LEONARDO ALIVYOMVUNJA MBAVU NCHIMBI - AMOSS MAKALA na WANANCHI SINGIDA - ''ALI KAMWE - ALI ZETI''...

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 29. 05. 2024
  • LEONARDO ALIVYOMVUNJA MBAVU NCHIMBI - AMOSS MAKALA na WANANCHI SINGIDA - ''ALI KAMWE - ALI ZETI''...
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Komentáře • 86

  • @mshindisanga6530
    @mshindisanga6530 Před 2 dny +1

    Jukwaa la leo halioani na talent

  • @connan9923
    @connan9923 Před 11 dny +3

    Wakati wa Mungu ni wakati Sahihi 🔥🔥🔥 kila mtu ana maoni yake Binafsi ila tujaribu Kuangalia Mungu anavyo mfungulia Mja wake Leonardo ❤❤, hata mimi na wewe Mungu anauwezo wa Kutufungulia Milango Tukapita kwenye Njia ambazo yeye alitupangia tupitie.Big up mwanetu Engineer Butindi

    • @hassanissah7141
      @hassanissah7141 Před 3 hodinami

      Maneno mazuri sana
      Yan kimasihara ndo kashatoka na hapo anauwezo ndan ya miaka kadhaa akagombea hata ubunge akawa bungeni na hivo kasoma so kwamba hana kitu kichwani

  • @emmanuelmakaya7604
    @emmanuelmakaya7604 Před 19 dny +3

    Umefanya vizuri..
    Ila umekosea sehemu ndogo tu..upo kwenye mandhari ya siasa, ulitakiwa uchekeshe watu kupitia matukio mbalimbali ya kisiasa..

  • @daudphilimon4317
    @daudphilimon4317 Před 8 dny +2

    Kuna namna Leo umechemka Kaka sema unajua sana

  • @Naahlyan
    @Naahlyan Před 14 dny +3

    Siasa imempendeza sana

  • @LumolaSteven
    @LumolaSteven Před 10 dny +2

    Jamaa anarudia sana

  • @musajoseph7896
    @musajoseph7896 Před 17 dny +4

    Watu wana stress Acha wafurahi.

  • @sigelamussa7016
    @sigelamussa7016 Před 19 dny +3

    Makonda oyeeee❤❤❤❤❤❤❤

  • @EliasHassani
    @EliasHassani Před 26 dny +2

    🔥🔥

  • @kenedymwamagemo1066
    @kenedymwamagemo1066 Před 19 dny +2

    He is trying really hard not to say something offensive to the government

  • @IbrahimShan-qu3um
    @IbrahimShan-qu3um Před 21 dnem +2

    Nchi ngumu sana hii

  • @officialfadhilomar5249
    @officialfadhilomar5249 Před 22 dny +4

    😂😂😂wananchi bwana....sasa mtu anachekesha wao wanapiga vigelele tu

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 Před 20 dny +2

    Hii audience sio ya comedy

  • @LumolaSteven
    @LumolaSteven Před 10 dny +1

    Jamaa kazingua sana kujiingiza kwenye siasa. Angebaki kwenye kazi yake

  • @thetrailerzone2791
    @thetrailerzone2791 Před 25 dny +14

    Makonda hoyee hawa wanazingua

  • @sigelamussa7016
    @sigelamussa7016 Před 19 dny +1

    Makonda safi

  • @user-nf1tg3kt3y
    @user-nf1tg3kt3y Před 24 dny +6

    Kuna viongozi wa hovyo sana katika nchi hii

  • @RamadhaniMshana-gk6vm
    @RamadhaniMshana-gk6vm Před 25 dny +1

    Makonda oyeee

  • @chage97
    @chage97 Před 25 dny

    Mavi mavi mavi

  • @OmanOman-dn6dj
    @OmanOman-dn6dj Před 25 dny

    MAKONDA OYEEE

  • @JilalaPawa
    @JilalaPawa Před 25 dny +6

    Huwezi ukawachekesha watu wa mkoani kwa story za mambo ya dsm

  • @uhakikatv255.
    @uhakikatv255. Před 24 dny +1

    utani utani hivi hivi unaweza ukajikuta leonardo unakula teuzi

  • @michaelcharles49
    @michaelcharles49 Před 22 dny

    Anarudia rudia sana

  • @MollelMollel-il4rg
    @MollelMollel-il4rg Před 25 dny

    Hiyo ndio kero za wananchi

  • @user-xy8kl9wd2i
    @user-xy8kl9wd2i Před 26 dny +1

    Wao hawasikilizi hata kero za wana nchi

  • @user-vg4ph5zx8h
    @user-vg4ph5zx8h Před 21 dnem +1

    Hii nchi hapana kwa kweli

  • @PiusNjelekela
    @PiusNjelekela Před 25 dny

    tusikilize kero

  • @AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm

    Ulikua unapuyanga tu hapo

  • @OmanOman-dn6dj
    @OmanOman-dn6dj Před 26 dny +7

    MAKONDA ANAUPIGA MWINGI ARUSHA

  • @amosmangura
    @amosmangura Před 25 dny

    Ccm ni dhaifu kweli bidii binafsi ni Friday kwa ccm cha kikuu at maingizo ya2 wasanii

  • @imanimbwaga7005
    @imanimbwaga7005 Před 24 dny +1

    hii umezinguaa

  • @sozimelody8333
    @sozimelody8333 Před 23 dny +1

    Fundi

  • @KLYLIANTHOMAX
    @KLYLIANTHOMAX Před 25 dny +4

    Kifupi alijipanga tofauti ameona mapokeo sio kuridhisha kama mmegundua akaanza kujazia vipengele vingine

    • @ellytech9757
      @ellytech9757 Před 19 dny

      Actually, comedy ya mikoani haitaki visa vya kisomi sanaaa au kimjini sanaa. Ukiweza ongelea nyani, mbuzi na kuku 😂

  • @mohamedally4496
    @mohamedally4496 Před 23 dny

    Huo muda makonda hana hapo kero kama 2 zingeshamalizwaa yaani paap

  • @fwc5552
    @fwc5552 Před 22 dny

    Kwisha kabisa

  • @KiboJoseph-cc5eu
    @KiboJoseph-cc5eu Před 23 dny +1

    tatizo unajua liko wapi,? mkutano wa maendeleo, ni tofauti na mazingira ya uchekeshaji watu hujiandaa kucheka kufurahi, hapa watu wamejiandaa kupewa hoja za maendeleo, so kuna namna unatakiwa kubadili jumbe na tafuta group tengeneza tafuta jumbe za vichekesho za namna mbali mbalimbali utakuwa bora hata sehemu ngumu, okay

  • @gigoyrn4394
    @gigoyrn4394 Před 25 dny +1

    😂😂😂 wachekeshaji wengine labda stress zetu ni nyingi ndo mana hatucheki

  • @tanzalandtv3311
    @tanzalandtv3311 Před 26 dny +1

    Unarudiarudia content mkuu

    • @Juli-ep9dn
      @Juli-ep9dn Před 25 dny

      Sio rahisi na huyu jamaa ana kazi nyingi kuliko comedian yeyote

    • @jeffhard5773
      @jeffhard5773 Před 25 dny +1

      Ndio akafanye hizo nyingi alizo nazo hapo awaachie wasio na Mambo mengi na sio lazima ufanye kila kitu Wakati Kuna wengine Wana weza kufnya hayo hayo

    • @KishoraKishoralimbu
      @KishoraKishoralimbu Před 25 dny

      Content hana kila anachokifanya alishakifanya kabla

    • @imamhussein1104
      @imamhussein1104 Před 25 dny +2

      Lini hao watu walienda mlimani city.?

  • @DanielMjengi
    @DanielMjengi Před 26 dny +1

    Hivi Hawa ni viongozi au vikojozi????

  • @danielmakelemo2395
    @danielmakelemo2395 Před 9 dny

    Kwa makonda huu muda hautumiki vibaya

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe Před 16 dny

    Audience ngumu sana watu hawacheki. Bad day at work

  • @JilalaPawa
    @JilalaPawa Před 25 dny +2

    Wananchi walijiandaa kusikia utatuzi wa kero zao hawakujiandaa na kuchekeshwa

  • @stanleyshoo
    @stanleyshoo Před dnem

    Watu wana maisha magumu wewe unawapelekea wachekeshaji

  • @Mwita171
    @Mwita171 Před 24 dny +1

    Tunawathamini lakin kama mmeanza siasa za kutumiwa tutawakwepa

  • @robertzamani5612
    @robertzamani5612 Před 26 dny +2

    Baada ya kutatua kero mnaweka wachekeshaji

  • @josephminja7953
    @josephminja7953 Před 20 dny

    Tatueni kero kwanza komed bdae😢

  • @octavian54
    @octavian54 Před 25 dny +1

    Unajua Sana Ila haupo mahala sahihi kikazi

  • @Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k

    Tatizo mnarudilia sana comedy zenu kila siku ni zilezil

    • @Juli-ep9dn
      @Juli-ep9dn Před 25 dny +1

      Unadhani rahisi kupata comedy mpya Kila wiki

    • @Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k
      @Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k Před 25 dny

      Ni raisi sana tu dada waweze kubuni zaidi maana tumeshachoka kila mwezi bhn kiasi kwamba tunashidwa kukata ticket 🎫 ili tuweze kuwaona maana story ni zilezil

  • @user-gq4bk8ub7o
    @user-gq4bk8ub7o Před 25 dny

    Angalieni na umri wa kuchekesha

  • @user-oz4gz8kq9e
    @user-oz4gz8kq9e Před 26 dny +18

    Hawa siyo viongozi ni vikojozi wanaleta comedian kwenye kero za wananchi.

    • @davisnziku
      @davisnziku Před 25 dny +12

      Ulitaka wamlete diamond ndio ushangilie acha roho mbaya we mjinga

    • @iam_sami
      @iam_sami Před 25 dny +4

      Weee jmaaa kweli finyu kwann uliacha shule 😂😂😂

    • @JamesPaulo-oz7tb
      @JamesPaulo-oz7tb Před 25 dny +4

      Comedy ni Sanaa pia😂😂

    • @AllyMauga-hq5vm
      @AllyMauga-hq5vm Před 24 dny +2

      Huna akili wew

    • @greaterjustin2231
      @greaterjustin2231 Před 24 dny +3

      Kwahio angeletwa harmonize, alikiba,diamond ndo ungeona ni sawa? acha nao wapate ridhiki

  • @ronaldowilson8165
    @ronaldowilson8165 Před 24 dny

    Huyu hana comedy,anarudia rudia zanyuma.Ndaro always winner.

    • @elsabio11
      @elsabio11 Před 24 dny

      Nenda kachekeshe ww utoe vitu vipya kila show

  • @AdamSaffi211
    @AdamSaffi211 Před 22 dny

    Mental illness is a serious issue in bongo, this guy needs help

  • @Mwita171
    @Mwita171 Před 24 dny

    Na nyie comedian tutawatenga mkiendelea hivo