwa sasa haonesh green light ktk mafanikio ya club...Ila tunashukur kwa kuwap somo ndiy hay hay wanayoyakataa upand wa pili na kugoma kwend kujifunz...Na kwa maneno mazur mashaallah utekelezaj xax yan hap wanasimba wameshasahau yote...Subir leo wapgwe uone

  • @MORADyJackson-bc4qy
    @MORADyJackson-bc4qy Před 22 dny

    Simba nguvu moja

  • @shabanimzalla7108
    @shabanimzalla7108 Před 21 dnem

    Huyu mzee namkubari sana

  • @patrinraura1397
    @patrinraura1397 Před 22 dny

    Mhe.Zungu ASANTE sana Sisi washabiki na wapenzi tumefarijika kwa mwongozo ya Kitaalamu kwa VIONGOZI

  • @user-ff2oy5qq1j
    @user-ff2oy5qq1j Před 22 dny

    Asant sanaa

  • @tatuAbdallah-jz6kg
    @tatuAbdallah-jz6kg Před 22 dny

    Asante Jeremiah daudi

  • @user-lb6my9qs5c
    @user-lb6my9qs5c Před 22 dny +1

    Tumekasirika na tunakasirika ,watambue Hilo warekebishe

  • @user-cy2eb4jx7p
    @user-cy2eb4jx7p Před 21 dnem

    Fanyieni kazi uwo ushauri

  • @user-zy6vq6lz7z
    @user-zy6vq6lz7z Před 22 dny +1

    Hawa ndo wanauchungu na Simba try again na wenziew Wanajali masilai yao lakn siyo timu

  • @elickdeus-mw1bu
    @elickdeus-mw1bu Před 21 dnem

    chama yupo 5:01

  • @Chris-hb7jn
    @Chris-hb7jn Před 21 dnem

    🥵🥵🥵

  • @user-hv7yp9yw4e
    @user-hv7yp9yw4e Před 21 dnem

    Shida baba rushwa unasumbua viongozi waliopo hawajitambui kimsingi

  • @Bravin116
    @Bravin116 Před 22 dny

    HAO HAWAELEWI WATABAKI KIWA HIVYO INABIDI WAJIUZULU

  • @Bungofilm
    @Bungofilm Před 20 dny

    Media za Tanzania asaiv zinaaminishwa ujinga wanasifia chura wakat mo ndie alie anza

  • @kingibandajembe2247
    @kingibandajembe2247 Před 21 dnem

    Kila mmoja buku hitakuwa poa sana

  • @Franccoz
    @Franccoz Před 22 dny +1

    SASA KAMA MO AMEANZA KUTURUDISHA NYUMA TULIKO TOKA MAANA YAKE NINI SASA TULICHUKUA UBINGWA MARA NNE MFULULIZO YANGA AMECHUKUA MARA 3 BADO MOJA TU ,MO SASAHIVI HATOI HELAA ANASEMA TEAM INAMPA HASARA HAINAHAJA YA KUJIBEMBELEZA AACHIE TEAM ANATUFELISHA KWA SANA KWASASAHIVI, ENDELEA KUMULILIA MPAKA YANGA ACHUKUE MARA 40

  • @abdulrahmanmdimu6750
    @abdulrahmanmdimu6750 Před 22 dny

    Ushauri wa Bure punguzeni wachezaji ambao umri na viwango vimeisha Kwa kusajili wachezaji Mahiri wa ndani na nje, Kila nafasi lazima iwe na wachezaji wawili wenye viwango sawa.

  • @eneafelix3831
    @eneafelix3831 Před 21 dnem

    Mzee amevaa kofia ya Samia Suluhu Hassan 😂😂😂😂😂😂

  • @salummwihava8474
    @salummwihava8474 Před 21 dnem

    Mtuletee wachezaji wazuri

  • @JamalyzoMilanzi
    @JamalyzoMilanzi Před 21 dnem

    Akuna kitu kama icho uongozi uliyopo auna mipango ya mapenzi na Simba

  • @user-wq9wb7gp2y
    @user-wq9wb7gp2y Před 22 dny

    🤔🤔🤔

  • @user-hv7yp9yw4e
    @user-hv7yp9yw4e Před 21 dnem

    Kuna watu na sio mashabiki wanaihijumu timu wanataka uongozi na mamluki wanaiharibu timu,Mo haondoki tutamlinda daima

  • @charleschao9809
    @charleschao9809 Před 22 dny

    kama Mo hawezi kufanya uwekezaji kwasasa it means ndipo uwezo wake ulipoishia.

  • @elickdeus-mw1bu
    @elickdeus-mw1bu Před 21 dnem

    Simba bilamo hatufiki mbali kikubwa tumsapoti

  • @arbinuwamahoro7370
    @arbinuwamahoro7370 Před 22 dny

    Mimi umoja wapo naitaji kujisajiri niwe mwana cham nini sio shiringi 4 tu hata raki❤🎉

    • @Shijajohn5084
      @Shijajohn5084 Před 22 dny

      Mimi huwa nasema ni uzembe tu wa viongozi lkn wakichangamka mbona kuna pesa kwa mashabiki nyingi tu.

  • @PacohMedia
    @PacohMedia Před 22 dny

    Mzee wetu katuwakilisha vyema

  • @AdiliFrances
    @AdiliFrances Před 21 dnem

    😅😅😅😮

  • @Dickisonelias-jn6pe
    @Dickisonelias-jn6pe Před 21 dnem

    Mhu!

  • @ruttarwechungura9392
    @ruttarwechungura9392 Před 21 dnem

    Amekasirika ndio ateme cheche tatizo lipo wapi mwaka watatu viongozi wanasajili wachezaji wakimataifa wasioweza kuanza kikosi cha kwanza

  • @ip_header
    @ip_header Před 22 dny +1

    Wadhamini wote(Kama Azam media, M bet, Mo extra n.k) lkn bado mnamlilia MO au wadhamini wanatoa pesa kwa MO kisha MO ndio anaipa Simba?, jaribun kuangalia nje ya box

    • @mustafakimalio9129
      @mustafakimalio9129 Před 22 dny

      Hao wadhamini wanatoa ngapi kwa mwezi na Simba anatumia ngapi kwa kindindi hicho?

  • @mndambokilavo2502
    @mndambokilavo2502 Před 21 dnem

    kinachotakiwa ni kandanda safi mpira wa kumiliki ambayo ndio jadi ya simba lakini makocha wanaletwa ni "direct football" na ndio maana wanashindwa kukaa na wanaidhoofisha timu nasikia anakuja ibenge ambaye naye ni kocha wa direct football hiyo ndio shida kisa tu profile yake ni nzuri hicho tu. Hii mwachie mgunda mpeni mshahara mzuri fanyeni usajili mzuri halafu tuone na sisi washabiki tutulie sio kafungwa mechi hafai kana kwamba anayekuja hatafungwa

  • @jumaMohammedi-rt2ys
    @jumaMohammedi-rt2ys Před 21 dnem

    Msimu ujao viongoz wajalibu kutembea na wachezaj kuwatia moy

  • @VeronicaPelekamoyo-wp3kp

    Tafuteni viongozi makini hizi timu zinajiendesha sio kila siku kumsifia Mo

  • @omarkipotwile9052
    @omarkipotwile9052 Před 22 dny

    Waambie na suala la kusajili wanachama wapya tuongeze mapato pia

  • @BabdulyZaharani-en9br
    @BabdulyZaharani-en9br Před 21 dnem

    Tatizo hao viongozi wanajali matumbo yao2

  • @NathamYusuph
    @NathamYusuph Před 21 dnem

    Yan apo viongozi wapigaji ao wanatuumiza t ss mbwaa haoo wananenepa wao t

  • @VidalArturo-jk2rs
    @VidalArturo-jk2rs Před 22 dny

    Uhaka anko

  • @user-ul2qg8ds6f
    @user-ul2qg8ds6f Před 21 dnem

    Haaaah ila kolo bana😂😂

  • @Amosmsechu
    @Amosmsechu Před 22 dny

    Tuijenge simba yetu wanachama tunatakiwa kujitoa kwaajili ya klabu yetu kwa pmoja tunaweza # simba nguvu moja.

  • @abdulrahmanmdimu6750
    @abdulrahmanmdimu6750 Před 22 dny

    Mo nakuomba ufanye Haraka institutional self assessment kitaaalam

  • @mpembawapilitz3202
    @mpembawapilitz3202 Před 22 dny

    Mo apepewe kagame na mwanae jaribu tena waondoke

  • @BADAWY575
    @BADAWY575 Před 22 dny

    Hili ji timu ni la hovyo halina msimamo halijulikani uongozi wake kila jitu ni kiongozi😂😂😂😂😂😂😂

  • @mwilathomas2382
    @mwilathomas2382 Před 21 dnem

    pigeni porojo sana, sie tuko paleeee tunawasubiri.

  • @simeonmazigo5918
    @simeonmazigo5918 Před 21 dnem

    Huyo mwenyekit wa bodi kawekwa na Mo na ndo anaetukwamisha hlf mo yupokimya kwanin tusimeme mo?

  • @yesgood3491
    @yesgood3491 Před 20 dny

    Nakumbuka alipoweka Billion 2,watu walibeza. Simba walichua mara nne mfululizo ndo yanga wakaelewa mpira ni pesa!!
    Mo ni msingi wa mpira wa Tanzania leo.

  • @shukurually8769
    @shukurually8769 Před 17 dny

    Kunakukashifu na kuzungumza uhalisia nivitu viwili tofauti apo zungu ameongea kisiasa mpila ni mchezo wa wazi pia mnatakiwa mjuwe kwanini mo analaumiwa? msikurupuke kama mwaka jana hukupata gubudha ya njaa mwaka huu umepata gubudha ya njaa usizungumze lazima ujuwe umefeli wapi

  • @FatmaJumawazir
    @FatmaJumawazir Před 21 dnem

    Mbona mooo2 kwani icho kikao Cha nn mbona kule wakieka kikao ujue mzamini kilusaini mikataba uku kwenu sielewi mm

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 Před 21 dnem

    Tatizo siyo Mo Tatizo viongozi wake ,haiwezekani Kwa Sasa yanga ndo awe King wa soka la Tanzania wakati Simba ndo timu kubwa Tanzania

  • @stephenMhauka
    @stephenMhauka Před 22 dny

    Ni kweli MO katufanyia mengi Simba lkn Sasa kachoka, tupate mfadhili mwingine, Yanga walikuwa na Manji, Sasa yupo Eng. Hersi wanapeta, usiogope mabadiliko Mzee Zungu. Kwa Sasa Simba tunamhitaji Mfadhili mwingine, MO kachoka na anatuzingua tuu, kila mwaka mwaka analalamika anapata hasara, mbona haondoki, anatuzingua tu huku anakuza biashara zake chini ya mgongo wa Simba, tunamhitaji Mfadhili mwingine Kwa Sasa, aachie ngazi TU.

    • @YahyaMakame
      @YahyaMakame Před 22 dny

      Unauhakika kuwa GSM anaifadisha yanga au unakurupuka tuu

  • @AbasiShabani-lw2fd
    @AbasiShabani-lw2fd Před 21 dnem

    Viongozi hawa ni kuwapiga viboko hawajawahi kutuelewa yaaan Azam atakaa nafasi ya pili tuna mengi ya kujifunza aiseee team hii 🚮

  • @user-xq8oo1qz3p
    @user-xq8oo1qz3p Před 22 dny

    Waachie timu hao unaongea nn

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 Před 22 dny +1

    Kesho mnagongwa tena,au sare

  • @rukiamkwayo6302
    @rukiamkwayo6302 Před 22 dny

    Kabra ya moo Kuna manji mnajitoa ufahamu au kwakuwa nyie ni madunduka?

    • @user-or9cl2tc1h
      @user-or9cl2tc1h Před 21 dnem

      Manji alifanya nini kweli wewe unafatilia mpira au unaongea kiushabiki kipindi manji yupo yanga alikuwa nafasi ya ngapi Afrika na ulikuwa na point ngapi caf

  • @chicharito4201
    @chicharito4201 Před 22 dny

    MILLIONI 6 anaota HUYU 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @user-fl5cp2el9m
      @user-fl5cp2el9m Před 21 dnem

      Sasa kinacho kuchekesha Nini kwani ni uwongo acha umama

  • @K24397
    @K24397 Před 22 dny

    HAYA MTU WA DIGITAL HAKUNA SIMBA YANI😭😭🤮

  • @proisolution7166
    @proisolution7166 Před 21 dnem

    WEWE MZEE USEME SIMBA AU MO ALIIGA KWA MANJI,BAADA YA MANJI KUWEKWA KIBRA NDIPO MO AKAIGAAAA,TULIKUWEPO NA ALITANGAZA SO ISSUE YA UWEKEZAJI WA MO NI KWA SIMBA NOT YANGA NA WOTE.

  • @hassanmakame4382
    @hassanmakame4382 Před 22 dny

    Time bovu badala ya kusajili munaongea usenge

    • @muksinimbaruku1233
      @muksinimbaruku1233 Před 22 dny

      Kwan usenge uko wap hapo, ww mjinga tu ndio mnaosemaga maneno ya kijinga

    • @wangsomollel6169
      @wangsomollel6169 Před 22 dny

      umechanga kwanza ela au unanjaa😂😂😂​@@muksinimbaruku1233

    • @baheronganzi9240
      @baheronganzi9240 Před 22 dny

      Tena nimjinga mkubwa uyu unatukana Kuna timu ni mbovu inakuusu nn

    • @user-xd4lu1xl6c
      @user-xd4lu1xl6c Před 22 dny

      We mboo kaa kimya we si mm-bovu?kwn kuna timu isiopitia changamoto?kwn ht kwako na familia hampitii changamoto jitathimi we ut

  • @josephwanda8904
    @josephwanda8904 Před 22 dny

    Mo akiacha hii timu inashuka DARAJA

  • @houmdmajid-ur9dp
    @houmdmajid-ur9dp Před 21 dnem

    Ss hatuwataki hao washenzi watokee ktk uongozi kwnza CO jarbu tena na mangungu

  • @barakajohn8005
    @barakajohn8005 Před 22 dny

    Acha uwoga we mzee huyo mo unavyo sema kaweka pesa kwani afaidiki na matangazo yake??asepe simba ilikuwepo tangu na tangu.shida mnachanganya ufisiem na mpira

    • @GibsonNtamamilo
      @GibsonNtamamilo Před 22 dny

      Kwa mpira wa sasa kama hauna mtu mwenye uchumi imara hutoboi utakuwa unashiriki kama zilivyo Mtibwa, Mashujaa, Dodoma Jiji na zingine ukiondoa Yanga na Azam.

  • @AshelyAbel-kg4kx
    @AshelyAbel-kg4kx Před 21 dnem

    Hata mwakajana waliambiwa nahuyohuyo lakini wanafanya yao