Nashukuru kusikiliza dua hii najickia faraja kubwa kama niko na wewe shehe ukiwa pembeni unanisomea na kuniombea kwa mola aniondolee kila mazito Amin kwa sote
Sheikh Kuhusu Damu kumwagiliwa wengine inatutia mashaakil.. tafadhali tufafanulie kwa muujibu wa sunna na utueleze hadithi iliyothubutu in shaa Allaah. Shukran
Asalam aleykum Shukrani kwa kutuwekea Hii Dua👏 Allah atakulipa kwa kila herufi zako, Samahani itengeneze Hii Dua kwenye Audio nyingine ibaki Dua Atu toa maneno yako unaongea sanaaa toa maelezo kdg tu au iweke Dua kichwa cha habari weka maneno kudogo ila Samahani kwa kukusahihisha👏
Waleikum salam warahmatullahi wa barakatu. Sasa asipotoa maelekezo tuta juaje Faida yake? Waja mbona hamu ishi kusema. Hutaki kusikiliza maneno wewe unaye lalamika si waeza ku forward uka peleka mbele uka skip hiyo part yua ongea.
Shukurani shehe nakishukuru nilikuwa na mtihani Kwa sasa Alhamdulillah ostadhat
Amina Amina asante mungu wangu kwa kunijibu na jua usha nijibu mungu wangu amina
Ameen yarabi
Nashukuru kusikiliza dua hii najickia faraja kubwa kama niko na wewe shehe ukiwa pembeni unanisomea na kuniombea kwa mola aniondolee kila mazito Amin kwa sote
Mashaa allah tabaraka allah jazzaka allah kheyri allah izidak wa ibarilak find malak wa auladak find duniyatak wal akhenaten allah hummah amiin yarab
Allahu mma Amiin inshaAllah ❤leo nisiku yapili na nimeona mabadiliko ....Alhamdhulillahi
Amina❤
Amini
Yaa Rabbi Ya Allah turatulie kula aina ya matatizo
Baraka lahu fiku tuna matatizo Alla akulipe mema fi dunia wal akhera
Shukran nimeisikiliza dua yako Mashallah ni dua nzuri 🙏
AAMIYN AMIYN AAMIYN
Asante sana nimesikiliza
AAMIYN YAA RABBIL ALAMIYN THUMMA AAMIYN
Ya Rabbi niondolee dhiki nilo nazo na unifanyie wepesi kula kheri AAMIYN
Shukran ustadh mungu akujaalie kheri hapa duniani na kesho Akhera inshaallah ❤
Jazaka Allah kheri
Alhamdullah
Sheikh Kuhusu Damu kumwagiliwa wengine inatutia mashaakil.. tafadhali tufafanulie kwa muujibu wa sunna na utueleze hadithi iliyothubutu in shaa Allaah. Shukran
Allah akujazi kheri
Shukran sana
Shukran shekh umeisoma vizuri na pia sauti Iko sawa mashaallah tabarakllah
Shukrani sana ustadhi Allah azidi kukuongoza katika kutupatia dua hakika unatusaidia sana Allah atakulipa inshaanllah na mm nitakutafuta inshaanllah
Jazakallah kheir
Shukran ustadh kwakutuekea dua hii
Asante kakaangu kwa duwa
Aamiin Yarabal Aalamiin
Shukran Allah barik
Allah akuhifadhi sheikh
Asante kakaangu kwa kisomo mwwnyezimngu akulinde
Amin dhuma amini 🙏🙏🙏🙏🙏
Jazaka Allah 🤲
Shuklan kaka Allah atakulipa
Shukran ustadh Allah awajaze wote washiriki katika kisomo hiki...Na kiwe dawa kwetu ln shaa llah kwa uwezo wa Allah
inshallah inshallah inshallah Bismillah
Maashalah
Asante jazakallahul khaira
Allahumma amini yaraabi lnshaallah shukuran jaziran ustazi
Shukla sana ustadhi Allah atakulipa
Aakina yarabilialamina mungu akufanyie wepesi
MashaAllah
Mashaa Allah
Shukran sheikh jazaka Allah khair
Aamiina yarabiy
Shukran shekhe
Jazakalu khery Ustadhi 🙏
Amina amina amina
Shukran
ALLAH AWAJAZI KHER NA AMANI
Asalam aleykum Shukrani kwa kutuwekea Hii Dua👏 Allah atakulipa kwa kila herufi zako, Samahani itengeneze Hii Dua kwenye Audio nyingine ibaki Dua Atu toa maneno yako unaongea sanaaa toa maelezo kdg tu au iweke Dua kichwa cha habari weka maneno kudogo ila Samahani kwa kukusahihisha👏
Waleikum salam warahmatullahi wa barakatu. Sasa asipotoa maelekezo tuta juaje Faida yake? Waja mbona hamu ishi kusema. Hutaki kusikiliza maneno wewe unaye lalamika si waeza ku forward uka peleka mbele uka skip hiyo part yua ongea.
Alahummaa aamin jazzakum kheri
Alihamndulilah ,,jazzakum khaira
Mashallah
Asalamu aleku kakaangu kwa duwa mungu akulinde
MashaAllah hii dua naipenda sana..
Shukran kilalakheri
Alahumma aamina fhuma aamina. Yaaarabilialamina
Maashalah
🙏🙏
Shukran sheikh jazaka Allah kheri
Mashaaalah mungu akujalie
Amiin Amiin Amiiin
Shuklani mungu akubariki kilalaher
Shukraan sheikh wangu
Alhamdullh
Shukuran
Masha Allah
Shukla sana kaka InshaaAllah
Matatizo ninayo nitakutafuta ishaallh
Wàalaikum salaam warahmatullah wabarakatuh.
Jazakallah khair
Shukuran sana
Shukura mola akujazie kila lakher
Kwakweli hii haipiti nikila siku nasikiliza
Asalamu asalamu aleku ustadhi nitakutafuya maana mimi ninamatatizo makumbwa
Shuklani sana
Shukran sana kwa mafunzo , swali ni ukiwa na mtoto amegeuzwa kiti cha kubeba mdude dua yke iko ?
Namba yasimu iwapi
juu kushoto
Shukran jazakallahkheyr
Unapatikana wapi
Asalam aleykum,,kwa nini Shekhe mshumaa mwekundu nakuomba unieleweshe na mshumaa mweupe upo ??
Shukran sana
Mashaa Allah
Mashallah
Alahumma aamina fhuma aamina. Yaaarabilialamina
Yapo Sana hususan sisi wafanyi kazi zandani tulioko uarabuni mbona majanga Allah ☝️ atulinde turudi makwetu salama
Mashallah
Shukran Allah akuweke zaid nizidi kupata faida zaid Alhamdulillah
Shukran shekh wetu Mungu awazidishie inshaallah
Asante sana.Ubarikiwe kwa dua