Athari za kutohifadhi pori tengefu la Loliondo na ukweli kinachoendelea Ngorongoro

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 30. 06. 2022
  • Mkurugenzi wa Idara ya Wanyamapori Nchini, Dkt. Maurus Msuha amesema ikiwa eneo la pori tengefu la Loliondo linalohusisha kilometa za mraba 1500 halitahifadhiwa na kutunzwa vyema, athari kadhaa zinaweza kujitokeza ikiwemo kutoweka kwa mfumo wa Ikolojia ya wanyama wanaohama kama ilivyotokea kwenye mataifa ya Sudan na Mongolia pamoja na kupoteza kiwango kikubwa cha maji na kusababisha madhara kwenye hifadhi za Serengeti, Ngorongoro, Ziwa Manyara pamoja na miji ya Karatu na Monduli.

Komentáře • 2