OLESHANGAI "Ngorongoro haiwezi kufa"

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 25. 08. 2024

Komentáře • 40

  • @user-ko7pv1fh7d
    @user-ko7pv1fh7d Před 7 měsíci

    Barikiwa sana mheshimia watetee wananchi wako brothers 🙏🙏

  • @gabbymoshi8811
    @gabbymoshi8811 Před 2 lety +2

    Mheshimiwa Mbunge wa Ngorongoro wewe ni mfano wa kuigwa ulistahili nafasi hiyo nikuombee kwa Mungu aendelee kukuongoza na kukujalia hekima, kwa wasiokujua wanatakiwa wajue wewe ni moja ya wabungu makini zaidi kuwahi tokea Tanzania.

  • @Josephineexsuper
    @Josephineexsuper Před 2 lety +3

    💪💪💪hongera Sana wabunge wa kutoka jamii ya maasai. Mmeongea kisomi na mmetetea wamasai

  • @ezekieltate4877
    @ezekieltate4877 Před 2 lety +5

    Huyu ndo mbunge msomi kabisa amezungumza vzr sana tena sana

  • @oleraposhimolell9653
    @oleraposhimolell9653 Před rokem

    Shangay mungu akupe riziki maisha yako yote

  • @cristinadanila9149
    @cristinadanila9149 Před 2 lety +2

    Wamasai tupo vizuri we went to school more than they know us

  • @kimanmain3356
    @kimanmain3356 Před 2 lety

    Olexhangai waambie hao wabunge mwanza hao wanaweke wanaongea matope can at hajawakufika ngorongoro wanaongea 2

  • @musayohana3274
    @musayohana3274 Před 2 lety

    Uk vizuri sana Emmanuel shangai

  • @obedimengoru5502
    @obedimengoru5502 Před 2 lety

    Emanueli safi

  • @juliusalayisi6390
    @juliusalayisi6390 Před 2 lety

    Tunakuombeya mungu munbuge wetu unazera ya kuigwa na Wana ngorongoro

  • @roselaizer5628
    @roselaizer5628 Před 2 lety

    Munger msomi kabisa amezungumza czr sana tena San Francisco and the family and friends

  • @oleparakwokarinya5695
    @oleparakwokarinya5695 Před 2 lety +1

    Mungu akupeuzima mbungewetu

  • @samwellaiza8377
    @samwellaiza8377 Před 2 lety

    Mnawapa wanawake wawaongoze mara spika mara raisi wapumbavu sana

  • @samwellaiza8377
    @samwellaiza8377 Před 2 lety

    Mabunge wa Tanzania wengi hawajasoma yani hii Tanzania ukiwa na pesa unakua buge washenzi sana

  • @stevenmwenda3005
    @stevenmwenda3005 Před 2 lety

    Efike mwisho haya malumbano ya maneno basi nchi hii ni kubwa sana mapori yako mengi sana sana wamasai wahamishwe kwa maslai mapana ya taifa letu serikali inahitaji wanyama pori wawepo kwa vizazi vijavyo utali unaingiza mapato mengi mno hiyo hela inafanya maendeleo kwa taifa letu embu nchi ifanye maamuzi magumu kwa haraka

  • @Josephineexsuper
    @Josephineexsuper Před 2 lety

    Hongera Dana mbunge. WAnàchi hawaelewi Kuna ngorongoro crater, na Kuna conservation area.

  • @ipinimarco8468
    @ipinimarco8468 Před 2 lety +1

    Kipaumbele cha ngorongoro ni eneo la hifadhi

  • @jamessanga7120
    @jamessanga7120 Před 2 lety +1

    Ninachokiona apo ni elimu ya ikolojia haipo sawa,carrying capacity yaani uwezo wa eneo kubeba idadi hiyo ya watu haiwezekani eneo lipo Kama mwanzo haliongezeki ila idadi ya watu inaongezeka maana yake ni kwamba tukifanya population projection(makadirio ya idadi ya watu) miaka thelathin ijayo bonde lote litajaa watu wanyama either watakufa wote au kuhama kabisa kutokana na kukosa maliso(density dependent factor) kama idadi ingekua haiathiri wanyama(density independent factor) tungesema hakuna tatizo, tusipime uwepo wa hifadhi ya ngorongoro kwa mila za kutokula na kuwinda wanyama pori tuangalie ikolojiko succession(uendelevu wa jamii ya viumbe) dhidi ya idadi na shughuli za kibinadamu katika bonde hilo kimsingi idadi hiyo inatakiwa iwe ya wanyama na siyo watu kwa hiyo hao wabunge wasitoe povu kwakuwa wanatoka jamii hiyo washauri kitaalam na siyo tuu kusema kwa mdomo ngorongoro haifi binafsi naona ngorongoro ilishakufa tangu miaka kumi iliyopita!

  • @hilarytobico663
    @hilarytobico663 Před 2 lety

    Mr mp my brother

  • @noaholemasusu143
    @noaholemasusu143 Před 2 lety

    Jamani huyu mzee anatetea haki za wananji

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 Před 2 lety +2

    Mifugo inayofugwa sio ya wananchi wanaoishi hifadhini, ni ya mabwanyenye... wale wananchi wanafugia watu wengine.

  • @emanuellyatuu731
    @emanuellyatuu731 Před 2 lety

    Ondokeni TU hayomnayosema no hasara kwa tàifa

  • @lowasathomasa1540
    @lowasathomasa1540 Před 2 lety

    Ngorongoro ni yetu na tuko vizuri kwa kuwalea wanyama hivyo basi ngorongoro ni yetu na pia hatuishi kama wamaasai tu tupo na makabila mengi sana ila tumewazidi kutokana na kuzaliwa ngorongoro

  • @isayaisaya7597
    @isayaisaya7597 Před 2 lety

    A

  • @jacksonletema6071
    @jacksonletema6071 Před 2 lety +1

    Mbunge embu tumia akili kidogo kwa sasa nyinyi mabwanyenye mmepeleka mangombe yenu huko ndio tatizo na kuwafanya wale waliopo kule ndio wachungaji wenu

  • @stephanomoses7694
    @stephanomoses7694 Před 2 lety +1

    Unatetea2 ujinga wew.. mpo kisheria sawa ila serikali inabadilisha sheria na mnahamishwa. Hamewezi ishi na wanyama wetu . Mnajidai na nyie ni simba

  • @sonchuwa8865
    @sonchuwa8865 Před 2 lety

    Tatizo sio kuwepo kisheria ila ni kwamba kipindi kila na saiv ni tofauti walikuwa wachache ila kwa sasa wapo wengi mno na mifugo ni mingi mno ipunguzwe

  • @flavianmashimi6327
    @flavianmashimi6327 Před 2 lety +1

    Tatizo mmezaliana mno. Carrying capacity ileile imekuwa ndogo mbona hamuelewi

  • @noahlarapho3411
    @noahlarapho3411 Před 2 lety

    Good

  • @hbsporttv4176
    @hbsporttv4176 Před 2 lety +1

    Hao wanyama wanaoishi humo ngorogoro serikali itoe vibali vya uwindaji wawindwe wote na baada ya hapa wafute Sheria ya hifadhi ya ngorogoro ibakie mahala salama kwa hao wananchi kuishi bila usumbufu wowote

  • @jamessanga7120
    @jamessanga7120 Před 2 lety

    Waliruhusiwa kukaa huko ni elfu tisa tuu,hao laki wametoka wapi?wamasai mmejitaid sana kutunza wanyama nawapenda Sana tatizo ni idadi yenu inatishia uhai wa hifadhi hiyoo!idadi yenu ibaki ile ya makubaliano Apo tutaenda sawa pia nawasiwasi na hao wabunge waasili ya jamii husika wachunguzwe Kama hawamiliki maelfu ya ng'ombe hifadhin!

  • @sittandaki2135
    @sittandaki2135 Před 2 lety

    Sijui kama unahakiri timamu wewe mbumge unachokiongea hakiendani na umri wako haooo wamasai wahimishweeeeee kwenye hifadhiii hiyoool

  • @athanasebigirimana738
    @athanasebigirimana738 Před 2 lety

    Watanzania tumieni akili maana wamasai wa ngorongoro siyo kama wabunge wasio na wanavyo sema,sisi hatuchungi mifugo yamtu, no zetu

  • @edwardkimaro2103
    @edwardkimaro2103 Před 2 lety

    Hayo mambo ya kukaa Kwa Mazungumzo tumeshakaa Sana NYIE hamtaki kuwa waelewa IWE MKO KISHERIA HIYO SIYO ISSUE.KWA SASA CLIMATE CHANGE NA GLOBAL WARMING KWA UHARIBIFU ULIOJITOKEZA NDANI YA NCAA MASAIS ONDOKENI HUMO.

  • @benedictkayombo4780
    @benedictkayombo4780 Před 2 lety

    Wana omba omba Sana bwana we VP tunafika mara nyingi pale HQ utakuta wanaomba unga

  • @jumamataro4870
    @jumamataro4870 Před 2 lety

    Muache waishi

  • @azizabdallah585
    @azizabdallah585 Před 2 lety

    Mh. Mbunge mbona uelewa wako mdogo....hatupingi wananchi kuishi ndani ya hifadhi ya Ngorongoro....idadi ya watu na wanyama imekuwa kubwa kuliko uwezo wa hifadhi au ardhi....la sivyo tutajuta na baibai Ngorongoro kama tunu ya taifa na dunia!