Mashallah nakupenda sana Leyla napenda nyimbo zako zote huziskiza kilasiku nikiwa Saudiarabia from (Kenya) Love you so much dear Allah akuzidishie pamoja na mumeo mlee wtto wenu inshallah
Mashaallah 🔥 malkiaaaah Leyla Kila la kheri 🙏 mungu akusimamie kwenye maisha yako 🙏 na kila akukusudiaye baya bac allah s.w akuepushie inshallah taala 🙏
Nakupenda tu bure dadangu leyla Rashid❤❤❤❤❤❤❤❤❤ napenda sana kazi zako mpenzi Mungu akusimamie daima milele uishi miaka 1000000000 na zaidi ya habeebty 😘😘😘😘😘😘😘😘
Maandishi jitahid kuwa mbunifu kumhoji mtu usipende kufukua makabur watu wakishapatana acha kuchimbuachimbua vitu watu wakishapatana ninjambo la kumshukru mungu uliza maswali ya wkt uliopo sio wakt uliopita hasa maswali ya ugombanishi
@@maximumtvonline kuna baadhi ya watumishi ktk maxmamtv wakikosolewa wanapanic lkn huo ndio ukweli watu wakipatana hakuna haja ya kufukua makabur hata dini zinaelekeza kupatanisha sio uchonganishi kua mbunifu ngariba mtoto acha kujificha ktk kivur cha ufaham utendaji wenu wa kazi wakt unaharibu lazima wananzengo tukwambie utake usitake sisi ni watazamaji na wanafamilia pia utaambiwa tu utake usitake kuwa mbunifu ili ufike mbali km walio kutangulia ktk tasnia ya habar
Tunataka show zaleyla nyimbo zake zote kuanzia maneno ya mkosaji adi na badomtateseka
Leila wewe ni # No.1..Mungu akulinde
+254 tunakupenda sana sana
Nyimbo zako nzpenda sana ni nzuri na znfunza
Usizibe hizo nywele🤣Ndizo nazotaka kuona,,much love from 254 nakupenda sana Leyla Rashid,roho Yako ni safi
Mashallah nakupenda sana Leyla napenda nyimbo zako zote huziskiza kilasiku nikiwa Saudiarabia from (Kenya) Love you so much dear Allah akuzidishie pamoja na mumeo mlee wtto wenu inshallah
MashaAllah MashaAllah wallah mtu na sauti yako na dam yako ya nguo 🇹🇿🇦🇪💋
Ilove you so much malkia.lela rashid❤❤
Mashaallah 🔥 malkiaaaah Leyla Kila la kheri 🙏 mungu akusimamie kwenye maisha yako 🙏 na kila akukusudiaye baya bac allah s.w akuepushie inshallah taala 🙏
Malkia Layla Rashid kwa uzuri wake mashallah 😍😍😍😍
Hakuna bhana weee leyla waogopa nini 😂😂😂😂jahaz kiboko huoni mzee alitoka taraabu ilikufa jahaz oyeeeeee😂😂😂nampenda sana leyla mno 💕💕💕💕
Yani Leo mmenikosha sana bakshishi za pwani'pambeeeeee👌👌👌
Yani leo sasa ndio umeleta kipindi. Kizuri sanaa💕💕 utuletee kila. Kila siku
MASHAALLAH sauti ya mnanda leyla number one❤
Umenigusa..naipenda
mashaallah nampenda Leila
😍😍😍maasha Allah
Mungu atkunusuru na mabaya lshallah
Nakupenda sana Leyla huna kazi mbovu big up sana
Nakupenda sana Leyla mungu akulinde 🙏🏻
Maashaallah
Maashallah Leo mpokwetu chanika talian I
Mashallah🥰🥰🥰🥰🥰
wacha wee 👌
Nakupenda tu bure dadangu leyla Rashid❤❤❤❤❤❤❤❤❤ napenda sana kazi zako mpenzi Mungu akusimamie daima milele uishi miaka 1000000000 na zaidi ya habeebty 😘😘😘😘😘😘😘😘
Miamiaa mm ilov
Huyu mwandishi kalegea mpaka kuongea mxieew
Safii mum
Safi sana
Leyla ni mzuri sana
Maashaallah.....Mrs.Yuusuph og.
Nakupenda lela
Kweli hawapigi mm najua nyimbo kabla mzee hajaacha
Jmn
Hta mii nampena piya sana sana
Huyo mtangazaji anakuchiba Leila
Leila nakupenda kweri
NAKUPENDA DADA
Mashallah 🥰🥰🥰
Yni ngariba nkupenda sna tena naulivyo batirisha kuongea nkupenda sn💋
Bi leila Rashi nakupenda bure yani nataman nikuone jaman
Nakupendaga sana mdada wewe
Alieona Leila kafanana sauti na Hawa nitarejea anipe like hapa👇
sauti kidogo
😂🤣🤣kiufupi Mzee Yussuf kaowa muaraab ,, mtangazaaji bwana
Akioa tena mwacheeee
Maandishi jitahid kuwa mbunifu kumhoji mtu usipende kufukua makabur watu wakishapatana acha kuchimbuachimbua vitu watu wakishapatana ninjambo la kumshukru mungu uliza maswali ya wkt uliopo sio wakt uliopita hasa maswali ya ugombanishi
Haufahamu utendaji wa kazi zetu..baki kuwa mtazamaji
@@maximumtvonline kuna baadhi ya watumishi ktk maxmamtv wakikosolewa wanapanic lkn huo ndio ukweli watu wakipatana hakuna haja ya kufukua makabur hata dini zinaelekeza kupatanisha sio uchonganishi kua mbunifu ngariba mtoto acha kujificha ktk kivur cha ufaham utendaji wenu wa kazi wakt unaharibu lazima wananzengo tukwambie utake usitake sisi ni watazamaji na wanafamilia pia utaambiwa tu utake usitake kuwa mbunifu ili ufike mbali km walio kutangulia ktk tasnia ya habar
Umeeleweka aya kunywa maji
@@saidmanyema5180 😂😂😂😂😂😂akanunue ya maji. Au soda baridi 😀😀😀 nyie humu kma huna moyo bas kkkkkkk
@@saidmanyema5180 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ivi joha kasim yupo jmn
Mhmm
Nampenda sana leila rashid ndio mana nkazaa mtt wa kike nkamuita leila
Tuletee mariam Amour
Leyla km Leyla❤❤❤
Mwehu
Uke wenza dada nikaz acha tuudada
Ngariba mtoto auna Kaz mbovu aise hii Leo umenikosha
Safi
Mtulivu huyu dada
Rangu rohoni mbona uiimbi
Amezeheka ila angali mzuri tuleteye vitu mamy
Ugomvi ulimuibia mzee bwana 🤣🤣
Nampenda huyu mama sanaa😘😘
Mipia kinoma
Leyla ndo nyota y mzee hakuna mwigne atakuja
Kiukweli ukiwa rafiki yako alafu akijakutembea na mtuwako inauma sana hata kama mliachana
Kujibizana huongeza chachu hata enzi za khadija kopa na marehemu Asma ndio walikuza taarabu enzi zao
Asma mie😅😅😂😂
Utakuwa nao tu mwenzio kaoa huko
Wacha
Mhhh leyla
Shetani kweli amekuja moyoni
Mashallah leyla mtu wa watu kila mtu anampenda hana skendo yoyote
Ss unafungaa au tukuelewe vp maana unafunika nywele halaf unaurudiaha nyuma kaaah 😏
Mtangazaji hujui namna ya kuuliza maswali. Jifunze!!!
Nenda uka mfunze weye mwalimmu
Unazeeka sas shost 🥺😂😂
Yeye na khadija kopa nani mzee
@@latifaonesmo7629 aache utopolo sas 😀😀
@@najmaulaya2261 utopolo unaambiwa ukweli unaongea ujinga kinakushangaza kuzeeka ikiwa binaadam uzaliwa na kukua
@@latifaonesmo7629 wew mama nimekuambia wew au nimemtukana ushindwe mamnuu tafadhali skit
Wew hilo neno uzee umeona tusi kahhh unataka kujibizana na mitandao utaumwa naona waumia kkkkkkkkkkk yakukute mwanamke 💊💊💊💊
mashaallah nampenda Leila
Nakupenda sana leyra hila watu wengi mno wanasema nafafa na wewe hira moyo wang uwa unakupenda mbaka kazi zenu