TAMKO LA VIJANA JAMII YA KIMASAI KUTOKA NGORONGORO WAKANUSHA HABARI ZINAZO SAMBAA MTANDAONI
Vložit
- čas přidán 19. 05. 2024
- #JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►CZcams: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/
Hongereni sana
Mko vizur ase.
Jambo TV na kusaga TV MUNGU awabariki
Usiku umeendelea Sana asubuhi imekaribia sana
Hamnaga masai mjinga .
Safi sana nimependa na huyu mjinga apelekwe Mbele ya Sheria
So hivi hivi Kuna watu wanaowatuma kudanganya hivyo
Wale ni wajinga kweli walishaeleweka kua ni machawa, hawajui hata kudanganya, tuko pamoja
❤❤❤
Kuwa na huruma dogo kwa wamasai wenzio mungu anakuona furaha ya Leo tatizo LA kesho una watoto watawalaumu baadae.watakapokuwa walinzi nasi wafugaji tens bora wewe ng'ombe umewakuta
HIVI SERIKALI HAIONI NI KOSA MTU KUTOA PROPAGANDA ZA UONGO ILI APEWE CHEO
Kwa uelewa wangu niwatanganyika wengi wanashangaa kuhamishwa kwawatu wengi kuondolewa kwao kupelekwa eneo lingine yani niajabu lingine ladunia yani kuhamishwa watu kwao yani watu wanamkumbuka jpm yani kifo kilicho muua jpm ndicho kilicho fanya wamasai kukosa mtetezi pia katiba nayo ibadilishwe mana ndio chazo chamaumivu yawatu wengi
Wakawape maeneo yamakaźi dodoma . Tena kwa makubaliano napia wakikataa waachwe
Jamani tuikatae ccm kama Hawa niwamasai kesho watafata wengine
Sasa nyinyi mnang,ang,ania sehem ambayo uruhusiw kufanya chochote Cha kimaendeleo
Wamezoea kukaa uchi sasa ni ngumu kuvaa nguo We uliona wapi watu wamejengewa nyumbani tena mzuri ,shule,hospitali ni nini wanangangania kuishi na wanyama 🤣🤣🤣
Wamasai wenzangu hebu badilikeni acheni hizi mila za kishamba dunia hii ya leo bado mbatakaa kuishi na wanyama
BORA MUBAKI HUKO HUKO MUNAKOFANANA NA MILA ZENU KULALA KWENYE NYMBA ZILIZOGANDIKWA KWA KINYESI HAKUNA CHOO WATOTO WANATEMBEA UCHI HAKUNA UMEME KWELI MUSIZIACHE MILA NA DESTURI ZENU KWA MAMBO YAKUIGA SAFI SANA
@@ahmadmasunda9892 🤣🤣🤣🤣