NI IPI HATMA YA AZIZ KI YANGA?/JE ANAONDOKA /MSIKIE ALI KAMWE HAPA.

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 21. 05. 2024
  • #DaimaMbeleNyumaMwiko #TimuYaWananchi
  • Sport

Komentáře • 49

  • @kilulumtunyungu9369
    @kilulumtunyungu9369 Před měsícem +8

    Safi sana hakuna kufuganafugana mpira ni mchezo hauitaji siasa hii imeenda

  • @MikidadiKambinda-tr6rl
    @MikidadiKambinda-tr6rl Před měsícem +5

    Asante. Sana. Ally. Kamwe. Umeongea. Kuntu. Kabisa. Baadhi. Yetu. Hata. KADI. Hatulipii. Halafu. Tunataka. Wachezaji. Wazuri. Wanayanga. Tulipie. KADI. Zetu. Kwa. Wakati. Asanteni. Sana

  • @thabithamagnus638
    @thabithamagnus638 Před měsícem +4

    Omeongea la maana Sana,

  • @shaibusaady2420
    @shaibusaady2420 Před měsícem

    Allaah Akbar

  • @JosiaMnubi
    @JosiaMnubi Před měsícem +5

    Kwani hiyo kadi unaweza kutengeneza ukawa unatunzia pesa ikifika wakati wa kulipia mnakata makato ya timu

  • @abdullahpongwa1537
    @abdullahpongwa1537 Před měsícem

    Umenyooka semeji tuchangieeni timu yetu kwa kujisajili......

  • @veronicapius3476
    @veronicapius3476 Před měsícem +7

    hivi kwanini msiweke account number ili watu tuchangie wengine hatupo Tanzania sasa tutachangiaje

    • @user-vi7ly9zh1q
      @user-vi7ly9zh1q Před měsícem +2

      Haswaa

    • @SILVANUSMAHANDA
      @SILVANUSMAHANDA Před měsícem +1

      Ukijisajili kama mwanachama utapata kadi ambayo utakuwa una renew yearly popote ulipo coz hata Madrid tunailipia wakati tuko Tz

    • @AzizaHussein-wq8ql
      @AzizaHussein-wq8ql Před měsícem

      ​@@SILVANUSMAHANDA😅😅😅😅😅 koma sava iii sasa😅

  • @AminoKhalif
    @AminoKhalif Před měsícem

    Hiyo kadi bei gani

  • @user-ff1jm8hj2e
    @user-ff1jm8hj2e Před měsícem +5

    Mhh

  • @Shadia544
    @Shadia544 Před měsícem +3

    Semaji letu la taifa 😂😂😂😂😂

  • @ahmadimpinga5857
    @ahmadimpinga5857 Před měsícem +2

    Hinamana tumeikubali rangi nyengundu kama nembo ya mdhamini??

  • @selemanmcharazo
    @selemanmcharazo Před měsícem

    Safi we ndo msemaji wa viwango vya FIFA na CAF.points tupu we sio kama mwimba tarabu mkimsikiliza hadi unajiuliza huyu Kwa uwezo au ushabiki TU.

  • @charlestobby6031
    @charlestobby6031 Před měsícem +3

    Dad is so crazy 😂😂😂

  • @UnitedAfrica-uw9ct
    @UnitedAfrica-uw9ct Před měsícem

    sawa kiongozi tunakuja

  • @Ahmedsaid-tq4yd
    @Ahmedsaid-tq4yd Před měsícem +2

    Wakwanza leo naomb like zang km zot ❤

  • @juliusjoseph8550
    @juliusjoseph8550 Před měsícem +2

    Leo wa kwanza😂😂😂

  • @songombingo108
    @songombingo108 Před měsícem +3

    Kamwe usituzingue. Aziz Ki hawezi kusajiliwa kwa pesa ya Kadi. Acha bhana😂😂

    • @charlestobby6031
      @charlestobby6031 Před měsícem +1

      Kwa hiyo unamaanisha watu wasijisajili wala kulipia kadi za uwnachama au point yako ni ipi haswa🙄

    • @saimontipaa6887
      @saimontipaa6887 Před měsícem +1

      Tatizo ww hujuwi kinachosungumzwa mana usingeandi ivo ni Bora tu ungenyamaza kmy

    • @jumaaluhava143
      @jumaaluhava143 Před měsícem +1

      Shabiki ndio anayeweza Jenga uchumi imara wa TIMU na kuweza sajili mchezaji yeyote yule

    • @user-dn8ok2io4l
      @user-dn8ok2io4l Před měsícem +1

      Kama hujui na huweli bora kaa kmya

    • @gabapentin8070
      @gabapentin8070 Před měsícem

      usiongee ivo mbele za watu mtoto

  • @sideally35
    @sideally35 Před měsícem

    Mimi wale nmb wananitesa pk sshv cad cjapata zaid miezi miezi3

  • @RiddoRiddo-jj1bx
    @RiddoRiddo-jj1bx Před měsícem +2

    Ntajisajil na ntalippa mniisameh

  • @masatufula7189
    @masatufula7189 Před měsícem

    Kwa sisi ambao tupo mbali na dar inakuaje?

  • @yaxiiboyTz
    @yaxiiboyTz Před měsícem +2

    Njooni mnichukue Mimi Aziz ki aondoke tu usitutishe

  • @yaxiiboyTz
    @yaxiiboyTz Před měsícem

    Manara tunakutaka wewe

  • @yaxiiboyTz
    @yaxiiboyTz Před měsícem

    Aje manara wewe hatukutaki

    • @DativaValerian
      @DativaValerian Před měsícem

      Nahisi umetumwa kamwe kazingua wap? Hatumwiitaji mwingine kwa sasa sisi sio makolo wa kubadilisha viongozi kila kukicha

    • @DativaValerian
      @DativaValerian Před měsícem

      Afu try to studying yourself

    • @neemadaniel6233
      @neemadaniel6233 Před měsícem

      Mfyuu waambie makolo

  • @hassanabdala7383
    @hassanabdala7383 Před měsícem

    Huyuu njiti anaongea au analopoka

    • @amaniomar1755
      @amaniomar1755 Před měsícem

      Wewe utakua Dunduka

    • @fargakoigip6029
      @fargakoigip6029 Před měsícem +1

      Ukiwa nu mwanaYANGA utajua ....waache makolo wanodhani uanachama hauna kitu wazubae

    • @AzizaHussein-wq8ql
      @AzizaHussein-wq8ql Před měsícem +1

      Iki ni kirusi chekundu bira shaka kinataka dozi broo leave upesi njiti? Kumbe ndo mna hamnaga makocha wembamba mnaon ni chiti kaone kasemaji ketu unakaon janjiti lkn kan tupa raha ona nyie mmenenepa hamn mnachowaza kazi kusinziasinzia tu wew na watu wako kamili tunawatakia kila rakheli na uondoke upesi uende ukolon upesi😢😅

    • @DativaValerian
      @DativaValerian Před měsícem

      Yap waondoke la sivyo namfata kumuondo