WANAUME WANAPENDA NINI HASA KWA MWANAMKE?/MC LUVANDA AFUNGUKA KILA KITU | HARDTALK

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 29. 01. 2022
  • WANAUME WANAPENDA NINI HASA KWA MWANAMKE?/MC LUVANDA AFUNGUKA KILA KITU | HARDTALK
    Karibu kutazama kipindi cha HARDTALK kinachohusu mambo mazito yahusuyo maisha, mafanikio na mahusiano kwa ujumla.
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Komentáře • 340

  • @tranchescoanthony2509
    @tranchescoanthony2509 Před 2 lety +77

    Hawa NI wanandoa kumbe????? Duu watu wanajua kujikausha ase,,Mimi hapo tetea langu lingeshacheka,,

  • @lillianbarongo2807
    @lillianbarongo2807 Před 2 lety +33

    Lilian umeuliza vizuri sana.... with proffession ethics to the maximum. Kama sie mumeo vile😄😄👏👏

  • @erissaidytours9034
    @erissaidytours9034 Před rokem +7

    Napenda sana vipindi vyenu na ninavifatilia sana ila tatizo mnatumia sana kiingereza kumbukeni watu wengine hawajui hicho kiingereza

  • @rubbydorrie8827
    @rubbydorrie8827 Před rokem +6

    You did very good Lillian to interview your own husband. I admire you my sister, keep shinning ❤️

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 Před 2 lety +27

    Mashallah nawapenda sana, kipindi kizuri pia kinafundisha,mmejua kujikausha kama vile sio mr &mrs 😉 🙌 🇹🇿🇨🇭

    • @happyme6115
      @happyme6115 Před 2 lety +4

      Dooooh kumbe hawa ni couple 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

    • @aminanamoyo83
      @aminanamoyo83 Před 2 lety +2

      @@happyme6115 ja

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 Před 2 lety +1

      Waoo sikujua, nafurahi kuwajua

  • @mohamedghasia95
    @mohamedghasia95 Před 2 lety +21

    Lilian is emotional in this.....

  • @catherineshayocwbp.2093
    @catherineshayocwbp.2093 Před 2 lety +14

    She is a good listener ☺️

  • @zena___oo1811
    @zena___oo1811 Před 2 lety +7

    Mc nimekupenda Bure huna ubaguzi wadini na dini zote kiasi unazielewa mashaallah

  • @cynthiav7462
    @cynthiav7462 Před 2 lety +11

    I just found out they’re husband and wife 😃 then came back and rewatched it hits different rn … you guys are smart 👌🏾 she was like « nimezungumza na mke wako … »😂 I hope she get the iPhone she wants 😍

  • @sadahgullam8228
    @sadahgullam8228 Před 2 lety +20

    Ishu sio kuwa na pesa kutoa ni tabia ya mtu tu kuna watu wanamipesa na wake zao hawawapi vitu vizuri na kuna wanaume wanakipato cha kawaida na wanajipinda na wanajisikia fahari kuwapa vitu vizuri wake zao

    • @marymathew6529
      @marymathew6529 Před rokem

      Ukweli mtupu,kuwanavyo na kutoa ni vitu viwili tofauti kabisa.

  • @dikodikson559
    @dikodikson559 Před 2 lety +13

    Mtu na mke wake on🔥🔥🔥

  • @nancykimaro3845
    @nancykimaro3845 Před 2 lety +12

    Sijawahi kuona mtangazaji mwenye nguvu ya kuhoji vitu kama Lilian Mwasha na mwanaume mjasiri kama Tony Luvanda....minding hawa ni mtu na mume wake🙌🙌🙌respect to all of u both of u are emotionally intelligent....

  • @baltazaryleticia4451
    @baltazaryleticia4451 Před 2 lety +5

    Wahooo nice one ,nimependa kweli dada ww kiboko sana ,ningekuwa mm hapo ningeaza baby baby ,ila ww dah Big up

  • @salamisindimwo303
    @salamisindimwo303 Před 2 lety +8

    Jamaaani...what a talk, hard talk kbs,nimeyipenda mnoooo, MC you nailed it, thank to the Host too...

  • @hamidauhuru813
    @hamidauhuru813 Před 2 lety +9

    Maana ya professionalism...kama sio mume na mke vile. Congrats Lily, awesome interview

  • @shangwekisima6424
    @shangwekisima6424 Před 2 lety +11

    I just love everything from Mr and Mrs Luvanda, it wasn't boring,🥰🥰🥰

  • @amosshija9458
    @amosshija9458 Před 2 lety +10

    Nimefurahia sana Sababu za Mr Luvanda kuacha kazi

  • @agnessvitalis1326
    @agnessvitalis1326 Před 2 lety +5

    Kumbe nyie familia duhhhhh kwa kwel watu mnajua kuigiza hongereni sana

  • @aminasminaamina4200
    @aminasminaamina4200 Před rokem +4

    It's really rear to hear such
    frequent English from Tanzanian
    big up guys
    much love from Uganda

    • @Lisa.xx8
      @Lisa.xx8 Před rokem

      because the people you mostly hear from didnt go to school

    • @aminasminaamina4200
      @aminasminaamina4200 Před rokem

      @@Lisa.xx8 I had a course mate in the University
      but still her English accent was so poor

    • @wardamzuka3997
      @wardamzuka3997 Před rokem

      Wachana na sisi,,wala vizungu sio lugha yetu

  • @mariamyoyote8172
    @mariamyoyote8172 Před 2 lety +8

    Hii couple big up sana and MASHA ALLAH Yaraby azid kuwaweka pamoja nawapenda Sana 💖💖💖♥️♥️dah huko mwisho wa kipond mjua kunifurahisha I hope mwenyez mungu anijaaliye mume wenye hofu ya mwenyez mungu 🤲🙏

  • @bettyjamila3795
    @bettyjamila3795 Před 2 lety +13

    My Dear Lilly & Mr congratulations MUNGU AZIDI KUWABARIKI SANAAAA NA NINAWAPENDA SANAAAA❤❤❤

  • @vivianvincent4303
    @vivianvincent4303 Před 2 lety +8

    The best interview ever🔥🔥🔥

  • @aimfetty1641
    @aimfetty1641 Před 2 lety +3

    Mi nnanifurahisha mnavojifanya kama hamjuanii kumbe ni wanandoaa 😂😂😂 ilove the talking thgouh keep it up lily

  • @rosemaryzacharia7827
    @rosemaryzacharia7827 Před 2 lety +5

    Lilian sali sana mmeo aelewe feelings zako. Mungu awatunzie familia yenu

    • @roselynenyanda1757
      @roselynenyanda1757 Před 2 lety +2

      Rosemary....habari yako...tatizo la wanaume kujikausha esp. Kwa wake zao linazidi kuota sugu. Mimi naona hamna cha millenials wala milenia....mi naona wamekuwa wabinafsi, na hawajali hisia za wake zao na kama akiona mke anakipato ndio anasahau kabisa. Maana unaweza sema wacha nimpe zawadi iki aone ajifunze...waaapiii...hamna surbodination wala subodinuu

  • @marytemba883
    @marytemba883 Před 2 lety +12

    I just loved every second of this kipindi! Lily unajua sana sana! Hapo kwenye iphone umeniua mbavu zangu 😀😂🤣🤣🤣🤣🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽Mungu aibariki familia yako daima na milele. Amen 🙏🏽

  • @dianamasao1210
    @dianamasao1210 Před 2 lety +6

    Kwa hiyo dada Lili anaomba simu kijanja🤣🤣🤣so lovely 🥰🥰🥰🥰

  • @jonathanjohn6939
    @jonathanjohn6939 Před 2 lety +7

    One of the best interview ever 😁😁

  • @peterjames1538
    @peterjames1538 Před 10 měsíci

    This is HARD TALK really.nakubali sana hiki kipindi nakimeanza kunisaidia kubadilika Mwenyezi Mungu azidi kuwapa ufahamu zaidi yakutupa maelekezo 😊

  • @sophienico4736
    @sophienico4736 Před 2 lety +2

    Jaman nawapenda sanaa namshukuru Mungu kwa ajili yenu🙏

  • @nanasamonti6831
    @nanasamonti6831 Před 2 lety +4

    Kwenye kila haki kuna wajibu. 👌👌

  • @najmajumamatengo
    @najmajumamatengo Před 2 lety +16

    I'm enjoying the conversation! Thank you Lilian and Luvanda

  • @babyhamisi1437
    @babyhamisi1437 Před 2 lety +4

    Nawapenda sana; hard talk great talk

  • @halimaabdullahi1201
    @halimaabdullahi1201 Před 2 lety +6

    i like this, well articulated questions and answers. Keep it up Lilian. Love from Kenya.

  • @evangelistgrace5278
    @evangelistgrace5278 Před 2 lety +8

    Covenant of life is greater than covenant of marriage! If you're are threatened walk away!

  • @annakyando7121
    @annakyando7121 Před 2 lety +6

    I just love love the interview

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 Před 2 lety +6

    Kipindi kizuri sana, ila mmejua kujikausha dah kweli LILIAN mtangazaji personal, hongera sana kwakweli.

  • @seraphineikungura9630
    @seraphineikungura9630 Před 2 lety +7

    Lilian swala la kuongeza mke umepata kaubaridi, maana umesisitiza 😁

  • @amanidaddy9693
    @amanidaddy9693 Před 2 lety +5

    Congretulations! I wish to joine you once more.

  • @rukiayussuf6595
    @rukiayussuf6595 Před rokem +1

    Nice talking...And really nice when it comes from a husband and wife....I loved the i phone part😂😂😂...shout out from Kenya.

  • @annamulungu2876
    @annamulungu2876 Před rokem +2

    🤣🤣🤣🤣🤣 mmetisha Mr & Mrs. Luvanda

  • @athumaniamiri3764
    @athumaniamiri3764 Před 2 lety

    Shukran umenijenga umenipa knowledge

  • @rittaaziz4470
    @rittaaziz4470 Před 2 lety +1

    HI LILIAN...YOU ARE AMAIZING. GOD BLESS U SO SO MORE.

  • @deejulesdonatha4107
    @deejulesdonatha4107 Před 2 lety +3

    Wow Lilian this is the best interview ever! U jus soo goooood! Ila ombi la simu mwishoni limeniacha hoiiii...shem pls get the sis the phone

  • @victoriabulambo2029
    @victoriabulambo2029 Před 2 lety +6

    Dada lily nakupenda mnoooo ❤️

  • @rosemuhazi9542
    @rosemuhazi9542 Před 2 lety +2

    Woooiye waaau congratulation be blessed

  • @gosbertrutayega4546
    @gosbertrutayega4546 Před 2 lety +11

    Fantastic interview from fantastic family. I love it

  • @upendoluv7197
    @upendoluv7197 Před 2 lety +3

    Somo zuri Sana Mc-Luvanda

  • @johnjoseph3773
    @johnjoseph3773 Před 2 lety

    MC luvanda nakuelewa Sana bro tokea home Kaka. Mungu aendelee kukutunza wewe na mkeo na familia yako. I do remembered those days🙌😅😅😅

  • @catherinekwagilwa9051
    @catherinekwagilwa9051 Před 2 lety +4

    Kipindi kizuri na mada ni nzuri sana, lakini naomba niwashauri kua , kipindi ni kiswahili basi ongeeni kiswahili ili kila anaewafualia aelewe. Zaidi ya yote hongereni Kwa kipindi kizuri

  • @evaristomwilongo5567
    @evaristomwilongo5567 Před rokem +1

    😎😎😎 Daaaa kumbe Mr & Mrs nimekuwa makini kidogo kufuatilia.

  • @winnieevarest3634
    @winnieevarest3634 Před 2 lety +5

    SO LOVELY

  • @ZulfaKhamis-ok8lv
    @ZulfaKhamis-ok8lv Před rokem

    Napenda hichi kipindi Sana hongera Sana dada unajiamini na unahakili ya pekee

  • @doriszephania3503
    @doriszephania3503 Před rokem +2

    Woooooooow!
    Its soooooooo Amaizing Enterview!!!
    ,,Lilian, You are Professional Dear!
    Yaan kwa kumfanyia Enterview mumeo nakupatia, mwaaaaaaaaaaaaaaa!!!

  • @ruzukumwamgumu1189
    @ruzukumwamgumu1189 Před 2 lety +1

    Nawapenda, mnajuaga kunifurahisha. Ila jitahidini kutumia kiswahili Sana kuliko kizungu koz tunaowasikiliza ni watz.

  • @janetmbambazi6865
    @janetmbambazi6865 Před 2 lety +4

    Nice Lillian I loved this

  • @josephinekokushubira7286

    Ahsante sana Mungu wa mbinguni awatunze

  • @ericmastajabu4230
    @ericmastajabu4230 Před 2 lety +27

    Haipendezi kabisa kutumia kingereza katika mada ya kiswahili,tumiyeni hekima,kwani kuwa watumwa hata vichwani?.
    Kiswahili ni lugha bora sana,hebu tujivunie!

    • @estherwilliam5125
      @estherwilliam5125 Před 2 lety +5

      yani century zimebadilika ata kama hutaki kuongea kingereza kinakuja tu chenyewe

    • @barakakamugisha8182
      @barakakamugisha8182 Před 2 lety +4

      No hard feelings... Mtu akiongea kingereza sio kwamba anakifanya kiswahili kuwa lugha mbaya... Na wakati mwingine mazingira ya kazi au watu wanao mzunguka yanachangia... Wala sio utumwa Ni namna unavyotazama Mambo..

    • @blandinamyinga9489
      @blandinamyinga9489 Před 2 lety +2

      go n learn as well

    • @joycengailo6613
      @joycengailo6613 Před rokem

      Huu unakuwa ugonjwa sasa

    • @wswai2012
      @wswai2012 Před rokem +2

      @@blandinamyinga9489 well said

  • @hassanbahebe8216
    @hassanbahebe8216 Před 2 lety +13

    Maneno mazuri yenye ukweli ndani yake hususani uhuru wa kufanya utakalo from chunya

  • @jokhasaid6601
    @jokhasaid6601 Před rokem

    MashaAllah nawapenda sana 😘😘🙏

  • @donathakabyemela2073
    @donathakabyemela2073 Před 2 lety +3

    Hongera sana Mr & Mrs

  • @catherinejullu6615
    @catherinejullu6615 Před 2 lety +7

    Lili kunawanaume kiburi, wanaume wengine hata ufanyeje kiburi anajisikia anamwona mkewe kama dastuben,na mwanaume mwingine anasamini watu wengine kuliko mkewe

  • @rhodalameck5722
    @rhodalameck5722 Před rokem +1

    Nimeanza kupata picha kwa nini dada lili uliachana na mumeo ,na kwanini luvanda aliachana na mkewe mkatokea mkaoana

  • @anethchua4041
    @anethchua4041 Před 2 lety

    Asante Lilian yuhu kaka anaonge kingereza sn hatukijuii

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 Před 2 lety +5

    Brilliant

  • @janethkipondamali7133
    @janethkipondamali7133 Před 2 lety +7

    Nimeipenda Sana umejikausha kama sio wewe 🤣🤣🤣🤣

  • @womanofsteel1402
    @womanofsteel1402 Před rokem +2

    Lily hapo nimeona kawivu kamekuingia kwenye kuoa wake wengi 😂😂😂😂😂

  • @mikey2247
    @mikey2247 Před rokem

    From Australia
    You guys made my day🎉🎉❤❤

  • @honorathafortunatus8613
    @honorathafortunatus8613 Před 2 lety +5

    Waoooh nimeipenda iyo, sikujua kama n Mr n Mrs ♥ 👌

    • @vivianmahoo8611
      @vivianmahoo8611 Před 2 lety +1

      Na mimi nilikua sijui nisingesoma comment nisingejua

  • @rahmaluziga4821
    @rahmaluziga4821 Před 2 lety +5

    Nimewapenda bure

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 Před 2 lety +10

    KUTOWA NI MOYO KUNA WATU MAMILIONEA NA UBAKHILI UMEWAJAA ASIKU DANGANYE HUYO.

  • @yohanarobert2484
    @yohanarobert2484 Před 2 lety +3

    Very nice

  • @judithsalvatory2892
    @judithsalvatory2892 Před 2 lety +2

    Kweli sauti yake nzuri sana

  • @magrethjoel97
    @magrethjoel97 Před rokem +1

    Nawapenda sana🙌

  • @benyavan5774
    @benyavan5774 Před 2 lety +1

    Ukitumia kiswahili utakuwa Bora Sana kuliko kingerza Mara kiswahili

  • @almarichard4941
    @almarichard4941 Před 2 lety +2

    Nice interview

  • @carolinemoshi1147
    @carolinemoshi1147 Před 2 lety

    💪 na nimejifunza zaidi

  • @janemugoya1316
    @janemugoya1316 Před 2 lety +4

    Amazing talk

  • @joycengailo6613
    @joycengailo6613 Před rokem +1

    Nawapenda sana,ila mngejitahidi kuzungumza Kiswahili kwa muda wote mngetusaidia sana kuliko kuchanganya lugha

  • @nickolatharwelamila776
    @nickolatharwelamila776 Před 2 lety +10

    Mtu namkewe raha jamani

  • @gloryshiyo2102
    @gloryshiyo2102 Před 2 lety +2

    Hahahhaahha uwiiii this made my day

  • @kisokimhagama9526
    @kisokimhagama9526 Před 2 lety +9

    Mkinga umepoteza sana radha kwa kuongea kiingereza kwa lengo la kuwa fikishia ujumbe waswahili.

  • @mikey2247
    @mikey2247 Před rokem

    Love this

  • @julianelusubiro4655
    @julianelusubiro4655 Před 2 lety +6

    nyie achenii kutuchezea hapa hahahahahahahaaaa mke na mume yaaani kama hamjuani vile jamani. ila bigup mko vizuri

  • @janelucas8123
    @janelucas8123 Před rokem +1

    Trust me you guys you have only seen the wow thing but I see beyond lilian beautiful face...as a woman I saw she was hurting inside kwa majibu ya mume wake... trust me most of the questions and answers were personal.

  • @amnamax8676
    @amnamax8676 Před 2 lety +3

    Congratulations

  • @belitadaudi2850
    @belitadaudi2850 Před 2 lety +2

    Good job 👌🇹🇿🇦🇪

  • @happynescostat7420
    @happynescostat7420 Před 2 lety +5

    Nyie watu mmenitoa jasho,ongereeni !

  • @happynescostat7420
    @happynescostat7420 Před 2 lety +3

    Mungu awape afya,🙏

  • @mwanahawamohammed8540

    Mawasiliano katika ndoa hii ni shida kuwajibika na / rights and responsibilities 😇😇

  • @angelageofrey9756
    @angelageofrey9756 Před 2 lety +2

    Nice kipindi

  • @abbykitty5405
    @abbykitty5405 Před 2 lety +5

    Nimependa sanaa hii interview

  • @FlorenceNachipyangu
    @FlorenceNachipyangu Před 11 měsíci +2

    Luvanda nimependa majibu yako,ya ukweli kabisa. Mimi nina miaka 44 ndani ya ndoa.

  • @ednamsaki7325
    @ednamsaki7325 Před 2 lety +1

    Nawapenda jamani🥰

  • @kendradamas8063
    @kendradamas8063 Před 2 lety +2

    Mc luvanda nampenda uyu kaka anaongeaga point sana

  • @sistersade9039
    @sistersade9039 Před rokem

    Unfortunately I just watched this episode today 😢 and I loved it, just forwarded the clip to many of my friends, then later, I decided to read d comments below, only then when I found out that its husband and wife 😮 OMG Liliyan, u r owsom. I had to go back n watch the holl apisode all over again as I was pretty shocked on the whole interview how it went 😐 I was thinking what would his wife feel that his revealing all those info? Not knowing that Lillian is d wife 😳.
    I loved it, watching u from Muscat, Oman.
    I hope uve already gotten the phone u wanted. Stick to your husband, he loves you 😘

  • @nafikaahadi3380
    @nafikaahadi3380 Před 2 lety

    Waooooooh I lov U ❤️♥️

  • @arafatslim5386
    @arafatslim5386 Před rokem

    Hongea kiswahili mzee acha kijiona kaka ruvanda

  • @zuhuraamrani244
    @zuhuraamrani244 Před 2 lety +2

    Kwa mkristo kukaa na mwanaume bila kuolewa sawa au si sawa?

  • @SAMISAI.
    @SAMISAI. Před 8 měsíci

    Amazing sana🔥🔥

  • @alicekadzo340
    @alicekadzo340 Před 2 lety +10

    This was a really hard one mr n Mrs,big up lilian