Mtibwa Sugar 1-3 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 13/05/2024

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 12. 05. 2024
  • Yanga SC imeichapa Mtibwa Sugar 3-1 na kutangaza ubingwa wake wa 30 kwenye ligi kuu ya NBC Tanzania Bara ikiwa na mechi tatu mkononi baada ya kufikisha alama 71 ambazo hazifikiwi na timu nyingine.
    Mtibwa ndiyo waliotangulia kupata bao dakika ya 32 kupitia kwa Charles Ilanfya lakini Yanga wakachomoa dakika ya 62 kwa goli la Kennedy Musonda, Nasry Kombo akajifunga dakika ya 66 na Clement Mzize akamaliza kazi dakika ya 81.
    Tazama highlights...
  • Sport

Komentáře • 89

  • @user-rj8cb9tq3w
    @user-rj8cb9tq3w Před 25 dny +9

    Jaman wa kwanza naombeni like zangu

  • @petertungu2313
    @petertungu2313 Před 25 dny +5

    Aliyesikia kama mimi jamani.
    Nyetoooo😂😂😂😂

  • @Maryc2G
    @Maryc2G Před 25 dny +2

    Najivunia kuwa mwana yanga, timu yangu inanifurahisha sana.

  • @MikidadiMhamuduMasudi
    @MikidadiMhamuduMasudi Před 25 dny +2

    Chama langu Yanga nakupenda.

  • @sylvainkiragi
    @sylvainkiragi Před 25 dny +3

    Yanga raha

  • @officialsalim3955
    @officialsalim3955 Před 25 dny +5

    Azam Tv tunaomba mtuwekee ligi za Uingereza

  • @husseinmkwachu6071
    @husseinmkwachu6071 Před 25 dny +4

    SUREBOY NA MUDATHIR WAMETAWALA SANA DIMBA KA KATI...💪

  • @DaudiAlliy
    @DaudiAlliy Před 25 dny +4

    A few moments later....
    Big kashika tamaa 😂😂😂

  • @user-bi6bo2hh9o
    @user-bi6bo2hh9o Před 25 dny +5

    Mudathir kama debruin kwa asist

  • @Mgema001
    @Mgema001 Před 25 dny +3

    Ile ofside ya yanga nmecheka sana

  • @GracePeter-iy7cr
    @GracePeter-iy7cr Před 24 dny +2

    Wananchiiiiiiiiiiiiiiiii mechi zirizobaki tumpe azizikii mipira iriafunge awemfungaji Bora yanga yangu kijaniyangu njanoyangu nyeusi yangu mpaka namchuzi ninaokunywa ni wanjano nakijani wananchi iiiiii oyeeeeeeeeeeee 😊😊😊😊🎉❤❤❤😮😅😅

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 Před 25 dny +2

    Mtibwa mlifanya vibaya sana kushangilia gori lenu Bora mngetulia

  • @user-kf3ft8pk8e
    @user-kf3ft8pk8e Před 25 dny +1

    Tunashkur mungu yanga bingwa

  • @SalumImran-ku3yr
    @SalumImran-ku3yr Před 25 dny +3

    Yanga Baba lao

  • @Maryc2G
    @Maryc2G Před 25 dny +2

    Yanga raha kweli kweli. 💚💚🌻🇹🇿🇹🇿

  • @KadasoMadaha
    @KadasoMadaha Před 25 dny +2

    This is yanga

  • @Mhappy5
    @Mhappy5 Před 25 dny +3

    Zuberi mzee wa kupndisha timu mtibwa itanyanyika t😢

  • @mwagacomedy6697
    @mwagacomedy6697 Před 25 dny +4

    Sisi ndo wenye kusema kuna wanao jiita mwaka lobo hata nafasi yapili hawapati wale makolo

    • @GracePeter-iy7cr
      @GracePeter-iy7cr Před 24 dny

      MWAKA huu Simba komberao nikirekikapu chakununuria nyanya nawenyewe wapate hicho kurikokukaa birakitu mimiwakwanza nitawachangia ndoo yakuogea😊😊😊😢😢❤❤❤ I LOVE YOU YOUNG AFRICANS CLUB TANZANIA ❤❤❤❤

  • @ramadhanyahaya5737
    @ramadhanyahaya5737 Před 25 dny +3

    Waamuzi ni changamoto sana

  • @ShaibuMkullu-ck6sl
    @ShaibuMkullu-ck6sl Před 25 dny +2

    Sauti mbona ipo chini sana 🤔

  • @DinoOneTouch7626
    @DinoOneTouch7626 Před 24 dny +1

    Sasa ni zamu ya kumtengenezea aziz ki kiatu chake mapema mana sisi ligi tumemaliza tangu msimu huuu ulipoanza

  • @worldhappiness1181
    @worldhappiness1181 Před 25 dny +5

    Yanga kipind cha pili huwa wantumiaga nn, daah!

  • @adamzachariakinyekile6948

    sukari gulu wamepigwa msako wa maana,

  • @isayamushi9543
    @isayamushi9543 Před 25 dny +2

    Ligi ya Spain

  • @dorcaskuselya6927
    @dorcaskuselya6927 Před 25 dny +2

    Ila mwamyetioo😂😂😂😂😂

  • @eliuskamwelwe1018
    @eliuskamwelwe1018 Před 24 dny +1

    Kwa ukubwa wa ligi kuu ya Tanzania bara na viwanja tunavyotumia Kama hicho kwakweli siyo sawa😅

  • @user-ig8iq1ho4o
    @user-ig8iq1ho4o Před 25 dny +1

    Ahsant m/mungu

  • @MkakavaAbillah
    @MkakavaAbillah Před 23 dny

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ yang

  • @msungumwilapwa4234
    @msungumwilapwa4234 Před 25 dny +2

    si azam wala simba sema makolo wala batamaji

  • @MariamSuba
    @MariamSuba Před 23 dny

    ❤❤❤ yang

  • @SelemanNyakunga
    @SelemanNyakunga Před 25 dny +1

    Yanga damu damu

  • @IbrahimMakoo
    @IbrahimMakoo Před 25 dny +2

    naibenda yanga

  • @QueenSamu-wv4od
    @QueenSamu-wv4od Před 23 dny

    💛💚💚💚

  • @user-mf9bj5uo8b
    @user-mf9bj5uo8b Před 24 dny +1

    Ngoda huna baya kwasababu na ww ni mwananchi

  • @dogomusa6484
    @dogomusa6484 Před 25 dny +1

    Woo

  • @user-xq1rt2uu8z
    @user-xq1rt2uu8z Před 25 dny +1

    Kweli kabisa

  • @ukuvukiland2387
    @ukuvukiland2387 Před 25 dny +4

    Musonda angewanyonga kabla ya refa kusema offside ilikua sio offside,hawa marefa tff wanawaokota mtaani au.

  • @MkakavaAbillah
    @MkakavaAbillah Před 23 dny

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ y

  • @user-ef2zr4un2u
    @user-ef2zr4un2u Před 25 dny +1

    Tatizo la mtibwa takribani robo tatu ya wachezaji walikuwa hawana nidhamu wamecheza rafu nyingi butuwabutuwa na dharau

  • @Producertsix
    @Producertsix Před 24 dny +1

    nyetooo mwamnyetoooo 😆😆

  • @JeniferHepitas
    @JeniferHepitas Před 24 dny

    💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💛💛💛💛💛

  • @user-hv8ns7gs9c
    @user-hv8ns7gs9c Před 25 dny +1

    Haha ila bado fa ili tumalize kaz yanga bingwa

  • @sadahamad6158
    @sadahamad6158 Před 25 dny +17

    Yanga bingwa hadi rahaa 💛💛💛💚💚💐💐💐

    • @SaiMabula
      @SaiMabula Před 25 dny +3

      Wewe mwaka huu ndo mwaka wakujidai lakini mwakani manatakiwa mjipange sana

    • @sadahamad6158
      @sadahamad6158 Před 25 dny +3

      @@SaiMabula hichi cha mtoto mwakani InshaAllah ubingwa tena 💚💚💛💛

    • @SilvesterLeonard-fi1oy
      @SilvesterLeonard-fi1oy Před 25 dny +1

      👞

    • @petermanala6138
      @petermanala6138 Před 25 dny +1

      ​@@SaiMabula😂😂😂watu wanajua mpaka yajayo ya mtu kwel kufatiliana gan huku🤔🤔🤔🤔🤔

    • @chamandaayolaiza1535
      @chamandaayolaiza1535 Před 25 dny +1

      Raha kam.nn 😂

  • @MuammaryAbdalla
    @MuammaryAbdalla Před 25 dny +1

    kila ukimuombea duwa asifunge na wenu nyie hafungii ata lile bovu

  • @JescaMuyabi-ix8ly
    @JescaMuyabi-ix8ly Před 25 dny +2

    Yanga baba lao

  • @JosphKaka
    @JosphKaka Před 25 dny +1

    Mabingwa Mara 30

  • @JosphKaka
    @JosphKaka Před 25 dny +1

    Mabingwaaaaaaa

  • @emmanuelmchomvu2676
    @emmanuelmchomvu2676 Před 25 dny +1

    A goal no 2 beki katoa

  • @abdulzanzibar7154
    @abdulzanzibar7154 Před 25 dny +1

    NYETO 😅😅😅

  • @DadysBoy.
    @DadysBoy. Před 25 dny +7

    tumeshindwa kumfunga sisi unataka nani aweze kumfunga sa hz tunataka feisal afunge ili achukue kiatu na bado papo hapo tunaomba azam asishinde ili tuwe nafasi ya pili! si kuvuta bangi uku?

  • @YasintaMartin-my2wo
    @YasintaMartin-my2wo Před 16 dny

    Sisi ndio mabingwa

  • @PrinceMuro-uc4un
    @PrinceMuro-uc4un Před 22 dny +1

    Watu tunawaza ubingwa tu
    Vipi kuhusu mtangazaji alivonogesha goli la 3
    Kwa mwamnyeto
    😂😂😂😂

  • @JUU-lw2je
    @JUU-lw2je Před 25 dny

    Mwamnyeto yuko tu kama chemalon aende akacheze simba kila akianza tuakosa clean sheet

  • @SelemanNyakunga
    @SelemanNyakunga Před 25 dny +1

    Yanga damu damu