A - Z: ZAKAYO Afunguka FEMI Alivyompeleka Kwa MGANGA, KUROGWA na EX WAKE
Vložit
- čas přidán 18. 03. 2024
- A - Z: ZAKAYO Afunguka FEMI Alivyompeleka Kwa MGANGA, KUROGWA na EX WAKE
Muigizaji Kupitia Tamthilia ya #JuaKali Zakayo amefunguka sababu za kuumwa kwa muda mrefu na kusema baada ya kutafuta suluhu kwenye mahospitali kwa muda mrefu bila kupata jawabu, rafiki yake ambaye pia ni muigizaji katika tamthili hiyo aitwaye FEMI alimshauri kwenda kwa mganga na akakubali ushauri huo
Sikiliza kujua nini kiliendelea baada ya kufika kwa mganga, Zakayo amefunguka yote kwenye interview hii aliyofanya na Mashamsham
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Mmh Asante Yesu kwa Neema ulonipa yakukutafuta
Sasa yesu ndo Mungu
@@shadiantakiyica6647YESU NDIE MUNGU WA MIUNGU
Kweli kabisaaa dear YESU Ndio kila kitu❤❤❤❤❤YOU
HUYO ALIKUWA NA TB ILIYOJIFICHA DALILI KUBWA YA TB NI KUTOKA JASHO JINGI KAMA MAJI NYAKATI ZA UCKU
Yes YESU NI MUNGU KWA TAARIFA YAKO WEWE UNAYE ULIZA
Zakayo bas mpereken na hawa akapone ana teseka jaman🙏🙏
Jesus is the only Way to follow
Pole sana kaka Mungu akusaidiye
Kijana friji yake mbovuu 😂😂😂😂
😅😅😅😅😅😅
🙆🙆🙆🙆
Kateseka acha ateme.nyongo itoke
Compressa imekufa kabisa 😆
Daaaah sio poaaa
Ayomaji nimoja symptom ya TB
Duuh pole san
Zakayo.......pole kwa mlima uliopitia
Asiye pitia mambo ya kiswahili awez kuku elewa Pole sana
kweli?
Kweli kabisa, mpaka upitie ndio utajua hujui.
@@Thisisgrace979 kabisa my
Kweli kabisa wanaongea tu hajawafika watatafuta kila njia
Kabisa japo cjawai kwenda mungu anisimamie.kwasababu watu wangu wa karibu wanaenda sana
Duuuu uh poles aisee
Ila zakayo ndiyo uwataje watu kwa majina yao😂😂
Aiseeeee pole sana kwakwel wanadam hawa jamn Mungu asimame tu kwakweli
Hapo umenena kaka yangu Mungu akupe mwisho mwema.
Watu wanatafuta number ya mganga 😅😅tz people 🙌🙌🙌vijana fanyeni kaz acheni umariooo
Kiufupi kijana hauna Siri kabisa,siku nyingine hutopata wa kukusaidia
NIKWELIIIII
KBSAAAAAA 💯%🤝
True anaongea sana jaman 😂😂😂
Duuh
Kweli hana siri ivi femi ataanza kuandamwa kwa kweli
😂😂😂😂😂😂
Ongera Sana Kwa ukweli Vijana muache kupenda mteremko
Dalili kubwa ya TB ni maji mengi kutoka mwilini, jasho kali haswa usiku
Lakini unaweza tengeza movie nyngine safi sanaaa😂😂🫵🫵
Dogo yupo vizuri ktk uigizaji. Mungu ampe mafanikio mema🙏🙏
Anaweza sanatu ulemavu ule
Pole sana zakayo ndo maana nilikuwa sikuon 😭 jua kali pole sana mungu akusimamie sanaa
Kwani huyu ni wa jua kali
Ndio ameingiza kule kijijini kaka ake Eva @@matronmkenda3510
Ungemkabizi mungu maisha akurekebishia matatizo
Mhh ushawahi kurogwa wewe😅
Kwaiy unamaanish mung hawez kutatua tatiz lako ila mganga ach ujing wew@@annievibes8794
@@annievibes87944:03
Amemtaja femi kwa nia nzuri kwa kuwa alimsaidia
Mmmmh
Duuuuh Allah atuongoze kweli unafanya zambi alafu unatangaza 🤦🤦🤦
Dunia pole Sana 🤦🤦
Afazali ungemtaj aliye kuroga na siyo femi ivi watu watamuona femi anapenda shirki
Kanikera sn mbwa huyu😢
😮😮😮
Compressor ya kijana haifanyi kazi vizur😂😂😂😂😂😂
Vizuri, ila usingemtaja jina aliyekupeleka..
Naomba location ya bagamoyo maana kaka yangu anateseka sana
Jaman mimi nipo nasitofahamu
Unatowa siri za kambi😂😂😂😂😂
jamani idrisa naomba namba hiyoo tunakufa hukuuj daah
Bongo Movie....
Hamisa huyo😅
Mtajeni jamani
Aombe apewe dawa za kuzuia TB
Lkn Juma atatuambia
Juwa kali mnarogana sana ndio mana mabadiliko kila siku
Kwann kwa femi hamjazima maiki alafu huyo mchawi mmezima
Friji la kijana haligandishi😂😂😂😂
Duuh
Mmnh we kaka huna koo kabisa afu uache umalaya mnawachezea sana wadada acha wawanyooshe
Kwann anataja majin
Sio gig kweli😅😅😅😅
Compressor bovu
Ambao tushamjua huyo mwanamke tujikusanye apa😂😁
Sas mtatusanua na sie au mpk tuwabembeleze😂😂
@@candiesalm8995 we huogopi kulogwa 😂😂
@@Humanity21216 huu mwezi mtukufu uchawi haufanyi kazi😁😁
@@candiesalm8995 shetani kafungiwa 😁
Mtutajie na sisi achen roho mbaya
Kijana huna siri kabisa😂😂😂
Huna kaba khaa😂😂😂 masikini femi
Kuwa karabu na mungu utafunikiwa
Friji yake haigandishi tobaaaaa😂😂😂
Dida upo vzr. Vjana tafuteni pesa mtakwisha kwa dezo
Jmn isije kuwa Maria nta umia sana sio mambo yk😊
Sijaelewa. Karogwa ila alipoanza Dawa za TB akapata nafuu vipimo vikasema maji yameisha na akaendelea na Dawa paka akamaliza na kupona. Sijaelewa hapo ni Dawa za TB simemponesha au uko kwa mganga
End of the story alikuwa anaumwa TB
Hana Siri hata kidogo
BAADAE WAKAKWAMBIA USITAJE JINA LA FEMI KWENYE STORI YAKO.,,ILIKUWA KAMA UNAMUANIKA YEYE,,UMEKOSEA SANA JIFUNZE KUMUHIFADHI MTU
Yani ukiumwa ukaenda hospital, ukakuta huna ugonjwa wowote, ujue kuna kitu hakipo sawa kwenye ulimwengu wa roho, life is spiritual
Huyu ni mimi kabisa nateseka sana😭
Sbr wakufanyie tn m.mme hun kooo loooogh w.umme wengn mmmgh 😢😢😢😢😢
Kwann mmezima maiki mnatabia mbaya na ss tunataka kusikia
😂😂😂😂 umbeya utakuponza kijana
Na mm namtaka nisaidie 12:18
Ilikuaje sasa umtaje Femi wajina wangu😢😢😢😢😢😢
Et
Naomben namba ya uyo mganga
Pole
umezunguka sana ila hiyo ni TB ilikuwa inakusumbua coz jasho jingi n dalili tosha na si lazima uwe na dalili zingine na hata vipimo baadhi haviwezi kuonesha had pale itakapokomaa, na kama ulipotumia doz ukawa sawa, basi umrudie mungu na utubu kwa dhambi hiyo, keep praying brother ..
Hivyo kwa hali hyo angeanza dawa moja kwa moja bila vipimo au angefanyaje ili kupona?
Hapo kwenye kumtaja Femi amezingua 😂😂😂😂
Sijakuelewa kabisa idrisa
Tatizo wanaume ss hv mnapenda wanawake wenye pesa hiyo ndo shida Bora mrogwe mtu anakusaidia huumiya pesa zk na mwanamke mwenye pesa anaweza kuenda kukuroga popote Kwa garama yyote si anapesa
Mitihani ya dunia nkuonaga mnazimmoja hospital
Kma hivy bas mpeleken hawa jmn yule dada anateseka jmn upareshen 22 sio kawaida daah pole
Hii ulitakiwa kutulia nayo maana bado unajitafuta ungekuja kusimulia ukiwa mkubwa😅😅😅
Ila bas hayanihusu😂
Izo chale utakuwa kujitiia badae umepona lkn baado una vita usijisahau muombe Mungu
dogo jau huna Siri kbs dah😂
Kama Ni Kweli Basi Umejibloku Siku Ukiwa Hoi Sijui Kama Utapata Mtu Wa Kwenda Nawe Kwa Mganga Mana Kuna Yesu Na Mtume Muhamadi Sasa Ukienda Kwa mganga Weka Sili
Ila wifiii sio mcha Mungu kumbe uwiii ndaghaaaaaaaaa mamaaaaaaaa.... idi shemeji UNAE😂😂😂😂
Na mm namtaka nisaidie
Bora ucngemtaja Femi
Kunakastory kamefichwa
Kijana huna siri wewe !!
Ungechambua vitu vinavyostaili kusema Hekima ni muhimu sana
Stori za kutunga tunazijua😅😅
Kumbe ushikina kamo
Mwanaume huna kifua kabisa kwann umtaje mtu tena kwenye radio ?! Hovyoo kabisa 😢😢😢 ndo mana watu hawataki kusaidia wengine kwasababu ya vijana wa hovyo kama ww 😢😢
😂😂😂😂😂😂
Friji frijiiiiiiiiiiiiiiiiiii ni bovu mnoooooooo.... Kumbe Femi mshirikina
😂😂😂😂
@@lovegirls3713 Heeheheheh Doooooh
Number ya munga please
Naamini ayo mambo yapo maana mimi pia nimepitia na nilipitia wakati mgumu sna😊
Kuma ww Mbea mkubwa hakuna kitu kama hiko
Friji lauyu dogo alipoozi niatari sana
Asante yesu mimi kua na.imani nawe.sio hao.waminio.shetan na waganga.
Hujaumwa wew omba uyo yesuu uendelee kua mzm ivo ivo usipate homaa saw😢 amn anae amini ila katika harakat za kujitibia kuutafuta uhai ipo siku utakuja kutuelezea apa na wew
Uganga sio ushetani... mjifunze tofauti ya Mganga na Mchawi
Hayajakukuta
Hayajakukuta mwaya
Tema mate chini.....hayajakukuta makubwa.....bado unasafari ndefu sana katika maisha.....wachungaji wenyewe yanawakuta makubwa na wanatafuta msaada upande wa pili..😢
C ungetupa na namba za uyo mtaalamu maana hata cc wengine hatuelew kabix nahis kunamtu ananichezea..😢
Hutapa wa kukusaidia kk s7b. Huna qaba
Sasa ukitangaza Kwa mitandaoni suutarongwa tena ww
Basi nishamjua jamani niliwaona polisi baasiii heee dunia hiii kumbe niyeye
Nan uyo tupee code jamn
Kumbe uchawi ni bei rahisi hivi jaman
😂😂😂
dah kwanza nakusifu yaani ule ulemavu unaoiga umeweza tena umeweza tena
😂😂😂mashangazi yanaroga jaman kuwen makin vijana
Kwani kulikua na ulazima wa kumtaja aliekusaidia
Naombeni namba ya femi jamani😊
Jmn mm namuhitaji huyo mganga jmn inakuaje msada jmn
Nisaidie na Mimi uyu mganga jamanii