NILIONDOKA YANGA KWASABABU WALISHINDWA KUTIMIZA MKATABA| SIKUONDOKA SIKU YA MECHI KAMA WANAVYOSEMA

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 29. 04. 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • Zábava

Komentáře • 26

  • @mathewmponejas3536
    @mathewmponejas3536 Před měsícem +1

    Hiyo ni tabia yako tu kuwa unakimbia so umechagua mfumo huo wa maisha kwenye kipaji chako

  • @anzelohaule
    @anzelohaule Před 23 dny

    Wewe hufai

  • @ramamabinda5063
    @ramamabinda5063 Před měsícem +1

    Hamna mchezaji humo, huyo ni maisha yake ya kawaida kuondoka bila kurusiwa, ni kwakuwa anajiona mchezaji mzuri. Ila kiukweli huyo hafai hata kucheza tim za daraja la 2. Bahati mbaya sana ni kiongozi wa kuwashawish wachezaji wasuse au wavunje sheria.

  • @PauloAlfayo-qi1gn
    @PauloAlfayo-qi1gn Před měsícem +1

    Baba levo mrekebishe jamaa Yako huwec kuondoka kwa ruksa ya mdomo bila barua huu ni uhuni kabisa

  • @godfreypetermasana-kb8xy
    @godfreypetermasana-kb8xy Před měsícem +1

    Uyu hafai popote.
    Haifai kutoa haya kwa uwazi namna hii

  • @chensigns6748
    @chensigns6748 Před měsícem

    Nimependa boss levo kuongea baada tu ya kuandika ujumbe

  • @mpambanajitz7026
    @mpambanajitz7026 Před 28 dny

    Huyu jamaa alitusaliti kwenye hali mbaya SANA
    Kama ningeweza na nikiwa kama mwanachama hai mwenye KADI ya YANGA,,nisiingekubali kumrejesha JANGWANI kabisa...HAFAI BHANA

  • @nicodemuswidambe5132
    @nicodemuswidambe5132 Před měsícem

    Tamaaa mbaya mjinga wewe.

  • @salmamakweta1198
    @salmamakweta1198 Před měsícem

    Uko kimaslahi zaidi, jaribu kuwa mvumilivu, hata sisi kuna muda hatulipwi kwa wakat tunavumilia na mwisho tunalipwa

  • @kelvinimunishi3334
    @kelvinimunishi3334 Před měsícem +1

    Uyoo akija yanga Mimi nahamia mashujaa

  • @amanilupembe9788
    @amanilupembe9788 Před měsícem +1

    Huyu jamaaa namkumbuka sana yanga yabakuri alitukimbia wa chezaji wa zamani walimchangia waki mwambia atulie llakini aliondoka tamaaa sana huyoo arudi simba

  • @user-vh9wt8zh4n
    @user-vh9wt8zh4n Před měsícem

    Machi ya Simba ruhusa na mechi ya yanga ruhusa unazingua Kila mtu anakushangaa

  • @user-fk4st8qj2k
    @user-fk4st8qj2k Před měsícem

    Huyu hatufai tena kwetu Yanga.Alishindwa kutufaa kipindi tuna dhiki.Maana akufaaye kwa dhiki ndiye rafiki wa kweli.

  • @jumamakonya2665
    @jumamakonya2665 Před měsícem

    Mmhhmm......hajitambui huyu.....!

  • @mariammbwana9018
    @mariammbwana9018 Před měsícem

    Huyo kipa hajielewi

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 Před měsícem

    Ndo tatizo letu bongo ujinga mwingi saana kuuza mechi sana Ili baadhi ya timu zibebe ubingwa

  • @chensigns6748
    @chensigns6748 Před měsícem

    Baba levo ongea na huyu muhaho

  • @lucymsheshi5871
    @lucymsheshi5871 Před měsícem

    😂😂😂😂 pumbavu kweli hajui kunakesho

  • @andrewmbilinyi4437
    @andrewmbilinyi4437 Před měsícem

    alipisha na gari la mshahara huyo. Yanga HATUNA nafasi yake

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 Před měsícem

    Huyo jamaa --- Yanga hatumtaki,hata kama atakuwa tayari kucheza bure --- viongozi wa Yanga,mkimsajili huyo,members na Fan's wote " Tutaandamana kuupinga huo usajili "

  • @haroubmwenesi7169
    @haroubmwenesi7169 Před měsícem

    hapa hakuna mchezaji hata kuongea ajuhi pumba tupu

  • @user-ox4fv4cf5l
    @user-ox4fv4cf5l Před měsícem

    Hana maana HUYU ni feki sana.

  • @ibrahimmseti
    @ibrahimmseti Před měsícem

    Huyu hata Bure hatumtaki,Bora Niache kulipia kadi yangu ya Uanachama.Huyu jamaa alituacha wakati mbaya sana,tamaa zikamponza akakimbilia Simba😏😏,Hafai kuja Yanga hata bure

    • @user-nm1jh3dy9n
      @user-nm1jh3dy9n Před 27 dny

      Maslah jmn mbn metacha alitukan tumempokea nyie vp

  • @callicevallice7383
    @callicevallice7383 Před měsícem

    Huyo kijana nidhamu yake ni ndogo.