YANGA WAMEZIZIDI TIMU NYINGI NGUVU

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 12. 05. 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • Zábava

Komentáře • 20

  • @GucciJackson-sw6pg
    @GucciJackson-sw6pg Před měsícem +8

    Parade ya msim huu itaanzia nyumbani kwa Ahmed Ally

  • @francofisinge137
    @francofisinge137 Před měsícem +4

    Pole wachambuzi hii ndo Yanga

  • @DinoOneTouch7626
    @DinoOneTouch7626 Před měsícem +5

    Wanaumia sana hawa wachambuzi wa mchongi

  • @Izzoh2021
    @Izzoh2021 Před měsícem +16

    Hawa hawa ndio walisema yanga wanaiyona ya 3 msimu huu hohohoho shida wanachambua kwa mtazamo na sio uhalisia

    • @musseleng.2124
      @musseleng.2124 Před měsícem +1

      Oscar Oscar ndio aliyesema sio wote...na just was a joke

    • @imma_billy
      @imma_billy Před měsícem

      Oscar Oscar ndo alisema hayoooo 😂😂😂

    • @jessicaanania6326
      @jessicaanania6326 Před měsícem

      Wameshushuka wanaona aibu sana

    • @hamiduomar1316
      @hamiduomar1316 Před měsícem

      Jaman tuwazoee t hawa wachambuzi wetu wa mchongo wamekuwa km kimbunga cha hidaya maji kujaa majikupwa leo wanaongea utashi wso so tuwazoee t jaman

  • @amaniomar1755
    @amaniomar1755 Před měsícem +6

    Povu linawatoka wamongoli sasa 🎉🎉🎉

  • @adammbuba7230
    @adammbuba7230 Před měsícem +5

    Ha haaaaaaaaaaaaaaa, Yanga bingwaaaa

  • @MasikuHaji
    @MasikuHaji Před 28 dny

    Kumbukeni uliwabeza yanga

  • @user-el2ss1jh9u
    @user-el2ss1jh9u Před měsícem +1

    Uyo oska aliosemaaa kuwa yanga itamaliza nafasi ya. Tatu bado wanasema oska aibu

  • @ridhiwanikhalifa9036
    @ridhiwanikhalifa9036 Před měsícem

    kwa namna yanga ilivyokua msimu huu ukifunguka lazima ufungwe tu hamna timu yenye quality ya yanga kwenye lig

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 Před měsícem +2

    Matako yenu tu machawa wa utopolo

  • @Izzoh2021
    @Izzoh2021 Před měsícem +4

    Hawa hawa ndio walisema yanga wanaiyona ya 3 msimu huu hohohoho shida wanachambua kwa mtazamo na sio uhalisia

    • @publicityzone9583
      @publicityzone9583 Před měsícem +2

      Baba levo ndio alipatia 😅😅

    • @hassanmakame
      @hassanmakame Před měsícem +1

      Hawajui mpira....mpira wamejifunzia dstv na mitandao...miaka huyo Edo anaibuka mtandao tegemewa wa kujifunzia mpira ni soccernet na ESPN. Wakisoma mule wakija wakaongea kwa TV wanaonekana wataalamu ilhali ni janja janja tu!
      At least wangekuwa wamecheza mpira top level au hata kufanya basic coaching courses wangetambua quality ya Yanga.