Mstaafu Kikwete awachana CCM mbele ya Rais Samia | Amtaja Dk Bashiru "Sijui kama yuko tayari"

SdĂ­let
VloĆŸit
  • čas pƙidĂĄn 7. 12. 2022
  • #LIVE🔮 Rais Samia anashiriki kwenye Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM - JKCC, DODOMA
    #CCM #MkutanoMkuuCCM #EastAfricaTV
    Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
    Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
    Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5

Komentáƙe • 485

  • @merinankullua5874
    @merinankullua5874 Pƙed rokem +36

    Mungu tusaidie ,hawa watu wako kwa maslai yao tu ,hawaoni shida za wananchi ,

    • @antonywilliama2868
      @antonywilliama2868 Pƙed rokem

      mungu tupe uvumilivu maana tunayoyaona ni majabu tu ila yanamwisho wake

  • @davidmpiluka5224
    @davidmpiluka5224 Pƙed rokem +18

    Ukweli ni kwamba, wapo wana CCM wazuri zaidi na wenye Uzalendo wa kweli zaidi kuliko waliopo.

  • @peterpetermdaku1691
    @peterpetermdaku1691 Pƙed rokem +23

    Waziri mkuu chukua fomuđŸ˜ŽâœŒïž

  • @peterchapusa2972
    @peterchapusa2972 Pƙed rokem +20

    The spirit of Magufuli will forever remembered ....

    • @deusalloyce6124
      @deusalloyce6124 Pƙed rokem

      Kweli magufuli was the best president in Tanzania.

    • @user-pn3hk3rq3o
      @user-pn3hk3rq3o Pƙed 6 měsĂ­ci

      His contributions to Tanzanians will remain live except to those who missed his reign

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 Pƙed 2 měsĂ­ci +1

    Kweli kabisa mzee Kikwete❀❀❀

  • @hoseakavubu2844
    @hoseakavubu2844 Pƙed rokem +5

    Tumamtaka Waziri mkuu

  • @giftsokolo3
    @giftsokolo3 Pƙed rokem +2

    Mweeee cjawai barikiwa na huyu cjui kwa nn Mungu nisamehe tu â˜ș

  • @bwagizoselemani8434
    @bwagizoselemani8434 Pƙed rokem +6

    Approximately million 900 imetengwa kwajili ya sherehe wakati wananch tunaish maisha magumu maji shida umeme shida vyakula vipo bei ghali lakini viongoz wao wanaongea mambo mengine ambayo hayana msingi kiukwel tupo katika wakati mgumu sana

  • @PeterNMzee
    @PeterNMzee Pƙed rokem +8

    Bashiru anapata hard time ku cope..... Lakini wa TZ mkiwachagua hawa ntajua kweli sisi ni viazi mviringo

  • @consolatamnaku9401
    @consolatamnaku9401 Pƙed rokem +5

    Na tutaisoma kweli tulikichagua wenyewe hiki chama, lakin mje basi na fact point ya kwa Nini Samia agombee mwaka 25

  • @FrorencioArbertoArberto-ij3km

    Nakukubali sana kiongozi,

  • @user-pn3hk3rq3o
    @user-pn3hk3rq3o Pƙed 6 měsĂ­ci +1

    Impressive service

  • @saimonwatanzaniatanzania1436

    Wao

  • @ludigomhagama4023
    @ludigomhagama4023 Pƙed rokem +6

    Magu atakumbukwa daima. Hap hakuna kitu kabisaaa

  • @sankeabeli6692
    @sankeabeli6692 Pƙed rokem +1

    Nakupenda Sana mweshimiwa,k
    Wakanye sanaaaaaa

  • @juliuskenyatta5037
    @juliuskenyatta5037 Pƙed rokem +27

    Kikwete is a shame to Africa. He can now have a chance to address an audience after DKT Magufuli. We lost Dkt. Magufuli, the true Son of Africa, but his spirit lives on.
    Tanzaznians must replace this current sell-out administration with another Magufuli.
    Kikwete needs to disappear into oblivion. Nobody wants to see this Kikwete face. Despicable.

    • @berthatz
      @berthatz Pƙed rokem +3

      Kabisa kabisa..Kumbe umeliona hilo kaka yangu from +254â€ŠđŸ€

    • @juliussilvestar8988
      @juliussilvestar8988 Pƙed rokem +2

      Wewe julius kenyatta concentrate with your damaged country.Tanzanians we re happy with our peace and respect and oneness that Mwalimu left us with.Not like your names sake kenyatta who didn't concentrate to unite you guys.Have respect for our leaders The same kikwete you re talking I'll of him he s the one who initiated peace talks between kibaki and Raila when your country was torn apart in 2007/2008.

    • @juliussilvestar8988
      @juliussilvestar8988 Pƙed rokem +1

      Wewe julius kenyatta concentrate with your damaged country.Tanzanians we re happy with our peace and respect and oneness that Mwalimu left us with.Not like your names sake kenyatta who didn't concentrate to unite you guys.Have respect for our leaders The same kikwete you re talking I'll of him he s the one who initiated peace talks between kibaki and Raila when your country was torn apart in 2007/2008.

    • @amiriadam9730
      @amiriadam9730 Pƙed rokem

      Live long Dr Kikwete,live long Our President Mama Samia.

    • @amiriadam9730
      @amiriadam9730 Pƙed rokem +1

      Remain with your Old Nairobi let us proceed with building out Nation.❀đŸ‡č🇿

  • @marcodomnick8122
    @marcodomnick8122 Pƙed rokem +1

    Oko sawa

  • @obedwilliam5906
    @obedwilliam5906 Pƙed rokem +20

    Huyu Samia huyu mhuuuuu aya bwana pumzika kwa amani magu😭😭😭😭😭😭

  • @alijuma8009
    @alijuma8009 Pƙed rokem +3

    Jaji warioba mwanachama asieweka mbele Imani ya form za CCM

  • @ashiyafarid9122
    @ashiyafarid9122 Pƙed rokem +2

    Rip jpm, Tz inako elekea Mungu aisadiye

  • @lucaschisamalo2852
    @lucaschisamalo2852 Pƙed rokem +4

    Tunakazi kubwa hawa watu labda miaka 2000 ndowatatoka madalakani wanatumia nguvu kubwa hapo tu wametumia Kodi zetu mungu tu atusimamie

  • @ayurekituz736
    @ayurekituz736 Pƙed rokem +1

    Mazoea ni mabaya sana so support president kikwetefo his brilliant sentiments in terms of Tanzania democracy.

  • @emmanuelmwakyusa8206
    @emmanuelmwakyusa8206 Pƙed rokem +1

    Good president kikwete ...vry transparent

  • @jumambaji9059
    @jumambaji9059 Pƙed rokem +3

    Huyo aliye huru ndo kale mambo ambayo miaka 60 mmeshinda acheni ujinga we kama awamu yako imeisha siutulie usubirie kufa tu mungu yupo na zamu yako itafika tu

  • @josephjohn6783
    @josephjohn6783 Pƙed rokem +3

    Wazili mkuu Kusema ukweli Anafaa. Sana Anamusimamo

  • @ayurekituz736
    @ayurekituz736 Pƙed rokem +2

    Wazi Raisi Kikwete ,wakenya tunamtakia heri na baraka Rais mama Samia.Peleke Bono mbele na maisha bora kwa Watanzania

    • @kennywilliam2466
      @kennywilliam2466 Pƙed rokem

      Ya kaisali muachie kaisali na yaliyo ya mungu muachie mungu sasa we mkenya chamgamoto za watanzania hauzijui ebu jifunze kukaa kimya sio kila kitu lazima uchangie

  • @djnnyandboy564
    @djnnyandboy564 Pƙed rokem +20

    R.I.P Mfalme wetu JOHN POMBE MAGUFURI kwan umetuachia viongozi MAANDAZI kwan wanasifiana kwa upuuzi wanao ufanya

    • @Silay1034
      @Silay1034 Pƙed rokem +1

      Mfalme wa mamako ndoman mbwa we kmy mfuate huko akukanyage maana naona waumia

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 Pƙed rokem +1

      sana maghufuli king wa Africa nzima hakuna wakumfikiya baba yule kwa mazuri yake mashetan yanajitahid kumchafuwa ila wapi

    • @djnnyandboy564
      @djnnyandboy564 Pƙed rokem +3

      Halafu ujue kitu kimoja au vp sijapanda jukwaan kwa ajil ya kutukanana sawa, ungejibu kistarabu au vp usitake kunitafutia/ kuniweka kwenye kundi lisilo faa sawa narudia usiniweke kwenye kund la wahun, replie tena

  • @cricwambali1352
    @cricwambali1352 Pƙed rokem +4

    Namuona polepole akigombea upande wa pili patakua patam hapoo na hivi umeme wa shida kwa mtaa kazi mnayo

  • @yakobojoseph965
    @yakobojoseph965 Pƙed rokem +12

    We jikute tu, ipo siku nawe itabaki historia........
    Pumzika kwa amani Mzee wetu😭😭

  • @charlesmapunda5905
    @charlesmapunda5905 Pƙed rokem +8

    Wapumbavu wa kufikiria na kuchanganua hoja na midahalo mbalimbali lazima wakurupuke na kumuona Dr Bashiru kaharibu badala kuchukua hotuba yake kama kachangamoto yakuifanyia kazi ili kuwaziba wakulima midomo sasa wao wanataka kuwafanya Watanzania kuwa ni Mapimbi wa kuwaburuza kama watu wasio jitambua.

  • @lugelosanga5798
    @lugelosanga5798 Pƙed rokem +3

    Naona Giza mbele

  • @warakawayohana2896
    @warakawayohana2896 Pƙed rokem +6

    Kutaka uraisi ni dhambi? Mwenyekiti kama anaouwezo wa kisiasa na anakubalika si mchakato upigwe mbona anatetewa kwa nguvu

  • @yassinphonyogo2347
    @yassinphonyogo2347 Pƙed rokem +6

    huku umeme hakuna mvua zina nyesha maji yana pungua

  • @kennywilliam2466
    @kennywilliam2466 Pƙed rokem +1

    Kweli ni kazi ngumu sana mnayoyoifanya ccm kwenye nchi hii kuifanya dunia kuwa kijiji hii ni sawa na mnafturu mchana ndani ya chumba chenye Giza katika mwezi mtukufu wa ramadhani mw.mungu ashughulike na nyie maana mioyo yenu imebeba maovu ya mengi sana!!

  • @sweetbertkikarugaa8814
    @sweetbertkikarugaa8814 Pƙed rokem +30

    Tushawachoka Ila bc atunanamna yakufanya,

  • @tanzanitejoshua3681
    @tanzanitejoshua3681 Pƙed rokem +6

    Kaota mapembe RIP MAGU uvivu wa kuamka ndo nakumbuka ilikuwa kauli yake ya kwamba kila siku lazima nipigiwe simu ili nikafanye kazi fulani yaan shidaaa ukombozi wa fikra

  • @mrnobody-qg6ed
    @mrnobody-qg6ed Pƙed rokem +6

    Wanalazimisha mtu yeyote asijitokeze kuwania urais kazi kweli kweli

  • @hassnsalim5156
    @hassnsalim5156 Pƙed rokem +1

    SANAA IENDELEE Makundi oyeeee

  • @jafaryjey
    @jafaryjey Pƙed rokem +8

    Yaani mkija kumwacha mtu ambaye siochaguo la wananchi agombee nitawaona wapuuzi sana, Kikwete usitutishe, Samia ni Rais wetu but she is not our choice it was MAGUFULI, So muhula ukiisha tunataka waheshimiwa wagombee ili tupate chaguo letu msitake kutulazimisha

    • @samwelsimon4800
      @samwelsimon4800 Pƙed rokem +1

      Wakati wa mungu utafika TU watanzania wapo misri wakiteswa na farao ipo cku Moja mungu atamwinua Musa mwingine wa tatu

    • @jafaryjey
      @jafaryjey Pƙed rokem

      @@samwelsimon4800 umeona eeh!

  • @eliusngereza156
    @eliusngereza156 Pƙed rokem +18

    2025 tumtangulize mungu tu ajibu maombi ya watanzania basi

  • @simonpaul9022
    @simonpaul9022 Pƙed rokem +15

    Hatumtaki samia wako mzee maana co mzalendo ,tunamtaka majaliwa pia na jatiba mpya iwepo

    • @isaliisu3408
      @isaliisu3408 Pƙed rokem +2

      Kama unamtaka majaliwa mwambiye akuowe kwa sasa Rais ni mama Samiya huna maamuzi yakutuchaguliya

    • @najmamussa
      @najmamussa Pƙed 6 měsĂ­ci

      Kabudi ndy zaidi

  • @deograsiamgeni5716
    @deograsiamgeni5716 Pƙed rokem +1

    Mnajali kamati kuu ya ccm na siyo Watanzania wote.

  • @abelmirwatu544
    @abelmirwatu544 Pƙed rokem +6

    Yani mnawaza uchaguzi wakati umeme na maji ni shida hapa Tanzania dah! Mungu atawaukumu kama wakishindwa watanzania.

    • @thomastarimo
      @thomastarimo Pƙed rokem +1

      Kaka yangu magu hapo ulipo lala mungu apawekehe uliizi wa malaika wake kaka magu nakukumbuka sana kutokana na ubebari mkubwa uliorudi hapa kwetu kaka magu kamwe siwezi kukusau kaka

  • @alfanmussa3041
    @alfanmussa3041 Pƙed rokem +3

    Yetu macho

  • @heronimomsefya3190
    @heronimomsefya3190 Pƙed rokem +3

    Safi Sana

  • @lawrencemagwaja6746
    @lawrencemagwaja6746 Pƙed rokem +2

    Haya bwana

  • @FerdinandMatangalu
    @FerdinandMatangalu Pƙed 2 měsĂ­ci

    Hongera sana mh kikwete

  • @hajnuabam452
    @hajnuabam452 Pƙed rokem +1

    Mzee baba upo vzr

    • @asteriambwei3349
      @asteriambwei3349 Pƙed rokem

      Badilisheni katiba nchi inaenda pabaya inaliwa mbaya badilisheni uongonzi maana hii ni bara siyo nzanziber

  • @saimonwatanzaniatanzania1436

    Sio kweli

  • @photopicha8298
    @photopicha8298 Pƙed rokem +2

    Very good Dr jk

  • @willylazarusmwaigwisya2683
    @willylazarusmwaigwisya2683 Pƙed rokem +24

    Wakati umefika mwananchi arudishiwe nguvu zake na nguvu ya mwannchi ni sanduku la kula apige kura ihesabiwe ithamiwe na itangazwe kama alivyo piga hii ni ndani ya vyama na nje ya vyama itaondoa uongo uchawa, kwa wanaotaka uongozi ndani ya chama wajijenge kwa wanachama na kwanwaotaka uongozi nje ya chama basi wajijenge kwa wananchi. Kwa hali ilivyo sasa watu wanajijenga kwa viongozi kwa umbeya uchawa kawasabu mwanachama/mwananchi amepokonywa haki yake ndiyo maana wanasusa kupiga kura.Msiposikia hili endeleeni na siasa zenu wengine tubaki wakimbizi nchi yanu

    • @sharifuamuri4638
      @sharifuamuri4638 Pƙed rokem +2

      Akili nyingi safi kula chochote nakuja kulipa

    • @humphreymsengi6686
      @humphreymsengi6686 Pƙed rokem

      @@sharifuamuri4638 đŸ€ŁđŸ€ŁđŸ€ŁđŸ€Ł

    • @humphreymsengi6686
      @humphreymsengi6686 Pƙed rokem +1

      Aisee umeongea kwa uchungu sana. Mungu sio Mwanadamu, siku moja atajibu.

  • @antoymaritini571
    @antoymaritini571 Pƙed rokem +7

    Waziri mkuu chukua fomu🙏🙏🙏🙏🙏

    • @abdallahselemani6423
      @abdallahselemani6423 Pƙed rokem +1

      Hata akichukua fomu lazima aifate katiba ya ccm kama inavyotaka

    • @kellyngogo3319
      @kellyngogo3319 Pƙed rokem +1

      Baelezee hawajui wanajiropokea nani atampa huy

  • @jumaothman9449
    @jumaothman9449 Pƙed rokem +1

    Dr. Jakaya Kikwete mimi nakukubali sana na ingekuwa katiba yaruhusu ningekuomba ukarudia tena kutuongoza watanzania.

    • @tonnyojambo1731
      @tonnyojambo1731 Pƙed 3 měsĂ­ci

      Mpumbavu wewe😅

    • @joezeno8
      @joezeno8 Pƙed 2 měsĂ­ci

      @@tonnyojambo1731😂😂😂😂😂😂

  • @priscargodwel3794
    @priscargodwel3794 Pƙed rokem +2

    Kelele zikizidi anguko lakaribia

  • @samwelipima3795
    @samwelipima3795 Pƙed rokem +8

    RIP JPM tutamkumbuka uozo umeludi wapigaji wapo kazini mama nchi umeludi kwa majangili

  • @mussamkali9926
    @mussamkali9926 Pƙed rokem +1

    Jakaya top in tz

  • @simonsadala2386
    @simonsadala2386 Pƙed rokem +7

    Mungu simama na Taifa letu maana kila kona wananchi wanalalamika

    • @stephenmseti5539
      @stephenmseti5539 Pƙed rokem +2

      Tuunganishe nguvu yetu kama nchi zingine. Huu ujinga wa kurithishana utawala eti destury yao wakati mtu hatuna furaha zaidi wananeemeka wale walichonacho. Nchi inatawaliwa na ujinga uliopitiliza. Huyu mama sio Rais wangu

  • @joshuamwambene2874
    @joshuamwambene2874 Pƙed rokem +7

    MUNGU wetu yupo

  • @ignasnyembo1256
    @ignasnyembo1256 Pƙed rokem +4

    Ajali ya watz ndio huyo

  • @chujimustafa7209
    @chujimustafa7209 Pƙed rokem +4

    Mungu akubaliki sana tunakukubali sana

  • @marrymenas
    @marrymenas Pƙed rokem +4

    Hivi hayo makofi yanayopigwa ni ya watu au makofi yaliyorekodiwa kwenye tafrija flan?! Hayahusian kabisa na vitisho vya huyu mzee

  • @masanjapaulo109
    @masanjapaulo109 Pƙed rokem +2

    Kweli sisi wagangaa njaa sasahv

  • @jumakapesa2940
    @jumakapesa2940 Pƙed rokem +4

    Sijawahi kumsikia kikwete akiwa mkali namna hii.

  • @millandoinstructor8844
    @millandoinstructor8844 Pƙed rokem +3

    Mbona watu hamtaki kustafu...

  • @mateikihoi8125
    @mateikihoi8125 Pƙed rokem +2

    hayaaaa

  • @juliusdonard933
    @juliusdonard933 Pƙed rokem +1

    Tuwazee maendeleo kuwekana juu roho uchaguz mungu ndo anajua nan rais hata jpm mungu kamchukua ni ilipangwa na mungu kwo rais ajaye n mungu ndan ya ccm

  • @davidchungu6598
    @davidchungu6598 Pƙed rokem +1

    Kikwete Ukweli Mtupu Wewe na Genge lako Mnaliharibu Saaana Taifaletu. Na Mungu Atawaona Kama Siosasa Hapa Duniani Basi Huko kwa Mungu

  • @petersarwatt9127
    @petersarwatt9127 Pƙed rokem +1

    Wewe mbn nchi ilikushinda Leo ndo unaweza

  • @mustyboymaalim2070
    @mustyboymaalim2070 Pƙed rokem +8

    Waziri mkuu ndio atakuwa rais wa wasaba wa Tanzania đŸ„°

    • @nehemiamathias3317
      @nehemiamathias3317 Pƙed rokem

      Inasemekana Waziri mkuu hawezi kuwa raisi katika hii nchi mkuu... hayo ni maagano waliyoweka wazee wa dsm

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 Pƙed rokem

      Unaotawewe Tena ndoto za alnacha kasome katiba ya ccm inasemaje

    • @mustyboymaalim2070
      @mustyboymaalim2070 Pƙed rokem

      @@nehemiamathias3317 hakuna mambo ya maagano hapa lazima waziri mkuu awee rais hata CCM wakikata tutajiunga na chadema👌

    • @mustyboymaalim2070
      @mustyboymaalim2070 Pƙed rokem

      @@robertphilip385 hatutambui katiba Cha CCM huyo mama hawezi kazi bure kabisa.. #wazirimkuu mpaka ikuluđŸ€ž

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 Pƙed rokem

      @@mustyboymaalim2070 chadema hawachukuitena makapi ya ccm

  • @saimonlenjemet1458
    @saimonlenjemet1458 Pƙed rokem +1

    R.i.p rais wangu maguful bado nakupenda ango magu

  • @isaackalenge8194
    @isaackalenge8194 Pƙed rokem +1

    Kama Haki itatendeka Haiwezi kushinda,Maisha ya wananchi wa kawaida wanashida sana,

  • @ramadhanibundala580
    @ramadhanibundala580 Pƙed rokem +2

    Hio shida ccm

  • @veronicasteven
    @veronicasteven Pƙed rokem +3

    Majaliw tunakupenda

  • @josephmaganga2667
    @josephmaganga2667 Pƙed rokem +2

    Majaliwa chukuwa fom

  • @mndambokilavo2502
    @mndambokilavo2502 Pƙed rokem +2

    Kama mtaondoa migawo ya umeme na maji, kupunguza mfumuko wa bei, kukamilisha miradi mikubwa ya kimkakati ndio wananchi watawaelewa la sivyo itabaki kupigiana makofi wenyewe kwa wenyewe

  • @babyrasta9685
    @babyrasta9685 Pƙed rokem +4

    Apo nimemuona Raisi wangu Mtaafu Sheni tu

  • @nehemiamathias3317
    @nehemiamathias3317 Pƙed rokem +4

    Mwanaharakati huru ndio MUSIBA

  • @sebastianmwagongo8029
    @sebastianmwagongo8029 Pƙed rokem +3

    Hongera sana mzee Jakaya kikwete kwa kutuambia ukweli đŸ’ȘđŸŒđŸ’ȘđŸŒđŸ’ȘđŸŒđŸ’ȘđŸŒđŸ’ȘđŸŒ

  • @ahmedhamad2410
    @ahmedhamad2410 Pƙed rokem +1

    Nimeamini kama nchi saiz ipo chini ya Kikwete

  • @mr.content266
    @mr.content266 Pƙed rokem +9

    ichi chama kina watu wenye akili ndogo.

    • @hassanmfinanga6021
      @hassanmfinanga6021 Pƙed rokem +1

      Umeonaee na nashangaa walio kua hawana sauti wana sauti

    • @tycoon9540
      @tycoon9540 Pƙed rokem

      Chama kipi kina wenye akili kubwa!???

    • @najmamussa
      @najmamussa Pƙed 6 měsĂ­ci

      Ana uchi wa madalaka timu msoga

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 Pƙed rokem +1

    Sasa ongeeni tu baada ya mwanaume JPM kuondoka ,kikwete hatukupendi na unajua

  • @khelefomary4486
    @khelefomary4486 Pƙed rokem +3

    Safi sana mjukuu wa nyerere

  • @antidiusegbert5562
    @antidiusegbert5562 Pƙed rokem +3

    Hamna majawabu

  • @GidionGidion-ki8po
    @GidionGidion-ki8po Pƙed 3 měsĂ­ci

    Nakuhulumi sana siku yako imeisha

  • @LucasSalimLiamaLiama-vq7qh

    Wezi wakubwa tumewachoka sana ila mnaongoza kwa nguvu ya jeshi letu ila ipo siku mtaachia nchi

  • @user-zu9jg8hx5l
    @user-zu9jg8hx5l Pƙed 6 měsĂ­ci

    Humble style of leadership is not the good way of effective impact that is why every sector was very weak! RIP MY FAVOURITY PRESIDENT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFURI

  • @ezekielmabwai482
    @ezekielmabwai482 Pƙed rokem +2

    Rangi za mboga ya maboga, kazi kweli,kweli! Hakuna hata karangi ka Figo?

    • @victorphilipo
      @victorphilipo Pƙed rokem

      Sikuwahi kufikiri Kunal shida ya nchi Tanzania Kwa sababu ya wahini watatuua

  • @ahz6907
    @ahz6907 Pƙed rokem +2

    Vita ni vita mura😁

  • @GeofreyMalingumu-kt5ik
    @GeofreyMalingumu-kt5ik Pƙed rokem

    Kweli mstaafu anafaa amekabidhi majukumu makubwa serikali

  • @ibrahimyahyayussuf7947
    @ibrahimyahyayussuf7947 Pƙed rokem

    Wewe kikwete mungu anakuona sisi hatuchangui ccm never

  • @samwelyesaya1202
    @samwelyesaya1202 Pƙed rokem +1

    Kweli ccm imechoka kiasi hichi demokrasia wanaikanyaga kweli kweli

  • @aroneymarjr9676
    @aroneymarjr9676 Pƙed rokem +19

    Watu wasiongee ukwel kisa wanakiuka maadili ya chama, maadili gani ukwel lazima usemwe ww Mzee wa mipasho unaleta siasa hii nchi wasipewe watu wa Pwani ni wavivu wa fikra na kaz huo ndo ukwel Ccm tuliipenda kipindi Cha Magu lkn xio xaxa na inaenda kupasuka mwenda zake kairudusha vizuri nyinyi mnaibomoa tena tuxubir na huyo mama yenu watu wameeducate xio km zamani katiba mpya hakuna halaf unaongea nn ni Bora ukakaa kmyaa km mstaafu ubak na respect zko

    • @berthatz
      @berthatz Pƙed rokem +2

      Kweli kabisa..Watu ea Pwani ni majungu na hawajali kuhusu maendeleo
Hii nchi inahitaji watu wanaopenda maendeleo,Twende huko Bara na Kaskazini
Pwani ni bure..

    • @mohameddikaluka3162
      @mohameddikaluka3162 Pƙed rokem +3

      Mimi Ni ccm lkn kwa 2025 waniache siyo waho hata Kama haitoshi kura yangu hawaipati ng'oo labda Hawa wote waishe ujinga mtupu

    • @alimussa2655
      @alimussa2655 Pƙed rokem +1

      @@mohameddikaluka3162 kura yako itamsaidia nini kampigie mamako

    • @mohameddikaluka3162
      @mohameddikaluka3162 Pƙed rokem +4

      @@alimussa2655 hiyo ndiyo kauli za vilaza km ww Ni matusi tu km unajua kura yangu Aina umuhimu kwa Nini unitukane,najua unajua umuhimu wa kura yangu ndiyo maana unanitukana km unamarusi kweli mtukane baba hako na mama hako,

    • @alfamody6286
      @alfamody6286 Pƙed rokem

      wivu

  • @habauabdalah7690
    @habauabdalah7690 Pƙed rokem

    Asa huo mkutano au campaign?

  • @kabakajuma9768
    @kabakajuma9768 Pƙed rokem +2

    mzee unamdanganya huyo mama eti anakubalika mmmmhh labda msifanye uchaguzi wa haki na huru kama mko serious nchi hii anayeweza kukubalika nchi nzima kwa kishindi ni mmoja tu Kasimu

  • @elliottrahema
    @elliottrahema Pƙed rokem +10

    Rest In Peace magufuri Kila nafsi itaonja mauti W anafikiria wataishi milele

  • @rashidiyasini4159
    @rashidiyasini4159 Pƙed rokem +4

    Huyu jamaa anakuwa na maneno mazr lakin hakuna mtu mbaya kwenye hii nchi kama huyu hata kwenye utawala wake alikuwa na maneno mazuri lakin katika awamu zote zilizopita utawala wake yy ndio kaingia mikataba mingi ya ajabu na ndio mpaka Leo inatutafuna. Mzee magufuri kajitahidi kuyafumua lakin wakaona inakuja aibu wakamtanguliza

  • @damianemilian3674
    @damianemilian3674 Pƙed rokem

    Nyie mna jinufaisha matumbo yenu angalien iko siku mungu atasimama mwenyewe ndio mtakapojua Mungu achelewi wala hawai wala hasinzii wala halali

  • @charlesmafwimbo5588
    @charlesmafwimbo5588 Pƙed rokem +1

    Watanzania tunataka Katiba mpya

  • @bsmonline8482
    @bsmonline8482 Pƙed rokem

    Eti sio Vita vya Kupigana Marungu bali ni vita ya kupigana kwa Hoja Kama umemwelewa gonga Comments hapo

  • @edmundrutahiwa
    @edmundrutahiwa Pƙed rokem +1

    Mbona mzee alikuwa na busara sana siku hizi vipi tena mbona leo kaongeaa vitu sivielewi...?? Kama mama anakubalika si waruhusu watu wagombee ndani ya chama...!!! Na kura ziwe huru...!!